Raia 2 wa Romania wasomewa mashitaka 7 kortini ya kuihujumu Serikali

Watuhumiwa wa wizi wa Mawasiliano Razvan Printilie (kushoto) na, Robert Kraus (shati jeupe) wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo kusomewa mashitaka yao na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). (picha: Lukwangule blog)

MABOSI wawili wa Kampuni ya X Plora Ltd, raia wa Romania, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kufanya mawasiliano ya simu za kimataifa bila leseni na kuisababishia serikali hasara ya sh.bilioni mbili.

Meneja Mtendaji wa kampuni hiyo, Razvan Pantilie (47) na Ofisa Mtendaji Mkuu wake, Robert Kraus (27), wanaoishi Hoteli ya Serena, walipandishwa kizimbani jana mahakamani hapo.

Washitakiwa hao, ambao wanatetewa na Wakili Alex Mgongolwa, walisomewa mashitaka saba na Wakili

Reports say Malawi's Ex-Minister commits suicide after losing in pollsPeoples Party (PP) National Executive Council member and former Local Government deputy minister Godfrey Kamanya has shot himself dead after failing to reclaim his Lilongwe Msozi North Parliamentary seat.


Kamanya fatally shot himself at around 3:30 Thursday morning at his Area 10 residence in Lilongwe.

In a suicide note he left behind, which is now with the police, Kamanya is said to

Taarifa ya BAVICHA kuhusu taarifa iliyotolewa kuihusu UKAWA

TAARIFA KWA UMMA

UPOTOSHWAJI NA PROPAGANDA CHAFU DHIDI YA CHADEMA/UKAWA NA KIKUNDI KILICHOJIVIKA VYEO HEWA


Zimetolewa taarifa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na mtu anayejitambulisha kwa jina la Fikiri Migiyo na ambaye amejitambulisha pia kama Mwenyekiti wa Mabaraza ya kanda ya Ziwa Magaharibiinayojumuisha mikoa ya Mwanza, Simiyu, Kagera na Geita akipinga kuundwa kwa umoja wakutetea katiba ya wananchi (UKAWA)

Aidha mtu huyo anayejitambulisha na BAVICHA ameenda mbali kwa kutoasiku 14 kwa CHADEMA kujiondoa kwenye UKAWA na pia kulaani kitendo cha UKAWA kususia Bunge la Katiba.

Barazala Vijana wa Chama cha Demokrasisa na Maendeleo (CHADEMA) linapenda kuufahamisha umma wa Tanzania na wapenda mabadiliko mambo yafuatayo:-

Taarifa ya Ikulu ya Rais ya uteuzi wa Mhariri Mtendaji TSN

Gabriel Lyimo Nderumaki

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Mei, 2014.

Kabla ya uteuzi huo Bwana Nderumaki alikuwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo.

“Mwisho”

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
22 Mei, 2014

Taarifa ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Ziwa kuhusu UKAWA

TAARIFA YA VIONGOZI WA CHADEMA MIKOA YA GEITA, MWANZA, SIMIYU NA KAGERA KUPINGA UKAWA


UTANGULIZI:

Ndg. waaandishi awali ya yote nichukue nafasi hii kuwashukuru wote kwa mwitikio wenu katika kikao hiki muhimu kwa mstakabali wa Taifa letu kama nilivyo jitambulisha hapo huu mimi ni Katibu wa Baraza la Vijana Chadema Mkoa wa Geita pia kamanda wa Redbragete kanda ya ziwa na Mwenyekiti wa Makatibu wa Mabaraza kanda ya ziwa Magharibi. Nipo hapa kusoma maazimio ya wajumbe wa Baraza kuu, mkutano mkuu na viongozi wa Baraza la vijana la Chadema mikoa ya Geita, Mwanza, Simiyu na Kagera kupinga na kulaani kile kilichoitwa UKAWA.

UDHAIFU WA UONGOZI WA CHADEMA

Tunaungana na kuwapongeza wajumbe wenzetu wa mikoa ya PWANI, DSM na TANGA waliokemea upuuzi

Rais Kikwete apokea Hati za Balozi wa Marekani-Tanzania, Mark Childress

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Mark Childress katika Ikulu ya Dar es Salaam tarehe 22 Mei, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Mark Childress katika Ikulu ya Dar es Salaam tarehe 22 Mei, 2014.

