Supply Chain Capacity Development Course, July 2014

Supply Chain Capacity Development Course,Nairobi, Kenya, 14th - 18th July, 2014


Development of national supply chain capacity is crucial for scaling up effective aid delivery. We offer one-of-a-kind Supply Chain Capacity Development course for Senior Managers, Decision Makers and Supply Chain Professionals.

Any organization sponsoring five or more participants to the course will be entitled to a group discount of 15% on total fee payable provided that at least five participants actually attend the course.

However, the maximum discount an organization or individual can avail (early bird and group discounts) is to a ceiling of 10%. Click here to find out more...

Rais Kikwete ahani misiba ya Kanali Mwanakatwe na "Mzee Small"

Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu msanii maarufu wa filamu za vichekesho, Saidi Ngamba “Mzee Small"  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo  nyumbani kwake  Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam leo Juni 9, 2014
Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu msanii maarufu wa filamu za vichekesho, Saidi Ngamba “Mzee Small"  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo  nyumbani kwake  Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam leo Juni 9, 2014

Mtaalamu aelezea sababu za wasichana katika baadhi ya shule 'kupagawa' kwa kupiga kelele na kuanguka hovyo

Ugonjwa wa kuanguka na kupiga kelele unaowakumba baadhi ya wasichana katika shule mbalimbali nchini, umetajwa kusababishwa na maambukizi ya hofu inayosababisha mwili kupata dalili za magonjwa yasiyokuwepo.

Mtaalamu wa saikolojia na theolojia, Mchungaji John Rowse kutoka taasisi ya The Uhakika Christian Education Trust Fund kutoka Mbeya, alisema hayo hivi karibuni baada ya kutembelea shule zinazopata tatizo hilo mara kwa mara na kuzungumza na wazazi, wanafunzi na walimu wa shule hiyo.

Alisema kuna mambo kadhaa yanayochangia kujenga hofu hiyo ambayo mwili hujitayarisha kuambukizwa, ikiwemo vitisho vya maisha kwa wanafunzi vinavyotokana na mambo mbalimbali kama

Anicetus Busagi na Levina Mtei wafunga pingu za maisha


Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus M. Busagi akilishana keki na mkewe Levina A. Mtei katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time..


Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake.

Utafiti waonesha kuna kansa za maeneo 'masikini' na 'matajiri'

Ingawaje inafahamika kuwa ugonjwa wa saratani haubagui, ripoti ya utafiti uliofanywa imeonesha kuwa zipo aina za saratani zinazoandama maeneo wanamoishi watu wenye kipato cha chini ama umasikini wa kupindukia na kutupwa na aina hizi za saratani mara nyingi huwa ni za hatari zaidi kuliko aina za saratani zinazoandama maeneo wanamoishi watu wenye kipato cha kati na juu.

Utafiti huo uliofanywa kwa wagonjwa milioni 3 hivi wenye uvimbe wa saratani kati ya mwaka 2005 na 2009 katika majimbo 16 ya hapa nchini Marekani, umeonesha kuwa aina 32 kati ya

This is how we survive...

A street child soaks a piece of bread to soften it as seen along Dar es Salaam Road in Dodoma. (Photo by Mohamed Mambo/DAILY NEWS)

Dar to become 5th wireless internet city in Africa

Dar es Salaam will anytime soon become the fourth city in East Africa to launch zones of free internet services, with the government selecting Muhimbili National Hospital as the first launching place, The Guardian on Sunday has learnt.

The technology would ensure that innovations take centre stage in public service delivery, whereupon WiFi can potentially transform the city into a health and medical hub for the sub-Saharan region.

The revelation was made by Minister for Communication, Science and Technology Prof Makame Mbarawa in an exclusive interview with this paper on the sidelines of the parliamentary budget meeting here.

He said the government plans to start with the Muhimbili National Hospital as it is one of the busiest places in the city, accommodating a big number of people everyday, adding that the aim is to roll the service to all other hospitals, big shopping malls in the city in an effort to ensure that people access free internet services. --- click here to read more.

Old age adage, "A Picture Is Worth a Thousand Words" explained in plain simple English


Explanation shared by joecardillo @Visual.ly
Most people have heard this age old adage, but we sometimes forget that it's based on the science behind how we process visuals. Researchers believe that somewhere between 80-90% of all information that goes into the brain is visual, and that we process visuals thousands of times faster than text. This means that in the time that it takes to read the text , you'll have processed the image on the left several times over.

TGNP: Mjadala wa wazi juu ya Uboreshaji na Uwajibikaji

Sehemu ya washiriki wa mjadala huo wa wazi.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MTANDAO wa Jinsia nchini (TGNP Mtandao) umefanya mjadala wa wazi ulioshirikisha taasisi mbalimbali zisizo za Serikali (NGO's) pamoja na wadau wa masuala ya kijinsia juu ya uboreshaji wa uwajibikaji kwa kuzingatia mgawanyo wa rasilimali kijinsia kwa huduma bora za kijamii nchini Tanzania.

Mjadala huo wa wazi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam katika Hotel ya Blue Pearl, pamoja na mambo mengine lengo kuu ilikuwa ni kuimarisha sauti ya pamoja kudai uwajibikaji kwa watunga sera kwa kuzingatia mgawanyo wa rasilimali kijinsia, kupiga vita rushwa na kuboresha utoaji huduma za kijamii.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi mara baada ya kumalizika kwa mjadala huo,