Taarifa: Uchaguzi wa Wanafunzi kujiunga Kidato cha Tano, 2014

Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.

2.0 WATAHINIWA WALIOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE, MWAKA 2013

Jumla ya watahiniwa 427,679 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2013, wakiwemo wasichana 199,123 sawa na asilimia 46.56 na wavulana 228,556sawa na asilimia 53.44. Kati yao watahiniwa 404,083 sawa na asilimia 94.48 walifanya mtihani na watahiniwa 23,596 sawa na asilimia 5.52 hawakufanya mtihani huo.

2.1 Watahiniwa wa Shule (School Candidates)

Kwa Watahiniwa wa Shule, watahiniwa 367,163 walisajiliwa kufanya mithanikati yao wavulana

[video] Full speech by Kenya's Pres. Uhuru on Mpeketoni attack

Mahojiano na Anna Mwalagho kuhusu tamasha la "Music from East Coast of Africa"

Anna Mwalagho. (picha: Ukurasa wa Facebook wa Anna Mwalagho)
Anna Mwalagho. (picha: Ukurasa wa Facebook wa Anna Mwalagho)

Karibu katika mahojiano mafupi na ya moja kwa moja kati ya msanii Anna Mwalagho na Kwanza Production kwenye kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi Juni 14, 2014.

Amezungumzia tamasha kubwa linaloendelea ambalo atatumbuiza pamoja na kikundi chake kwa

Jeshi la Polisi Shinyanga lawafukuza kazi askari wake 4

Na Kadama Malunde, Malunde1 blog, Shinyanga -- Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limewafukuza kazi askari polisi wake wanne wakiwemo watatu wa kikosi cha usalama barabarani ambao wamefukuzwa kwa kosa la kupokea rushwa na kwenye magari barabarani na askari mwingine kwa kosa la utoro jeshini baada ya kujipa likizo mwenyewe.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga kwa vyombo vya habari iliyotolewa Juni 16, 2014 na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa

Liberatus Mwang'ombe, mgombea Urais DMVLiberatus believes "CHARITY STARTS AT HOME"

Katika muendelezo wa kusaidia nyumbani kama imani yangu ya kimsingi ninaamini kuwa, “binadamu tulizaliwa tushirikiane na tusaidiane kutatua matatizo na sio kutengana wala kushindana.”

Mgombea wa Uraisi wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwago'mbe (wa kwanza kushoto) akiwa na Dk. Kingslaw (katikati) na Nurse kabla ya lecture katika hospitali ya Muhimbili

Kwenye safari yangu ya Tanzania 2011 na 2013 nilipata fursa ya kutembelea hospital za Muhimbili na

Aliyekuwa CHADEMA akahamia NCCR-Mageuzi, Deogratius Kisandu atoa tamko la kujivua tena uanachama

TAMKO LA KUJIVUA UANACHAMA WA CHAMA CHA NCCR – MAGEUZI 

17 Juni 2014.

1 :0 UTANGULIZI

Ndugu wana habari na ndugu Watanzania, kwa kutambua mchango wangu mkubwa ambao nimkuwa nikiufanya katika ujenzi wa vyama vya siasa hasa Upinzani hapa nchini, ni dhahiri nimekuwa mjenzi wa vyama kuliko mafanikio ya wananchi. Nimegundua mengi sana na kujifunza mengi sana juu ya hivyo vyama vyetu vya Siasa, tunapotafuta demokrasia katika nchi yetu sio tu kuwa huru kwa kila jambo bali kuwa na UTU kwa watu tunaowatafutia Demokrasia ya kweli, hatuwezi kusema nchi hainademokrasia kama hatujatenda haki kwa wanachama au wananchi wetu.

SABABU ZA KUJIUDHURU UANACHAMA NA NYADIFA ZOTE ZA UONGOZI.

2 :0 AJALI YA GARI Mwaka jana June 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Udiwani Wilayanisengerema Kata ya Nyampulukano na mimi nikiwa msimamizi wa

Sinema ya "Women With Attitude" kuoneshwa Ngome KongweMtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya "Woman with Altitude" iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Ashura Kayupayupa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari leo mchana kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar. Kushoto ni Mratibu wa Majaji wa tuzo za ZIFF 2014, Fabrizio Colombo na Katikati ni Afisa Habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Fizza Moloo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

UNAWEZA kudhani kamba kila aliyefanikiwa amezaliwa na kijiko cha fedha, yaani amezaliwa katika eneo lenye hali shwari na kitanda chake ni mayai ya dhahabu, kumbe sivyo kabisa.

Hili linajadliwa kwa undani katika sinema iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa chakula duniani (WFP), Women with Atitude.

