Deadly bombing hits Zanzibar; One person killed, several injured
Zanzibar (Tanzania) (AFP) - One person was killed and several others were wounded in a bomb attack near a mosque on Tanzania's Indian Ocean island of Zanzibar on Friday, police said.

Police said the bomb went off in the Daranjani commercial district of Stone Town, the UNESCO-listed historical centre of the semi-autonomous

Taarifa ya msiba: Iraki Huddu Msawila

IRAKI HUDU MSAWILA
IRAKI HUDU MSAWILA


Aliyekuwa bondia maarufu mkongwe IRAKI HUDU MSAWILA aka Kimbunga, amefariki dunia katika hospital ya Hindu Mandal jiji Dar-es-Salaam.

Mkongwe huyo wa ngumi alifikwa na umauti baada ya kuugua kwa mda mfupi.

Marehemu IRAKI HUDU atazikwa siku ya Jumamosi, Juni 14, 2014 saa 7.00 mchana katika makaburi ya Kisutu, Jijini Dar-es-Salaam.

Maandalizi ya mazishi yanaendelea kufanywa nyumbani kwa marehemu Buguruni Rozana.

Marehemu Iraki Hudu alizaliwa mwaka 1965 Ujiji, Kigoma na kukulia mtaa wa

Mining Companies are Not tax cheats - Amb. Ami Mpungwe

Chairman, Tanzania Chamber of Minerals and Energy, Ami Mpungwe (Photo by Library).
Chairman, Tanzania Chamber of Minerals and Energy, Ami Mpungwe (Photo by Library).
 
PRESS STATEMENT

11 June 2014

MINING COMPANIES ARE NOT TAX CHEATS

Recently, reports in the media covered stories from Global Finance Integrity (GFI) report implicating mining companies in financial malpractices.

We wish to communicate to the general public that the allegations directed at the mining industry have no iota of truth. Basically the GFI report, which was released in May 2014, explains illicit financials flows purportedly staged by corporate businesses in general, but the media chose to align it with the mining industry alone. The Citizen newspaper for instance reveals that the government misses out on about $248 million per year in tax revenue from mining companies, but the

Watanzania sasa 'ruksa' kununua hisa mafuta, gesi

Na RACHEL KYALA via Uhuru — SERIKALI kwa mara ya kwanza imetoa fursa kwa wananchi ya kuwekeza kwa kununua hisa katika sekta ya mafuta na gesi baada ya serikali kutoa kibali kwa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala, kuwa ya kwanza kuuza hisa Afrika Mashariki na kumilikiwa na wazawa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Swala, David Ridge, akizungumza jijini Dar es Salaam juzi wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa hisa, aliwataka Watanzania kuchangamkia fursa hiyo ili kuinua uchumi wao na wa taifa kwa jumla.
“Utafiti wa awali unaonyesha kuna dalili nzuri ya kuwepo kwa mafuta na gesi katika maeneo ya Kilosa, Kilombero na Pangani kwani yapo katika ukanda mmoja wa bonde la ufa na eneo la Lake Turkana nchini Uganda, ambako tulifanikiwa kupata mafuta kwa wingi,”
alisema.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Swala Tanzania, Abdullah Mwinyi, alisema hisa zilianza kuuzwa rasmi juzi, ikiwa ni wiki moja tu baada ya kupata idhini kutoka Mamlaka ya Masoko na Mitaji Tanzania (CMSA) ambapo ni ofa ya kwanza katika sekta hiyo.

[video] Timbwili Mahakamani alipofikisha anayetuhumiwa kumng'ata binti wa kazi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam ililazimika kusitisha kwa muda shughuli zake hapo jana baada ya zomeazomea iliyosababishwa na umati mkubwa wa watu waliofika mahakamani hapo kushuhudia kesi inayomkabili Amina Maige aliyeshitakiwa kwa kosa la kumjeruhi binti kwa kumng'ata na kumuunguza kwa pasi.

