Various job openings at The Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation

BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIV/AIDS FOUNDATION

logos3

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES


The Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) is a Trust and not for profit organization with a vision to be a hub of innovation in quality health services delivery in Tanzania. Its strategic focus areas is to strengthen prevention, care & treatment of HIV/AIDS; Maternal New Born health; Human Resource for Health and build its institutional capacity for technical leadership and sustainability.
To implement its 5 years Strategic Plan (2013 – 2018), BMAF seeks for a committed, self-driven, dynamic and competent qualified candidates to fill the vacancies below:-

Moto waliteketeza jengo la Machinga Complex, Dar es Salaam

photo by Task Force‏@WaljiAli#tanzania, fire at shauri moyo machinga complex 
Task Force‏@WaljiAli#tanzania, fire at shauri moyo machinga complex @JerrySilaa @subinukta pic.twitter.com/ypqJeemuZT

Picha zinazoonekana hapo juu na chini ni kutoka kwa Walji Ali "Task Force" aliyeshuhudia moto

Kibonzo cha Marco baada ya kuzinduliwa kwa lifti ya kwanza MbeyaHISTORIA YAWEKWA MBEYA: CWT YAZINDUA LIFTI KATIKA JENGO LAO


Lifti ya Jengo la ghorofa sita inapoanzia. Kila safari moja inaruhusu watu wasiozidi saba kupanda na kushuka ghorofani.

Na Rashid Mkwinda, MBEYA -- Uzinduzi wa lifti ya jengo la Chama Cha Walimu mkoani Mbeya (CWT) umeibua gumzo kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake huku baadhi yao wakiweka mijadala yao katika mitandao ya kijamii wakielezea hisia zao tofauti.

Hata hivyo kwa mujibu wa taarifa zilizopo Mkoa wa Mbeya haujawahi kumiliki jengo refu zaidi ya ghorofa nne ambapo Jengo hilo la ghorofa sita linaelezwa kuwa

Kasheshe! Polisi bandia amsimamisha Polisi wa kweli

Duniani vituko haviishi!

Huko Florida, jamaa mmoja aliyejibandika cheo anachokijua yeye cha Kipolisi na kuanza kufanya kazi kama polisi, alijikuta akimsimamisha Sheriff wa kweli mpelelezi aliyekuwa akiendesha gari lisilo na utambulisho wa kipolisi.

Kijana huyo, Matthew Lee McMahon, 20, alitumia taa maalumu za rangi ya bluu (mara nyingi kwa pamoja na nyekundu), zinazotumika juu ya magari ya polisi wa Marekani kuliashiria gari lolote kusimama kwa ajili ya ukaguzi, kulisimamisha gari la Sheriff mpelelezi, Chance Anderson.

"Nilipaki pembeni ili kukabiliana na mhusika. Wakati huo, yeye alipaki gari lake

Semina Juni 20-22. Norristown, PA, USA na Apostle Dunstan Maboya


FFU Ughaibuni walitingisha Jiji la Dortmund

Umati wa washabiki wa jijini Dortmund wakijiweka tayari kupata burudani ya Ngoma Africa Band

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU ukipenda waite viumbe wa ajabu "Anunnaki alien" walifanikiwa kutingisha tena jukwaa la burudani siku ya Jumamosi, Juni 7, 2014 mjini Dortmund, Ujerumani katika

Tanzanian Environmentalist Wins 2014 National Geographic/Buffett Award for Leadership in Conservation

Benezeth Mutayoba, Professor at Tanzania’s Sokoine University of Agriculture and Vice Chairman of the Tanzania Elephant Protection Society
Benezeth Mutayoba, Professor at Tanzania’s Sokoine University of Agriculture and Vice Chairman of the Tanzania Elephant Protection Society

Environmentalists from Mexico and Tanzania Win 2014 National Geographic/Buffett Award for Leadership in Conservation 

Award Honors Conservation Heroes Enriqueta Velarde and Benezeth Mutayoba

WASHINGTON (June 10, 2014) — Biologist Enriqueta Velarde, a researcher at the University of Veracruz’s Institute of Marine Sciences and Fisheries in Mexico, who has devoted 35 years to studying and conserving the seabirds of the Gulf of California’s Isla Rasa, is the 2014 winner of the National Geographic Society/Buffett Award for Leadership in Latin American Conservation. Scientist and biologist Benezeth Mutayoba, professor at Tanzania’s Sokoine University of Agriculture and vice chairman of the Tanzania Elephant Protection Society, who highlights the plight of African elephants and the bushmeat crisis in Africa, is this year’s recipient of the National Geographic Society/Buffett Award for Leadership in African Conservation.

