Taarifa ya Wizara kuhusu zawadi za Wanafunzi waliofanya vizuri 2013

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

TAARIFA KWA UMMA

UFAFANUZI KUHUSU ZAWADI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013


Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Elimu kilifanyika tarehe 10 Mei, 2014 katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo tuzo mbalimbali zilitolewa zikiwemo za fedha na zile zisizo za fedha kwa makundi tofauti tofauti.

Tuzo ya fedha taslimu ilitolewa kwa wanafunzi 30 waliofanya vizuri katika mtihani wa mwaka 2013 ambapo wanafunzi watano bora wasichana na watano bora wavulana waliofanya vizuri katika mitihani ya Taifa ya kumaliza Elimu ya Msingi walipata shilingi 125,000/=, Wanafunzi watano bora wasichana na

Call for applications: Masters of Research and Public Policy (MRPP)UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM(IN COLLABORATION WITH 12 AFRICAN UNIVERSITIES)

ANNOUNCES

The launch of a collaborative Master of Research and Public Policy (MRPP) degree programme to be offered by twelve African universities under the auspices of the Partnership for African Social and Governance Research (PASGR), starting from 2014/2015 Academic Year.

The Programme is designed to produce (i) high caliber researchers for universities, think tanks, government and civil society organizations; and (ii) competent public policy analysts for government, research institutions and civil society organizations. Graduates will form a unique cadre of professionals

Imezidi! Baba ampiga mwanaye wa miaka 3 hadi kufa akidai mkorofi

Na Valence Robert, Malunde1 Blog, Geita — Ukatili dhidi ya watoto umeendelea katika jamii ambapo safari hii, mtoto James Wilson (3) mkazi wa kijiji cha Misri kata ya Bugalama wilayani Geita mkoani Geita ameuawa kwa kupigwa baba yake mzazi kwa madai kuwa amekuwa hamsikilizi kwa sababu ya ukorofi.

Akizungumzia tukio hilo diwani wa kata ya Bugalama, Samuel William amesema baba mzazi wa mtoto huyo Wilson Chimba (46) alimtuma mtoto kununua mafuta alipokataa akaanza kumpiga.

Kufuatia kipigo hicho mtoto huyo alikwenda kujificha kwa jirani yake na siku iliyofuata baba mzazi alipomfuata mtoto huyo, alimpiga hadi kumuua.

Jeshi la polisi mkoani Geita limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na tayari limemkamata mtuhumiwa.

Star-studded global line-up for new-look Standard Bank Joy of Jazz

Dianne Reeves
Dianne Reeves


Dianne Reeves, Sibongile Khumalo, Gregory Porter, Delfeayo Marsalis and Jonas Gwangwa are among the jazz giants appearing this year
________________________________________

Jazz giants from across the globe – including four-time Grammy Award winner Dianne Reeves; National Endowment for the Arts Jazz Master trombonist Delfeayo Marsalis and South African musical legends Sibongile Khumalo and Jonas Gwangwa – are part of the line-up for this year’s star-studded Standard Bank Joy of Jazz.

The new-look 2014 Standard Bank Joy of Jazz will take place at the Sandton Convention Centre.

Other Grammy Award winners at Africa’s premiere jazz festival include British R&B legend Billy Ocean; this year’s Best Jazz Vocal recipient Gregory Porter and trumpeter Roy Hargrove.

Other huge draw cards include Tony-nominated composer and multiplatinum-selling singer Ann Hampton Callaway; Filipino recording artist and cultural trailblazer Charmaine Clamor; New Orleans trumpeter

Maps: Hottest & Attractive Women by Country; National IQ Scores

Click on the image to enlarge or here for interavtive map (source)
Click on the image to enlarge or here for interactive map (source)

Twitter now lets you mute specific users

On May 12, 2014 Twitter announced introduced a new account feature called "mute" which gives Twitter users who use our iPhone and Android apps and twitter.com, control over the content they see on Twitter.
  1. Mute users you’d like to hear from less (without having to unfollow them).
  2. Muting a user on Twitter means their Tweets and Retweets will no longer be visible in your home timeline, and you will no longer receive push or SMS notifications from that user.
  3. The muted user will still be able to favorite, reply to and retweet your Tweets; you just won’t see any of that activity in your timeline.
  4. The muted user will not know that you’ve muted him/her, and of course you can unmute at any time.

