ITV video: Sehemu ya pili ya Dakika 45 na Jaji Warioba

Video iliyopachikwa hapo chini ni sehemu ya pili ya mazungumzo ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba katika runinga ya ITV na mtangazaji Emmanuel Buhohela kupitia kipindi cha Dakika 45.

Mhe. Warioba anazungumzia rasimu ya katiba na changamoto za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.


  • Audio kwa waliokwama kufungua video kutoka YouTubeUnaweza pia ku-right click hapa na kupakua na "Save link-as..." ili kupakua audio.

Pres. Kikwete's speech at International Association of Women Judges Conference

SPEECH BY HIS EXCELLENCY DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE OPENING OF THE INTERNATIONAL ASSOCIATION OF WOMEN JUDGES CONFERENCE, ARUSHA TANZANIA

5TH MAY 2014


Hon. Mohamed Othman Chande, Chief Justice of the United Republic of Tanzania,

Hon. MadameAloma Mariam Mukhtar, Chief Justice of the Federal Republic of Nigeria,

Hon. Dr. Asha-Rose Migiro, Minister for Constitutional and Legal Affairs;

Hon. Eusebia Munuo, President of the International Association of Women Judges, (IAWJ);

Hon. Engera Kileo, Chairperson of Tanzania Women Judges Association,

Hon. Presidents of various Courts and Tribunals Present

Hon.Judges and Magistrates;

Madame Joan Winship, Executive Director of International Association of Women Judges (IAWJ),

Members of the Diplomatic Corp;

Distinguished Guests,

Ladies and Gentlemen;

I thank your Lordship Mr. Chief Justice Mohamed Chande Othman and Madam Justice Eusebia Munuo for inviting me to join you at this auspicious occasion of gracing the 9th Biannual Conference of International Association of Women Judges. I thank the organisers for affording my dear country, Tanzania the rare

Mwalimu/Mama wa kambo amwua mtoto kisa jiko la gesi

Mwandishi wa habari (kushoto) akihojiana na Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo
Na Bundala William — MWANAFUNZI mmoja mkazi wa Jijini Mwanza aliyetambulika kwa jina la Clinton Majembe ameuwawa kwa kupigwa na mama yake wa kambo Lupinda Kauli ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Malunga mjini Kahama kwa kinachodaiwa kuwa kuwa mtoto huyo aliacha jiko jiko la gesi likiwa linawaka ndani.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo, Noel Mseven ambapo tukio hilo lilitokea usiku wa

Kifuatacho kwenye Tv - Haifai kwa watoto!

[video] Mkutano wa CCM, Kibanda Maiti, Zanzibar

Iliyopachikwa hapo chini ni playlist yenye video 5 za mkutano wa CCM uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti, Zanzibar siku ya Jumapili, Mei 4, 2014.Shukurani ya video upload/sharing ifike kwa "KAMATI YA MARIDHIANO".

Ilani ya TMA kuhusu taarifa potofu za hali mbaya ya hewa

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                    WIZARA YA UCHUKUZI
      MAMLAKA YA HALI YA HEWA

Simu: +255 22 2460706-8
Telefax: +255 22 2460735, 2460700 S.L.P.   3056,
Barua pepe: [email protected] DAR  ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz
                                                                                                                         05/05/2014


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


YAH : UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA


Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini inapenda kukanusha kuhusiana na taarifa ya ujumbe mfupi wa simu na katika mitandao ya kijamii wenye maneno yafuatayo : ‘TMA warning heavy rains of strong easterly winds 100km an hour expected to hit Dar coast from Somalia, Heavy rains 120mm above sea level expected today and tommorrow. People must avoid Sea and areas near to Sea should be alert cautioned. Tanzania Meteorological Agency www.tma.gov.tz’

Mamlaka inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa hiyo siyo ya kweli na ina lengo la

Sheikh Ilunga aaga dunia

Ilunga Hassan Kapungu
Ilunga Hassan Kapungu

SHEIKH Ilunga Hassan Kapungu ameafariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kisukari jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yatafanyika leo Jumatatu saa 10 jioni. Mwili wa marehemu utasaliwa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni-Mapipa jijini Dar.


Taarifa hii imetolewa na:
Sheikh Mohammed Kassim,
IPC Ubungo
Dar es Salaam

Sheikh Ilunga ambaye alikuwa mhubiri wa Kiislam nchini Tanzania na Afrika Mashariki,  aliwahi kukamatwa na Polisi na kufunguliwa mashtaka mwaka jana akiwa na viongozi mbalimbali wa kidini, wakituhumiwa kwa kosa la uchochezi wa dini kupitia kanda za CD na VCD wanazoziuza kwa waumini wao zinazoeneza chuki na ukabila ikiwemo kuhimiza kuwachinja mapadri.

Katika mtandao wa kijamii wa JamiiForums, baadhi ya wananchi wametoa maoni mchanganyiko kuhusu kifo hicho.

UAE's Rotana unveils new hotel in Tanzania

 Dubai’s 4 star Towers Rotana Hote; (photo: www.hotels-of-dubai.com)

UAE-based Rotana, the hotel management company, on Sunday announced the signing of 10 new hotels in the UAE, Iran, Tanzania and Sudan.

It has signed on a 249-room project in the Tanzanian capital Dar es Salaam.

Kaddouri added: "The opening of these new hotels in these four markets falls in line with our strategic goal to operate 100 hotels by 2020."

