NHIF official in court for occasioning 51m/- loss

An official with the National Health Insurance Fund (NHIF), Godius Masilango, appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam, charged with occasioning loss of over 51m/- to the Fund.

Masilango, who is Assistant Quality Insurance Officer with the Fund, denied the charge when he was brought before Senior Resident Magistrate, Frank Moshi and was remanded in custody after failing to meet bail conditions.

The magistrate had ordered the accused to secure two sureties employed by the government or working in any reputable or recognised institution. Each of the surety was required to execute a bond of

UNDP job opportunities for Tanzanians

A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry.

Someone says they have failed to find qualified Tanzanians to fill the positions indicated below so they have to recruit from a neighboring country. Please prove them otherwise.

Though it may seem closed, UNDP will still welcome good candidates. Please write to Ernest Salla at [email protected] when applying to any of the following job openings:

 1. Director of Agricultural Productivity: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45669
 2. Director of Performance Analytics and Evaluation: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45659
 3. Manager of Market Efficiencies: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45670
 4. Manager of Planning and Budget: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45673
 5. Manager of Production Monitoring: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45672
 6. Senior Analyst: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45674
 7. Communications Analyst: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=41731
 8. Analyst: http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=45675

How Bus Rapid Transit "Transmilenio" transformed Bogotá transportation

Over the last decade, cities in developing countries around the world have been adopting bus systems like Bogotá's Transmilenio because they are cheaper and ease traffic and pollution.

Watch the video below to get an idea on how Bogotá's Transmilenio system works...

 

Aikande: Politics of Image or Image Strategy? CCM vs Opposition

[...] I think am moving towards observing through pictures and what I see more than reading whatever news media are writing on party politics or party leaders are saying.

CCM’s party secretariat has been on a “subtle” country tour meeting citizens, carrying out rallies, and engaging with them. The party General Secretary, Mr. A. Kinana has been busy out of office in the field talking to people on various issues. As I said, I don’t read much of what they tell people but I do look at the pictures. I must admit, I admire the pictures because I’ve seen him and other party secretariat staff taking the central rail train, building with people, farming with people using hoes, etc. Today, I peeped in Michuzi Blog and found pictures of them eating ugali on plastic plates and on benches with wananchi…

Now, let’s turn to our new “coalition of hope” (bringing several (major) opposition parties together) – UKAWA! So on Wednesday UKAWA had a rally in Moshi town.... click here to continue reading.

Taarifa ya wajumbe wa CHADEMA kwa umma kuhusu UKAWA

TAARIFA KWA UMMA

TAARIFA YA BAADHI YA WAJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU CHADEMA MIKOA YA DSM, PWANI NA TANGA KUPINGA UHUNI WA KISIASA UNAOITWA UKAWA.


UTANGULIZI.

Ndugu wanaHabari, Tunapenda mtusaidie kufikisha ujumbe wetu huu kwa umma unaotokana na malalamiko na manung’uniko ya wanachama wenzetu wa CHADEMA kuhusu udhaifu mkubwa wa kiuongozi unaoendelea kwa sasa chini ya mwavuli wa UKAWA.Kwa wiki kadhaa sasa, kumeibuka msamiati mpya wa kisiasa wa UKAWA uliopelekea mpaka kuundwa kwa BARAZA KIVULI LA UKAWA pale Bungeni bila kufuata Utaratibu.

Sisi viongozi ambao miongoni mwetu ni Wajumbe wa vikao halali vya chama, ambavyo ni

[video] Jinsi ya kuandaa juisi ya mpapai kukabiliana na homa ya kidinga popo / dengue feverVideo iliyopachikwa hapo chini inamwonesha raia wa moja ya nchi za Asia akielekeza namna ya kutengeneza juisi ya majani ya mpapai kwa ajili ya mgonjwa mwenye homa ya kidinga popo (dengue fever).

Kutokana na matokeo ya utafiti mmoja uliofanywa, matumizi ya juisi itokanayo na majani ya mpapai yameelezwa kuwa yanasaidia kuhuisha na kuzalisha chembe hai kisahani na chembe hai nyekundu za damu mwilini (hasa kwa wale wenye homa ya kidinga popo inayosababisha kutokwa na damu (hemorrhagic dengue fever).

Maandalizi?

Maelekezo yaliyomo kwenye video ni pamoja na:-

Discover Africa launches app to track wildebeest migration in real time


Capt. Joel's photo: "...a small herd to the east of Seronera and the bigger herd south west of Seronera moving towards the north west"

Keep track!

