Job opportunity for Assistant Project Manager at Mavuno

Click on the image to enlarge/open PDF


Click on the image to enlarge/open PDF

Angola, Tanzania to cooperate in oil and gas

President Kikwete

Luanda — Angola and Tanzania will soon start cooperating in the oil and gas, having into account the Angolan experience in the referred field.

This was said to the press on Sunday in Luanda by the Tanzanian President Jakaya Kikwete, at the end of his 24-hour official visit to the country.

At the presidential compound of Luanda's "4 de Fevereiro" International Airport, the Tanzanian statesman said that the matter on the beginning of the cooperation in the oil sector was discussed in the audience with

Hotuba ya Rais Kikwete katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi

Rais Kikwete akihutubia wananchi waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani iliyofanyika Kitaifa mkoani Arusha, Mei 12, 2014.

HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI,  TAREHE 12 MEI, 2014 - MKOANI ARUSHA


Mheshimiwa Dkt. Kebwe Stephen Kebwe(Mb) – Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii;
Mheshimiwa Stanslaus Magesa Mulongo - Mkuu wa mkoa wa Arusha;
Ndugu Paul Magesa -Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania;
Ndugu Clavery Mpandana – Muuguzi Mkuu wa Serikali;
Daktari Khadija Malima, Mwenyekiti wa Baraza la Wauuguzi Tanaznia na Chama cha Wauguzi Tanzania;
Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa;
Wageni Waalikwa;
Mabibi na Mabwana;

Nakushukuru sana Ndugu Rais na viongozi wenzako wa Chama cha Wauguzi na Wakunga (TANNA) kwa heshima kubwa mliyonipa ya kuja kujumuika nanyi katika maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Wauguzi Duniani. Nakupongeza pia Mheshimiwa Magesa Mulongo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wananchi wote wa Arusha kwakutupokea vizuri na kwa kukubali kuwa wenyeji wa sherehe hii na kushiriki kwa ukamilifu katika kufanikisha maandalizi yake. 

Nawapongeza nyote kwa maandalizi mazuri ya maadhimisho haya. Hakika yamefana sana. Nimefurahishwa

Ajuza wa miaka 105, Uchaguzi Mkuu India

Wafanyakazi wa kituo cha kupigia kura wakisaidiana na jamaa wa Bibi aliyeripotiwa kuwa na umri wa miaka 105, Ginni Jogai, kumketisha kwenye kiti cha magurudumu, punde tu alipomaliza kutumia haki yake ya kupiga kura hapo jana, mjini Varanasi, katika Uchaguzi Mkuu nchini India. (picha: Getty Images).
 
Uchaguzi Mkuu wa India umemalizika jana kwa watu wapatao milioni 814 wenye haki ya kupiga kura kutumia haki hiyo ya kumchagua kiongozi wao mkuu wa Serikali. Uchaguzi huo ulifanyika katika kipindi cha wiki sita.

Bharatiya Janata Party (BJP) ni chama cha upinzani ambapo duru zinaeleza kuwa mgombea wake Narendra Modi anaongoza katika kinyang’anyiro cha kuwania kiti cha Waziri Mkuu wan chi hiyo.

Kura za maoni zilizopigwa zinaashiria kuwa BJP itaibuka mshindi punde matokeo ya kura zote yatakaposomwa rasmi hapo siku ya Ijumaa wiki hii, na kuiwezesha kujaza viti 543 vya Bunge (Lok Sabha au House of the People).

Thamani ya fedha (rupia) ya India na hisa zake zimeripotiwa kuimarika kutokana na Imani ya wawekezaji waliyonayo kwa sera za Modi kuwa zitaimarisha serikali yenye nia ya kuifanya India kuwa nchi ya tatu imara kiuchumi barani Asia.