Omer Kaddouri, president and CEO of Rotana said it has signed five new hotels in Dubai, which will increase the company's total number of properties in the emirate to 20.  -- arabianbusiness.com

Vodacom yakipa vitanda Kituo cha Afya Chipanga

Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma Betty Mkwasa, akiongea na Wananchi wa kijiji cha Chipanga kabla ya kupokea msaada wa vitanda kwa ajili ya zahanai ya kijijini hapo vilivyotolewa na Vodacom Foundation kuboresha huduma za afya kwa mama na mtoto.

Kituo cha Afya cha Chipanga, kilichopo Bahi mkoani Dodoma kimepokea msaada wa vitanda tisa vilivyotolewa na Mfuko wa kusaidia jamii wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom (Vodacom Foundation) lengo likiwa ni kuwapunguzia changamoto wazazi na watoto wanaopatiwa huduma kituoni hapo.

Kituo hicho, mbali ya kuwa kijijini, ndio tegemeo la huduma za afya kwa wakazi wa

Balozi Mulamula ahudhuria onesho la "Jambo Tanzania" la michoro ya picha


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani (wapili toka kulia) akiwa pamoja na Afisa wa Ubalozi, Kitengo cha Utalii, Bi. Immaculata Diyamett wakifuatilia maelezo ya Marian Osher.

Turkish Airlines to open route to Zanzibar; Increase Istanbul-Dar flights to sevenvia IPP/The Guardian -- After enjoying hassle-free business operations between Istanbul-Dar es Salaam and Kilimanjaro routes, Turkish Airlines’ management is looking forward to open an additional route to Zanzibar in the near future.

The airline’s vice-president for marketing and sales, Mevlu Kayar, confirming this in Istanbul last week said business has been booming. In his views therefore an additional flight to Zanzibar was necessary to meet the huge demand by passengers.

Obviously conscious of other international airlines currently in operation of the Zanzibar route from Europe, Kayar has been confident that the East Africa’s

Vielelezo vya mabadiliko ya uelekeo wa daladala Dar es Salaam

Mpita njia akitizama kielelezo cha mabadiliko ya uelekeo waa magari yanayoingia na kutoka jijini Dar es Salaam.

KIELELEZO KINAONYESHA MABADILIKO JINSI DALADALA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI KUTOKEA BARABARA YA ALLY HASSAN MWINYI

Tanzania plans an "Act for Foreigners’ Work Permits"

The Tanzania government plans to come up with a law to check the number of foreign workers in the country.

The law will centralise issuing of work permits to foreigners, according to President Jakaya Kikwete, as opposed to the current situation where more than one institution is allowed to do so.

The Bill, to be known as Act for Foreigners’ Work Permits, will be tabled in Parliament under certificate of urgency in the October parliamentary session.

Kikwete told a public rally that the number of foreign workers in the country was alarming and that there was need for the government to take urgent measures to manage the issue.
“For some time now, people have been complaining that foreigners are employed in positions that Tanzanians can serve in, which is true,” “Since some institutions, which are responsible for issuing work permits, have not been loyal we intend to enact a law which will give the mandate to one institution.” 
--- The East African

CCM yafanya mikutano Zanzibar


IPP, NPASHE -- Mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jana katika Uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja, ulitawaliwa na kauli za wazungumzaji kuwashambulia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Katika mkutano huo ambao ulihudhuriwa na viongozi waandamizi wa CCM, kila aliyesimama kuzungumza hakuacha kuwataja wajumbe wa UKAWA na kuwashutumu wajumbe wake wa Bunge Maalum la Katiba kwa hatua yao ya kuondoka katika Bunge hilo Aprili 16, mwaka huu.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, alimtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuiangalia

5 rules of thumb when decorating your home/office

5 Rules of Measurement

Shruti Verma via Nestopia.com says: A well designed space looks good, makes optimal use of available space and is comfortable to move around in. Here are a few thumb rules about the functional aspect of designing home interiors.


Job opportunities at Mbeya University

Mbeya University of Science and Technology (MUST) invites applications from suitably and competent persons to fill various vacancies that exist in the Academic and Non Academic departments of the University.

Please click here (pdf) for details.

Miss Dar City Center Mei 24SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15.

Akizungumza katika uzinduzi huo jana, mratibu wa shindano hilo, Judith Charles alisema kuwa, mwaka

Dini mpya yakataza kupeleka watoto shule

Na Mhaiki Andrew, Songea via DemashoNews

BAADA ya baadhi ya wananchi wilayani Songea, mkoani Ruvuma wamelalamikia kuwepo dini ya ajabu inayokataza wakataza wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao shule kupata elimu wilayani humo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mmoja wa waumini hao, Lucy Zenda alipohojiwa na majira nyumbani kwake maeneo ya mtaa wa Miembeni-Msamala katika Manispaa ya Songea alikiri kuwepo katika dini hiyo ya ajabu inayojulikana kwa jina la Sauti ya Bwana huku akifikia kujigamba dini hiyo ni ya kweli ambayo imeshushwa kutoka mbinguni imekuja kuwakomboa wanadamu waachane na matendo ya shetani na wawe wacha Mungu.

Alisema pamoja na kufanya mikusanyiko yao ya kuabudia chini ya miti mikubwa na

Pata habari kutoka IssaMichuzi Blog kupitia push