Dr. Velarde and Dr. Mutayoba will receive their $25,000 awards at the National Geographic Society in Washington, D.C., on Thursday, June 12, at an Explorer Awards ceremony. Established through

Rais Kikwete awateua Kahendaguza na Marwa kuwa Mabalozi

Robert Kahendaguza
Robert Kahendaguza 

UTEUZI WA NAIBU MABALOZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Naibu Mabalozi wawili.

Walioteuliwa ni Bw. Robert Kahendaguza (pichani juu) anayekuwa Naibu Balozi, Ubalozi wa

Wakenya waliohusika na wizi NMB Mwanga wahukumiwa kifo

MAHAKAMA kuu kanda ya Moshi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa wawili raia wa Kenya katika kesi ya mauaji ya askari Polisi, Pc Michael Milanzi, wakati wa tukio la uporaji wa fedha katika benki ya NMB tawi la Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Mbali na hukumu hiyo iliyosomwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kakusulo Sambo kwa zaidi ya saa nne, mshatakiwa wa tatu katika kesi hiyo, Karisti Kanje (Mtanzania) yeye amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano (5) jela kwa kosa la kuhifadhi na kutorosha watuhumiwa wa mauaji ya askari polisi.

Taarifa ya Dixon Busagaga via Michuzi Blog

Waziri Chikawe, IGP Mangu, Kamisha Ambokile ziarani ChinaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Kampuni ya Kutoa Huduma ya Mawasiliano nchini China, Li Ping alipokuwa akimfafanulia masuala mbalimbali ya mawasiliano yanayofanywa na Kampuni yake. 

Waziri Chikawe yupo jijini Beijing nchini humo na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu,

Waziri Membe (Tz) akutana na Waziri Simmonds (UK)

L-R: Mark Simmonds na Bernard Membe
L-R: Mark Simmonds na Bernard Membe

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza leo tarehe 11 Juni 2014.

Pamoja na mambo mengine, Mawaziri hao wamezungumzia maazimio ya Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro ("End Sexual Violence in Conflict") unaoendelea mjini London, Uingereza. Tanzania inashiriki mkutano huo kufuatia mualiko wa Serikali ya Uingereza kutokana na mchango mkubwa wa Tanzania katika kufanikisha kuwepo kwa Tamko la Umoja wa Mataifa linalohusu suala hilo (Declaration of Commitment to End Sexual Violence in Conflict).

Tamasha la Kwanza la Vitabu vya Hadithi kwa Watoto wa Shule za Msingi; Mgeni rasmi ni Mama Salma Kikwete

Mmoja wa watoto akionyesha kipaji chake wakati wa mazoezi kwa vitendo kupitia hadithi mbalimbali walizosoma kutoka kwenye vitabu.

Na Mwandishi wetu

WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.

Akizungumza jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.

Kitunga amesema kuwa tamasha hilo ni moja ya michakato ya kuwataka watoto kupenda

Madiwani wasema Kinondoni inaongoza kwa ufuska

Na RACHEL KYALA via Uhuru — KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana kilitikiswa vikali baada ya kuzuka kwa malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ufuska vilivyoshamiri katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.

Idadi kubwa ya madiwani hao wameelezea kushuhudia na kusikitishwa na vitendo hivyo, hususan vya ngono na kuiomba serikali kutofumbia macho suala hilo walilosema linafaa kuitwa janga la kitaifa.

Madiwani hao waliyataja maeneo mbalimbali katika manispaa yao, ambayo yamekuwa yakiendesha vitendo hivyo kuwa ni Msasani, Sinza, Kinondoni na Oysterbay na kuliita jambo hilo kama sababu

10 days of Hell under the “wisdom” of Cpl. Anna of Kawe Traffic Police

Stark Raving MAD! - 10 Days of Hell under the “wisdom” of Corporal Anna of Kawe Traffic Police!


