In pictures: Legendary poet, activist, storyteller, Maya Angelou, RIP!


US President Barack Obama (C) kisses Dr. Maya Angelou, a prominent and celebrated author, poet, educator, producer, actress, filmmaker, and civil rights activist after presenting to her the 2010 Medal of Freedom on Feburary 15, 2011 at the White House in Washington DC. Sitting next to her are former President George H.W. Bush (L) and investor Warren Buffet (R). (Tim Sloan/AFP/Getty Images)

Maya Angelou, poet in residence at Wake Forest University, talked about the poem she wrote for President Clinton's inauguration from her office in Winston-Salem, N.C., Sept. 16, 1996.
Chuck Burton/AP

Poet Maya Angelou and Gloria Steinem join a march in Washington in 1983. James M. Thresher / THE WASHINGTON POST
Poet Maya Angelou and Gloria Steinem join a march in Washington in 1983. James M. Thresher / THE WASHINGTON POST

Tanzia! Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania California Kaskazini

Mwesigwa Blandesi

Ndugu Wanajumuiya, Watanzania wote pamoja na marafiki wa familia ya Mwesigwa, 

Kama nilivyowaahidi kuendelea kuwaletea taarifa zaidi kuhusu msiba, naomba niwape maendeleo (updates) ya maandalizi kama ifuatavyo:

Kwanza kabisa, kwa niaba ya familia na TCO, natoa shukrani za dhati kwa jinsi ambavyo watu wengi wameguswa na msiba huu na kuonyesha upendo na ushirikiano wa hali ya juu ktk kuwafariji, kutoa pole na hata kujitolea kwa hali na mali. Mwenyenzi Mungu aendelee kuwaongezea pale mlipotoa.

Pili, mikakati na maandalizi ya kumsafirisha Marehemu inaendelea vizuri. Napenda kuwataarifu kuwa

Taarifa ya mazishi ya Mzee Augustine Cassian Mwingira

Augustine Cassian Mwingira
Augustine Cassian Mwingira

Familia ya Marehemu Mzee Augustine Cassian Mwingira kutoka Mjimwema, Kigamboni inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mzee wao, mzee Augustine Cassian Mwingira kilichotokea Jumanne, tarehe 27 Mei 2014 katika Hospitali ya Shree Hindu Mandal alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mjimwema, Kigamboni "Kwa Mwingira". 

Maziko yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam siku ya Jumamosi, terehe 31 Mei 2014.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe - Amen

Rais Kikwete, Mwanafunzi huyu anakuomba, umsikie, umsaidie

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles, akichukua daftari lake kwa ajili ya kulihifadhi kwenye mfuko wake. Julius anatumia mdomo kwa vile hana mikono. (picha zote: Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Ikungi. Singida — MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze kufikia lengo lake la kusoma hadi Chuo Kikuu.

Julius amesema amefikia uamuzi huo wa kuomba kupatiwa mtu wa kumhudumia kutokana na kutokuwa na mikono. Amedai ulemavu huo, umesababisha pamoja na mambo mengine atumie mguu wake wa

Katiba CCM inawabeba Lowassa, Rostam, Chenge; inawatosa Membe, Sitta

Wakuu, nimeipitia kwa umakini katiba ya CCM na nimegundua inamapungufu makubwa na inalinda na kuruhusu wahalifu kushika nyadhifa hata kama walishakwenda jela maisha, ilimradi tu uifurahishe Kamati Kuu. Nimejaribu kuchukua sehemu ya Wanachama na viongozi katika katiba hiyo toleo la 2005.

2.1. WANACHAMA NA VIONGOZI

FUNGU LA 1:


6.Kila mtu aliyekuwa mwanachama wa TANU au wa ASP mara kabla ya kuvunjwa kwa Vyama hivyo, na aliyekuwa anatimiza masharti ya Uanachama wake, atakuwa mwanachamaa wa Chama Cha Mapinduzi, isipokuwa kama atakataa mwenyewe.
7.Raia yeyote wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18, anaweza kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi iwapo anakubali Imani, Malengo na Madhumuni ya CCM.
8.Mtu atakayekubaliwa kuingia katika CCM, au kuendelea kuwa Mwanachama, ni yule anayetimiza Masharti yafuatayo:-

ZuRii Boutique Notice/TangazoKwako mteja wetu wote wa ZuRii Boutique,

Tarehe 30 Mei 2014 ndiyo itakuwa mwisho wetu pale tulipo kwa sasa Sinza Legho. ZuRii Boutique itahamia sehemu mpya na tutawajulisha tutakapokuwa tayari. Tunakuja kivingine, mtafurahi sana. Kaeni mkao wa kupendeza sana na ZuRii Boutique Mpya.

