Call for applications: Training of Journalists in SLM
CALL FOR APPLICATIONS FOR TRAINING OF JOURNALISTS IN LAND DEGRADATION AND DESERTIFICATION IN SUB SAHARAN AFRICAProject Background  
Open Society Initiative for Southern Africa (OSISA) is an African institution committed to deepening of democracy, protecting human rights and enhancing good governance in the southern region of Africa. As one of its programmes under Economic Justice, OSISA has partnered with UNDP, Global Environment Facility (GEF), Equator Initiative and Environment and Development in Africa (ENDA) to implement a

Kamata-kamata bodaboda na bajaji yageuka biashara ya Jiji

Tangazo lililobandikwa na Jiji kusitisha zoezi la ukusanyaji wa tozo/vibali vya kuingia mjini na pikipiki.

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri.

Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na makampuni yanayotumia chombo

Job opportunity at Sikika for a Quality Assurance Volunteer

We are looking forward to hire an intern who will design and establish a quality assurance system to ensure that Sikika’s publications suit their purpose and ensure implementation of the agreed standards.

Title: Quality Assurance Volunteer

Reports To: M&E Officer

Objective: Ensuring all produced reports and publications meet both local & international quality standards.

Responsibilities:-

Job opportunity at Sikika for an M&E Assistant

Title: M&E Assistant

Reports to: M&E Officer

Objective:  To monitor and evaluate progress towards achievement of organization objectives

Responsibilities:-

Vodacom, CBA launches a revolutionary banking product: M-Pawa

*Video of President Kikwete's speech is embedded below after the following photos and text:

Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akiwa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa huduma ya M PAWA ambayo inamwezesha mteja kupata huduma za kibenki kwenye simu ya mkononi kwa njia ya M-pesa iliyozinduliwa kwa ushirikiano wa Vodacom Tanzania na Benki ya CBA. Kupitia huduma hiyo mteja wa M-pesa anaweza kuweka, kutoa na kukopa pesa.

Customers can now save and borrow money on their phones!

Dar es Salaam, May 14, 2014 — Tanzania's leading cellular network, Vodacom and the Commercial Bank of Africa (CBA) today launched a revolutionary banking service, M-Pawa, that will allow millions of Tanzanians to save and borrow money on the their mobile phones.

His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete launched the service in Dar es Salaam and had this to say, "the historic launch of M-Pawa today is to a large extent a testament to the success of the

Katiba Mpya: Maoni ya Wanaharakati kwa Serikali

Mwenyekiti wa GDSS, Amina Mcheka (mwenye mtandio) akisisitiza jambo katika mkutano na wanahabari.

WANAHARAKATIwa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao wameitaka Serikali kuhakikisha mchakato wa maridhiano kati ya wabunge wa kundi la UKAWA na Tanzania Kwanza unafanyika ili kunusuru mchakato na bunge la katiba.

Wanaharakati wa GDSS wametoa kauli hiyo leo walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam eneo la Mabibo, baada ya kutoridhishwa na mwenendo mzima wa Bunge la

O&A Transcript of Press Briefing with UN-SG and Lakhdar Brahimi

Transcript of press briefing with the Secretary-General and Lakhdar Brahimi 
Joint Special Representative for Syria 
New York, 13 May 2014

Ladies and Gentlemen,

I have an announcement to make and because of its nature I wanted to make it in person.

It is with great regret that, following consultations with the Arab League Secretary-General Nabil El Araby, I have decided to accept the request of Mr. Lakhdar Brahimi to relinquish his duties as Joint Special Representative of the Secretary-General and League of Arab States, effective 31 May 2014.

For nearly two years, Joint Special Representative Brahimi has sought an end to the brutal and still

Rais Kikwete akutana na Bi. Hellen Clark, Ikulu Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bi Hellen Clark aliyemtembelea Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Abducted Tanzanian recovered from Pakistan's Baluchistan

Five abducted foreign nationals from Tanzania, Nigeria and Kenya were recovered Tuesday during a raid in Pakistan's troubled Baluchistan province, police said: "They were recovered during a raid in Overseas colony and they were chained inside a house," district police officer Bashir Brohi said.

Brohi said the raid was conducted in Kech district after receiving an intelligence report.

Background of the recovered persons - who belonged to Tanzania, Nigeria and Kenya - was being verified.

Brohi stated that two foreign nationals were abducted in 2012, two in 2013 and one was kidnapped in 2014, most probably from Pakistan's largest city Karachi.

District Kech is considered to be one of the sensitive districts of Baluchistan as separatists and insurgents have been operating in the area for more than a decade. 

Tanzanian music star Diamond Platnumz nominated for 2014 BET Award

Diamond Platnumz

The 2014 America's “BET Awards” nominees were announced today.

The event will be staged at the Nokia Theatre in Los Angeles, California, USA on June 29, 2014. They will then premiere on BET International in Africa on July 1st, 2014 at 9pm.

The complete list of nominees for the “BET Awards” 2014 are:-

Nigerian soccer players jailed in Tanzania

Four Nigerian football players were sentenced to six-months jail by Kisutu Resident Magistrate's court after pleading guilty of illegal stay in the country. Kisutu is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania.

Andrew Okoro and Chiku Odia appeared before Magistrate Frank Moshi and after pleading guilty they were each fined 100,000 Shillings or serve a six-month jail term. The duo opted to jail terms after failing to pay the stated fine.

Two other Nigerians Chikereke Messaiah and Onyekwu Daniel also had to serve six-month jail after

Matibabu ya Homa ya Dengue yanatolewa bila malipo - Serikali

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.

Aliyasema hayo kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuulizwa swali juu ya gharama kubwa za matibabu ya ugonjwa huo:
“Tunaomba wananchi wanapohiisi dalili za ugonjwa huo kwenda katika hospitali za Serikali, ambazo ni Amana, Mwananyamala na Temeke kwa kuwa matibabu yanatolewa bila malipo.” 
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, leo Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris

Ubalozi wa Misri waipa Hospitali ya Muhimbili vifaa vya urolojia

Balozi wa Misri nchini ametoa msaada wa vifaa vya upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) vyenye thamani ya Sh milioni 400 na kuahidi kuleta madaktari wa kubadilishana uzoefu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Dk Marina Njelekela, alisema hayo katika hafla fupi ya kupokea vifaa hivyo iliyofanyika hospitalini hapo.

Alisema vifaa hivyo vitasaidia wagonjwa hasa wale wanaoandaliwa kwenda kufanyiwa upasuaji, walioko

Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar 2014/2015 yatangazwa

Waziri wa Fedha na Uchumi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Bw. Omar Yussuf Mzee akionesha mkoba uliobeba Hotuba ya Bajeti ya Mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali  kwa mwaka wa fedha 2014-2015, muda mfupi kabla ya kuanza kuisoma katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza Bajeti yake ya Sh bilioni 707.8, kwa mwaka wa fedha 2014/2015 ambayo imeweka kipaumbele zaidi katika kukusanya kodi na kutekeleza miradi ya maendeleo ya sekta ya miundo mbinu, elimu na afya.

Waziri wa Fedha, Omar Yussuf Mzee, alisema hayo wakati akitangaza Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014-2015 katika Baraza la Wawakilishi mjini hapa leo.

Mzee alitaja muelekeo wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2014/2015 ni kuimarisha mapato ya ndani na

Hotuba ya Waziri Kivuli, Mch. Msigwa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi, Wizara ya Maliasili na Utalii 2014/2015

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. MCH. PETER SIMON MSIGWA, (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

(Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, 2013)

1.0 UTANGULIZI

Mheshimiwa Spika, Frank Herbert aliwahi kusema
“Utawala bora, kamwe hautegemei Sheria bali sifa binafsi za wale wanaotawala. Vyombo vya Serikali mara zote vipo chini ya wale wanaowaongoza. Kwa hiyo sifa muhimu ya Serikali ni namna ya kuteua/kuchagua viongozi”
Serikali ya awamu ya nne, imeshindwa kuwajenga viongozi wake katika misingi bora na ndio maana pamoja na matatizo ya kimfumo, wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kubadilisha viongozi na matokeo ya ufanisi wake yamekua ni kioja na dhihaka katika utendaji.

2.0 UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO 16 YA BUNGE

Mheshimiwa Spika, kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ilileta Bungeni taarifa yake tarehe 20 Disemba 2013 liyowasilishwa na Mwenyekiti wake, Mhe. James Lembeli kuhusu

Hotuba ya Rais Kikwete ya kufungua Mkutano IV wa Wadau NSSF

HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF), TAREHE 13, MEI ,2014


Mheshimiwa, Gaudentia Kabaka, Waziri wa Kazi na Ajira;
Mheshimiwa Daktari Makongoro Mahanga, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira;
Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Naibu Waziri – TAMISEMI;
Mheshimiwa Magesa Mulongo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha;
Waheshimiwa Wabunge;
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini NSSF, Ndg, Abubakar S. Rajabu;
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ndugu Crecentius Magori;
Menejimenti ya NSSF;
Wageni waalikwa wenzangu;
Ndugu Wadau wa Hifadhi ya Jamii;
Mabibi na Mabwana;


Shukrani na Pongezi
Nakushukuru Mheshimiwa Waziri na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF kwa kunikaribisha kufungua mkutano wa nne wa wadau wa Hifadhi ya Jamii unaoanza leo hii hapa jijini Arusha. Mkutano wa mwaka huu una umuhimu wa kipekee kwani ni fursa ya kujipongeza kwa NSSF kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Wakati ule ikijulikana kama Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (NPF).
Nakupongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini na wajumbe wako, Mkurugenzi Mkuu na Menejimenti ya

Taarifa ya Usalama Barabarani ya ukamataji wa makosa

TAARIFA ZA UKAMATAJI WA MAKOSA KITENGO CHA USALAMA BARABARANI KANDA MAALUM KUANZIA 01/05/2014 HADI SASA.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani liliendeshaoparesheni kamambe kukamata makosa yanayohusisha uvunjaji wa sheria mbalimbaliza usalama barabarani ili kuhakikisha watumiaji wote wa barabara wanazingatia sheriahizo. Makosa hayo ni pamoja na haya yafuatayo:-
 • Ubovu wa Magari,
 • Obstruction,
 • Kuzidisha Abiria,
 • T.L.A,
 • Kukatisha Route,
 • Uendeshaji wa hatari,
 • Kutotii Amri,
 • Matumizi mabaya ya barabara,
Kutokuwa na Leseni, nk. Aidha katika oparesheni hiyo vyombo mbalimbali vya usafiri yakiwemo

Waakamatwa na meno 25 ya kiboko, vipusa 8 vya tembo

WATUHUMIWA 2 WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA 1 AKAMATWWANA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO AMBAVYO NI NYARA ZA SERIKALI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni yamfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwandacha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfukowa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa.

Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi walifika kiwandani hapo na kwakushirikiana na Mkurugenzi wa Kiwanda hicho aitwaye HITESH S/O PATEL walifanyaupekuzi. Katika upekuzi huo, polisi

Watuhumiwa 15 wa ujambazi sugu wakamatwa na vitu kadhaa

POLISI JIJINI DAR ES SALAAM WAFUMUA MTANDAO WA MAKOSA YAUVUNJAJI KWA KUKAMATA MAJAMBAZI SUGU 15 NA VITU MBALIMBALI.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kutumia kikosi maalum cha Kiintelijensia (specialintelligence task force) limefanikiwa kuufumua mtandao unaojihusisha na ujambazi jijiniDar es Salaam ikiwemo kuhusika na uvunjaji na kisha kupora mali mbalimbali zikiwemonyumba za ibada.

Katika oparesheni hiyo iliyoanza tarehe 29/04/2014, wamekamatwa majambazi suguwawili ambao baada ya kuhojiwa waliwataja wenzao wengine kumi na tatu (13) wanaoshirikiana nao katika matukio ya

Watatu wakamatwa na silaha 2 na sare za Jeshi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 13/05/2014 limefanikiwa kuwakamata majambazi watatu wakiwa na silaha mbili aina ya Shot gun na risasi 12, Radio Call 1 na sare za Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ). 

Mafanikio hayayametokana na msako mkali unaoendelea jijini D’Salaam. Majina ya majambazi hayo ni kama ifuatavyo:-
 1. Isi-Hakka s/o Salehe
 2. Alex s/o Andrew
 3. Odinga s/o Swalehe
Majambazi hao walikamatwa maeneo ya Chamazi katika Mkoa wa Kipolisi Temeke baada ya kupata taarifa kutoka kwa wananchi. Jambazi mmoja alikamatwa ndani yagari aina ya Hiace (daladala) na wengine wawili ndani ya nyumba baada ya jambazi wakwanza kuelekeza wenzake walipo. Polisi walifanya upekuzi katika nyumba hiyo nakufanikiwa kupata vitu hivyo. Uchunguzi bado unaendelea na watuhumiwa haowatafikishwa mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.

Mtuhumiwa huyu wa wizi katika Mabenki anatafutwa

Kamishna Kova akionesha hadharani picha ya mtuhumiwa mbele ya wanahabari.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 


WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA
PRESS RELEASE


14/05/2014

POLISI WAMGUNDUA KINARA WA MTANDAO WA WIZI KATIKA MABENKI JIJINI D’SALAAM (PICHA YAKE YATOLEWA HADHARANI) ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI


Jeshi la Polisi Kanda Maalum D’Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa mhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina laRONALD S/O MOLLEL umri miaka 37, mfanyabishara na mkazi wa Kimara BonyokwaJijini  D’salaam.

Mtuhumiwa huyu amekimbilia mafichoni mara baada ya tukio la ujambazi katika Tawi laBenki ya Barclays Kinondoni lililotokea tarehe 15/4/2014 ambapo majambaziwalifanikiwa kupora kiasi kikubwa cha

Tanzanian Gov. to improve employment policyThe government through National Bureau of Statistics (NBS) is conducting its fifth Labour Force Survey this year which would foster the development of quality employment policies across the country.

Speaking to invited dignitaries during the workshop on Labour Force Data Production and Management organized by the International Labour Organization (ILO) and the World Bank in Dar es Salaam today, NBS, Director General, Dr Albina Chuwa said that the survey would provide labour market information.

“ Labour Market Information which will be used in a variety of ways including macroeconomic monitoring