Utaifa Wetu - Tuzungumze na Costantine Magavilla

Kuna maswali manne ambayo yamekuwa yakiniumiza kichwa baada ya mjadala wa muundo wa serikali kupamba moto kwenye mchakato wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Costantine Magavilla
Costantine Magavilla
  1. Kwanza, je utaifa wetu ni nini? Ina maanisha nini mtu kujiita Mtanzania? 
  2. Pili, je kuna usahihi kutofautisha dhana ya Utaifa na serikali? Kwa maana kuu moja, katika mijadala ya kisiasa kuna usahihi tukitofautisha au kuweka mipaka kwenye kujadili masuala yanayohusu Taifa hili kukomea kwenye majukumu ya serikali na vyombo vingine vya kitendaji? 
  3. Tatu, je Nyerere na Karume wana makosa kwenye hili suala la muungano? Je Karume alikosea kuongoza mapinduzi ya Zanzibar? Je Nyerere alikosea kuungana na jirani yake nchi nyingine huru kuunda nchi moja? 
  4. Nne, je tumekosea wapi kama Taifa hadi tunafika sehemu hii tulipo sasa tunahoji Utaifa wetu au tunatoa fursa kwa watu kuhoji dhana ya Utaifa na watu wanakubali kuhoji Utaifa wetu?

Je Utaifa wetu ni nini?

Nikianza na swali la kwanza linalosema Utaifa wetu ni nini? Tukisema sisi ni Watanzania tunamaanisha nini? Mtu akisema yeye ni Mmarekani inamaanisha nini? Mtu akisema yeye ni Mjerumani au Muingereza inamaanisha nini? Mimi ninaamini katika hili, Utaifa wa nchi hautofautiani na nafsi ya binadamu. Mwanadamu hawezi kujitenganisha na historia yake. Hawezi kuchagua tukio moja na kuliacha lingine katika mjumuisho wa yale mambo yaliyopelekea kumfanya yeye awe

Katibu Mkuu Kiongozi azungumza na Washirika wa Maendeleo

null
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika mazungumzo na mabalozi na wawakilishi wan chi washirika wa maendeleo katika mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). (picha: IKULU)

null
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na mabalozi na wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN)

Shindano la Tanzania Movie Talents laanza rasmi Dar

Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents lililoanza rasmi leo kwa Kanda ya Pwani.

Na Josephat Lukaza, Proin Promotions — Shindano la Tanzania Movie Talents limeanza rasmi leo kwa Kanda ya Pwani ambapo usaili unaendelea kufanyika leo na kesho katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa uliopo Jijini Dar es Salaam.

Washiriki zaidi ya 250 tayari wamechukua fomu za ushiriki wa Shindano hilo ambalo ni muendelezo wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza ambalo limefanyika tayari kwa Kanda tano za Tanzania, yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini na sasa

Notisi ya TANESCO: Katizo la umeme kwa matengenezo

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA MARA KWA AJILI YA KURUHUSU MATENGENEZO YA KAWAIDA


Meneja wa TANESCO Mkoa wa Mara anasikitika kuwataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na katizo la umeme Mkoa wa Mara ili kuruhusu matengenezo ya kawaida kama ifuatavyo:-

SIKU, TAREHE NA MUDA
KITUO
MAENEO YATAKAYOKOSA UMEME

JUMAMOSI- 31/05/2014                  SAA 3 ASUBUHI – 11 JIONI

MUSOMA POWER STATION

Maeneo yote ya mji wa Musoma

JUMAPILI- 01/06/2014                  SAA 3 ASUBUHI – 11 JIONI

MUSOMA POWER STATION

Maeneo yote ya mji wa Musoma.

Tafadhali ukihitaji utatuzi wa jambo lolote kuhusu umeme wakati wa dharura, wasiliana na Ofisi za TANESCO kwa namba 0732 985672, 0683 165087, au 028 2622 020 .

Au Kituo cha miito ya simu kwa namba 022-2194400 or 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:

Mhandisi Respicius Ndyanabo,
Kaimu Meneja wa TANESCO,
Mara.