Umati wa watu waliokuwepo mahakamani hapo ulijitahidi kumfungua mtandio bi Amina Maige aliokuwa amejifunkia kuficha sura yake, alipokuwa akishuka kutoka kwenye gari la polisi kabla ya kuingia katika chumba cha Mahakama.

Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina maelezo zaidi.

Tanzanian Scholars condemned over country's education crisis

The shortage of textbooks especially by Tanzanian writers is evidence of the lack of commitment of the country’s academicians particularly doctorate holders to address the nations education crisis, Dr Charles Kayoka a lecturer at the University of Dar es Salaam has said.

He went on to condemn what he described as sheer laziness of the country’s academicians whom he bid to step up to the challenge and bridge the education gap that the country is suffering instead of, according to him, staying silent while the nation is dying of ignorance.

He was speaking recently in Dar es Salaam at a public lecture on the Contribution of Youth Leadership to

2014 Evening Dresses Fashion Trends and Style!

Evening Dresses 2014 Fashion Trends and Style
by ADOLLIA.
via Visually.

Mentally strong people don't resent others' success

Mentally strong people can appreciate and celebrate other people’s success in life.  They don’t grow jealous or feel cheated when others surpass them.  Instead, they recognize that success comes with hard work, and they are willing to work hard for their own chance at success.
--- Angel @Marc&Angel blog

The Chemistry of love explained by Associate Professor of Psychology

"If you block oxytocin receptors, you can totally cut off that pair-bonding response,"
 explains Abigail Marsh, Ph.D., associate professor of psychology at Georgetown University.

"People who excite romantic feelings in us also probably trigger increases in oxytocin, which results in an increase in dopamine, and then we find that person someone we want to stick with."
In the video below by Sean Parsons (Reactions), Marsh also explains that addictive drugs affect the brain in ways similar to love — which helps explain the painful, withdrawal-like symptoms of heartbreak.

Ahukumiwa kwa kuongopa kuwa alibakwa na Makasisi

Waswahili husema, "kwenye msafara wa mamba, kenge na hawakosekani" na inabidi kuwa macho kuweza kuwang'amua.

Ndicho kinachoendelea pia katika visa vya kubakwa na kulawitiwa na Makasisi, ambapo baadhi ya watu wanavitumia kama mradi wa kujipatia faida.

Hapa Marekani, jamaa mmoja mmoja aliyekamatwa akiiba fedha kwa njia ya barua, amesundwa jela miaka takriban mitatu kwa makosa ya kusema uongo na kusingizia kuwa akiwa mtoto mdogo alibakwa na Makasisi katika

What in the world is he intending to do with this water?

A Dar es Salaam City resident fetches water in the middle of Msimbazi Street probably for car washing purposes over the weekend. One may shudder to imagine the extent of the damage to vehicles in case of drivers who fail to see the pothole in advance. (photo: Robert Okanda/DAILY NEWS)

Wizara ya Fedha: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2014/2015

Waziri wa Fedha, Bi. Saada Mkuya akisoma hotuba ya Wizara yake Bungeni Dodoma, Juni 12, 2014.HOTUBA YA MHESHIMIWA WAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA KWA MWAKA 2014/15


UTANGULIZI:
1.       Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/15.
2.       Mheshimiwa Spika,awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya mwaka 2014/15. Aidha, natoa shukrani zangu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuniteua kuwa Waziri wa Fedha. Ninaahidi kwamba nitatekeleza jukumu hili kwa weledi na uadilifu. Vile vile, nawapongeza Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mhe. Adam Kighoma Ali Malima (Mb) kwa kuteuliwa kuwa Naibu Mawaziri wa Wizara ya Fedha. Kadhalika, namshukuru pia aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Janeth Zebedayo Mbene (Mb) kwa utendaji kazi wake mahiri na tunamuombea Mwenyezi Mungu ampe nguvu na afya njema katika kazi zake mpya Wizara ya Viwanda na Biashara. Nichukue pia fursa hii kumpongeza Bw. Rished M. Bade kwa kuteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania.