SJMC Talents Day is this Saturday, May 17th 2014NEWS RELEASE

University of Dar es salaam, School of Journalism and Mass communication

School of Journalism and Mass Communication (SJMC) together with other sponsors will be holding an event known as SJMC TALENT DAY, season two on Saturday 17th may, 2014 at Kijitonyama postal grounds, from 1800hrs P.M till late evening. With the Theme “Jikubali, Ishi Ndoto Zako

Sjmc talent day is an historical event and second to be organized by the SJMC staff member and

Taarifa ya Wizara juu ya habari iliyochapishwa na gazeti la Tanzania Daima

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

WIZARA YA NISHATI NA MADINI


Telegrams “NISHATI”
Simu: +255-22-2117156-9 
Nukushi: +255-22-2111749
Barua pepe: [email protected]

5 Barabara ya Samora Machel,
S. L. P. 2000,
11474 DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA UMMA


TAARIFA GAZETI LA TANZANIA DAIMA HAZINA UKWELI


Mnamo Mei 14, 2014 gazeti la Tanzania Daima toleo nambari 3449 lilichapisha taarifa yenye kichwa cha habari “JK AOMBWA KUMTIMUAMUHONGO”. Gazeti hilo lilidai kuwa Waziri wa Nishati na Madini ProfesaSospeter Muhongo anadhalilisha taifa kwa kugawa madini kwa wageni na kuwaacha wazawa wakisotea gharama za ushuru zilizopandishwa hadi Dola 10,000 za Kimarekani. Taarifa hiyo inapotosha umma na wala si sahihihata kidogo kwani Profesa Muhongo hajawahi kutoa vitalu vya madini kwawageni tangu alipoingia madarakani mwaka 2012.

Pia, taarifa hiyo ilidai kuwa Profesa Muhongo amebuni mbinu ya kukwamisha wazawa kwa

Afia kazini kwa kunyimwa ruhusa na mwajiri

Mwili wa mfanyakazi Mohamed Abbas ukiwa umefunikwa na vyandarua baada ya kukutwa akiwa amefariki kiwandani hapo kwa madai ya kunyimwa ruhusa.

Na Dotto Mwaibale — KIWANDA cha A Two Z kilichopo Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha kimeingia katika kashifa ya kumnyima ruhusa mfanyakazi wake, Mohamed Abbas aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria ambaye alifia kiwandani hapo kwa kukosa huduma.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 18 mwaka huu baada ya mfanyakazi huyo kunyimwa

Orodha ya Wizara ya majina ya Watumishi waliohama kwa vibali maalumu

Bofya hapa ili kufungua faili lenye orodha ya majina, vyeo, halmashauri na mkoa anakotoka na anakokwenda, kwa Watumishi wa Serikali waliohama kwa vibali maalumu.

Ili kufikia BRN, wanafunzi wafanya mtihani kiwanjani

Wanafunzi wa Darasa la Tatu na Nne wa S/Msingi Majengo wakifanya mtihani chini uwanjani mwa shule hiyo asubui ya juzi, kama walivyokutwa na bloga na mpiga picha wa Kijukuu Blog.

Juzi katika shule ya msingi Majengo wilayani Kahama mkoani Shinyanga walikutwa wanafunzi wakiwa wameketi chini katika kiwanja cha shule hiyo wakifanya mitihani wa kufunga mhula wa kwanza.

Imeelezwa kuwa, licha ya kuwa shule hiyo kuwa na madawati ya kutosha, Mwalimu Mkuu wa shule hiyo William Ngulu alisema kuwa hiyo ni mbinu ya kuwafanya wanafunzi wake wafanye mitihani kwa akili binafsi bila kuangaliziana.

Ngulu ameongeza kuwa mitihani hiyo hufanyika mida ya asubuhi tu wakati jua halijawa

Taarifa ya uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya SSRA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA KAZI NA AJIRATAARIFA KWA UMMA

Wizara ya Kazi na Ajira inapenda kuutaarifu Umma kwamba Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bw. Juma Ally Muhimbi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuanzia tarehe 28 Aprili 2014 kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umefanyika kwa mujibu wa Sheria ya

Kazi ipo! Serikali kujenga mahabusu za watoto kila mkoa. Lucky Dube aliimba “Prison”

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima amesema Serikali ina mpango wa kujenga mahabusu za watoto katika kila mkoa nchini.

Alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Omar Juma (CUF).
Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua lini Serikali itajenga mahabusu za watoto ili kuwapunguzia udhalilishaji na manyanyaso wanapochanganywa na watu wazima.

Silima alisema kwa kuanza mahabusu hizo zitajengwa mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha na

Mwanachuo auawa na wenzie kwa kutuhumiwa wizi

Mandhari ya chuo cha SAUT - Mwanza.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) cha jijini Mwanza, Helma Michael (22) ameuawa kwa kupigwa mawe na wanafunzi wenzake, wakimhisi kuwa ni mwizi wa kompyuta ndogo za mkononi na deki chuoni hapo. 

Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Valentino Mlowola, alisema juzi kuwa mwanafunzi huyo aliuawa Mei 13 mwaka huu saa 4.00 usiku, katika eneo la Nyamalango Malimbe, ambapo baada ya kubainika katika eneo hilo alianza kupigwa kwa mawe, fimbo na mapanga hadi kusababisha kifo chake: “Huyu ameuawa katika tuhuma ambazo mpaka sasa hazijathibitishwa,” alisema. 
 
Watu 17 wamekamatwa na Polisi imeanza uchunguzi. -- HabariLeo

Mshana apandishwa kizimbani kwa kuiibia TANESCO

Mfanyabiashara Ibrahim Mshana, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababishia Shirika la Umeme (TANESCO) hasara ya Sh milioni 1.4.

Mshana alifikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka mawili na Mwendesha Mashitaka Inspekta Jackson Chidunda, mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi.

Chidunda alidai kuwa Oktoba 15 mwaka huu Ukonga, Mshana aliingilia huduma zinazotolewa na TANESCO kwa kuingiza waya kwenye mita namba 24210835377 katika nyumba ya Azzas Said, mali hiyo ni ya TANESCO ambayo hutumika kwa ajili ya kutoa huduma. Aliendelea kudai kuwa, siku hiyo hiyo, Mshana alisababisha hasara ya fedha kwa TANESCO baada ya kuingiza waya kwenye mita hiyo.

Mshitakiwa alikana mashitaka na kurudishwa rumande baada ya kukosa wadhamini. Upande wa mashitaka ulidai upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na kesi itatajwa tena Mei 29 mwaka huu. --- HabariLeo

ICGLR job opportunity for an Executive Director


Director: Kampala Regional Training Facility Centre against Sexual Gender Based Violence (SGBV). Deadline: 23rd May 2014 at 17h00.


APPOINTMENT - DIRECTOR

Pursuant to Article 26 of the Pact on Security, Stability and Development in the Great Lakes Region signed in Nairobi 2006 amended 2012 establishing the Executive Secretariat for the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR), and following the Summit decision to establish the Regional Training Centre on SGBV. ICGLR intends to recruit for a position of a Director to manage the activities of Kampala Regional Training Facility Centre against Sex Gender Based Violence (SGBV).

1. DUTIES

As Executive Director, you shall be in charge of the overall management of the Centre and as such, you shall be entrusted with the following major duties:-

Wizara ya Afya, Kitengo cha Epidemiolojia: Taarifa ya ufuatiliaji wa ugonjwa wa Homa ya Dengue

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

TAARIFA YA UFUATILIAJI WA UGONJWA WA HOMA YA DENGUE


  1. UTANGULIZI
Mnamo tarehe 27 Januari 2014, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilipata taarifa za kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya dengue katika Kliniki ya ‘International School of Tanganyika’ iliyopo Manispaa ya Kinondoni katika jiji la Dar es Salaam. Taarifa hiyo ya awali ilionyesha kuwepo kwa jumla ya wagonjwa 6 katika kituo hicho bila vifo.

Aidha, mlipuko wa ugonjwa huu si mpya hapa nchini kwani uligundulika kwa mara ya kwanza mnamo Juni 2010 mkoani Dar es salaam ambapo idadi ya watu 40 walithibitika kuwa na

ICGLR job opportunity for an Administrative Assistant


ICGLR 005/14 VACANCY ANNOUNCEMENT 

The Conference Secretariat on the Great Lakes Region is seeking to recruit an Administrative Assistant under the supervision of the Program Officer/s.

Interested Individuals must provide a motivation letter addressed to the Executive Secretary, clearly marked “Administrative Assistant”, photocopy of the diplomas, a CV and a list of three people with their complete addresses.

Candidates must have a higher diploma in administration or an equivalent diploma in

Tanzania waandamana kupinga kutekwa kwa Wasichana Nigeria

Baadhi ya wanafunzi wa kike na wanaharakati wakiandamana kupinga vitendo vya kikatili vinavyofanywa na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

MTANDAO Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs) nchini Tanzania pamoja na baadhi ya wanafunzi wa kike shule kadhaa za Sekondari jijini Dar es Salaam umefanya maandamano kupinga kitendo cha kikatili kilichofanywa na kikundi cha Boko Haram cha nchini Nigeri cha kuwateka wanafunzi wa kike na kuwashikilia.

Maandamano hayo ya ndani yaliyoshirikisha wanaharakati mbalimbali yamefanyika ndani ya

MS-TCDC Staff, Participants joins call to release Nigerian girls

MS-TCDC staff and Participants Join the rest of the world in calling for the release of 200 Nigerian girls
MS-TCDC staff and Participants Join the rest of the world in calling for the release of 200 Nigerian girls (Click the photo to enlarge)

Tanzia: Brian Salvarory Rweyemamu

Brian Salvarory Rweyemamu
Brian Salvarory Rweyemamu

Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo tarehe 15 Mei, 2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo alipolkuwa akitibiwa.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana (Mango Garden).

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi, Afrika Kusini, Uingereza na Canada.

Another CMF 449 kg heroin seizure off the East African coast

HMAS Darwin’s embarked S-70B Seahawk helicopter observes a suspicious Sambuq Dhow as members of the boarding party make their approach in the rigid hull inflatable boats. (a CMF photo)

A Combined Maritime Forces (CMF) ship, the Royal Australian Navy frigate, HMAS Darwin, has achieved mission success with another heroin seizure.

The 449 kilogram haul was discovered on board a vessel in international waters, approximately 40 nautical miles off the East African coast.

The illegal narcotics interception was part of a determined multinational campaign by maritime forces to disrupt drug smuggling in the Indian Ocean, profits from which are known to provide funding for terrorist organisations including Al Qaeda and the Taliban.

HMAS Darwin’s Commanding Officer, Commander Terry Morrison said the seizure removed a major source of funding for terrorist and criminal networks. Click here to read more.

HMAS Darwin’s boarding party team, embarked on the rigid hull inflatable boats, prepare to conduct a boarding of a suspicious vessel suspected of carrying illegal narcotics.

Miss Dar City Centre 2014 Talent Show kesho @ Maisha Club

Warembo wanaowania taji la Miss Dar City Center 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa Habari hii leo.

WANYANGE 20 wanaowania taji la Miss Dar City Center kesho Mei 16 mwaka huu watawasha moto vikali katika ukumbi wa Maisha Clab wakati wa shindano lao la Vipaji.

Shindano hilo litaongozwa na wasanii, Rich Mavoko, Bonge la Nyau na TID ‘Mnyama’ wanatarajia kuwaongoza warembo hao kuwania taji la Vipaji 'Miss Talent Dar City Center 2014."

Akizungumza na waandishi wa Habari Dar es Salaam leo, mratibu wa Shindano hilo,

Rais Kikwete awaapisha Balozi mpya wa Tanzania-Urusi na Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango

Rais Jakaya M. Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, wakiwa na walioapishwa Luteni Generali Wyjones Kisamba na Mhe. Paul Thomas Sangawe Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Mei 15, 2014

Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha 2014/2015 ya Wizara ya Katiba na Sheria

HOTUBA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MHESHIMIWA ASHA-ROSE MTENGETI MIGIRO (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2014/2015


A.   UTANGULIZI

1.    Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2014/2015.

2.    Mheshimiwa Spika, ninasimama mbele ya Bunge lako tukufu kwa mara ya kwanza toka niteuliwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Kwa hiyo kabla ya kuwasilisha Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya

Serikali ya Tanzania yapokea bilioni 151/= kutoka Sweden

Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam. (picha: HABARI - MAELEZO Dar es Salaam)

Serikali ya Tanzania imetiliana saini mkataba wa shilingi bilioni 151 na ubalozi wa Sweden nchini ikiwa ni mkakati wa kusaidia sekta ya Elimu kwa ajili ya programu ya kukuza stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.

Mkataba huo umesainiwa leo jijini Dar es Salaam na Wazairi wa Fedha Saada Mkuya pamoja na Balozi wa

Rais Kikwete azindua mpango wa kuongeza kasi kupunguza vifo vya uzazi na watoto

Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa kuzindua Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Job opportunity at SADC Headquaters for Programme Officers

SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY

VACANCY ANNOUNCEMENT

Background


The Southern African Development Community (SADC) currently has fifteen Member States with a population of approximately 250 million people and a combined GDP of USD 467.3 billion (2006). The overall objective of SADC is to achieve development and economic growth, which is to be attained through increased regional integration, built on democratic principles and equitable and sustainable development.

The Southern African Development Community (SADC) is made up of Angola, Botswana, Democratic Republic of the Congo, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, South Africa, Swaziland, Tanzania, Zambia, Zimbabwe

It is following this background that SADC Secretariat wishes to invite suitably

M-Pawa Press ReleaseNafasi za mafunzo ya kaziTaasisi Ya RafikiElimu FOUNDATION inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI ZISIZO KUWA ZA KISERIKALI. (NGO MANAGEMENT & OPERATION ) kwa waombaji wenye sifa zifuatazo:-

i. Awe wa jinsia ya kike.

ii. Elimu Ya Kuanzia Kidato Cha Nne , Sita na kuendelea.

iii. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.

iv. Awe anaishi katika wilaya yoyote iliyopo Tanzania Bara.

v. Awe na malengo na wito wa kufanya kazi katika taasisi zisizo kuwa za kiserikali hususani katika maeneo ya miradi iliyolenga kuwawezesha wanawake wa Tanzania.

LENGO LA MAFUNZO HAYA:-

Proin Promotions yatangaza kudhamini ligi ya soka ya WanawakeKatibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.

Vacancies at Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC)

Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is looking for experienced, dynamic, energetic, visionary and qualified candidates to fill the most senior positions within the Corporation’s. 

These positions will provide supporting roles to the Managing Director. Specific day to day duties and responsibilities of the senior positions listed in the following document (click here to open/download PDF)

[audio song] Witnesz Feat. Ochu Sheggy – Think about it


Single mpya ya Msanii Witnesz akiemshirikisha Ochu Sheggy "THINK ABOUT IT"

Shared to us by MoBlog.

The INGRETREX Tanzania 2014 Exhibition on May 15 -17

The INGRETREX TANZANIA 2014 EXHIBITION FROM 15TH -17TH May, 2014, AT DIAMOND JUBILEE HALL, DAR ES SALAAM.


EVENT No. 1- PRESS CONFERENCE
  Date: 13th May 2014
                       Time:  11:00am- 12:00 noon
                       Venue: Diamond Jubilee VIP Room  
                         News is: The Organizers accompanied by the Turkey Ambassador will Speak to the media about this event.

Event No. 2- Final Preparations
                     Date: 14th May 2014
                     Time:  12:00noon- 13:00pm.
                     Venue: Diamond Jubilee Exhibition Hall 
                       News is: Build up to the main event.

Event No. 3- OFFICIAL OPENING