Habari za michezo zahamia viganjani


* Ni kupitia huduma ya Global Sport
* Kujiunga mteja anatakiwa kutuma neno SPORT au SPORTS kwenda 15778.

Dar es Salaam, Mei 29, 2014 — Huku zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa kombe la Dunia Nchini Brazil, wapenzi wa michezo nchini sasa wamerahisishiwa kupata habari mbalimbali kupitia simu zao za mkononi mahali popote na muda wowote kufuatia kuzinduliwa kwa huduma mpya ya Global Sport.

Akizungumzia juu ya huduma hiyo Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania

Wizara ya Nishati na Madini: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha 2014/2015

Sospeter Mwijarubi Muhongo
 Hotuba iliyosomwa Bungeni na Waziri Mhe. Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (MB.), kuhusu Makadiriio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 inapatikana kwa kubofya hapa ama hapa (PDF) (Print/Chapa)

Rai ya Mengi kuhusu uzushi wa kikabila unaosambazwa

Hivi karibuni nimeshuhudia kusambazwa kwa taarifa mbalimbali kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms) na mitandao ya jamii zikinihusisha na tuhuma mbalimbali.

Napenda kuufahamisha umma kwamba taarifa zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za uongo, chuki, na uzushi. Kilichonisikitisha sana ni kuona kuwa uzushi huo unachochea kuifarakanisha jamii yetu kwa misingi ya ukabila jambo ambalo ni hatari kwa umoja na mshikamano ambao Tanzania tumejitahidi sana kuujenga, na mtu yeyote anayediriki kuleta uchochezi wa kikabila hastahili kuwa kiongozi wa ngazi yoyote katika taifa letu.

Mimi ni miongoni mwa Watanzania walio mstari wa mbele wanaomuunga mkono Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kusisitiza kuwa rasilimali za

Anne Kansiime corners husband with ex's photo

Police in Kenya seize vessel with Tanzanian flag

Police in Mombasa, Kenya are holding a fishing boat with a Tanzanian flag, which docked at Mbaraki wharf on May 5. The docking yard is normally used by warships. Police said Lucky Star Zanzibar does not have a permit to fish in Kenyan waters or offload its cargo in the country.

The vessel was carrying 15 tonnes of fish. Police and the Fisheries department at the Coast are probing the 10 crew members, including several Kenyans. The vessel is under tight security by the police and navy.

Coast assistant director of fisheries Nicholas Ntheketha said they have written to Tanzanian authorities to inquire if the vessel and crew members are registered in their territory. The vessel's agent, Diverse Shipping Agents, have also been told to explain the lack of proper documents by their client.

Elkana Jacob, The Star, KENYA.

Another Kenyan bank to enter Uganda, Tanzania


Co-operative Bank plans to set up shop in Uganda and Tanzania using its model of partnering with local co-operative movements.

Co-op Bank used a similar strategy to enter the South Sudan market, which it says will break-even in June, eight months after launch.
“The bank is in the process of expanding operations to Uganda and Tanzania in partnership with co-operative movements in those countries,”
said Co-op Bank group managing director Gideon Muriuki in the lender’s recently released annual report for 2013.

Co-operative Bank, owned 64.56 per cent by Kenya’s co-operative movement, is Kenya’s fourth

Maelezo ya Zitto kuhusu tuhuma ya Leka Dutigite, TANAPA, NSSF, Kigoma AllStars iliyosomwa Bungeni na Mbilinyi

Tuhuma zilizosomwa katika maelezo ya Msemaji wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni wa Wizara ya Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni , Joseph Mbilinyi (MB.) wakati akisoma Bungeni maoni ya kambi hiyo kuhusu Bajeti ya Makadirio na Matumizi ya Wizara husika:

Mheshimiwa Spika, Tarehe 13 Agosti, 2012, Msajili Msaidizi wa Makampuni katika Wakala wa Usajili wa Makampuni na Leseni (BRELA) alitoa Hati ya Usajili (Certificate iof Incorporation) kwa kampuni inayoitwa Leka Dutigite Limited. Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, Leka Dutigite Ltd. ina ofisi zake katika ghorofa ya kwanza ya jengo la City House lililoko katika Mtaa wa Mkwepu, Dar es Salaam. Mheshimiwa Spika,
Katiba, yaani Memorandum and Articles of Association, ya kampuni ya Leka Dutigite Ltd. iliyosajiliwa BRELA tarehe 13 Agosti, 2012 inaonyesha kwamba mwenye hisa nyingi katika kampuni hiyo ni kampuni nyingine inayoitwa Gombe Advisors Ltd. ya Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa za kibenki ambazo Kambi Rasmi ya Upinzani ya Bunge lako tukufu imezipata, mnamo tarehe 10 Desemba, 2012, Hifadhi ya Taifa ya Saadani ilihamisha jumla ya shilingi 12,200,000 kwenda kwenye akaunti na. 0150357447800 iliyoko CRDB Bank tawi la Pugu Road,

Lady JayDee, Juliana Kanyomozi and Jamila Mbugua named Oriflame Beauty Ambassadors

From left: Henrik Johannesson (Vice President of Oriflame Africa), Lady JayDee, Jamila Mbugua (Kenyan Musician), Klas Kronaas (Managing Director Oriflame East Africa) posing for a photo after announcing them to endorse Oriflame beauty and cosmetic line in East Africa.
Swedish beauty company, Oriflame Cosmetics, has announced the appointment of three renowned Eastafrican celebrities as brand ambassadors. The three Lady Jaydee, Juliana Kanyomozi and Jamila Mbugua, will represent the Oriflame brand in Uganda, Tanzania and Kenya respectively.

The partnership is in line with the company’s growth strategy underlined by growing its East Africa sales force and expansion to other African markets. The strategy is anchored on four main pillars including network marketing, world class service, brands & products and people and culture.

Oriflame East Africa Managing Director, Mr. Klas Kronaas, expressed delight that the East African

Ole wako uvae "Kata K" hapa!, Utamjua Mkuu wa Wilaya

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Mathew Sedoyeka amepiga marufuku kwa kijana yeyote wa kiume mahali popote wilayani humo kuvaa suruali kwa staili ya "Kata K".

Pia aliwaagiza viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji, Kata, Tarafa na Wilaya kushirikiana na Kamati za Ulinzi na Usalama katika maeneo yao ya kiutawala kuwachukulia hatua kali vijana wowote wa kiume watakaobainika kuvaa suruali zao kwa staili hiyo ya Kata K.

Alitoa maagizo hayo hivi karibuni akihutubia mikutano mbalimbali ya hadhara wilayani humo.

Alisema tabia hiyo ya vijana wa kiume kuvaa suruali zao kinyume cha utaratibu haiwezi kuvumilika kwa kuwa inatukanisha jamii. Alionya Watanzania hususani vijana kuachana na tabia ya kuiga kila kitu kutoka nje ya nchi ikiwemo uvaaji wa nguo zisizo na staha.

Why TPDF won in Uganda? Amin’s former top soldier reveals

"His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular"
 Nearly 35 years after the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) bravely defended the country and finally ousted Uganda’s Idi Amin Dada, Colonel Abdu Kisuule, a former close ally of the dictator, reveals why he and thousands of his soldiers were defeated. A few months after the 1971 coup, Ugandan troops, led by Col Kisuule, went into Tanzania to rescue their colleagues who had strayed into the country, ostensibly looking for water. Seven years later, he commanded the Ugandan troops which invaded the Kagera Salient, sparking off the 1979 liberation war.
Amin came back to Kampala, leaving the operation to retake Masaka in my hands. By then, Lukaya was still in our control but our soldiers had looted everything they could lay their hands on, and the locals had all fled. This made us a target anytime and for that reason I decided to put my tactical headquarters in Buwama at the county office, and I ordered all soldiers to stay 500m away from the centre.
Please click here for the full story.