Maadhimisho ya Siku ya Wakunga na Wauguzi yaanza

Ugandan importers opt out of Kenya transport route, use Tanzania instead

The East African says a rising number of Ugandan importers are opting to use the longer Central Corridor route — through Tanzania which is some 1,700 kilometres — to transport goods into the country, due to:-

  • Kenya Ports Authority’s (KPA) decision to increase cargo handling charges. The tariff for handling of self-propelled saloon and station wagon cars not exceeding 1.5 tonnes at the container freight station has gone up to $83.50 from $80. 

Tanzania opens office in DRC to become region’s trade hub

Tanzania has opened an office in Lubumbashi, DR Congo, as part of a reform and expansion plan to become a port hub for the hinterland countries, and fight off competition from Kenya.

The government is also keen to fast-tract the expansion of the Dar es Salaam port as it seeks to secure a geostrategic position as the key access point to the Indian Ocean to serve the economic zone straddling the Nile Basin countries — a position Kenya too, is keen to achieve.

The opening of the Lubumbashi office comes in the wake of a visit by the Minister for Transport Harrison Mwakyembe and the top management of the Tanzania Ports Authority to the city, which is Congo’s second biggest.
“Congo is one of the biggest users of the Dar es Salaam port, therefore we have decided to follow them and serve them where they are. A Congolese businessman will be served without having to come here, we are also going to link the office to our Dar es Salaam main office via an electronic system,” 
said TPA in a statement. ...more on The East African.

Taarifa ya Yanga kuhusu wachezaji wake

Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezaji wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na Azam FC zisiwakatishe tamaa, ni mapenzi ya wachezaj wenyewe kwani walishakubaliana na uongozi kila kitu juu ya kuendelea kuitumikia Yanga kabla ya siku mbili hizi kuonekana wakiwa wamejiunga na wana ramba ramba.

Yanga tayari ina wachezaji watatu wenye mikataba inayoendelea na kama kanuni za VPL kwa wachezai wa kimataifa kuwa watatu zitatumika wachezaji Haruna Niyonzima, Hamisi Kizza na Emmanuel Okwi ndio watakaoendelea, hivyo uongozi

The best time to send emails and get a reply


Email marketer, Mailchimp analyzed more than 200 - 300 million emails it sends every single day and determined that the best time of the day to send emails may be around 2pm. 

Why? 
Because, given the fact that most people work during the day, they are more likely to open emails between 2pm and 5pm, read and respond since it also is the time that most sit at their desk during or immediately after lunch breaks.

Mailchimp also noted that:-
  1. More emails are sent on Tuesday and Thursday.
  2. Email opening is highest on Tuesday, Wednesday and Thursday
  3. To boost the chances of being read, have a 6-10 word subject line to your email. 

Ahukumiwa kwa kumsingizia mwanaume mtoto asiye wake

Mahakama ya Mwanzo Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga, imemhukumu Pendo Joachim (33) mkazi wa kijiji hicho, kutumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutakiwa kulipa faini ya 1,000,000/=.

Amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na kosa la kusingizia mtoto kwa mwanamume mwingine ili apate pesa za matumizi.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu wa Mahakama hiyo, Christian Chovenye alisema Mahakama imemtia

Mafuta cha chakula yanayoachwa juani yana madhara kiafya

Wauza mafuta ya chakula wametakiwa kuyaweka mbali na jua hali Wananchi wakitakiwa kuacha kununua mafuta hayo ikiwa yameanikwa juani ili kujiepusha na athari kubwa kiafya, ikiwemo ugonjwa wa saratani.

Mkaguzi wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TDFA) Kanda ya Kati, Albert Deule alinukuliwa na gazeti  la HabariLeo akiyasema hayo juzi wakati akijibu maswali ya washiriki wa mafunzo kwa wajasiriamali wa Mamlaka ya Mji mdogo wa

Timu zitakzocheza soka Ligi Kuu kuwa 16; Mtaalamu wa nyasi bandia awasili

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanzia msimu wa 2015/2016 itakuwa na timu 16 badala ya 14 za sasa.

Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Mei 3 mwaka huu) jijini Dar es Salaam baada ya kupokea mapendekezo ya kuongeza idadi ya timu kutoka kwenye Kamati ya Mashindano.

Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuongeza ushindani katika ligi hiyo, na kuwezesha wachezaji kupata mechi nyingi zaidi za mashindano. Kwa mabadiliko

Hali halisi ya soko la Buguruni, Ilala, Dar es Salaam

Mazingira ya eneo la soko la Buguruni wilayani Ilala jijini Dar es Salaam likiwa limezungukwa na lundo kubwa la takataka, huku wafanyabiashara wakiwa wanaenderea shughuli zao.

Mkurugenzi wa NBC awapiga msasa Wafanyakazi Wanawake Vodacom

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea  kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.

Dar es Salaam -- Katika jitihada za kuendelea kumkomboa mwanamke na kujenga fursa sawa ndani ya jamii ya Watanzania, Mkurugenzi mtendaji wa benki ya NBC Mizinga Melu, amesema Wanawake wamekuwa chachu ya Maendeleo ya nchi kwa kipindi kirefu sasa na Mchango hao unapaswa kuthaminiwa kwa kiasi kikubwa.

Mkurugenzi huyo ameyasema hayo katika kongamano lililoandaliwa na

Diamond aahidi kuwatendea haki kila mwaka wakazi wa Kusini

Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akiwapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana.
Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum, akiwapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana.

Na Mwandishi wetu, Mtwara

Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Diamond Platinumz ameahidi kuwatendea haki wakazi wa mikoa ya kusini kila mwaka kwa kile anachodai mafanikio makubwa ya ndoto yake ya kuwa mwanamuzi bora hapa nchini imeanzia mkoa wa Mtwara.

Mwanamuziki huyo aliambatana na kipenzi chake, Malkia wa Bongo Movie nchini, Wema Sepetu – ‘Beautiful Onyinye’ au Madame kama mashabiki wake