Audio ya Mhubiri anayekataza watu kutibiwa Homa ya Dengue; Wizara yatahadharisha

Bofya kitufe cha pleya iliyopachikwa hapo chini kusikiliza mojawapo ya audios wavuti.com ilizopokea kupitia WhatsApp, pengine itatoa mwanga wa ni kwa nini Wizara imeona ni vyema kuingilia kati na kutoa ilani inayosomeka hapo chini.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UPOTOSHWAJI WA UGONJWA WA HOMA YA DENGUE.


Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa mbalimbali za upotoshaji unaofanywa kupitia baadhi ya mitandao ya kijamii, simu za mikononi na mikusanyiko ya watu kuwa ugonjwa wa Dengue haupo nchini Tanzania.

Wizara inapenda kusisitiza kwamba, ugonjwa huo upo nchini na serikali kwa kushirikiana na wananchi inaendelea kutekeleza hatua mbalimbali za kukabiliana nao. Ikumbukwe ugonjwa huu

Hofu Ilala: Wakimbia hovyo kwa kiwewe cha kundi la 'Watoto wa Mbwa'

Wilayani Ilala jijini Dar es Salaam jana kuanzia katika eneo la Karube, Bungoni, Malapa hadi Buguruni walipatwa na hofu na kulazimika kukimbia hovyo ili kujinusuru kutokana na kusikika taarifa za kuwapo vijana wanaounda kikundi cha kihalifu kinachojiita "Watoto wa Mbwa" ambao walikuwa wakivamia watu na kuwajeruhi endapo hawakutii amri za kutoa mali zao.

Mmoja wa watu walioshuhudia hayo anasema aliwasikia askari wakipiga simu kuomba msaada na usaidizi wa gari lakini alijibiwa kuwa magari ya doria yapo Tabata ambako nako kilikuwepo kikundi kingine kikiendesha uhalifu.

Video ya EATv "Kurasa" iliyopchikwa hapo chini ina taarifa zaidi...

 


VIJANA 8 WAKAMATWA


JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata vijana nane waliojihusisha na matukio ya uvunjifu wa amani katika maeneo ya Kigogo, Ilala Boma na Buguruni, huku likiahidi kuendeleza msako huo hadi kutokomeza matukio hayo.

Matukio yanayofanywa na vijana hao yamekuwa yakitokea mara kwa mara, licha ya jeshi hilo

Sikika: Disburse and spend HIVAIDS funds efficiently to save lives

Press Release Thursday, 22 May 2014

Disburse and spend HIVAIDS funds efficiently to save lives!


The recently released Controller and Auditor General (CAG) report reveals huge amount of unspent money meant for HIV&AIDS programs during the 2012/13 FY. A total of 58 councils failed to spend about Tsh. 2.3bilion.

Other unspent balances for HIV&AIDS activities include Tsh 624.49 million by National AIDS Control Program (NACP), Tsh 307.2 milion by TACAIDS and Tsh 428.49 milion by Prime Minister Office Regional Administration and Local Government (PMORALG). Failing to spend this huge amount of money while access to HIV&AIDS services is still a problem is indeed disturbing. As CAG pointed out,

[infographic] 10 things to note about the EU aid

Ten key facts covering various aspects of the EU aid programme, including its size, relevance, importance, spending priorities, governance and public support. --- odi.org.uk

10 Things to Know About EU Aid
via Visually.

Njama za kutaka kuvuruga amani ya nchi

JUMAZA/GF/VO.2/014 19/05/2014

MHESHIMIWA,
Dr. ALI MOHAMED SHEIN,
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,
IKULU,

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

KUH: NJAMA ZA KUTAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI.


Mheshimiwa Rais, kwa heshima kubwa nakuomba uhusike na mada ya hapo juu.

Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) aliyetujaalia kuwa Waislamu kwani bila ya hidaya yake kamwe tusingeweza kuongoka. Sala na salamu zimshukie Mtume wetu na kipenzi chetu Muhammad (S.A.W), jamaa zake, maswahaba zake na wote wanaowafuata kwa wema hadi siku ya malipo.

Mheshimiwa Rais,

Jumuiya ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) ni Taasisi ya Kiislamu isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa mwezi

Julius K. Nyerere’s confession and plea on Africa Day

FOUNDERS ... (Backrow second third and fourth from left) Milton Obote, Julius Nyerere, Kenneth Kaunda. (Front row from left) Kwame Nkrumah, Emperor Haile Selassie (third), Mzee Jomo Kenyatta (fourth) and Mobutu Sese Seko (sixth). Inset: Julius Nyerere.

My remaining remarks have a confession and a plea. The confession is that we of the first generation leaders of independent Africa have not pursued the objective of African unity with the vigour, commitment and sincerity that it deserves. Yet, that does not mean unity is now irrelevant. Does the experience of the last three or four decades of Africa’s independence dispel the need for African unity?

With our success in the liberation struggle, Africa today has 53 independent states, 21 more than those which met in Addis Ababa in May 1963. If numbers were horses, Africa today would be riding high! Africa would be the strongest continent in the world, for it occupies more seats in the UN General Assembly than any other continent. Yet the reality is that ours is the poorest and weakest continent in the world. And our weakness is pathetic.

Unity will not end our weakness, but until we unite, we cannot even begin to end that weakness. So

Avunja rekodi JNIA: Umri miaka 65 na heroin kete 82

Bibi mmoja raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) amevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Cole alikamatwa Jumatatu akiwa amemeza kete 82 aina ya heroini zilizokuwa zimefungwa kwenye karatasi zinazofanana na ganda la sigara, ambazo si rahisi kuonekana katika mitambo.

Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Alfred Nzowa zimesema pamoja na mbinu zake na kujiamini, mwanamke huyo alikamatwa kutokana

MEDA gets $1.5m for malaria prevention in Tanzania


Mosquito nets
By Johanna Weidner

WATERLOO — A Waterloo-based international charity got a $1.5-million boost to its efforts combating malaria in Tanzania with mosquito nets.

The Mennonite Economic Development Associates (MEDA) will use the funding to ensure access to insecticidal bed nets "for people who want them and need them," said Jerry Quigley, senior vice-president of private-sector development.

Nets are the most effective way to combat malaria, especially among pregnant women and young children who are at greatest risk from the mosquito-borne disease with symptoms that include fever and headache and in severe cases can cause coma or death.

In Tanzania, malaria causes about 100,000 deaths each year, primarily among children under five. When used properly, mosquito nets can drop child mortality by almost a third.

But, Quigley said: "It's a lot more complicated than simply providing nets for free." -- click here to continue reading.