Haya, UKAWA wagawika mapande mawili

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umeendelea kushikilia hatima ya kupatikana kwa Katiba Mpya yenye maridhiano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayopaswa kupendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni.

Hata hivyo, licha ya UKAWA kuhodhi upatikanaji wa Katiba Mpya yenye maridhiano, taarifa zinabainisha kwamba uamuzi wa jumla wa wajumbe wake wa Bunge la Katiba kutoshiriki mkutano ujao wa Bunge hilo umeanza kuingia dosari, mgongano wa kimtazamo ukianza kuibuka.

Kwa mujibu wa taarifa za uhakika ambazo gazeti hili limezipata kutoka kwa vyanzo kadhaa vya habari, UKAWA imegawanyika kimtazamo katika mapande mawili kwa sasa.

Upande mmoja ni ule wenye msimamo wa kutokurejea bungeni hadi pale Rasimu ya II ya Tume ya

Artists for World Peace donate supplies for orphanage in TanzaniaChris Nolet - Special to the Press Volunteers joined Middletown artist Wendy Black-Nasta, founder of Artists for World Peace, and her husband, musician Robert Nasta to pack a 40-foot container with bicycles and hospital equipment.

MIDDLETOWN >> One Saturday morning, the otherwise empty parking lot behind the Social Security Administration off Main Street extension was buzzing with activity. A dozen or so volunteers from Artists for World Peace, as well as a three-person moving crew, proceeded to spend the next two hours lifting, pushing, hoisting and carrying more than $170,000 in medical supplies and furnishings, bicycles and equipment into a 40-foot shipping container attached to a truck bound for New York City

All these items, donated over the past few months, will be shipped to the village of Kibosho Umbwe, Tanzania, where the local organization is helping to support the Good Hope Orphanage. Additionally,

Taarifa ya SUMATRA kwa umma kuhusu UDA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


UTENDAJI WA SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA) KATIKA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI WA UMMA


Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imekuwa ikifuatilia utendaji wa watoa huduma ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam na kubaini kuwa baadhi ya mabasi yanayomilikiwa na Shirika la Usafiri Dar es Salaam yamekuwa yakikiuka Masharti ya Leseni ya Usafirishaji Abiria.

Ukiukwaji wa masharti ya leseni umebainika zaidi katika kutoza nauli zaidi ya zile zilizoridhiwa na SUMATRA, mabasi kutokuonyesha njia zinakotoa huduma, kukatisha njia (ruti) na madereva

Mchungaji aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji sasa huru

MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania (EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi -- aliyevaa koti jeupe  (picha: Mbeya Yetu blog)
 

Taarifa ifuatayo imenukuliwa na wavuti.com kutoka Mbeya Yetu blog kama ilivyoandikwa na Ezekiel Kamanga, MBEYA

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 aliyokuwa akiitumikia Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Iwambi Jijini Mbeya, Daniel Mwasumbi (57) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ubakaji na kumpa mimba mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Itende Neema Beni (19) jijini hapa.

Mchungaji Mwasumbi alihukumiwa kifungo hicho, Januari 2 mwaka huu na mahakama ya Wilaya ya Mbeya na Hakimu Gilbert Ndeuruo na Serikali kuwakilishwa na wakili Achiles Mulisa, ambapo Mahakama ilimtia hatiani Mchungaji katika makosa kinyume cha sheria kifungu cha 130(2)e na 131(1) sura ya 16 ya sheria iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Awali Mchungaji Mwasumbi alikuwa akitetewa na Wakili wa kujitegemea Victor Mkumbe ambapo

Inside Google's Self-Driving Car: No steering wheel, No accelerator pedal, No Brake pedal

Google X is building a few hundred self-driving cars that have no steering wheel, accelerator pedal or brake pedal.
Google X is building a few hundred self-driving cars that have no steering wheel, accelerator pedal or brake pedal. (photo: NPR)

Google told NPR about its driverless (self-driving) car project.

The tech company built three prototypes from scratch, creating compact cars that look like they're on an extreme no-options diet. For now, their top speed is 25 mph.

The latest version of Google's driverless car was shown off in a blog post. The company says its goal is "improving road safety and transforming mobility for millions of people."

NPR's Aarti Shahani took a ride in one of the prototypes (see the video below). She also filed a report for 

5 Things real, true friends & healthy couples don’t doToday, I want to look at five things people in healthy relationships do NOT do to each other. Why? Because it's often harder to clearly see what happens in good relationships, because they aren't out their slamming doors and stomping around and airing criticisms on Facebook.

Here are five things true friends and healthy couples don’t do to each other:

1. They don’t post negatively about each other on social media.

– 14-year-old school kids post negatively about their boyfriends, girlfriends and friends on social media. It's a catty way to get attention and vent, when the emotionally healthy response is to talk your grievances over with them directly when the time is right. Don't fall into the trap of getting others on your side, because healthy relationships only have one side.

2. They don’t make their careers a bigger priority than their close relationships.

Vifaa vya ujenzi katika kampuni mpya ya Stone Block Company

Baadhi ya vifaa vinavyotengenezwa hapa nchini na Kampuni ya Stone Block Building

Mfano wa choo kilichotengenezwa na vifaa vinavyotengenezwa na Kampuni ya Stone Block Building

via FDande blog, DAR ES SALAAM, Tanzania

Mapinduzi makubwa katika sekta ya viwanda yalifanyika jana baada ya kuzinduliwa kampuni ya Stone Block Company ambayo itakuwa ikizalisha vifaa mbalilmbali vya ujenzi hapa nchini.

Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Taifa Mh. Husein Mwinyi, pamoja na Balozi wa Uturuki nchini Balozi Ali Davutoglu, Waziri wa Biashara na Forodha kutoka Uturuki Mh. Hayati Yazici, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wabunge mbalimbali kutoka Uturuki.

Uzinduzi huo ni kufuatia uhitaji mkubwa wa vifaa vya ujenzi nchini suala ambalo linaleta