Jiji la Dar lilivyozingirwa na uchafu!

Kutokana na sehemu kubwa ya eneo la Kariakoo kuwa safi kupindukia,hali inayopelekea hata vijana wa maeneo hayo kuonyesha michezo yao kuu ya utelezi kama hivi.

Malema na Wabunge wa EFF wavaa 'ovaroli', mabuti na mavazi ya jikoni 'apron', walipoapishwa BungeniWabunge wanaowakilisha chama kipya cha kupigania haki za kiuchumi za Waafrika Kusini (Economic Freedom Fighters - EFF) juzi walizua kihoja baada kuingia bungeni wakiwa wamevalia kama wafanyikazi wajakazi na wachimba migodi.

Wabunge wanawake walivalia sare za mayaya na wahudumu wa nyumbani huku wabunge wanaume wakivalia magwanda kama yale yanayotumika migodini na wafanyikazi wanakandarasi.

EFF inayoongozwa na aliyekuwa kiongozi wa kitengo cha vijana katika ANC, Julius Malema

Mahojiano ya HabariLeo na Kitale kuhusu wajihi mpya: Mkude Simba

Kitale aka Mkude Simba

Pengine si mgeni wa kichekesho cha Mkude Simba kilichoanza kuzagaa pole pole katika jiji la Dar es Salaam na hatimaye karibu nchi nzima.

Ni kichekesho ambacho kilianza kupitia mitandao ya kijamii, taratibu kikapokewa na madereva pikipiki na sasa kwenye kituo cha redio mpya inayokwenda kwa jina la 'E' Fm.

Lakini unaweza usijue sauti inayotumika katika kichekesho hiki ni cha msanii maarufu ambaye anatambulika zaidi katika tasnia ya filamu kwa mtindo wa kuigiza utumiaji wa dawa za kulevya 'teja' Kitale ambaye jina lake halisi ni Musa Kitale.

Katika mahojiano maalumu na mwandishi wa makala haya, Kitale anasimulia sababu za

Prof. Mwandosya afanya mazungumzo nchini Burundi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya,wa pili kulia, amekuwa na mazungumzo na Waziri wa Mawasiliano ya Simu, Habari na Uhusiano na Bunge,wa Burundi, Mhe. Tharcisse Nkezabahizi,watatu kulia, na Francois Sigejeje, Katibu Mkuu wa Wizara yake, wa nne kulia. (picha: Michuzi blog)
Prof. Mwandosya amekuwa na Mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Msingi na Sekondari wa Burundi Mheshimiwa Dr Rose Gahiru,aliye katikati.Kulia ni Bw.Samuel,Mshauri wake.
Prof. Mwandosya amekuwa na Mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Msingi na Sekondari wa Burundi Mheshimiwa Dk Rose Gahiru, aliye katikati. Kulia ni Bw. Samuel, Mshauri wake.

2014 Tripartite Elections in Malawi: Commonwealth Interim Statement

The Group was impressed by the enthusiasm, patience and determination demonstrated by the people of Malawi to exercise their franchise, even where polling was substantially delayed

Blantyre, Malawi:

The Commonwealth Observer Group has been present in Malawi since 14 May 2014. During this period, we have met with the Malawi Electoral Commission, representatives of political parties, civil society, the media, the police, as well as other international and national observers. Commonwealth observers deployed to all regions and observed the voting, counting and results aggregation process on Election Day. This is the Interim Statement of the Group, as it is issued with the process yet to be completed. The critical vote

Zanzibar yaadhimisha Siku ya Fistula Duniani

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.

Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar(viti maalumu), Wanu Ameir, amewataka viongozi wa mikoa ya Zanzibar kutoa mazingira wezeshi kuwarahisishia mabalozi wa Fistula nchini kuhamasisha na kuelimisha Umma dhidi ya fistula hapa visiwani ambapo mpaka sasa ni wagonjwa 6 tu ambao wamejitokeza tangu kuanza kampeni hiyo aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani jana.Elimu hiyo inatolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.

Mkuu wa Wilaya azungumzia 'dhahabu inayomiminika' SamungeMkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Lali amesema ni kweli kuna madini yamegundulika katika Kijiji cha Mgongo, Samunge lakini haijathibitishwa kama madini hayo ni dhahabu au la.

Mkuu wa Wilaya alilazimika kutoa ufafanuzi huo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, waliotaka kujua je, ni kweli madini hayo yanapatikana juu juu, kama inavyoelezwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini.

Alisema muda wowote wataalamu wa madini Kanda ya Kaskazini watatoa taarifa juu ya

Rais Kikwete awasili Pretoria, Ashuhudia kuapishwa Rais Zuma

Rais Jakaya Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamoja na Marais Wastaafu sita wanahudhuria. (picha, maelezo: IKULU)
Rais Jakaya Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamoja na Marais Wastaafu sita wanahudhuria. (picha, maelezo: IKULU)

Ukatili! Akutwa akipika mkono wa mtoto aliyemwua

Tanzania inazidi kustaajabisha kwa matukio ya ukatili na mauaji.

Huko mkoani Kagera, inaripotiwa kuwa mganga wa kienyeji, Mujingwa John (20) ametiwa mbaroni, akituhumiwa kumuua kwa kumnyonga, kumkata mikono na kumzika katika nyumba yake mtoto Fausta Geofrey (8), mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kitunga kata ya Muhutwe, wilayani Muleba.

Gazeti la HabariLeo linasema kuwa tukio hilo lilithibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera, George Mayunga aliyesema mganga huyo alikamatwa na polisi kwa kushirikiana na wananchi, ambapo alikutwa akibanika viungo alivyovikata kutoka kwa mtoto huyo.
Mganga huyo anayeripotiwa kuwa amekiri mbele ya jeshi la polisi kuhusika na mauaji, alieleza kuwa