Atumia gari lake kusaidia polisi kuzuia gari jingine lisigonge watoto


Kijana mmoja (umri wa miaka 14) huko Salt Lake City katika mji wa Syracuse, Utah aliyechukua gari la babu yake bila taarifa wala ruhusa na kuanza kuliendesha yapata maili 25 kutoka nyumbani, almanusura awagonge watu na watoto waliokuwa wakicheza katika kiwanja cha umma siku ya Jumamosi.

Video ya tukio imepachikwa hapo chini...

[audio, video] Simulizi la ukatili aliofanyiwa binti huyu na mwajiri wake

* audio na video ya simulizi imepachikwa mwishoni mwa habari hapo chini...

Sehemu ya majeraha kwenye mwili wa binti aliyejeruhiwa na mwajiri wake 

Dina Marios katika blog yake ameweka picha zinazomwonesha binti mmoja ambaye mwili wake umeharibiwa kwa majeraha yanayodaiwa kutokana na kung'atwa na kuchomwa kwa pasi ya moto na mwajiri wake.

Katika chapisho hilo, Dina anasema mkasa wa yaliyompata binti huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyekuwa anafungiwa ndani tu huku akifanya kazi kwa mwajiri wake tangu miaka mitatu iliyopita, utasimuliwa na Gea Habib katika kipengele cha "Heka Heka" katika kipindi cha "Leo Tena" kinachosikika katika Radio Clouds FM.

Gazeti la MWANANCHI linamtaja binti huyo kuwa ni  Yusta Lucas (20) na sasa

Mbunge wa Ukerewe, Machemli aachiwa huru

Salvatory Machemli, Mbunge, Ukerewe
Salvatory Machemli, Mbunge, Ukerewe

Mbunge wa Ukerewe, mkoani Mwanza, Salvatory Machemli ameachiwa huru na Mahakama baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe, Faustine Kishenyi.

Hakimu Kishenyi alisema mahakama imeridhika mshitakiwa hana hatia baada ya upande wa mashitaka

Mnada wa vitu vya Ubalozi wa Canada kesho


Picha zaidi za vifaa vitakavyonadiwa zimepachikwa hapo chini...

Lupita Nyong'o kushiriki katika Tamasha la 17 la ZIFF

Mkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la Filamu la nchi za Majahazi la 17 maarufu kama Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Kulia Msaidizi wa Kitengo cha habari ZIFF, Lara Prieston, Kushoto ni Meneja wa Tamasha la ZIFF, Daniel Nyalusi (Dean), Afisa Mawasiliano wa ZIFF, Hassan Musa "Has T" (wa pili kushoto) na Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala (katikati). (picha na Zainul Mzige/MoDewji Blog)

Na Andrew Chale -- DUNIA inatarajia kushuhudia tukio kubwa na la kihistoria ndani ya viunga vya Ngome Kongwe ndani Mji Mkongwe wa Stone Town, Unguja, kwa watu wa mataifa yote watakapoungana na kushuhudia ‘Hatma ya Pamoja’ (A common Destiny) Juni 14 hadi 22, 2014, katika Tamasha la Kimataifa la filamu la Zanzibar (ZIFF).

Tamasha hilo maarufu kama filamu la nchi za Majahazi ZIFF, kwa mwaka huu linatarajiwa kufanyika kwa mara ya 17, tokea kuanzishwa kwake.

Akizungumza mapema leo jijini Dar es Salaam, kwenye halfa maalum ya uzinduzi wa tamasha hilo la 17, kwa wandishi wa habari iliyofanyika Goethe Institut kituo cha utamaduni, Mkurugenzi Mkuu wa tamasha hilo, Profesa Martin Mhando, alisema tamasha hilo msimu wa mwaka huu linatarajiwa kuwa moto kwani

Job opportunities: African Union

Posting titleGradeDuty stationClosing date
SENIOR LEGAL OFFICER (INSTITUTIONAL AND GENERAL LEGAL AFFAIRS)P3Addis Ababa, Ethiopia 6/11/2014 12:00:00 AM
LEGAL OFFICER (JUDICIAL AND REGULATORY AFFAIRS)P2Addis Ababa, Ethiopia 6/11/2014 12:00:00 AM
LEGAL OFFICER (ADMINISTRATIVE JUSTICE)P2Addis Ababa, Ethiopia 6/11/2014 12:00:00 AM
SENIOR BENEFITS OFFICER – AU PENSION FUNDP3Addis Ababa, Ethiopia 6/11/2014 12:00:00 AM
SENIOR PROTOCOL OFFICER IN-CHARGE OF PRIVILEGES AND IMMUNITIES P3Addis Ababa, Ethiopia 6/11/2014 12:00:00 AM
PHYSICIAN (INTERNAL MEDICINE SPECIALIST).P4Addis Ababa, Ethiopia 6/15/2014 12:00:00 AM
INTERPRETER- ARABIC P4Addis Ababa, Ethiopia 6/16/2014 12:00:00 AM
INTERPRETER-ENGLISHP4(Addis Ababa, Ethiopia) or any regional Office 6/16/2014 12:00:00 AM
INTERPRETER-FRENCH P4(Addis Ababa, Ethiopia) or any regional Office 6/16/2014 12:00:00 AM
TRANSLATOR-ARABIC P3(Addis Ababa, Ethiopia) or any regional Office 6/16/2014 12:00:00 AM
TRANSLATOR-ENGLISH P3Addis Ababa, Ethiopia) or any regional Office 6/16/2014 12:00:00 AM
TRANSLATOR-FRENCH P3(Addis Ababa, Ethiopia) or any regional Office 6/16/2014 12:00:00 AM
TRANSLATOR-PORTUGUESE P3Addis Ababa, Ethiopia) or any regional Office 6/16/2014 12:00:00 AM
HEAD OF KNOWLEDGE MANAGEMENT DIVISIONP5Addis Ababa, Ethiopia 6/18/2014 12:00:00 AM
SENIOR FINANCE OFFICERP3Addis Ababa, Ethiopia 6/18/2014 12:00:00 AM
SECURITY GUARD SUPERVISORGSA 5Addis Ababa, Ethiopia 6/18/2014 12:00:00 AM
HEAD OF DIVISION, PARTNERSHIPS MANAGEMENT AND COORDINATIONP5Addis Ababa, Ethiopia 6/18/2014 12:00:00 AM
DESK OFFICER, NGO FORUMS ASSOCIATIONP2Addis Ababa, Ethiopia 6/18/2014 12:00:00 AM
DIRECTOR OF PANVACP5Addis Ababa, Ethiopia 6/17/2014 12:00:00 AM
SENIOR POLICY OFFICER, ECONOMICS, TRADE AND MARKETING P3Addis Ababa, Ethiopia 6/29/2014 12:00:00 AM
SENIOR POLICY OFFICER FOR INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGIES (ICT)P3Addis Ababa, Ethiopia 6/29/2014 12:00:00 AM
LOGISTICS OFFICER – (PSOD)P2Addis Ababa, Ethiopia 7/1/2014 12:00:00 AM
ASSISTANT ASSET CONTROL AND INVENTORY OFFICERP1 + 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
ASSISTANT CIVIL AFFAIRS OFFICERP1+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
MISSION ASSISTANT ADMINISTRATIVE OFFICERP1+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
ASSISTANT POLITICAL AFFAIRS OFFICERP1+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
ASSISTANT SECURITY OFFICERP1+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
CHIEF – ADMINISTRATIVE SERVICES SECTIONP4+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
CHIEF – JOINT SUPPORT OPERATIONS CENTREP3 + 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
CHIEF – INTEGRATED SUPPORT SERVICESP4 + 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
Posting titleGradeDuty stationClosing date
CONTINGENT-OWNED EQUIPMENT OFFICERP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
CONDUCT AND DISCIPLINE OFFICERP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
GENDER OFFICERP2 + 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
HEAD OF MISSION SUPPORT D1Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
HEAD OF PROTECTION, HUMAN RIGHTS AND GENDERP4+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
HEAD OF SECURITY SECTOR REFORMP3 + 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
HUMAN RIGHTS OFFICERP2 + 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
HUMANITARIAN LIAISON OFFICER P2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
INFORMATION ANALYSTP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
LEGAL OFFICERP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
POLICY OFFICER: OFFICE OF THE CHIEF OF STAFFP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
PROTECTION OFFICERP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
SECURITY OFFICERP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu postingMogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
SECURITY SECTOR REFORM OFFICERP2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
TRANSPORT OFFICER P2+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
ASSISTANT COMMUNICATION AND INFORMATION TECHNOLOGY SERVICES OFFICERP1+ 1 grade exceptionally for Mogadishu posting Mogadishu, Somalia6/15/2014 12:00:00 AM
LABORATORY ASSISTANTGSA4Debre Zeit, Ethiopia7/1/2014 12:00:00 AM

Info. source: www.aucareers.org/vacancies.aspx

Rwanda ponders its security

Jonathan Beloff
Jonathan Beloff
 In April 2014, the world began its 20th commemoration of the 1994 Rwandan Genocide. The Rwandan government has billed this year’s event as one of Kwibuka (Kinyarwandan for ‘remembrance’).

