[audio] Mahojiano: Maggid Mjengwa na Kwanza Production

Maggid Mjengwa

Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania.

Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki
Karibu


Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction at gmail dot com

Ongezeko la matumizi na ukosefu wa kondom Singida na Rukwa
Taarifa kwa Vyombo vya Habari

18 Mei, 2014
  • Hakikisha upatikanaji wa kondomu kuokoa maisha ya watu
Miongoni mwa watu wengi wana fikra potofu kuhusu matumizi ya kinga, upo ushaidi wa kutosha kuwa matumizi na uhitaji wa kondom umeongezeka katika vituo vya afya na vile vinavyotoa huduma za kijamii za kiafya vinashindwa kufikia uhitaji huo. Licha ya upungufu wa kondom za bure, zipo zile zinazouzwa na wauzaji huwa wana kondom za kutosha na wanamtandao mkubwa na vituo vya usambazaji nchi nzima.

Wananchi hasa wanaoishi vijijni wanatakiwa kuacha utegemezi na kujifunza utamaduni wa kununua kondom ambazo zinauzwa kutoka kwa wauzaji kwa kinga zao wenyewe na wawapendao kwa

Adha za unene uliopindukia! Mwanamke mzito kuliko wote duniani apambana kupunguza uzito ili afanye harusi

Inasadikiwa kuwa mwanamke Charity Pierce, 38, anayeishi huko Iowa nchini Marekani ndiye mwanamke mwenye uzito mkubwa kuliko wote hapa duniani 765 lbs, (akimzidi yule wa hapa Arizona  -- Susanne Eman aliyekuwa na uzito wa paundi 756 mwaka juzi), amenuia kupunguza uzito ili aweze kufunga ndoa na mpenzi wake Tony anayempungua si tu kwa uzito na kimo bali pia umri wa miaka 17.

Wawili hao wamekuwa wapenzi tangu miaka mitatu iliyopita walipokutana kupitia urafiki wa binti wa Charity aitwaye Charly, 17, na tayari wameshachumbiana. Kwa sasa, Tony -- ambaye pia  ni kaka mdogo wa baba yake Charly -- anajitahidi kumpata daktari atakayemfanyia Charity upasuaji anaoamini utasaidia pia kuyaokoa maisha ya mpenzi wake na kisha kuwapa nafasi ya kufunga ndoa.

Tarehe 28 Machi 2014, timu ya Barcroft Tv walifika nyumbani kwake huko Cedar Rapids, Iowa na kuchukua picha za video na kutoa maelezo yake kama inavyoonekana katika video ifuatayo...

Older Women may be more at risk for cervical cancer - Research

Women are often told they don't have to get a Pap test for cervical cancer if they're over 65, but the data behind that recommendation might underestimate their cancer risk, researchers say.

That's because many studies don't take into account that many women have had hysterectomies. The surgery removes a woman's risk of cervical cancer; no cervix, no cancer. And 20 percent of the women over age 20 in this study said they had had that surgery.

When they looked at cancer rates only in women who hadn't had a hysterectomy, the researchers found that the odds of having cervical cancer were higher; 18.6 per 100,000 women, compared to 11.7 cases without

Mitindo zaidi na Fasheni za Kiafrika...

Binti, Pendo katika sherehe ya kumuaga kabla ya kufunga ndoa na mpenziwe Bwana, Stanley. (picha: Jaizmelaleo blog)
Picha zaidi, hapo chini...