Special fares offer by Emirates to Tanzanians travelling to USA

(image: www.emiratescontactnumber.com)

Emirates, a global connector of people and places, is offering introductory Economy and Business Class air fares to its Tanzanian customers travelling to through Dubai to Chicago.

Emirates announced in February this year that it is launching a daily service to Chicago’s O’Hare International Airport, Terminal 5 from 5th August 2014. The service will be operated by an Emirates Boeing 777-200 LR and open up a new opportunity for Tanzanian travellers to connect seamlessly through to Dubai to the third largest city (by population) in the United States.

The special fares start at USD1,309 for a return Economy ticket Dar es Salaam to Chicago and

Mrema ashauri Polisi wapewe 10% ya mali wanayokamata

Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Augustine Mrema (MB, Vunjo, TLP) amependekeza askari polisi wapewe asilimia 10 ya thamani ya mali wanayokamata ili iwe kichocheo cha kufanya kazi kwa bidii na kuacha kuomba na kupokea rushwa.

Pia, alishauri askari kuongezewa posho kutoka shilingi 5,000 ya sasa mpaka 7,500/= kwa sababu fedha hiyo ya awali, haiwezi kuwafanya askari kujikimu katika mahitaji ya kila siku.

Huku akisifu utendaji wa jeshi la polisi, Mrema ameshauri askari wawe wanapewa motisha kwa lengo la kuwapa morali ya kufanya kazi zaidi ya ilivyo sasa. Alisema kwa kufanya hiyo kutasaidia kupungua kwa vitendo vya uhalifu nchini kwani hali hiyo itawaongezea askari moyo wa kufanya kazi.

Fly540 to cease operations in Ghana and Angola?

(image: www.africa-ata.org)

Citi Business News can confirm that domestic Airline Operator Fly 540 is pulling out of the Ghanaian market.

The airline has been operating in Ghana’s domestic market for the past four years until an international low cost airline, FastJet acquired their parent company.

The reasons for Fly540’s pull out according to sources close to the airline do not have anything

UKAWA ni sawa na Boko Haram - Nape Nnauye

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisiitiza jambo akihutubia Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Square mjini Urambo. (picha: CCM Chama blog).

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni kundi hatari linaloeneza chuki na kusambaza uongo kwa wananchi.

Amelifananisha kundi hilo na Boko Haramu na kwamba tofauti yake ni kwamba UKAWA linatumia silaha ya kusambaza chuki, fitina kwa lengo la kuwagawa Watanzania wazalendo:
“Hawa jamaa hawana tofauti na Boko Haramu, wanapita kila sehemu kueneza sumu na chuki kwa wananchi, ninawaombeni wakija muwapuuze” 
alitoa kauli hiyo Nape wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani Tabora.

Alisema silaha zinazotumiwa na UKAWA ni uongo na ni sumu kali zaidi katika jamii kuliko za Boko Haramu ambao wanatumia silaha za moto. Nape alisema sumu hiyo walianza kuieneza wakati wakiwa Bungeni, ambapo walifikia hatua ya kumtukana muasisi wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

--- Na MOHAMMED ISSA, gazeti la Uhuru, Sikonge, Tabora

Tanzania to send Swahili lecturers to Western African countries

(image: mugishagwe blog)

DODOMA, Tanzania (Xinhua) -- Tanzania on Tuesday expressed its intention to send Swahili lecturers to Western African countries including Gabon in a bid to make the language acquire continental status.

Briefing the National Assembly in Tanzania’s capital city of Dodoma, Deputy Minister for Education and Vocational Training Jenista Mhagama said the government was in final stages to accomplish the mission.

She said the language has been growing and the number of people who want to learn the

Anaesthetist 1 Wagonjwa 2,500,000 huku Nurse Anaesthetists hawatambuliwiTanzania ina Madaktari Mabingwa chini ya 20 -- kati yao 17 wapo Dar es Salaam wakitoa huduma katika hospitali za Muhimbili, Lugalo na Aga Khan, wawili wapo Bugando, Mwanza na mmoja KCMC, Kilimanjaro -- kwa ajili ya kutoa dawa za usingizi na kupunguza maumivu (Anaesthetists) kwa hasa kwa wale wanaofanyiwa upasuaji na wagonjwa wote nchini.

Pamoja nao, wapo wauguzi mabingwa (Nurse Anaesthetists) na wataalamu wanaohusika na fani hiyo na takwimu za jumla za mgawanyo wa idadi yao kwa idadi ya wananchi zinaonesha kuwa kila

Bill Gates funds $1.4m grant for firm's vaccine cooler

  • The Sure Chill vaccine cooler will be trialled in Ethiopia, Senegal and Tanzania at the end of this year.
  • Tanzania in particular has lots of remote locations within their infrastructure model for vaccine delivery, they are crying out for this kind of device.
Keith Bartlett CEO (left) and Chief Technical Officer Ian Tansley look at a domestic refrigerator with Sure Chill Technology 

Refrigeration technology firm The Sure Chill Company has received $1.4m in funding from the Bill & Melinda Gates Foundation as part of its fight to eliminate preventable diseases worldwide

Billionaire Microsoft boss Bill Gates has backed a Gwynedd firm to use its ground-breaking technology to develop a life-saving vaccine cooler.

Innovative Tywyn refrigeration technology firm The Sure Chill Company, backed by Welsh entrepreneur Peter Saunders, has received $1.4m in funding from the Bill & Melinda Gates Foundation as

Mama Maria azungumzia maisha ya Mwalimu Nyerere


Mama Maria Nyerere amezungumza na vyombo vya habari nyumbani kwake Msasani, na kuwataka vijana waliokwenda kumtembelea kuzunguka nchi mzima kuwaambia ukweli Watanzania juu ya maisha halisi ya Mwalimu na mchango wake katika ujenzi wa Taifa huru la Tanzania.
-- M. Nyundo


UJUMBE WA VIJANA KULAANI VITENDO VIOVU VYA KUMVUNJIA HESHIMA BABA WA TAIFA.


Kumekuwepo na kampeni yenye nia ovu iliyoasisiwa hivi karibuni ya kuharibu taswira na heshima ya Baba wa Taifa Mwalimu Kambarage Nyerere katika jamii ya kitanzania na kimataifa. Kampeni hiyo inayoendeshwa na vibaraka wa nchi za magharibi na Ulaya, wazandiki na maadui wa

New audio song release: Naogopa - Gosby ft Ommy Dimpoz

NAOGOPA is Afrobeat song produced by Nahreel, Erasto Machine and Marco Chali.
It was recorded at Hometown Records and MJ Records.

Balozi Mulamula amkaribisha mlo wa jioni Rais Mst. Mkapa na Mama Anna

Picha ya pamoja ya Balozi Liberata Mulamula na Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwa pamoja na marafiki zao wa siku nyingi Bi.Toyin Rose (kushoto) na mumewe.
Picha ya pamoja ya Balozi Liberata Mulamula na Mhe. Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakiwa pamoja na marafiki zao wa siku nyingi Bi.Toyin Rose (kushoto) na mumewe. 

Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo.

Onesho la kitalii la S!TE latambulishwa rasmi INDABA

Baadhi ya washiriki wa taasisi za Serikali katika Banda la Tanzania wakati wa maonesho ya INDABA Afrka Kusini.

Na Geofrey Tengeneza — Onesho la Kimataifa la Utalii la Tanzania lijulikanalo kama Swahili International Tourism Expo (S!TE) linaroratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB na litakalokuwa likifanyika kila mwaka mwezi Oktoba katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam limetambulishwa rasmi kwa wadau mbalimbali waliohudhuria maonesho ya Kimatatifa ya Utalii ya INDABA huko

Ufunguzi wa maonesho ya Biashara ya bidhaa za Uturuki na Tanzania

 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, wamiliki wa mtandao wa JamiiForums (kulia) akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Jamii Media wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.

Tumedhamiria kuipaisha Tanzania - Naibu Katibu Mtendaji mpya Ofisi ya Rais


Watumishi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt. Jakaya Kikwete (Watatu kushoto) mara baada ya kumuapisha Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusianao ya Kiuchumi) mpya wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bw. Paul Sangawe (Wapili kulia).
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt. Jakaya Kikwete (Watatu kushoto) mara baada ya kumuapisha Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusianao ya Kiuchumi) mpya wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bw. Paul Sangawe (Wapili kulia).

Serikali imeweka wazi mkakati wa kuainisha fursa za kipaumbele zitakazoiwezesha kuivusha nchi Kikanda na Kimataifa kwa kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kama inavyobainishwa na Mpango wa Kwanza wa Maendeleo wa Miaka Miaka Mitano (FYDP I) unaosimamiwa na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.

Mkakati huo umewekwa wazi na Naibu Katibu Mtendaji mpya wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, anayeshughulikia Biashara za Kimataifa na Mahusianao ya Kiuchumi Bw. Paul Sangawe mara

Azam TV kutangaza “LIVE” Vodacom ikikabidhi zawadi Mei 27

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza siku ya kukabidhi zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kushoto ni Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura.

Bingwa wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/2014 timu ya Azam FC itakabidhiwa kitita chake cha zawadi Sh 75 Milioni Mei 27 mwaka huu kutoka kwa mdhamini wa ligi hiyo kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi nchini ya Vodacom.

Aidha, pamoja na Azam fc, Vodacom itakabidhi pia zawadi za fedha kwa Yanga, Mbeya City na Simba waliomaliza msimu katika nafasi ya pili hadi ya nne.

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim amesema tayari maandalizi ya

Kongamano Maalum la Sanaa kufanyika kesho