Asia Idarous na vazi la Taifa la Tanzania nchini NigeriaNa Andrew Chale — MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s design’ tayari watu mbalimbali duniani wameombwa kutengenezewa mtundo huo.

Akizungumza jiini Dar es Salaam, na mtandao huu, Asia Idarous ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions, alisema kuwa watanzania na raia mbalimbali wa kigeni duniani kote wametoa order za

Walimu wapya Handeni waanza kazi na machungu

Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya Handeni, Dr Khalfany Haule
Mkurugenzi Mtendaji, Handeni, Dk Haule
WAAJIRIWA wapya wa fani ya ualimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga wameanza kazi kwa kuonja machungu ya madeni baada ya kutopewa stahili zao zote kabla ya kuanza kazi na kusambazwa kwenye vituo vyao vya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.

Wakizungumza na Thehabari.com kwa masharti ya kutotaja majina yao kwa kuhofia kunyanyaswa na uongozi wa juu wilayani hapo, walisema kuwa kwa mujibu wa makubaliano na taratibu walitakiwa kulipwa shilingi 245,000 ikiwa ni malipo ya fedha za kujikimu kwa siku saba yaani shilingi 35,000 kwa kila siku jambo ambalo halikufanywa.

Mmoja wa walimu hao walioanza kazi tangu Aprili Mosi, 2014 alisema walipoanza kazi walilipwa shilingi 140,000 tu na kuahidiwa kiasi kingine kumaliziwa ndani ya mwezi huo, ahadi ambayo haijatekelezwa ilhali wao wakiangaika na maisha ya ugenini fedha hawana na wamepigwa marufuku kufuatilia fedha halmashauri hadi hapo itakapotangazwa.

Alisema walitegemea kwa kuwa malipo ya kujikimu hawakupewa yote wangelipewa mshahara wa mwezi

The unbelievable backheel goal by Cristiano CR7 Ronaldo

On Sunday, Cristiano Ronaldo nailed a spectacular goal against Valencia!

SBNation describes it:
"Cristiano Ronaldo was not facing the goal, the ball was waist high and he was basically screwed. Except he's a spider and a magician and every other doer of incredible things in the world put into one. That ball is not supposed to be hit into the net. It's an awkward cross that is not supposed to be hit into the net. It comes in behind him and it is not supposed to be hit in the net."
Here's the video:


Rais Kikwete akutana na Al-Haj Aliko Dangote

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na mfanyabishara maarufu Alhaj Aliko Dangote alipokutana naye jijini Abuja, Nigeria, Mei 8, 2014 pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Uchumi kwa Afrika. Alhaj Dangote ni mwekezaji mashuhuri duniani na hivi sasa anajenga kiwanda kikubwa cha saruji mkoani Mtwara. (picha zote: IKULU)

Mpoki alikera katika Kili Awards 2014


MARA nyingi binadamu huwa na kasumba ya kujisahau. Kwa mfano wakati ambao anatakiwa kufanya mambo kwa umakini, huweza kuingiza mzaha katika mazingira ambayo abadani hakustahili kufanya, hivyo mhusika kugeuka kuwa kituko.

Kwa upande mwingine, hata kama utani unatolewa katika mazingira muafaka, lakini ukapitiliza, bado utakuwa ni kero sio tu kwa mhusika, bali hata kwa wengine waliopo katika eneo husika, hivyo mtoaji wa utani pia kuonekana wa hovyo. Ndiyo maana mara zote mizaha na utani inapozidi, matokeo yake uharibu kazi kwa sababu umakini unaondoka.

Nimeanza na maneno haya kwa lengo la kueleza hisia zangu juu ya nilichokiona kwa washereheshaji wa

Tanzania, Burundi join bid to abolish call roaming rates

By CHARLES WOKABI/Nation, Kenya -- Tanzania and Burundi are set to join an initiative by the other the East African countries to abolish roaming rates for calls made within the region.

The move was initiated by Kenya, Rwanda, Uganda and South Sudan at the fifth infrastructure summit held in Nairobi last week, and will see citizens make cross-border calls at the same price they pay locally.

In an interview, Information Communication and Technology Cabinet Secretary Fred Matiang’i said that

Tanzania ranked 10th in number of day-one baby deaths in Africa

By Save the Children

With 18,000 babies dying on their first day of life, Tanzania is ranked number 10 in Africa for having one of the continent’s largest count of newborn deaths, this in the wake of reports that the country is short of 50 000 midwives.

In a year, 48,100 newborn deaths occur in the country ranking Tanzania third in East Africa and 135th globally in caring for mothers’ well-being. An estimated 800 mothers and 18000 young children die from, ‘largely preventable causes each day.’

The tragic figures were revealed in the report: ‘State of the World Mothers 2014’ on

Goal launches Tanzania edition

http://www.goal.com/en-tz


Goal is proud to announce a new addition to its worldwide network, with the launch of a Tanzanian edition.

Goal Tanzania went live at 1600 CET on Tuesday April 15 and will provide a local and global perspective on football through its coverage of the game in the East African nation.

Chief Editor of Goal Tanzania, Nicholous John, said: "Football is not only a sport, but

Mnada: Isuzu Pick-Up Double Cabin (19) na Truck/Trailers (9)

BGP INTERNATIONAL TANZANIA LIMITED

&

WATAALAM MBALIMBALI


MNADA WA HADHARA:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na BGP International Tanzania Limited na wataalam mbalimbali watauza kwa mnada wa hadhara Isuzu Pick Up Double Cabin (19) pamoja na Volvo & Leyland DAF Truck/Trailers (9), tarehe 10 Mei, 2014 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika katika viwanja vya ManCity Car wash, Kijitonyama Barabara ya Mabatini.

ISUZU PICK UP – D/CABIN NA VOLVO & DAF TRUCKS/TRAILERS ZITAKAZOUZWA:-

Rais Kikwete akutan ana Rais Jonathan jijini Abuja

Rais Jakaya Kikwete na Rais Goodluck Jonathan jijini Abuja, NIgeria leo.

Rais Kikwete amteua Bade kuchukua nafasi ya Kitilya TRA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished BADE kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni  Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014.  Bwana BADE anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Harry KITILYA ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba, 2013.

Kabla ya uteuzi huo, Bwana BADE alikuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka

Pres. Kikwete speaks at the WEF on Africa 2014

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete makes his contribution during the closing Plenary session of the Grow Africa Investment Forum at the World Economic Forum on Africa in Abuja. Others from left are the Prime Minister of Ivory Coast, President Goodluck Jonathan of Nigeria, Ms Amina Mohamed from the UN in charge of the Post-2015 goals initiative, President of Rwanda Hon. Paul Kagame, the Deputy Chairperson of the African Unity Hon. Erastus Mwacha, and the USAID Administrator, Dr Rajiv Shah.
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete makes his contribution during the closing plenary session of the Grow Africa Investment Forum at the World Economic Forum on Africa in Abuja. Others from left are the Prime Minister of Ivory Coast, President Goodluck Jonathan of Nigeria, Ms Amina Mohamed from the UN in charge of the Post-2015 goals initiative, President of Rwanda Hon. Paul Kagame, the Deputy Chairperson of the African Unity Hon. Erastus Mwacha, and the USAID Administrator, Dr Rajiv Shah.

Watch the video below...

Uporaji wa sekta za mbao na uvuvi unaizuia Afrika kuendelea - Kofi Annan

Ripoti ya Jopo la Maendeleo ya Afrika ya mwaka huu inawahimiza viongozi wa Afrika kupambana na ukosefu wa usawa na kuitaka jamii ya ulimwengu kukabiliana na uporaji wa rasilimali za bara hili.

Kofi Annan, Chair of the Africa Progress Panel
Kofi Annan, Mwenyekiti wa Africa Progress Panel
ABUJA, Nigeria, May 8, 2014-- Rasilimali za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa leo na Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, lakini mara nyingi sana rasilimali hizi huporwa na maafisa wafisadi pamoja na wawekezaji wa kigeni. Aidha, Ripoti hii inaonyesha kwamba kuongezeka kwa ukosefu wa usawa vilevile kunaizuia Afrika isiikamate nafasi hii ya maendeleo.

Pakua ripoti kwa kubofya linki ifuatayo: www.apo-mail.org/APP_Summary_SW.pdf
  
Ripoti hii ya 2014 ya Jopo la Maendeleo ya Afrika (africaprogresspanel.org), Nafaka, Samaki, Pesa: Kugharamia mageuzi ya Kijani kibichi na Samawati, inawahimiza viongozi wa kisiasa wa Afrika kuchukua hatua hususa sasa ili

EU Naval for flagship F215 Brandernburg visits Tanzania

Assistant Commander Tanzanian Naval Brigedier General Rogastian Laswai , give the word of thanks to European union Naval for flag Ship F215 Brandenburg for having Good relationship Between them and Tanzania and the Naval training that are organized by European Union Naval.
Assistant Commander Tanzanian Naval Brigedier General Rogastian Laswai , give the word of thanks to European union Naval for flag Ship F215 Brandenburg for having Good relationship Between them and Tanzania and the Naval training that are organized by European Union Naval.

JanB: Now you can download my music for free

Now you and all who love good music can be able to access all my music for free download via MKITO.

Here is the link for Download https://mkito.com/artist-profile/janb/136

JanB

While in Abuja, Chinese premier pledge closer cooperation with Tanzania

Tanzanian President Jakaya Kikwete who is attending the 2014 World Economic Forum on Africa, meets visiting Chinese Premier Li Keqiang (R) in Abuja, Nigeria,  May 7, 2014. (-State House/Tanzania photo)

ABUJA, May 7 (Xinhua) -- Chinese Premier Li Keqiang vowed here Wednesday to promote cooperation with Tanzania and Benin in various areas.

Li made the pledge during separate meetings with Tanzanian President Jakaya Kikwete and Beninese President Thomas Boni Yayi, who are here for the upcoming 2014 World Economic Forum on Africa: "The China-Tanzania acts as a vanguard in China-Africa relationship," Li said when meeting Kikwete, commending the two nations' mutual respect, trust and support in the past 50 years since they forged diplomatic ties.

China, Tanzania and other African nations are all developing countries that can complement each other via