Sinema hii ambayo inaoneshwa katika ukumbi wa wazi wa Ngome Kongwe imetengenezwa na watanzania kwa ajili ya kuhamasisha Watanzania kutambua kwamba maisha ni mkusanyiko wa utatuzi wa

Afrika Unite! Time for United States of Afrika is NOW!

The 47 Afrikan drums indicate the number of current Afrikan nations

(While Ghaddafi was 'murdered', his vision of the United States of Afrika lives on! Afrikans must AWAKE, NOW!)

THIS WEEK I am touching upon a subject that most African leaders – and most definitely all Western nations – dont want to hear: A truly united Africa! The concept is threatening.

If we want to learn why this is a touchy subject, we have to do a little research. Let us ask ourselves this simple question: How did colonialism start in Africa?

To answer that, let us go back into our historical archives and learn from it, why it all came to pass.

At present, ALL African countries are member of the United Nations, which came about after the

Jipatie tiketi yako kwa ajili ya party ya 10th anniversary of the Bang! Magazine

Ticket zinapatikana - Beauty Point - Mayfair Plaza, Seki Land of Fashion - opposite Shoppers Plaza, Bang! Magazine Office - Mikocheni B - opposite East Africa International School, Kiki Shop Oysterbay, Total Bonjour Shops - Mlimani City, Morocco, City Centre na Mbezi.

Or call 0754844578 to book your ticket. Wahi sasa upate ticket yako!

End Sexual Violence in Conflict Dar event


Visit British High Commission-Dar  Faccebook page (click here) to watch photos and videos of the "End Sexual Violence in Conflict" event which was held in Dar es Salaam.

Mtambue "NesiWangu"

Hariet Shangarai (NesiWangu, MyNurse) mtoaji wa huduma za afya DMV, alipokuwa akipata picha ya pamoja na mhudumiwa baada ya maangalizi ya afya bureDMV siku ya Jumamosi April 12, 2014

Msikilize kwa makini mzalendo wa Kitanzania, Hariet Shangarai (NesiWangu MyNurse) anayehusika na taaluma za utoaji huduma za afya zetu Jijini Washington DC, alipokuwa akiongea katika ufunguzi rasmi wa tamasha la kutimiza miaka miwili tangu kuazishwa kwa kundi zima la Wanawake wa DMV lijulikanalo kama ''Tano Ladies" siku ya Siku ya Ijumaa June 13, 2014.

Wafanyakazi watuhumiwa kumsaidia kutoroka nchini, tena na madini, Meneja Tanzanite One aliyekamatwa

Na Mwandishi wa gazeti la UHURU, Arusha  -- MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Tanzanite One, Jacques Beytel (39) maarufu ‘Kibakuli’ raia wa Afrika Kusini aliyekamatwa wiki iliyopita kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kibali, ametoroka.

Habari za kuaminika zimesema kuwa Kibakuli alitoroka kwa kusaidiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Wiki iliyopita gazeti hili liliripoti tukio la kukamatwa kwa Kibakuli na maofisa wa Idara ya Uhamiaji mkoani Arusha, kwa kosa la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.

Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Arusha, Daniel Namomba, alikiri kukamatwa kwa meneja huyo na

Picha ya Rais Kikwete na viongozi wa CCM LudewaRais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa na viongozi wa wilaya wa chama hicho ambao wamehitimisha ziara ya siku nne ya mafunzo mjini Dodoma na Dar es Salaam, Juni 16, 2014. Wajumbe hao pamoja na Mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe Deo Filikunjombe walifika Ikulu kumtembelea Rais. (Picha na Ikulu)

Wajumbe wa Mkutano Mkuu CUF watunguana makonde

Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chama cha wananchi ,CUF wilayani Geita mkoani Geita wamechapana makonde na kusababisha kuahirishwa uchaguzi baada ya kutuhumiana kuwepo na mamluki katika ukumbi wa uchaguzi.

Tukio hilo limetokea juzi katika ukumbi wa Classic baada ya pande mbili zinazovutana kati ya katibu wa sasa Jovin Mtagwaba na wa zamani Severine Malugu kwa wafuasi wao kutaka mtu wao apite hivyo kupelekea kutuhumiana kuwepo kwa kata ambazo hazina wajumbe halali huku waliopo wakizidi idadi yao.

Bofya hapa kuendelea kusoma habari hii

Athari ya 'sheesha' ni zaidi ya sigara - Wataalamu


Watumiaji wa kilevi cha shisha (sheesha) wako katika hatari kubwa ya kuugua maradhi ikiwemo saratani na kuathirika katika mfumo wa hewa.

