Bomu lalipuka ndani ya jengo la KKKT na kujeruhi


Bomu lililotengenezwa kienyeji limelipuka majira ya saa 2 usiiku katika korido ya nyumba ya kulala wageni iliyopo katika eneo la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Usharika wa Imani, jijini Mwanza na kumjeruhi vibaya mtumishi wa kanisa hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Katibu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria, Rogart Mollel, alimtaja aliyejeruhiwa katika tukio hilo kuwa ni Bernadetha Alfred, 25, ambaye alikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando.

Mollel alisema lilifungwa katika kifurushi kilichopambwa na karatasi za zawadi na

amfAR funding opportunity: Mathilde Krim Fellowships in Basic Biomedical Research

DEADLINE: Letter of Intent due no later than 4:00 PM EDT on Thursday, May 15, 2014

AVAILABLE FUNDING

Maximum funding: $150,000; 10% indirect cost rate maximum. 

Performance period: two years starting October 1, 2014 


FORMS & INSTRUCTIONS

Submission of a Krim Fellowship Letter of Intent (LOI) is now an

Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2014/2015

HOTUBA  YA  WAZIRI  MKUU,  MHESHIMIWA 
MIZENGO  PETER  PINDA (MB),  KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2014/2015


UTANGULIZI

1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, kutokana na Taarifa zilizowasilishwa katika Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa mwaka 2013/2014 na Mwelekeo kwa Mwaka 2014/2015. Aidha, naliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Taasisi zilizo chini yake pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2014/2015.

2.            Mheshimiwa Spika, awali ya yote na kwa masikitiko makubwa

Jaji Bomani ahimiza uandishi wa habari za kumkomboa mwananchi

Mgeni rasmi Jaji Mark Bomani akionesha moja ya vitabu vyenye Ripoti ya Unyanyasaji dhidi ya Uhuru wa Habari
Mgeni rasmi Jaji Mark Bomani akionesha moja ya vitabu vyenye Ripoti ya Unyanyasaji dhidi ya Uhuru wa Habari. (Picha zote na Zainul Mzige).  

Taarifa kutoka kwa Mwandishi wetu

Jaji Mstaafu Mark Bomani amesema lengo la mchakato wa Katiba ni kuhakikisha kwamba Tanzania inapata Katiba ambayo ni bora zaidi kuliko zote itakayoshughulikia changamoto na kuweka mazingira ambayo yatamrahisishia maendeleo mwananchi kwa haraka.

Akitoa risala katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC jijini Arusha, Jaji Mstaafu Mark Bomani, amesema jukumu la mwanahabari ni

Msururu wa magari yaliyokwama Manzese zaidi ya saa naneMalori na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani saa zaidi ya nane katika eneo la Manzese lililopo Kilwa barabara ya Dar es Salaam kuelekea Mtwara hapo jana kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha magari

Rais Kikwete safarini NIgeria kwa mkutano wa WEF kuhusu Afrika

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka leo jioni  tarehe 6 Mei, 2014 kuelekea Abuja, Nigeria kuhudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum).

Mkutano huo unaoanza kesho tarehe 7 – 9 Mei, 14, utahudhuriwa na viongozi kutoka Afrika na duniani kwa ujumla. Pamoja na mambo mengine mkutano utajadili njia mbalimbali zitakazolifanya Bara la Afrika kuumudu ukuaji wa kiuchumi kwa pamoja na fursa za ajira  zinajitokeza.

Katika Mkutano huo, viongozi pia watajadiliana jinsi ya kugharamia

Mtaalamu wa nyasi bandia akagua na kupima uwanja wa Kaitaba
Na Faustine Ruta, Bukoba — Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Dk Ian McClements aliwasili Bukoba asubuhi ya Jumatatu, Mei 5, 2014 kwa ndege ya kukodi.

McClements akiwa Bukoba alikagua uwanja wa Kaitaba, na baadaye akakwea tena ndege yake kuelekea jijini Mwanza kukagua Uwanja wa Nyamagana.

Sikika: Dispense Budget Books to MPs on time

Press Release , Monday, 05 May 2014

Dispense Budget Books to MPs on time


The timely release of the national budget books to MPs and the general public is an imperative step in fostering openness, quality and efficiency of the budget. According to article 96 of the Parliamentary Standing Orders of 2007, the budget estimates are to be provided to the Members of Parliament (MPs) at least 21 days before the budget session starts.

This year’s budget session is expected to commence on the 6th of May, 2014 starting with various committees on the 28th to the 4th of May. However, communication made between Sikika and some

EU appeals to Tanzania to create conducive environment for investments

  • Tanzania took the lead in attracting Foreign Direct Investment (FDI) in the East African region.
The European Union on Monday asked Tanzania to relax procedures in setting up business in the east African country, saying cumbersome procedures attracted corruption and was a disappointment to investors.

The EU head of delegation to Tanzania, Filberto Sebrigondi, said the EU has been convincing investors to do business in Tanzania but they were facing various challenges, including corruption.

"Tanzania should simplify the investment procedures and reduce the red tape to attract more investors," the

Wabunge wapya wala viapo Bungeni


Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga, Mhe. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.

Sekondari ya Namfua sasa ni Chuo cha Ualimu

Jumuiya ya Wazazi mkoani Kilimanjaro imefanya mabadiliko ya Shule yake ya Sekondari Namfua wilayani Rombo na kuigeuza Chuo cha Ualimu.

Chuo hicho kitaitwa Chuo cha Ualimu cha Mkoa wa Kilimanjaro na kinatarajia kupokea wanafunzi kuanzia Julai, mwaka huu.

Mbali na Sekondari ya Namfua, pia jumuiya hiyo imeifunga Shule ya Sekondari Kahe wilayani Moshi, tayari

Dk Shirima ateuliwa na Rais kuwa Mtendaji Mkuu PPRA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


UTEUZI WA MTENDAJI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI NA UNUNUZI WA UMMA (PPRA)


Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA).

Dkt. Shirima ni Mkurugenzi wa kujenga Uwezo wa Huduma za Ushauri (Capacity Building and Advisory Service-PPRA) na pia ndiye anaye kaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa PPRA.

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2014.

Imetolewa na;

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu-Dodoma
Tanzania.

6 Mei, 2014