Diamond in Washington DC na Washabiki wake kabla ya show NJ

Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.

Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga naye picha.

Taarifa: Sitisho la shindano la TMT kutokana na msiba wa George TysonTAARIFA KWA UMMA

Kampuni ya Proin Promotions Limited ambayo ni waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents inapenda kuutangazia umma wa Watanzania na wadau wote wa tasnia ya maigizo Tanzania kuwa imepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za msiba wa Mtayarishaji na Muongozaji mahiri wa vipindi vya runinga na filamu, Ndugu George Tyson ambaye alifariki dunia tarehe 30 Mei 2014 kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Gairo mkoani Morogoro akiwa njiani kurudi Dar es Salaam.

Ikumbukwe kuwa kabla ya taarifa hizo za msiba kupatikana, Shindano la Tanzania Movie Talents lilikuwa linaendelea katika Kanda ya Pwani ambapo usaili ulianza tarehe 30 Mei 2014 saa mbili asubuhi katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa uliopo Jijini Dar es Salaam. Kutokana na msiba huu ambao pia umemgusa

Walimu wawaadhibu wanafunzi kwa kutumia 'pedi' chafu

Gazeti la HabariLeo limeripoti kuwa Walimu wanne wa shule ya Sekondari Kindai katika Manispaa ya Singida wamepewa agizo la kuwataka kuhama mara moja baada ya kukiri kuwa walitoa adhabu ya udhalilishaji kwa wasichana wote wa shule hiyo, kwa madai kuwa mmoja wao alitupa chooni taulo ya kike (sanitary pad/ 'pedi' ) iliyotumika.

Walimu waliohusika na mkasa huo na kukumbwa na tamko hilo ni Hadija Mussa, Sara Kabogo, Evodia Zablon na Elina Mathias ambao walikiri kutenda kosa hilo na kuahidi kutorudia tena.

Walimu hao walikiri kutenda makosa hayo mbele ya mkutano wa dharura wa wazazi, ambao pia

Prof. Muhongo asema Wapinzani walipewa fedha, Upo ushahidi wa CCTV wakisaini IPTL

Wabunge kutoka vyama mbalimbali vya upinzani Bungeni wakiongozwa na Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani, Freeman Mbowe wakitoka nje ya Bunge kususia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Wizara ya Nishati na Madini uliokuwa ulkiendelea jana Bungeni mjini Dodoma. (picha: Lukwangule blog)

Sababu zilizowafanya Kambi Rasmi ya Upinzani, kutoka nje ya Bunge jana jioni wakiongozwa na Kiongozi wake, Freeman Mbowe, zimewekwa hadharani kuwa ni madai ya wenzao wa CCM walishajipanga kupitisha Bajeti hiyo, huku pia wakilalamikia ratiba ya mkutano huo wa 15 wa Bunge.

Hata hivyo, Spika Makinda alisema ratiba ya mkutano huo ilipangwa na Kamati ya Uongozi ambayo pia

Tanzania's soccer team kicked out of hotel in Zimbabwe

Tanzania’s national football team, Taifa Stars on Thursday was kicked out of the hotel they were booked in ahead of their crucial return leg against Zimbabwe this Sunday, it has been reported.

This is because the Zimbabwe Football Authority (ZIFA) hosting the team, failed to pay their accommodation, broadcast journalist Ezra Tshisa Sibanda says.
“This is a disgrace and a total failure by those in charge of the football association. I wouldn’t mind the players and technical staff deserting camp and going back to their clubs leaving Cuthbert Dube, CEO Mashingaidze and their board to play against Tanzania,”
said Sibanda. --- (zimeye.org report).

The visitors were caught up in the cold war between ZIFA and Pandhari Hotels in what was a very

Eti? Walimu wagwaya kuadhibu wanafunzi kisa, wataharibu ndoa!

Walimu wa kike wa shule za msingi wilayani Ruangwa mkoani Lindi, wanaogopa kutoa adhabu kwa wanafunzi wa kike kutokana na wanafunzi hao kuwachukulia waume zao kama kulipiza kisasi kwa adhabu wanayopewa na walimu wao.

Kadhalika walimu wa kiume wanaogopa kutoa adhabu kwa wanafunzi wakiume kwa hofu ya kuchomewa nyumba zao moto.

Mwalimu wa kike ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini alisema aliwahi kutoa adhabu kwa

[video] Joseph Kusaga katika Sporah Show - Mahojiano

Tanzanian Gov acusses UK envoy of ill will

The government has accused the UK High Commissioner to Tanzania, Ms Dianna Melrose, of influencing other development partners to cut aid and support to Tanzania. The deputy minister for Energy and Minerals, Mr Steven Maselle, told Parliament yesterday that the envoy was violating diplomatic principles.

He said the envoy was coordinating meetings in Dar es Salaam and Dodoma against proper and accepted procedures to convince other development partners to stop supporting Tanzania.

The deputy minister added that she was pushing the government to take a loan from Standard

Mwanafunzi Mlimani - UDSM afariki ghafla chumbani chuoni

Mwili wa mwanafunzi huyo ukishushwa kutoka chumba alichokuwa amelala.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Happiness Sakabenga, jana amefariki ghafla chumbani kwake baada ya kutoka kwenye vipindi vya masomo asubuhi, chuoni hapo.

Mwanafunzi huyo wa mwaka wa pili aliyekuwa akichukua Shahada ya kwanza ya Biashara na Uhasibu, baada ya kutoka darasani alikwenda kupumzika na hakuamka tena.

Habari za ndani kutoka kwa marafiki zake zililiambia NIPASHE kuwa mwanafunzi huyo alitoka

Joyce Banda accepts to hand over power to Prof. Arthur Mutharika

Malawian President Joyce Banda has accepted the elections results declared by Malawi Electoral Commission (MEC) that Democratic Progressive Party (DPP) leader Professor Arthur Peter Mutharika (APM) is the president-elect.

Banda has reportedly accepted the election results despite earlier this week claiming the vote was “null and void “amid allegations of polling irregularities and fraud.

The outgoing president said that she was ready to leave office after the court ruled that the MEC should

Mfano hai wa watu wanakuanda​ma mtandaoni bila sababu (Trolls)

Licha ya kuwa sehemu muhimu za kubailishana mawazo, na pengine kufahamiana na watu mbalimbali, mitandao ya kijamii (social networks) ina upande wa pili ambao kwa hakika unaweza kuyafanya maisha yako yawe magumu mtandaoni. Pengine umeshawahi kusikia kuhusu watu wanaoitwa TROLLS. Pengine ushawahi kukutana nao, iwe Twitter au Facebook au hata Instagram. TROLL ni mtu anayeamua kukuandama kwenye mtandao wa kijamii pasipo sababu ya msingi.

Mara nyingi TROLLS humwandama mtu mwenye umaarufu bila kujali umaarufu huo unatokana na nini. Mtandao wa kijamii unaopendelewa zaidi na TROLLS ni Twitter. Na mara nyingi TROLLS humwandama mtu mwenye followers wengi, pengine lengo likiwa ni kusababisha madhara makubwa kwa mtu huyo. Hapa ninamaanisha kuwa kwa mfano TROLL anapo-tweet kitu kibaya dhidi yako, anatamani watu wengi