Asanteni sana kwa kuwa nasi katika kipindi chote tulichokuwa pale.

************************

Dear Valued Customers, please be advised that ZuRii Boutique formery located in Siza Legho will be

UN Peacekeepers Day: Wreath-Laying Ceremony @ Mnazi Mmoja Heroes Grounds

The United Nations Information Centre (UNIC) in collaboration with the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) and Tanzania Police Forces cordially invites the media to the wreath-laying ceremony to mark the commemoration of the International Day of UN Peacekeepers, to be held at Mnazi Mmoja Heroes Grounds, on Thursday, 29 May, 2014, at 0900am.

The Guest of honor at the ceremony will be the Minister of Defence Forces and National Service, Hon. Dr. Hussein Mwinyi. The theme chosen for this year's commemoration is “United Nations Peacekeeping: A Force for Peace. A Force for Change. A Force for the Future” As the world is confronted with

[photos] Africa’s premiere jazz festival launch

Wanda Baloyi, Brenda Mtambo, Asanda Bam (Picture by Oupa Bopape)
 Wanda Baloyi, Brenda Mtambo, Asanda Bam (Picture by Oupa Bopape)

JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA, May 27: The Who's Who of the South African music and jazz scene were in attendance when the organisers of Africa's premiere jazz festival announced the artists who will be performing this year.

These included South African musical legends Sibongile Khumalo and Jonas Gwangwa who are

Babu akamatwa kwa kumbaka, kumlawiti mjukuu wake (6)

Na Steven Augustino, DemashoNews, Tunduru — BABU wa miaka 62 aliyetambuliwa kwa jina la Daimu Liwa anashikiriwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mjukuu wake wa miaka 6.

Taarifa za tukio hilo zinaeleza kuwa Babu huyo amekuwa akimfanyia unyama huo mjukuu wake kwa kipindi kirefu.

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Akili Mpwapwa amesema kuwa mtuhimiwa huyo alinaswa na Bibi wa binti huyo Bi Samaradi Jabili Njaidi (60) Mei 19 mwaka huu baada ya kusikia kelele alizozipiga binti huyo wakati akiingiliwa.

Alisema baada ya kusikia sauti hiyo, Bibi huyo alienda eneo lililosikika kelele hizo na

Wanachama 'kibwena' Simba waandamana kuhusu Wambura kuenguliwa

Polisi katika eneo la Klabu ya Simba wakiimarisha ulinzi.

Mamia ya wapenzi na washabiki wa klabu kongwe ya mpira wa miguu nchini Tanzania, Simba SC leo (Mei 28, 2014) mchana wamejikusanya kwa wingi katika makao makuu ya klabu yao hiyo,kupinga Michael Wambura kuondolewa kwenye orodha ya wagombea kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29,2014.
Mamia ya wapenzi na washabiki wa klabu kongwe ya mpira wa miguu nchini Tanzania, Simba SC leo (Mei 28, 2014) mchana wamejikusanya kwa wingi katika makao makuu ya klabu yao hiyo, kupinga Michael Wambura kuondolewa kwenye orodha ya wagombea kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29, 2014. (picha: Sek David).

Bofya hapa kurejea taarifa ya Uongozi wa timu ya soka ya Simba ya kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea, akiwemo Michael Wambura katika kinyang'anyiro cha uchaguzi kwenye klabu hiyo kongwe.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha 2014/2015

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Anna Tibaijuka akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015.

HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, MHESHIMIWA PROF. ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15


UTANGULIZI

1. Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa kazi za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ya mwaka wa fedha 2013/14 na malengo ya Wizara katika bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15. Aidha, naliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2014/15.

Vijana Rombo na raia wa nchi jirani wabaka wanawake wakijishughulisha na kilimo mashambani

WANANCHI wa Kijiji cha Ushiri Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, wameliomba Jeshi la Polisi mkoani humo, kukomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vikiwemo vya ubakaji vinavyofanywa na vijana wakiwemo raia wa nchi jirani, dhidi ya wanawake wanapokuwa mashambani katika ukanda wa chini wa Wilaya hiyo, inaripoti Fikra Pevu.