Discover Africa has launched a mobile phone app to track the wildebeest migration in real time.

It also offers a monthly prediction of where the 1.5 million wildebeest, zebra, gazelle and impala are likely to be in Tanzania and Kenya as the herd moves north from the Serengeti to the Maasai Mara.

Click here to for more: discoverafrica.com/herdtracker

Wenye ulemavu waliotimuliwa Kariakoo wataka Serikali iwape mshahara wa 400,000/= kila mwezi

Watu wenye ulemavu waliotimuliwa kutoka Mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam waliandamana mwishoni mwa wiki hadi kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa huo wakidai malipo ya kiasi cha fedha, shilingi 400,000/= kila mwezi.

Watu hao waliofika hapo majira ya saa tatu asubuhi na kuwaacha na bumbuwazi wafanyakazi wa ofisi hizo, wamedai kufukuzwa kwao bila ya kuwapatia maeneo mbadala ya kufanyia shughuli zao za uchuuzi kumewasababisha wakose kipato cha kujikimu wao na familia zao.

Wakiongea na gazeti la The Guardian la Jumapili wamesema wameshindwa, mathalan, kulipia ada ya za shule kwa watoto wao na hivyo kuitaka Serikali ichukue jukumu la kuyaangalia maisha yao kwa kuwa ndiyo iliyowatimua wasifanye biashara wala kuwa ombaomba.

Mmoja wao aliilaumu Serikali kwa kuwatelekeza na kuwatumia tu kama mtaji wa kura nyakati za uchaguzi lakini huishia kuwasahau punde waingiapo madarakani, tofauti na nchi nyingine ambapo walemavu hupewa kipaumbele ili waweze kujitegemea.

Wanafunzi 3 wapoteza uhai baada ya kutumbukia mtoni

Wanafunzi watatu wa Shule za Msingi Igembe katika Kata ya Kinyala, wilayani Rungwe wamefariki dunia baada ya kutumbukia katika mto Mwiluba.

Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 10 ya Shule ya Sekondari Lubala, Ofisa Tarafa wa Ukukwe, Sam Mwakapala alisema wanafunzi  hao walifariki dunia kwa mpigo na jitihada za kuwatafuta watoto hao zilizofanywa na wananchi pamoja na Serikali tangu mwishoni mwa Aprili hadi sasa hazijazaa matunda. --- Mwananchi.

Global status report on alcohol and health 2014 - Report by WHO


Tanzania statistics according to WHO's 2014 report

Tanzania stats by WHO report 2014
 
According to figures released by the World Health Organisation (WHO) in a report titled Global Status Report on Alcohol and Health 2014 statistics shows that the percentage of adult population that drinks alcohol in countries around Africa's Great Lakes is as follows:-
 1. Kenya = 23.1
 2. Rwanda = 44.7
 3. Tanzania = 41.8 
 4. Burundi = 41.1 
 5. Uganda = 41
Analysis by Standard Investment Bank estimates that, while Kenya has a lower alcohol-consuming population in the region, it has the largest number of beer consumers at 56 per cent of all alcoholic beverages consumed compared to 50 per cent in Ethiopia, Burundi's 25 per cent, 11 per cent in Rwanda and Tanzania and only 9 per cent in Uganda.
 
Africa average alcohol consumption per capita is 6 per cent with Tanzania 7.7 at litres, Kenya at 4.3, Nigeria 10.1, Rwanda and Uganda at 9.8 and South Africa 11 alcohol consumoption per capita.

WHO calls on governments to do more to prevent alcohol-related deaths and diseases

News release
Despite relatively low alcohol consumption and abuse in Kenya, a 2012 survey by National Authority for Campaign against Alcohol and Drug Abuse found that 13 per cent of teenagers in the

Meneja afia hotelini baada ya kuhojiwa na Kamati ya Chenge

Meneja Biashara wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) amekutwa amekufa hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti.

Meneja huyo, Julius Gashaza, ambaye alikuwa na jukumu la kupanga bei za mafuta za kila mwezi, alihudhuria kikao hicho mjini Dodoma kwa siku mbili; Ijumaa na Jumamosi iliyopita kuhusu mambo mbalimbali, yakiwamo kiwango cha mafuta kinachoingizwa nchini, mgawo wa fedha unaotolewa na EWURA kwenda kuhudumia umeme vijijini (Rea) na fedha za mfuko wa barabara.

Jeshi la Polisi, Mkoa wa Temeke limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa meneja huyo