UN agencies failing severely malnourished children in Tanzania

In Haydom, Tanzania (photo: HealthTanzania blog)

For the past year I've been running a children's ward in rural Tanzania. Every day I treat severe acute malnutrition (SAM), a condition responsible for over half a million deaths in under-fives each year. These children are either emaciated, weighing less than 70% of what they should, or have oedematous malnutrition, where their legs, and in severe cases, whole bodies, become swollen.

Without calorie-dense micronutrient-enriched therapeutic foods up to two thirds will die. Managed properly, even in a basic setting like ours, we can reduce this by over half. Actually getting hold of the therapeutic baby food is the biggest challenge of my job, and one faced by frontline healthcare providers across Tanzania.

This week I am called to see Faraja, a four-year-old girl with SAM. She is weak from a combination of

Human microbiome studies should include a wider diversity of populations - Research

Microbial samples taken from populations living in the U.S. and Tanzania reveal that the microbiome of the human hand is more varied than previously thought, according to new research published in the journal Microbiology. These findings suggest that the 'standard' hand microbiome varies depending on location and lifestyle.

Results compared the microbes on the hands of women in the U.S. and Tanzania and found that organisms that have commonly been identified in prior human skin microbiome studies were highly abundant on U.S. hands, while the most abundant bacterial species on Tanzanian hands were associated with the environment, particularly soil.

The team of researchers from Yale University, Stanford University and Johns Hopkins University Bloomberg School of Public Health, took hand wash samples from 15 adult American women and

'Chenji ya Rada' yanunua vitabu visivyo na ubora

Na Mwandishi maalumu - HakiElimu. 

UCHUNGUZI kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina kasoro za ubora licha ya kupata Hati ya Ithibati (Certificate of Approval) kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Uchunguzi huo uliofanyika katika shule za msingi katika Wilaya ya Kilwa Masoko iliyoko mkoani Lindi umebaini pamoja na kasoro za ubora pia mgawanyo wa vitabu hivyo haukuzingatia mahitaji halisi kwa shule husika. Hii imesababisha upotevu wa pesa za Watanzania zilizorudishwa nchini baada ya kuokolewa katika ufisadi wa manunuzi ya rada.

  • MAPUNGUFU KATIKA VITABU VYA SOMO LA SAYANSI
Mwalimu mmoja wa somo la Hisabati (jina linahifadhiwa) anayefundisha darasa la saba ameelezea kupokea vitabu vya kiada vinavyokinzana katika mada akitolea mfano wa mada ya “Ubongo wa Nyuma,” ambapo

Ratiba ya ziara ya UKAWA Tanzania Bara Mei 14 – 27, 2014

"UKAWA INAANZA TANZANIA BARA"

RATIBA YA ZIARA YA AWAMU YA KWANZA YA UKAWA, TAREHE 14 – 27 MEI 2014.


TIMU "A"- KANDA YA KATI

1. Mhe. Mosena Nyambabe (NCCR) – Katibu Mkuu,

2. Mhe. Ashura Mustapha (CUF) – Mjumbe wa Baraza Kuu,

3. John Heche (CHADEMA) – Mwenyekiti wa Vijana Taifa,

Lawrence Mafuru joins CRDB as Independent Director

Lawrence Mafuru

Mr. Lawrence Nyasebwa Mafuru has been appointed to join CRDB Bank as an Independent Director. He will therefore be sitting in CRDB Bank Board Meetings as a Board Member.

Mr. Mafuru served as National Bank of Commerce (NBC) Managing Director from June 2010 until December 2012. He also served as Tanzania Bankers Association Chairman from January 2010 until December 2012.

Mr. Mafuru now works in the President's Delivery Bureau (PDB) under the Big Results Now (BRN) initiative as the Director of Resource Mobilisation and Economic Sectors Division.

Info source: ardenkitomaritz.blog


 Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB,  Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha. Mafuru alishinda nafasi aliyokuwa akiwania ya Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
 
 Kura kabla ya kuhesabiwa.
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi hiyo,  Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia),  akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB,  Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.
 Prosesa Mohamed Warsame akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Mafuru.