Wananchi hao wametoa ombi hilo leo Mei 28, 2014 wakiwa katika uzinduzi wa kikundi cha Askari wa ulinzi shirikishi wa Polisi wa Kijiji hicho, kufuatia ongezeko la vitendo vya kihalifu vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiofahamika na kuwafanya waishi kwa hofu na kuacha mali zao zikiharibika mashambani.

Mtendaji wa Kata ya Ushiri Ikuini, Benard Njau, amesema uanzishwaji wa vikundi hivyo unatokana na walinzi wa kikundi cha ‘mtambo’ kushindwa kudhibiti uhalifu huo pamoja na uhalifu wa wizi wa mifugo, uvutaji bangi na ulevi wa kupindukia.

Utafiti wa Kitaifa wa Afya uliofanywa mwaka 2010 umeonyesha kuwa asilimia 42 ya wanawake na watoto wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia mkoa wa Kilimanjaro ikiwa nafasi ya sita kwa kuwa na asilimia hiyo ambayo ni zaidi na kiwango cha ukatili huo kwa nchi nzima.

Wizara ya Mambo ya Nje: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha 2014/2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasilisha Bungeni  Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa fedha 2014/2015 mjini Dodoma tarehe 27 Mei 2014
Waziri Membe akisoma bajeti ya Wizara anayoiongoza  huko Bungeni, mjini Dodoma tarehe 27 Mei 2014

Hotuba aliyoisoma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (MB.) wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 inapatikana kwa kubofya hapa (PDF).

Etisalat's Tanzania telecoms business defaults on $96m

DUBAI: An unidentified bank has demanded Zanzibar Telecom repay $96 million owed to it after the Tanzanian mobile operator defaulted on the loan, a bond prospectus for parent firm Etisalat said.

Zanzibar Telecom, which uses the brand name Zantel, has struggled against larger rivals Vodacom and Bharti Airtel.

Its subscriber base fell 41 percent last year despite plenty of room for growth in the sector, with mobile penetration in the East African country at 61 percent.

"Zantel is currently in non-payment default under a bilateral bank facility," a bond prospectus issued by

[infographic] A visual history of World Cup Final Stadia since 1930

Belgium to invest in Education in Tanzania; Italy focuses on young Tanzanian engineers, technicians

THE ITALIAN government has allocated a grant of 2.750.000 EUROS in order to improve the capacity of the three Tanzanian institutions namely: The Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Mbeya University of Science and Technology (MUST) and Arusha Technical College (ATC).

In order to widen access and improve quality of teaching and learning of Tanzanian Technical Education Institutes, the programme provided some of the most modern and high quality training equipment available in Europe and proudly made by an Italian specialized company (purchased for a total amount of 1.100.000 Euros).

The programme also wants to assure and facilitate the Tanzanian staff upgrading and updating (ITALY-Tanzania Technical Education and Labour Market Support programme (TELMS). Click here for the full story

BELGIUM'S largest construction group, BESIX has said it intends to invest in Tanzania's social services, especially in education.

The investment decision was reached at a meeting with a delegation from the Tanzania Railway Limited, Tanzania Ports Authority (TPA) and the Ambassador to Belgium and Mission to the European Union (EU), Dr Diodorus Kamala in Brussels on Sunday.

Ambassador Kamala said in a statement to the 'Daily News' that the group's management met the delegation from Tanzania in Luxemburg.

He said that among other issues discussed, the management of BESIX group have agreed to invest in various social services in the country through the BESIX Foundation. BESIX is the largest Belgian construction group, founded in 1909 and it generated 2.13 billion Euros in revenues last year. Click here for the full story.

[picha] Meshack Maganga katika mradi wa Maji MadibiraKwa muda wa siku takribani tatu hivi, mjasiriamali Meshack Maganga alikuwa Madibira huko Mbarali akishughulika katika mradi wa kuwapatia maji wakazi wa eneo hilo.

Zifuatazo ni picha alizotutumia kutoka huko punde tu alipopata wasaa wa kutafuta mawasiliano ya simu.

Pongezi sana Meshack na washirika wako, kwa juhudi na jitihada zenye kuleta mabadiliko katika maisha halisi ya watu na maendeleo kwa nchi!