How to mute:
  • A user from a Tweet on your iOS or Android device or on Twitter for web, tap more and then mute @username.
  • Someone from his/her profile page, tap the gear icon on the page and choose mute @username.Taarifa ya Kamanda Kova yenye majina na picha za wanaotuhumiwa kuunda kundi la "Mbwa Mwitu" aka "Panya Road"

Pichani ni wanaotuhumiwa kuwa viongozi wa "Mbwa Mwitu" aka "Panya Road" waliokamatwa.
Pichani ni wanaotuhumiwa kuwa viongozi wa "Mbwa Mwitu" aka "Panya Road" waliokamatwa.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanya msako wa nyumba kwa nyumba, mtaa na maeneo yaliyoathirika kwa hofu ya vijana ambao ni vibaka maarufu kama Mbwa mwitu au Panya Road. Msako huu uliofanyika ndani ya masaa 24 hadi alfajiri ya tarehe 26/5/2014 kwa lengo la kuwaondolea hofu na uhalifu dhidi ya makundi ya vijana wadogo wasio na ajira ambao uliibuka hivi karibuni.

Maeneo yaliyoathirika ni Kigogo, Magomeni, Tabata, maeneo yote yanayozunguka mto Msimbazi, maeneo ya Mbagala nk. Msako huu unaendelea kufanywa na askari wa vikosi maalum ambao wamepewa

Watano wapoteza uhai katika ajali ya boti ziwani Victoria

Watu watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria ya Mv Kitoko II waliyokuwa wakisafiria kutoka Bugombe kupitia Kasenye kwenda Mganza wilayani Chato, kuzimika ghafla ikiwa katikati ya ziwa Victoria na kuzama ndani ya maji.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, George Mayunga alisema ajali ya boti hiyo boti hiyo inayomilikiwa na Mama Chacha aishiye Muganza na iliyokuwa imebeba abiria hao watano ambao

Mtumishi wa afya akutwa amefariki katika "Guest House"

Mwili wa Marehemu katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya ya Kahama

Mtumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, Mkoani Shinyanga, "J. M." (50) amekutwa amefariki dunia katika nyumba moja ya kulala wageni "Guest House" ya mjini Kahama, inaripoti blogu ya Kijukuu cha Bibi. 

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Wilayani humo zimesema kwamba tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia juzi katika nyumba hiyo iitwayo KK Lodge iliyopo jirani na ofisi za Halmashauri ya Mji wa Kahama.

Taarifa zimesema watumishi wenzake walikwenda kumuona juzi majira ya saa 6 mchana baada

Taarifa ya Simba SC kuhusu mapingamizi dhidi ya Wagombea

KAMATI YA UCHAGUZI SIMBA SPORTS CLUB


SAID RUBEYA, SWALEHE MADJAPA, USTADH M. HASSAN,
JACKSON J. SAGONGE & VALENTINE NYALU………………..……….. Waweka Pingamizi

DHIDI
MICHAEL RICHARD WAMBURA……………………………..…………Muwekewa Pingamizi


MAAMUZI

Waweka Pingamizi waliotajwa hapo juu, ambao ni wanachama wa Simba Sports Club wamemwekea pingamizi Mwekewa Pingamizi hapo juu kwa hoja zifuatazo:

Katibu Mkuu Kiongozi azungumza na Balozi wa Finland

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam leo Mei 27, 2014. (picha: Ikulu)

Balozi Antila ndiye Mwenyekiti wa Kundi la Nchi 12 Washirika wa Maendeleo zinazosaidia bajeti ya Tanzania (General Budget Support Group), na amechukua nafasi hiyo tangu mwezi April mwaka huu.

Lengo la Balozi Antila kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi ni kujitambulisha kwa wadhifa huo mpya na kueleza jinsi atavyotekeleza jukumu hilo la Uenyekiti.

Pia ameelezea vipaumbele walivyojiwekea katika kuchangia bajeti ya serikali na wakabadilishana mawazo ya namna ya kuimarisha mjadala (dialogue) kati ya kundi hilo la nchi washirika wa maendeleo na Tanzania.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam leo Mei 27, 2014.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam leo Mei 27, 2014. (picha: Ikulu)

Tanzania Movie Talents: Ratiba ya Dar es SalaamBaada ya kumaliza shindano la Tanzania Movie Talents kwenye kanda tano za Tanzania yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya Pwani ambayo inahusisha Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na mkoa wa Pwani kushiriki kwenye shindano la kwanza na la aina yake ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati likiendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited.

Ratiba ya Dar es Salaam ni kama ifuatavyo:-

Kauli ya Serikali kuhusu matatizo katika Mtambo wa maji Ruvu Juu

1.Utangulizi
Mheshimiwa Spika, tarehe 12 Mei, 2014 Mheshimiwa John Mnyika aliomba Mwongozo wa Spika kuitaka Serikali itoe Kauli Bungeni chini ya Kanuni ya 49 ya Kanuni za Bunge za Mwaka 2013 kueleza matatizo yanayoukabili Mtambo wa kuzalisha na kutibu maji kwa ajili ya Jiji la Dar es Salaam na maeneo ya DAWASA katika Mkoa wa Pwani.

Mheshimiwa Spika, Mtambo wa Maji wa Ruvu Juu uliopo Mlandizi, wilaya ya Kibaha ulijengwa mwaka 1954 – 1956 kwa ajili ya kuupatia maji Mji wa Da es Salaam na maeneo yaliyopo kando ya Bomba kuu katika Wilaya ya Kibaha.

How to tell if someone is lying to you online, in text, emailNowadays, a lot of people are communicating online and through text rather than having face-to-face conversations.

With this kind of communications, to is often harder to tell if someone is lying when you aren't conversing face-to-face, because we miss the small conversation clues expressed and conveyed through body language, gestures, facial expressions and tone of voice.

However, new studies suggest that there are tales for someone who is lying or being a

Katibu Mkuu Kiongozi akuzungumza na Rais wa AfriCare

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 27, 2014.

Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na
Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014.

Kushoto Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

[audio] Kwanza Production: Mjadala na Hussein Kauzela, Shamis Khatry, Liberatus Mwang'ombe na Solomon Christopher

Karibu katika mjadala na Hussein Kauzela, Shamis Khatry, Liberatus Mwang'ombe na Solomon Christopher uliojikita zaidi katika mwenendo wa kusaka katiba mpya nchini Tanzania.

Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu suala hili muhimu kwa mustakabali wa nchi ya Tanzania.

Karibu


Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction at gmail dot com

Madhehebu ya Dini, Serikali washirikiane kuleta maendeleo - MO

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.

Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa misikiti na makanisa jimboni kwake.

Amesema madhehebu ya dini mbalimbali yana mchango mkubwa sana katika kusukuma gurudumu la

Vodacom customers to get more minutes on Zogo

VODACOM YAJA NA HUDUMA YA ZOGO


Dar es Salaam, Mei 28, 2014 ... KAMPUNI ya Mawasilino ya Vodacom Tanzania, imezindua huduma mpya ijulikanayo kama 'Zogo' ambayo itawawezesha wateja wa mtandao huo kupiga simu ndani na nje ya mtandao kwa gharama nafuu.

Akizungumza juu ya uzinduzi wa huduma hiyo, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano Vodacom