[infographic] Ultimate guide: FIFA Soccer World Cup, Brazil 2014

Waandishi habari kutoka Afrika Kusini watembelea Selous

Simba wakiwa wamepumzika chini ya mti katika Pori la akiba la Selous
Simba wakiwa wamepumzika chini ya mti katika Pori la Akiba la Selous.

Na: Geofrey Tengeneza - Selous- Kundi la wandshi wa habari tisa kutoka vyombo vya habari vya Serikali na binafsi nchini Afrika Kusini wametembelea Pori la Akiba la Selous na kufurahishwa na vivutio vllivyomo katika pori hilo wakiwemo wanyama kama simba, tembo, twiga, na ndege wa aina mbalimbali.

Baadhi ya wandishi wa habari kutoka Afrika Kusini wakipiga picha Simba waliotulia chini ya mti katika Pori la Akiba la Selous.

Wandishi hao walivutiwa na kufurahia sana kuwaona hasa Simba na tembo kiasi cha miongoni mwao Kulikiri kuwa ni mara yao kwanza kuwaona wanyama hao kwa macho yao wakiwa katika maisha yao ya asili msituni kudaikuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakiwaona katika televisheni na filamu tu.
“Nimefurahi sana na mwki umenisisimka sana kuona Simba na tembo kwa mara ya kwanza kwa macho yangu katika historia ya maisha yangu” 
alisema Bwana Yolisa Mkele, mwandishi wa habari kutoka

Funding Opportunity – GMT Implementation Science

REQUEST FOR CONCEPT PAPERS

amfAR Announces $3 Million for Implementation Science Research

Innovative service delivery models and partnerships focused on the HIV treatment cascade for gay men, other MSM, and transgender individuals

Deadline: Wednesday, July 9, 2014, 4:00 PM EDT

The GMT Initiative of amfAR, The Foundation for AIDS Research, is pleased to announce the availability of $3 million in funding to support implementation science research projects evaluating innovative service delivery models and

Sheria ndani ya nyumba wakati huu wa Kombe la Dunia


Ujumbe kwa Bi Dada (Mke, Mpenzi, Mchepuko...)

  1. Kombe la Dunia ndiyo limefika, tungependa kufafanua na kuweka sawa mambo kadhaa ili usiulize swali la kijinga.
  2. Tanzania haikufuzu kucheza Kombe la Dunia.
  3. Ipo tofauti ya saa 5 kati ya Rio De Janeiro na Afrika Mashariki.
  4. Ronaldo wa Brazil na Ronaldo wa Ureno hawana undugu.
  5. Hakutakuwepo na mazungumzo yasiyohusu soka wakati wa kipindi cha kawaida ama ziada cha mechi na hasa wakati wa penati.
  6. Utazishabikia timu nitakazokuwa nazishabikia tu! Utatabasamu pale tu timu ninayoishabikia itakapokuwa inashinda na utashangilia "goliiiiii" wakati goli kweli limetinga nyavuni.

Waziri Wasira awasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15.

Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15.

Picha zote na:

Thomas Nyindo, Afisa Habari,
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

Tanzania to train 1,000 Somali soldiers

Tanzania has agreed to train Somali soldiers as part of its efforts to support peace and security in Somalia, but some Tanzanian officials have expressed concern that further involvement in Somali affairs could invite terrorist attacks from al-Shabaab.

The agreement to train 1,000 Somali soldiers first came about in 2012, when Tanzania accepted a request by former Somali President Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, which was then revived by President Hassan Sheikh Mohamud this year.

"We prepared the training camps and as I am speaking everything is ready. We are waiting for them to select 1,000 soldiers to come here for the training," 
said Salva Rweyemamu, director of communication for the Tanzanian president. 
"We want to train them to be professional soldiers so that they maintain their country's security to allow citizens to engage in development matters."

Tanzania's Minister of Defence and National Service Hussein Mwinyi said the

APO Media Award: WIN $500/month for a year, laptop, intercontinental flight ticket to a destination of your choice and...PRESS RELEASE

The second-place winner will be awarded $300 a month for one year, and the third-place winner will receive $200 a month for one year

DAKAR, Senegal, June 12, 2014/ -- APO (African Press Organization) (www.apo-opa.com), the sole press release wire in Africa and the global leader in media relations relating to Africa, announced today that entry is now open for the 2014 APO Media Award (#APOMediaAward).

The first-place winner will be presented with $500 a month for one year, one laptop and one intercontinental flight ticket to a destination of his or her choice as well as one year of access to

Tanzania-based company wins National Geographic’s 1st Terra Watt Prize


FOR IMMEDIATE RELEASE
CONTACT: Mimi Koumanelis
(202) 857-5814

National Geographic Society Names Winners of Terra Watt Prize Competition for Innovative Energy Solutions


India’s Mera Gao Micro Grid Power and Tanzania’s EGG-energy each win $125,000 for their energy proposals

WASHINGTON (June 11, 2014)—India-based Mera Gao Micro Grid Power (MGP) and Tanzania-based EGG-energy (EGG) are the winners of National Geographic’s first Terra Watt Prize, a competition aimed at developing innovative solutions that address on energy poverty. National Geographic launched the Terra Watt Prize to support entrepreneurs and investors in the quest to bring basic access to electricity to people worldwide. MGP and EGG will each receive grants of $125,000 to implement their proposed projects to provide energy solutions to off-grid communities.

“We applaud the Terra Watt Prize winners, who stepped up to the challenge of finding safe,

Waziri Prof. Muhongo akutana na Bhargava na Hinks jijini Washington, DCMhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhomgo akifanya mazungumuzo na Bw. Mayank Bhargava, Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA akiwemo mweyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao toka Tanzania.