Tanzania in the list of top 5 opportunities for PPP in SSA

According to the article published by VENTURES AFRICA, Tanzania is blessed with various natural resources, which makes it a favoured destination for foreign investment.

The country is home to various minerals, including gold, diamonds and coal, but the sector has not witnessed expected growth. Furthermore Tanzania’s natural gas boom has, in part, been overshadowed by the one south to it in Mozambique and, in part, subdued by the country’s mass infrastructural challenges across all sectors. The country requires an estimated $6 – $8 billion to keep up with expected

[infographic] Interesting FIFA World Cup stats

Everything You Need to Know for the Upcoming FIFA World Cup in Brazil
via Visually.

Wizara yaagiza wakamatwe wanaojitangaza kutibu magonjwa sugu

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt Seif Rashid kupitia Wizara anayoiongoza ameagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya UKIMWI, kisukari na shinikizo la damu.

Alitoa agizo hilo Bungeni wakati akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/15.

Dkt Rashjid aliwasihi wataalamu wa tiba asili na tiba mbadala, kuacha mara moja, kujitangaza kuwa na uwezo wa kutoa tiba dhidi ya ugonjwa wowote ule ambao uwezo huo haujathibitishwa kitaalamu.

“Hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha tiba asili na tiba mbadala,” alisema.

Waziri huyo alisema yapo matangazo yanayohusu kuwa na uwezo wa kutibu UKIMWI, kisukari na shinikizo la damu.

“Kwa mujibu wa Sheria ya Tiba asili na Tiba mbadala, matangazo hayo yaondolewe mara moja,” alisema.

Alieleza kuwa wizara itatoa mwongozo na taratibu zinazopaswa kufuatwa ili dawa husika zithibitishwe kitaalamu.

“Napenda kuchukua fursa hii kuagiza vyombo husika vya serikali, vifuatilie kwa karibu na kuchukua hatua kwa mujibu wa sheriakwa wale watakaokwenda kinyume na sheria,” alisema.

Harika mbwanyeni...

Nauli mpya na utaratibu wa kulipia usafiri wa DART

Hatimaye picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

Kwa wanafunzi, nauli kwa ruti moja kwenda katika vituo hivyo vikubwa katika mradi huo ambao utaanza kwa majaribio mwishoni mwa mwaka huu, zitapanda kutoka Sh 200 mpaka nusu ya nauli ya mtu mzima kwa ruti husika.

Aidha, mfumo wa uendeshaji wa mradi huo na nauli, umewekwa katika sehemu mbili; sehemu ya

TGNP Mtandao yasikitika kumpoteza mwanzilishi wake

Fides S. Chale
Fides S. Chale

TGNP Mtandao tumepata pigo kubwa kwa kumpoteza mwanaharakati na Mwenyekiti wa kwanza wa shirika, aliyefariki Juni 2, 2014 Ubungo Msewe Dar es Salaam. Fides Chale alikuwa ni mwalimu na kiongozi aliyegusa maisha ya wengi hapa Tanzania, Mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake, wasichana na makundi mengine yaliyoko pembezoni.

Dada Fides amekuwa mtu wa watu, mcheshi, mwenye upendo, utu, huruma, mpole, mwenye sura ya kutabasamu muda wote hata alipokuwa kwenye hali ya ugonjwa.

Tunapoombeleza kumpoteza dada yetu Fides Chale, tunasheherekea maisha yake, mchango

Faridas Foundation kutoa vifaa kwa walemavu itakapozinduliwa Juni 28, 2014, Karibu ushiriki!Taasisi ya Faridas Foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tarehe 28/6/2014 siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Crystal Hall, Blue Pearl Hotel, Ubungo Plaza kuanzia saa 6 mchana hadi 12 jioni. 

Katika siku hyo taasisi itatoa misaada mbalimbali kwa walemavu ikiwemo baiskeli za walemavu, vyerehani, vifaa vya shule na vifaa vingine muhimu kwa walemavu.

Ukiwa kama mdau au Mtanzania unayeguswa na walemavu na ungependa kuhudhuria

[picha, video] Kituo cha Mwenge, Dar chabomolewaPicha zaidi...

[infographic] Inspirational athletes defying the odds at age 50+

Exercise is important for people of all ages, whether you’re 15 or 56. Just because you’re getting older doesn’t necessarily mean that you have to stop exercising. Check out our infographic below, to find out more about some of the most inspirational athletes over the age of 50. --- Source: carehomestoday.co.uk


Defying the Odds at 50 +
via Visually.

Tanzanians believe gas offers brighter future for the country, but...

  • Most citizens believe that gas offers a brighter future for the country
  • But many are concerned that Government and the rich will benefit the most

3 June 2014, Dar es Salaam: Four out of five citizens believe that oil and gas will benefit them, their children and the country. At the same time, four out of ten (37%) believe that people in Government and the rich will benefit the most. More than half of the population (55%) want some of the revenue from oil and gas to be given directly to citizens in cash.

These findings were released by Twaweza in a research brief titled Managing natural resources: what do citizens say?The brief is based on data from Sauti za Wananchi, Africa’s first nationally

Misa kwa ajili ya Mama Aruken Geoffrey MushiDada Sarah Mushi wa Ashburn, VA anapenda kuwajulisha na kuwaomba mjumuike naye katika misa ya mpendwa mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi itakayofanyika Jumamosi Juni 7, 2014 katika kanisa OUR SAVIOR'S WAY LUTHERAN CHURCH liliko Ashburn.

Our Savior's Way Lutheran Church,
43115 Waxpool Rd,
Ashburn,
VA 20148

Ibada itaanza saa 6:00 mchana.

Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na David Kisanga (703-932-0540); Mercy Ligate (240-461-9477)

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

Tangazo la msiba wa Bi. Fides Chale

Fides S. Chale
Fides S. Chale

Mdau Kazikupenda "KK" Chale anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bi. Fides Chale kilichotokeo ghafla leo huko nyumbani kwake Ubungo Msewe.

Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa mwanae, Ubungo-Msewe, Dar. Maziko yanatarajia kufanyika Dar. Taarifa zaidi zitotelewa baadaye.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina la Bwana Lihimidiwe - Amen