African Barrick denies unlawful payments to officials in Tanzania

LONDON (Reuters) - African Barrick Gold Plc , the Tanzania-focused subsidiary of Canadian gold company Barrick Gold Corp on Thursday dismissed accusations of illegal payments made to Tanzanian officials, where it operates the North Mara mine. 

"Both African Barrick Gold (ABG) and Barrick Gold Corporation are committed to ethical and transparent business practices in compliance with the law," African Barrick said in response to a Wall Street Journal article that reported accusations the gold miner had paid $400,000 in cash to bribe Tanzanian government

Huu hapa hauchomoki, naamka nao!...

Rais Kikwete akutana na Wageni kutoka China, Oman

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China baada ya kukutana naye  Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014

Tangazo la Wizara kuhusu Nafasi za Masomo Kitado cha Tano

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

Simu:022-2120412/2120403/2120417 Faksi:022-2113271, Tovuti: www.moe.go.tz

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
KIDATO CHA TANO KWA TAHASUSI ZA MASOMO YA SAYANSI, HISABATI, ENGLISH NA UALIMU KWA MUDA WA MIAKA 3


UTANGULIZI

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inakaribisha maombi ya kujiunga na Masomo ya Kidato cha Tano kwa tahasusi za masomo ya Sayansi, Hisabati English, na Ualimu kwa muda miaka 3 kwa wahitimu wa Kidato cha IV wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III kati ya mwaka 2004 na 2013. Katika masomo haya mwanafunzi atasoma masomo ya Sekondari ya Kidato cha V na VI na kufanya mtihani wa taifa wa Kidato

TMAA yaokoa bilioni 15/= za madini

Baadhi ya sampuli za madini yapatikanayo nchini yakioneshwa kwenye Banda la TMAA wakati wa Maadhimisho ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya sampuli za madini yapatikanayo nchini yakioneshwa kwenye Banda la TMAA wakati wa Maadhimisho ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

Na Saidi Mkabakuli

Serikali imeupongeza Wakala wa ukaguzi wa madini nchini (TMAA) kwa kufanikiwa kuokoa kiasi kikubwa cha madini yaliyokuwa yakitoroshwa kinyemela katika viwanja vya ndege nchini hivyo kuokoa zaidi ya bilioni 15 zilizolipwa kama mrahaba tangu ilipoanzisha ukaguzi maalum kwa wasafiri waendao nje ya nchi.

Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Hab Mkwizu alipokuwa akikagua utendaji kazi wa Wakala katika maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya

Rais Kikwete asema hanyimwi usingizi na mjadala wa Bunge Maalum

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar es Salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalum la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba Mpya ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Katiba ya Tanzania haitapatikana kwa mikutano ya kisiasa nje ya Bunge Maalum la Katiba bali ndani ya Bunge hilo ambako ni dhahiri kuwa mjadala utatawaliwa na nguvu ya hoja na busara.

Rais Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na

Man dies of exhaustion for staying awake watching World Cup

(SAO PAULO, BRAZIL - JUNE 12: A man runs after exiting the subway to watch the Brazil-Croatia match from a television jerry-rigged on a shopping cart on June 12, 2014 in Sao Paulo, Brazil. This is the first day of the 2014 FIFA World Cup. (Photo by Mario Tama/Getty Images via photo: blacksportsonline.com)


World Cup Fever!

Xinhua News reports that at least three young Chinese men have so far lost lives because of sleep deprivation after spending nights awake watching the most decorated sports games, the FIFA World Cup.

A 25-year-old man from eastern Chinese city of Suzhou was found dead in his room on Saturday morning in

Madiwani 5 CCM, 1 CUF wapoteza viti vyao

Chama Cha Mapinduzi, CCM kimepoteza madiwani watano (5) huku Chama Cha Wananchi, CUF kikipoteza kiti kimoja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba mkoani Kagera kuwavua nyadhifa zao madiwani sita (6) wa manispaa ya Bukoba na kutangaza kuwa kata zao zipo wazi.

Walipoteza Udiwani wao baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kugoma bila sababu kuhudhuria vikao vilivyoitishwa kwa mujibu wa sheria.

Madiwani waliopoteza viti vyao, ni pamoja na Yusuph Ngaiza wa kata Kashai, Dauda Karumuna wa

Uhamiaji yakanusha kutoroshwa Meneja wa Tanzanite One

Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba akikanusha vikali taarifa za aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One, Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa.

Imeripotiwa kuwa, Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha, Daniel Nanomba amekanusha vikali taarifa kuwa aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One, Jaques Beytel ametoroshwa.

Nanomba anakaririwa kueleza kuwa Jaques alikamatwa na Maofisa wa Uhamiaji tarehe Juni 10 mwaka huu ili kupatiwa notisi inayomuamuru kuondoka nchini Juni 13.

Kwa mujibu wactaarifa ya Afisa huyo kwa vyombo vya habari, Jaques alisindikizwa na si kutoroshwa, hadi

Wazo la 'Mjengwablog' lilizaliwa kwenye mazungumzo haya

L-R: Muhidin Issa Michuzi; Maggid Mjengwa

Ndugu zangu, 

Septemba kumi, 2006 nilikutana na ndugu na kaka yangu Muhidin Issa Michuzi pale Food World Restaurant, Maktaba Street, Dar es Salaam.

Kaka Michuzi na mimi tulizungumza kwa kirefu juu ya masuala ya kublogu. Wakati huo blogu ilikuwa ni

Ujumbe wa TTB, TANAPA wakaribishwa Washington DC na Balozi Mulamula

Mhe. Abdulkarim akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly.
Mhe. Abdulkarim akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly.

Mhe. Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafya kwa tiketi ya CCM akiongozana na ujumbe wake wa Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks (TANAPA) walipowasili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, DC kwenye chakula cha jioni walipokaribishwa Ubalozini hapo siku ya Alhamisi June 19, 2014. 

Wengine waliokaribishwa ni Jumuiya ya Watanzania DMV, Kamati ya maandalizi ya sherehe ya Vijimambo, Katibu wa Jumuiya New York alikuwepo lakini chini ya kivuli cha Miss Tanzania USA Pagent chini ya Ma Winny Case. 

Ujumbe wa TTB na TANAPA ulialianzia New York na wapo nchini Marekani kwa ajili ya kutangaza Utalii wa Tanzania kwa kufanya mazungumuzo na watu mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari kwa ajili ya