(And some Lousy Female Police Corporal keeps laughing off, claiming to be fully conversant with the basic logic of jurisprudence. Excuse me? Juris-what? Read on, you'll be entertained... and enraged!)

I WANNA SEE A SHOW OF HANDS AMONG YOU PEOPLE! YES! YOU! YOU! YOU! THAT WOMAN OVER THERE, THAT MAN OVER THERE, AND THAT GIRL OVER THERE! YES! YOU WITH THE FANCY AFRICAN – YES! I LIKE IT! - HAIRSTYLE, OVER THERE!

IF there is ONE PERSON among you who says that our Police Officers are NOT corrupt, text me, as soon as you read this statement. I say they are, and this is why. But first, the facts as they stand!

One: On April 26, 2014 – Muungano Day – being completely ignorant of the fact that some banks

Huyu jamaa anamsikia kweli?


Albert Sanga: Kupenda fedha za 'chap chap' kunavyoua uwekezaji

Miaka takribani mitatu iliyopita niliandika makala hapa safuni iliyokuwa na kichwa, “Njooni shambani mtajirike”. Ilikuwa ni makala iliyoshirikisha fursa kuhusu uwekezaji katika kilimo cha miti. Kwa rekodi nilizonazo inaonesha kuwa ile ni moja ya makala zangu ambayo iliwavutia maelfu ya wasomaji; kutokana na mamia ya mirejesho ya niliyoipokea.

Si nia yangu kukumbusha habari ya fursa ile, lakini kuna mambo mengi sana nilijifunza [kupitia makala ile] kuhusu hulka za watanzania linapokuja suala la uwekezaji. Kwa mujibu wa rekodi zangu inaonesha kuwa kati ya waliowasiliana nami, asilimia 7% walivutiwa na kuikubali fursa hii lakini kikwazo kikubwa kikawa ni ukosefu wa fedha; wengi wao wakaahidi kwamba wanaendelea kujipanga na ipo siku watawekeza.

Asilimia 4% tu ndio walioipenda na kuchukua hatua ya kuchangamkia fursa hii katika

Jussa ahoji uhalali wa Mwenge na Uzinduzi wa miradi

Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Ismail Jussa Ladhu amehoji uhalali wa mbio za Mwenge wa uhuru zinazofanyika kila mwaka nchini kote na kusema asili yake ni Tanzania Bara.

Jussa alisema hayo wakati akichangia wizara ya uwezeshaji wananchi, ustawi wa jamii maendeleo ya wanawake vijana na watoto ambayo pia hujishughulisha na mbio za Mwenge kitaifa.

Akifafanua zaidi alisema mbio za Mwenge wa Uhuru asili yake Tanzania Bara na zilianzishwa na chama cha TANU kilichokuwa kikipigania uhuru kwa wananchi wa Tanganyika.

Alisema chama cha Afro shirazi Pary ambacho kilikuwa kikipigania uhuru kwa upande wa 

UK High Commissioner to Tanzania hold talks with ruling party's SG

L-R: UK High Commissioner to Tanzania Dianna Melrose and CCM's Secretary General, Abdulrahman Kinana

CCM Secretary General, Abdulrahman Kinana holds talks with the United Kingdom High Commissioner to Tanzania, Dianna Melrose, at CCM Sub-Head Office along Lumumba Street in Dar es Salaam on Monday. (photos by Bashir Nkoromo)

Tahadhari kuhusu matapeli wanaotumia jina la Utumishi - Ajira

Sekretarieti ya Ajira inapenda kutoa tahadhari kwa waombaji wote wa nafasi za kazi kupitia chombo hiki kuwa kumezuka kundi la watu wanaojifanya ni watumishi wa Sekretarieti ya Ajira ambao kwa makusudi wamekuwa wakiwapigia simu kwa lengo la kuwalaghai baadhi ya waombaji wa nafasi za kazi Serikali wakidai wapewe fedha ili waweze kuwasaidia kupata kazi Serikalini kwa urahisi mara baada ya kufanya usaili.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi amefikia hatua ya kutoa tamko hili kutokana na baadhi ya waombaji wa nafasi za kazi Serikalini kukumbwa na kadhia hiyo na kutoa taarifa. Amesema Ofisi yake haina utaratibu wa kuwapigia simu waombaji wa fursa za