Will Malawi elections outcome make or break disputed Lake talks?


WILL THE OUTCOME OF MALAWI ELECTIONS MAKE OR FURTHER BREAK LAKE NYASA TALKS?


Article by Victor Mlunde

It is clear, the lake border dispute talks between Tanzania and her Southern neighbour Malawi over lake Nyasa have obviously hit a snag after the Maputo mediation team failed to give a decisive ruling in March 2014, with Malawi still maintaining her claim over total ownership of the lake based on 1890 Heligoland Treaty that reportedly draws the border line at Tanzania side of the lake.

On the other hand, Tanzania dismisses Malawi’s position claiming the colonial treaty was a human mistake because the lake is a historical heritage of all surrounding communities and generations who shared its

Tanzania, Burundi one-stop border launches June 7th

Tanzania and Burundi have moved steps closer towards being the first countries in the East African Community (EAC) to operationalize the One Stop Border Post (OSBP) concept at Kabanga/Kobero.

The pilot operation is scheduled to commence in June of this year following completion of temporary structures on site and the installation of ICT systems at the border between the two countries, an achievement realised thanks to financial support from Trade Mark East Africa (TMEA).

According to the tentative timetable released during a recent bi-lateral meeting between Tanzania and Burundi in the town of Gitega, Burundi, the OSBP operations on a pilot basis could start as early as 7th June, 2014. Here is more...

Govt, UNDP on project to help English-trained parliamentary legal experts having trouble with Kiswahili

The 18 draftsmen working in the Deputy Attorney General’s office are insufficient and lack the competence required to perform their duties, drafting laws in both English and Kiswahili because they were trained in English.

As such, the government in partnership with the United Nations Development Programme (UNDP) is considering initiating a capacity building project to enhance legislative drafting skills in Kiswahili for parliamentary draftsmen.

The move comes as a result of shortcomings experienced by the Office of the Attorney General in implementing the government initiative that requires all bills submitted in Parliament be in both, English and Kiswahili.

Deputy Minister for Constitutional and Legal Affairs Angellah Kairuki told UNDP’s Country Director Phillipe Poinsot earlier this week in Dar es Salaam that the move aims at ensuring laws of the land are better understood by legislators and Tanzanians. Click here for more.

[infographic] 2014 FIFA World Cup predictions

Predictions for World Cup 2014 in Brazil
source Visually.

See more at: worldcuppredictions.com

Tahadhari ya PSPF kuhusu ujumbe wa kitapeliMFUKO WA PENSHENI WA PSPF

TAARIFA KWA UMMA

Mfuko wa Pensheni wa PSPF unapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa, hivi karibuni kumekuwa na watu au kikundi cha watu wanaosambaza taarifa potofu kwa wanachama wa PSPF kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa nia ya kuwatapeli.

Taarifa hizo zinazotolewa siyo sahihi na PSPF inawaomba wanachama wake kuchukua tahadhari dhidi ya

Kilimanjaro Music Tour yabisha hodi Moshi

Ziara ya Kilimanjaro Music Tour ambayo ndio gumzo kubwa sasa katika sekta ya burudani imebisha hodi katika Mji wa Moshi ambapo wapenzi wa muziki wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali Jumamosi hii.

Maandalizi yote yamekamilika huku zaidi ya wasanii 10 wa humu nchini wakitarajiwa kutua mjini hapo Ijumaa tayari kwa show kubwa itakayofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs).

Ziara hii inadhaminiwa na Bia ya Kilimanajro Premium Lager ambayo imekuwa mstari wa mbele katika kufikisha muziki wa Tanzania kwenye kilele cha mafanikio. Ziara hii inaratibiwa na EATV na East Africa Radio, Executive Solutions, Integrated na AIM.

Wasanii watakaotoa burudani ni pamoja na Ommy Dimpoz, Kala Jeremiah, Weusi, Ben Pol, Jambo Squad,