This ought to be a time for Rwandans to reflect on their past while nurturing hope for a better future for their children. However, the commemoration has been marred by continuing fears of terrorist attacks by former genocidaires amidst a sceptical international environment

Within the walls of Rwandan government buildings, those who once liberated the country – believe that at any time Rwanda may be struck down by forces moving in from across the border in the Democratic Republic of Congo (DRC), bent on establishing a political and social agenda for a ‘Tutsi-free Rwanda’.

Since Rwanda’s ‘liberation’ by the RPF, the fortunes of the former genocidaires have been in decline, while those of post-genocide Rwanda have greatly increased in the areas of economic development, access to healthcare services and education. These accomplishments have convinced thousands of former

Rais Kikwete, Waziri Membe wateta na Mjumbe wa Rais Zuma


Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mama Maite Nkoana-Mashabane, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 6, 2014.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Mhe. Bernad Membe naye alikuwepo.

Picha na maelezo kutoka Ikulu ya Rais.

null

Zinduka Mtanzania! La sivyo yatakukuta mabaya zaidi!

Nafungua Ukurasa Mpya wa Fikra Mbadala za Kimapinduzi

Zinduka Mtanzania! Zinduka! Kumekucha! La sivyo yatakukuta mabaya zaidi!


Na: Mchochezi Paulo Fransisko Mongi

ILANI YA MWANDISHI: Ndugu Watanzania, hii ni makala ya insha ya kichochezi, ya kwanza kabisa kwenye safu hii, kwenye gazeti lako ulipendalo. Ninaposema “ya kichochezi” simaanishi – wasije wakanielewa vibaya hao maafande na mabosi wao – kuwachocheeni ninyi wananchi kuvunja sheria, la hasha. Lengo ni kuwachocheeni ili mchukue hatua stahiki, kwa njia ya amani kabisa, kuzidai haki zenu zilizoporwa, tena nyingi ambazo zimekanyagwa kwa “kuisigina” Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Insha hii – mtaniwia radhi wale wenye mioyo dhaifu – na nyinginezo itajumuisha maneno makali, yasiyo na tabia ya kumung'unywa. Kifupi, nitaandika yaliyo moyoni mwangu na pale ambapo

Kwanza Production: Mahojiano na Dekula Kahanga "Vumbi"

Dekula Kahanga "Vumbi"

Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Dekula Kahanga "Vumbi" Vumbi ambaye anamiliki Dekula Band nchini Sweden.

Amezungumzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa albamu yake mpya ya Shujaa Mamadou Ndala iliyozinduliwa Aprili 23 na 24 huko Sweden.

Pia, ametoa ushauri kwa wasanii wa Afrika Mashariki wanaotaka kufanya muziki nchi za Scandinavia

KARIBU UUNGANE NASI.
.

Kwa maoni na ama ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com

DART yafafanua kwa nini nauli yao ni nafuu kuliko ya sasa

Kiwango cha nauli kitakacholipwa baada ya kukamilika kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kinaelezwa kuwa ni kidogo ukilinganisha na kile kinacholipwa na abiria sasa.

Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imependekeza kiasi cha Sh500 kwa barabara za ndani, Sh700 kwa barabara kuu, Sh 800 kwa wanaounganisha safari zao kutoka barabara za ndani kwenda barabara kuu na Sh 900 kutoka barabara za ndani kwenda barabara kuu na kwenda tena barabara za ndani.

Pia, wanafunzi watalipa nusu ya nauli ya mtu mzima kulingana na ruti wanayokwenda. Akijibu

Unakuja Dar? Brush your jumping skills...

A pedestrian jumps across a trench in the middle of the road at Barakuda in Dar es Salaam yesterday. The road links Vingunguti and Tabata in the city. The erosion has been caused by the incessant rains in the city and the surrounding region for nearly two months. (photo: Mohamed Mambo/Daily News)