Kwanza Production: Kuelekea Kombe la Dunia - Mahojiano na Halifa Ramadhan kutoka Brazil

Photo Credits: EyesOnNews.com

Siku chache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la Soka huko Brazil, mambo mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusu maandalizi ya michuano hiyo.

Kuna malalamiko na maandamano nchini humo ambavyo kwa hakika vinaleta

Mwonekano adimu wa rangi ya anga na upinde wa mvua

Wow! My favorite photo that I saw of the rainbow over Atlanta tonight from @lindseyAmiller Amazing! — Justin Crate WSBTV (@WSBTVCameraMan) June 6, 2014
Anga lenye rangi ya waridi-urujuani na upinde wa mvua wakati wa machweo siku ya Alhamisi, Juni 5, 2014 katika jiji la Atlanta jimboni Georgia nchini Marekani.

(picha: David Goldman/AP)

So this was a pretty cool sight in Atlanta tonight. — Danny Karnik (@DannyKarnik) June 6, 2014

Rais Kikwete aamuru Polisi kuchunguza vyama vya ushirika Tabora

Rais Kikwete akiongea Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika Uwanja wa Chipukizi mkoani humo.

Na Ofisi ya Rais, IKULU — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ameamuru Jeshi la Polisi kupeleleza na kisha kuwachukulia hatua mara moja watu wote wanaotuhumiwa kwa wizi na ubadhilifu katika vyama vya ushirika mkoani Tabora.

Rais Kikwete amesikitishwa sana na tuhuma hizo zilizosababisha kuwepo kwa tatizo la muda mrefu kwa wakulima wa tumbaku kwa kutokulipwa stahili zao na vyama vya ushirika kwa muda mrefu.

Alisema: "Kwa upande wa tatizo la wakulima wa tumbaku kutokulipwa stahili zao na

Official designer of Diamond @ 2014 MTV MAMA: Sheria Ngowi

Diamond Platinumz and Wema Sepetu
Diamond Platinumz and Wema Sepetu
Sheria Ngowi


Being nominated in an internationally recognized award worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more.

You are really flying our Tanzanian flag globally and yet paved the way for international attention indeed.

Congratulations Diamond Platinumz, you have set a benchmark. Keep up the good work.


Deogracious Kessy- Head of Marketing
#Sheria Ngowi Brand#[picha] Harusi ya Joshua Nassari (MB) na Anande Nnko

Msafara wa magari yakiwa na maharusi kuelekea Kanisani, Kanisa la Pentekoste Kilinga, Meru tayari kwa ajili ya kufunga ndoa.

Bwana harusi Joshua Nassari aakijiweka sawa muda mfupi baada ya kufika katika viwanja vya Kanisa la la Kilinga maarufu kama Kwa Mchungaji Babu.

Bwana harusi ,Joshua Nassari akamvisha pete Bibi harusi, Anande Nnko.
Bwana harusi, Joshua Nassari akamvisha pete Bibi harusi, Anande Nnko.


Maharusi: Joshua Nassari na Anande Nnko.


Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki , Joshua Nassari na  Anande Nnko wakiwa ndani ya gari muda mfupi baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Kilinga wilayani Arumeru tayari kwa kuelekea viwanja vya Usa-River Academy.


Yatokanayo na kesi ya kauli "Wapigwe tu" ya WM Pinda: Mwananchi anayeathirika na kauli za Wabunge aweza kushitaki, si taasisi

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ikitoa hukumu siku ya Ijumaa, Juni 6, 2014 kuhusu kesi dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda iliyokuwa imefunguliwa Julai mwaka jana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufuatia kauli aliyoitoa bungeni tarehe 20 mwezi Juni, mwaka jana akijibu swali katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo akisema:, ‘…unaambiwa usifanye hiki ukaamua kukaidi, utapigwa tu, muwapige tu sababu tumechoka...’ imesema kuwa taasisi hizo hazina mamlaka kisheria ya kumshitaki kiongozi huyo.

Katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Pinda kilichofanyika Juni 20, Pinda akijibu swali alisema, ‘ukifanya fujo…unaambiwa usifanye hiki ukaamua kukaidi, utapigwa tu, muwapige tu sababu tumechoka’.

LHRC na TLS wakiwakilishwa na Peter Kibatala, Fulgence Massawe, Harold Sungusia,

Hotuba ya Rais Kikwete ya kufungua huduma za saratani Tabora

Rais  Jakaya Kikwete akiongea Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika Uwanja wa Chipukizi mkoani humo.

HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI NA YA MATITI MKOANI TABORA, TAREHE 7 JUNI, 2014


Mhe. Mama Salma Kikwete, Mlezi wa MEWATA;
Mhe. Kebwe Steven Kebwe (Mb.), Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii;
Mhe Fatma Mwasa, Mkuu wa Mkoa wa Tabora;
Wakuu wa Wilaya – Tabora, Nzega na Urambo;
Wabunge Wote wa Mkoa wa Tabora Mliopo;
Dkt. Serafina Mkuwa, Mwenyekiti wa MEWATA;
Wawakilishi wa Washirika Wetu wa Maendeleo;
Dkt. Joseph Komwihangiro, Mwakilishi wa Marie Stopes;
Madaktari Wote wa MEWATA na Watumishi wa Sekta ya Afya;
Mwakilishi wa Shirika la Marie Stopes na Wawakilishi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Waliopo;
Wageni Waalikwa;
Mabibi na Mabwana;


Shukrani na Pongezi

Niruhusuni nianze kwa kuwashukuru Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (aliyewakilishwa hapa leo na Naibu Waziri Mhe.Dkt. Stephen Kebwe) na Mwenyekiti wa Chama cha Madakatari Wanawake Tanzania (MEWATA), Dkt. Sarafina Mkuwa kwa kunialika kuja kuzindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora. Nawapongeza nyote kwa maandalizi mazuri kwani ni ukweli usiopingika kuwa shughuli hii imefana sana. Aidha, nawashukuru wenyeji wetu wa Mkoa wa Tabora wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Mheshimiwa Fatma Mwasa, kwa mapokezi mazuri mliyonipatia mimi, mke wangu na wageni wenzetu. Sikutegemea kupata mapokezi tofauti na haya hapa Tabora, kwani upendo wenu kwangu na ukarimu wenu tunaujua na unasifika na wengi. 
 
Madhumuni ya Ziara

Ndugu Wananchi;
Nimekubali kuja kujumuika nanyi katika uzinduzi huu, siku ya leo, ili kuongeza sauti yangu na uzito kuhusu shughuli hii muhimu na adhimu inayofanywa na Madaktari Wanawake hapa nchini.

The 10 Most Boring Cities in the USA


The 10 Most Boring Cities In America By Movoto Real Estate

  1. Lubbock, TX
  2. North Las Vegas, NV
  3. Chesapeake, VA
  4. Irving, TX
  5. Fort Wayne, IN
  6. Plano, TX
  7. San Bernardino, CA
  8. Stockton, CA
  9. Mesa, AZ
  10. Laredo, TX

How did these cities get there? Where do other places rank? All your questions and more have been answered at movoto.com

Burundi, Tanzania to scrap Work Permit fee

EAST African citizens will from 2016 work in any of the member countries without paying for a work permit, EAC secretary general Richard Sezibera has said.

Sezibera said Burundi and Tanzania will join Kenya, Rwanda and Uganda in scrapping the fees by end of this year and next year, respectively.

If that happens, the EAC will be edging closer to realising free movement of labour, a