Wataalamu wa afya wameonya kwamba ulevi huo ambao kwa sasa umeshika kasi na kuteka watu wengi hasa vijana, una hatari kubwa kuliko uvutaji wa sigara.

Iinasadikiwa watu wengi, hususani vijana, hivi sasa wameibukia katika uvutaji huo, wakiamini ndiyo

Current situation pushes US to deploy 275 forces to Iraq

US President Barack Obama is quoted by the news agency, the Associated Press as notifying Congress that about 275 U.S. military personnel could deploy to Iraq.

That, Obama says the forces are going to provide support and security for U.S. personnel and the U.S. Embassy in Baghdad. He says the forces are equipped for combat and will remain in Iraq until the security situation becomes such that they are no longer needed.

About 160 troops are already in Iraq, including 50 Marines and more than 100 Army soldiers. Some of those soldiers have only recently arrived.

Under the authorization Obama outlined, a U.S. official says the U.S. will put an additional 100 soldiers in a nearby third country where they would be held in reserve until needed.

The White House says the U.S. military personnel are entering Iraq with its consent, concluded the AP.

Kwanza Production: Mahojiano na Fabian Lwamba wa Krystaal

Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akimhoji Fabian Lwamba wa kundi la KRYSTAAL
Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akimhoji Fabian Lwamba wa kundi la KRYSTAAL


Karibu kwenye mahojiano kati ya Kwanza Production na Fabian Lwamba, mmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire (sasa DRC yaani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) na kutengana. 

TIU, the new "international" University in Kimara faces closure

The recently established Tanzania International University (TIU) is ineptly operating under-camouflage of provisional license with university examinations conducted without lectures or tutors setting the papers, it has been learnt.

One of the rebelling tutors at the Kimara Mwisho located University who preferred anonymity said “Students are forced to write their end semester examination by Monday next week (today) without any progressive course work done during the semester.”

A group of tutors at TIU told The Guardian on Sunday that the University Vice Chancellor Dr. Mathias Mzava had been managing the academic institution by an iron hand without a clear administrative structure or other administrators, they said: “He is everything…VC, Bursar, accountant, human resources director, with just a few other administration staff.” click here to read more.

Moto wa Sauti Sol katika Tamasha la 17 la ZIFF

Bien Baraza (kushoto) na Willis Austin Chimano (kulia) wakitoa burudani kwenye jukwaa la ZIFF 2014.
Bien Baraza (kushoto) na Willis Austin Chimano (kulia) wakitoa burudani kwenye jukwaa la ZIFF 2014.

Na MOblog, Zanzibar -- MOJA ya vitu ambavyo vitakumbukwa ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha show ya saa moja na nusu iliyokuwa na uhakika.

Kundi hilo lenye watu watano wakiongozwa na mtia sauti Bien Baraz,a liliwaacha hoi wazanzibari waliofurika katika ukumbi wa Mambo uliopo ndani ya Ngome Kongwe na muziki wenye mahadhi ya Afro Pop.

Muziki huo ambao uliwateka vijana kutokana na midundo yake na maneno ya kuchombeza ulionesha kwanini MTV Base walisema ni kundi bora.Polycarp Otieno (Guitar & Vocalist) akifanya yake ndani ya ZIFF 2014.

China's Vice President to visit Tanzania, Zambia

BEIJING, (Xinhua) -- Chinese Vice President Li Yuanchao will pay official visits to Zambia and Tanzania from June 18 to 27.

Li, also a member of the Political Bureau of the Communist Party of China (CPC) Central Committee, was invited by Zambian Vice President, Guy Scott and Tanzanian Vice President, Mohammed Gharib Bilal.

Shen Beili, spokesperson for the International Department of the CPC Central Committee, made the announcement on Monday.

Picha za mechi za soka na pete: Bunge vs NMB Dodoma
Aibu Kilimanjaro: Baba ambaka na kumlawiti mwanaye; Kinyozi ambaka mtoto

WIMBI la watoto waliochini ya umri wa miaka kumi na nane, kufanyiwa ukatili wa kubakwa, kulawitiwa na kutumikishwa adhabu mbalimbali linazidi kushika kasi nchini hususani katika mkoa wa Kilimanajaro ambapo matukio hayo yamezidi kushika kasi na katika kipindi cha wiki tatu matukio matatu hayo yameutikisa mkoa huo yakihusisha watoto walio katika umri huo.

Aidha, Mtoto mwingine mwenye umri wa miaka kumi na tatu mfanyakazi wa ndani na mkazi wa Majengo Wilayani Moshi, mkoani humo amebakwa na kuumizwa vibaya katika sehemu za siri na,