Rais Kikwete aongoza mamia kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi, Bi. Flossy Gomile-Chidyaonga


Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga Mei 12, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha nne za mwanzo ni kutoka IKULU).

Majina na utaratibu wa kujiunga na JKT 2014 kwa wahitimu Kidato cha VI

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA KWA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.


  • AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni 2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana kwenye website ya JKT tarehe 11 Mei 2014 kuanzia saa nne (4) asubuhi. 
  • AWAMU YA PILI; Vijana 14,450 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 11 Septemba 2014 na kuanza rasmi mafunzo tarehe 18 Septemba 2014 na kumaliza tarehe 17 Desemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana kwenye website ya JKT tarehe 15 Mei 2014 kuanzia saa kumi (10) jioni.

Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Homa ya Dengue

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA DENGUE “DENGUE FEVER”Utangulizi

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwabaada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara yetu ya Taifa Dar es salaam na kuthibitisha kuwa na virusi vya homa ya dengue mnamo mwishoni mwa mwezi wa Januari 2014. Hadi sasa idadi ya wagonjwa ambao wamethibishwa kuwa na ugonjwa huuni 400 na Vifo 3. Kwa wiki iliyoshia tarehe 9 Mei 2014 ya idadi ya wagonjwa waliogundulika mkoani Dar es salaam ni 60 (42-Kinondoni, 14-Temeke na 4-Ilala) na idadi ya wagonjwa waliopo wodini mpaka sasa ni 13.

Aidha, mlipuko wa ugonjwa huu si mpya hapa nchini kwani uligundulika kwa

Mwalimu Nyerere AU 2014 Special Scholarship

2014 Special call for scholarship applicationThe Mwalimu Nyerere African Union Scholarship Scheme was launched in 2007 with the aim of contributing to the production and retention of high caliber African human capital for sustainable development of the continent in critical development areas, while promoting regional integration through intra-African mobility of students.

The Scholarship Scheme is intended to enable young Africans to study in

Scholarship by The Oman Academic Fellowship for Students from Zanzibar

Announcement for Postgraduate Scholarship offered by the Oman Academic Fellowship (OAF) Program for the Academic year 2014/2015


The Ministry of Education and Vocational Training, Zanzibar, in collaboration with the Ministry of Higher Education of Oman and Oman Academic Fellowship (OAF) Joint Committee is pleased to invite potential applicants of qualified Zanzibaris to apply for postgraduate scholarships under the Oman Academic Fellowship (OAF) Program for the academic year 2014/2015.

ELIGIBILITY REQUIREMENTS:-

Mineral policies in SSAfrica: Deficiencies & Opportunities to enhance economies in the Region

Mineral policies in Sub-Saharan Africa: Deficiencies and opportunities to enhance contribution to economies in the Region.


Author: Dr A. Massawe-Mining Engineer-Dar es Salaam
While contributing a lot of revenues and raw materials in the development of Western economies, mining industries in the mineral rich Sub-Saharan African countries contribute very little in the development of economies within the region.

Responsible are the faulty Mineral Policies countries in the region are equipped with.

In the development of Mineral Policies, Governments in the mineral rich Sub-Saharan African countries failed to recognize the following:-

SMH! Hampering own development: $60bn aid money drained from Ghana, Kenya, Mozambique, Tanzania, Uganda

Fraudulent Trade Transactions Channeled at Least US$60.8 Billion Illegally in or out of 5 African Countries from 2002-2011

Tax Loss from Trade Misinvoicing Potentially at 12.7% of Uganda’s Total Government Revenue, followed by Ghana (11.0%), Mozambique (10.4%), Kenya (8.3%), & Tanzania (7.4%)


Clark Gascoigne, +1 202 293 0740 x222


COPENHAGEN, Denmark / WASHINGTON, DC – The fraudulent misinvoicing of trade is hampering economic growth and potentially resulting in billions of U.S. dollars in lost tax revenue in Ghana, Kenya, Mozambique, Tanzania, and Uganda, according to a new report [ HTML | PDF ] to be published Monday by Global Financial Integrity (GFI), a Washington DC-based research and advocacy organization.  The study—funded by

Taarifa iliyosomwa na Tundu Lissu: Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha, Ofisi ya Makamu wa Rais

MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO), MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) KWA MWAKA 2014/2015

(Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, 2013)

UTANGULIZI

Mheshimiwa Spika,

Mwaka huu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefikisha umri wa nusu karne tangu ilipozaliwa tarehe 26 Aprili, 1964. Kama anavyosema Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika hotuba yake ya tarehe 7 Mei, 2014 'Kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2014/2015': "Miaka 50 kwa lugha yoyote ile siyo kipindi kifupi." Waziri Mkuu ametumia takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 zinazoonyesha kwamba asilimia 90.6 ya Watanzania wote "wamezaliwa ndani ya Muungano na nchi wanayoifahamu ni Jamhuri ya Muungano

Could schistosomiasis be a reason why African women are vulnerable to HIV?

[...] A team of Norwegian gynecologists thinks that African women are more vulnerable to HIV because of a chronic, undiagnosed parasitic disease: genital schistosomiasis.

The disease, also known as bilharzia and snail fever, is caused by parasitic worms picked up in infested river water. It is marked by fragile sores in the far reaches of the vaginal canal that may serve as entry points for HIV, the virus that causes AIDS. Eyrun F. Kjetland, who leads the Otimati team, says that it is more common than syphilis or herpes, which can also open the way for HIV.

Also, the foreign bodies in the sores — the worms and eggs — attract CD4 cells, the immune system’s sentinels, and those are the very cells that HIV attacks.

Some prominent AIDS experts doubt the schistosomiasis theory, pointing out, for example, that urban women raised far from infested water also die of AIDS. But proponents of the theory say that two decades ago, many experts were just as skeptical of the idea that circumcision protected men against HIV. It was not until 2006 that three clinical trials proved it correct. ...click here to for the full article.

Wauguzi 6 wafukuzwa kazi na kukabidhiwa kwa TAKUKURU kwa kughushi vyeti

SERIKALI mkoani Mara imewatimua kazi wauguzi ‘vihiyo’ sita waliobainika kuwa na vyeti vya kughushi.

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Balthazar Kichimba, amethibitisha tukio hilo, wakati akihojiwa na gazeti la Tanzania Daima ofisini kwake juzi:
“Kweli kuna wauguzi ambao wameghushi vyeti vya shule na Serikali ya Mkoa wa Mara kupitia Katibu Tawala ambaye ni mamlaka ya ajira, tayari imewafukuza kazi wauguzi sita wa afya waliokuwa wakifanya kazi katika hospitali ya serikali baada ya kubainika kwamba wameghushi vyeti vyao vya kidato cha nne,”
Wauguzi hao wanadaiwa kupata ajira kwa kudanganya elimu yao ya sekondari, hivyo kupata mafunzo ya

Daktari, Muuguzi waaga dunia kwa homa ya denge

Hadi kufikia juzi, watumishi wawili wa afya, Daktari, Gilbert Buberwa na Muuguzi, Hamida Likoti wameripotiwa kupoteza uhai kutokana na homa ya kidinga popo/homa ya dege (dengue fever).

Akinukuliwa na gazeti la TanzaniaDaima, katika habari yake iliyochapishwa kwenye toleo la leo Jumatatu, Msemaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Aminiel Aligaeshi alisema kuwa Dk Bubetwa aliyekuwa amelazwa hospitalini hapo tangu siku ya Ahamisi ya wiki iliyopita, aliaga dunia juzi mwendo wa sasa saba usiku:
“Ni kweli dokta huyo amefariki dunia jana (juzi) usiku majira ya saa saba baada ya kuzidiwa, lakini pia kwa hospitali hii (Muhimbili) ni wagonjwa watatu wengine walipokelewa, wawili wanafunzi na mmoja ni staff, hali zao zinaendelea vizuri”
Akinukuliwa na gazeti la Mwananchi, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Primus

Kwa kumbukumbu sahihi, Serikali yataja sababu ya kifo cha Balozi wa Malawi-Tanzania, Bi Chidyaonga Flossie

Flossie Chiyaonga aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania.
Flossie Chiyaonga aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania.

Baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tetesi na taarifa zisizothibitishwa kuhusu kifo cha aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania. Ifuatayo ni habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara akitoa taarifa kuhusu chanzo cha kifo cha marehemu Balozi Flossie Chidyaonga.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Serikali imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Balozi wa Malawi hapa nchini Hayati Mhe. Flossie Gomile Chidyaonga kilichotokea juzi Ijumaa tarehe 09 Mei, 2014. Balozi Chidyaonga alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Aga Khan ya hapa Dar es Salaam.

Balozi Flossie Chidyaonga alizaliwa tarehe 16 Juni, 1960 huko Blantyre nchini Malawi. Balozi Chidyaonga aliitumikia Serikali ya Malawi katika nyadhifa mbalimbali. Kati ya mwaka 2006 hadi 2010 alikuwa

Mandela, The Lawyer

LSE Nelson Mandela Memorial Event

Thursday 12 June 20146pm - 8pm *ticket required*
George BizosSpeakers include: George Bizos, Professor David Dyzenhaus, Lord Joel Joffe, Professor Thandika Mkandiware, Dr Jens Meierhenrich  

Chair: Professor Christine Chinkin

Venue: Old Theatre, Old Building, LSE 

Lord Joel JoffeWhat role for law in the struggle against injustice? On 12 June 1964, Nelson Mandela and seven of his co-defendants in the Rivonia Trial were sentenced to life imprisonment for acts of sabotage against the apartheid regime. On the 50th anniversary of their sentencing, LSE hosts its official commemorative event to honour the life of Nelson Mandela. Eminent contemporaries and leading scholars of the late President of South Africa reflect on the role of law in the struggle against apartheid—and on Mandela, the lawyer. Against the dramatic backdrop of

African Barrick Gold kuifunga Buzwagi

Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga, huenda ukafungwa ndani ya miaka miwili ijayo ili kuiepushia hasara kampuni inayochimba dhababu katika eneo hilo, African Barrick Gold -- linaripoti gazeti la HabariLeo.

Meneja mgodi huo, Muganda Mutereko alisema hali hiyo itatokea endapo bei ya dhahabu itaendelea kushuka zaidi ya ilivyo sasa.
“Lakini kwa sababu bei inashuka kila mara, ni lazima tukae na kuangalia mwenendo wake ili kuamua kama tuendelee au tusiendelee na uchimbaji. Ikiwa ndani ya miaka miwili hali itakuwa hivi katika bei, tutalazimika kuufunga mgodi ndani ya miaka miwili kuanzia sasa,”
Mutereko alisema na kufafanua kuwa fedha wanazozitumia kuchimba madini ni nyingi hivyo ni afadhali wakafunga maeneo mengine kuruhusu yaendelee yenye faida na mafanikio makubwa.
“Dhahabu inayotoka katika mgodi huu huwezi kuilinganisha na ya North Mara, ile ni nyingi na ni bora zaidi, hivyo bei zinapozidi kuporomoka ni afadhali unaendelezwa zaidi ule wenye faida kubwa na kufunga mingine. Hilo tutalijua baadaye, ngoja tutazame mabadiliko ya bei sokoni.”

Shindano la Tanzania Movie Talents kuonekana ITV Mei 17


Serikali yafuta "Vocha za Ruzuku ya Pembejeo"

Serikali imetangaza rasmi kuondoa utaratibu wa ruzuku kwa kutumia vocha za pembejeo.

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alisema hayo jana katika hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa mwaka 2014/2015.

Alisema pamoja na mafanikio ya mpango wa ruzuku kumekuwepo na changamoto katika ngazi mbalimbali ikiwemo ubadhirifu, upotevu wa vocha na

5hr video ya Kikao cha Bunge la Bajeti Mei 9, 2014

Video ya saa tano za kikao cha Bunge la Bajeti kilichokaa Mei 9, 2014.