Majina ya waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi, 2014

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2014 ambao waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013

Wanafunzi waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia tarehe 10 Julai 2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. Aidha, hakutakuwa na mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa shule walizopangiwa, hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama inavyoonekana katika matokeo haya.

Bofya hapa kusoma TAARIFA YA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA TANO

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014 WAVULANA


MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2014 ARUSHA TECHNICAL COLLEGE (ATC)


WASICHANA

WAVULANA

DAR-ES-SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT)


WASICHANA

WATER DEVELOPMENT & MANAGEMENT INSTITUTE ( WDMI) - DAR ES SALAAM


WASICHANA

WAVULANA

MBEYA INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIST)


Chanzo cha taarifa: www.pmoralg.go.tz

Magofu ya Kilwa yarejeshwa katika Urithi wa Dunia

Msikiti Mkuu katika magofu ya Kilwa Kisiwani, Tanzania (picha: 360cities.net)

Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyokuwa yamewekwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini kutoweka, yamerudishiwa hadhi yake ya awali ya Urithi wa Dunia.

Uamuzi wa kuyarudishia hadhi magofu hayo yaliyopo Kilwa, mkoani Lindi, umefikiwa wakati wa Mkutano wa 38 wa Kamati ya Urithi wa Dunia unaofanyika Doha, Qatar.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Kamati ya Urithi wa Dunia

Kamera za CCTV kufungwa mitaani Zanzibar

On the streets of Stone Town in Zanzibar, one finds hidden passageways, side streets, and some of the most beautiful Persian architecture in Africa. (source: vanderbilt.edu)

Maeneo mbalimbali visiwani Zanzibar, yamepangwa kuwekwa kamera za CCTV, kukabili matukio ya uhalifu.

Waziri wa Habari, Utangazaji, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk amesema mchakato wa utafiti wa kuweka kamera hizo, umekamilika na kipaumbele ni eneo la Mji Mkongwe. 

Mbarouk alisema hayo wakati akijibu hoja mbalimbali za wajumbe wa Baraza la

Ujerumani yaahidi Euro milioni kuhifadhi hifadhi iliyo hatarini ya Selous

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII 

TAARIFA KWA UMMA 

Serikali ya Ujerumani Yaahidi Kutoa Msaada wa Euro Milioni Moja

Serikali ya Ujerumani, pamoja na ahadi ya Euro milioni moja ya kusaidia Uhifadhi wa Pori la Akiba Selous, imehimiza mataifa mengine kusaidia Uhifadhi wa Pori hilo
kutokana na ujangili wa tembo uliokithiri.

Pori la Akiba Selous, lenye ukubwa wa kilometa za mraba 50,000, ni mojawapo kati
ya maeneo saba yaliyo kwenye orodha ya Urithi wa Dunia nchini Tanzania. Maeneo mengine ni Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro, Hifadhi ya Taifa Serengeti, Eneo la Hifadhi
ya Ngorongoro, Magofu ya Kilwa Kisiwani na Magofu ya Songo Mnara, Michoro ya

Baba ataka kumnyonga mwanaye mwembeni

Mkazi wa Kijiji cha Nyamuswa, wilayani Bunda Mkoa wa Mara, Sumera Sungura (28), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kutaka kunyonga mtoto wake wa kufikia kwa kumning’iniza kwenye mti wa mwembe.

Polisi imetaja mtoto aliyetaka kuuawa ni Adamu Adamu (5). Kwa mjibu wa Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia wa Kituo Kikuu cha Polisi Wilaya ya Bunda, Ritha

Nehemia Mchechu ateuliwa kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi SBL

Kampuni ya Serengeti Breweries Limited ( SBL ) leo inatangaza uteuzi wa Mheshimiwa Nehemia Mchechu kama Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya SBL. 

Uteuzi wa Mheshimiwa Mchechu unafuata ukamilisho wa umiliki wa Mhe. Jaji (mstaafu) Mark Bomani. Katika nafasi yake mpya, Bw Mchechu pia atakukwa memba wa bodi ya kampuni ya bia ya East Africa.

Mheshimiwa Nehemia Mchechu kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la Taifa ( NHC). Bw. Mchechu anauzoefu mkubwa katika masuala ya fedha na usimamizi. Hapo awali alishika nafasi muhimu katika sekta ya benki, hasa

Taarifa ya John Mnyika kuhusu mtambo wa maji wa Ruvu Juu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Katika kutekeleza kazi ya mbunge ya kuisimamia Serikali itakumbukwa kwamba tarehe 12 Mei 2014 nilichukua hatua bungeni ya kutaka Serikali kutatua kwa dharura matatizo katika mtambo wa maji wa Ruvu Juu yenye kukosesha maji kwa wananchi wa Mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani.

Nilitaka kwa mujibu wa Kanuni ya 49 ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la mwaka 2013, Waziri wa Maji Prof Jumanne Maghembe atoe kauli bungeni juu ya matatizo ya maji katika maeneo yanayohudumiwa na mabomba kutoka katika

[infographic] Top 10 Highest and Lowest paying Nursing jobs

This infographic (below) published by Olivet Nazarene University touches on the highest and lowest paid nursing specializations.

It also shows the average wage of a Registered Nurse in the USA on a state by state basis. Learn about potential salary in the nursing industry.

The Top 10 Nursing Jobs of 2014
via Visually.

Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel, Haika Lawere ahojiana na Kwanza Production


Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC (picha: IskaJojo Studios)

Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Haika Lawere.

Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania.

Amezungumzia mengi kuhusu maisha yake, kazi yake, changamoto anazokumbana nazo katika kazi, ziaa yake hapa Marekani na hata ushauri wake kwa wasikilizaji

Amezungumza mengi mema

Karibu uungane nasi...

Taarifa ya Wajumbe wa Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA wa CHADEMA wa mikoa mbalimbali

TAARIFA YA WAJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU WA CHADEMA KWA UMMA.
A.  UTANGULIZI

Ndugu wanahabari.

Mbele yenu ni viongozi halali wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka mikoa yote ya Tanzania kwa uchache tumekutana jumla ya wajumbe 78 kuwakilisha wenzetu walioshindwa kufika kwa sababu mbalimbali.

Sisi ni wajumbe wa Baraza Kuu na mkutano mkuu wa Chama ambapo pamoja nasi tumejumuika na wenyeviti wa mabaraza ya WANAWAKE  WA MIKOA YA TABORA NA SINGIDA, MWENYEKITI WA VIJANA MKOA WA TABORA pamoja na MUASISI WA CHADEMA kutokea mkoa wa SINGIDA na mwenyekiti wa M4C wilaya ya SINGIDA  hivyo tunafanya jumla ya tuliokutana kwa jambo hili kuwa ni wanachadema 82.

Nafasi ya mafunzo ya bure ya kazi kwa wanawake

Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation  kupitia MRADI  WA  WANAWAKE  SALAMA  TANZANIA  inatangaza  nafasi  za  mafunzo  ya  UANDAAJI  NA  UTENGENEZAJI  WA  VYAKULA-LISHE MAALUMU KWA  WAGONJWA NA  WENYE MATATIZO  MBALIMBALI  YA KIAFYA.

Wahitimu  wa  mafunzo  haya  watapata  nafasi  ya  kufanya  kazi   kama  waandaji  na  watayarishaji  wa  Vyakula –Lishe  katika  MRADI  WA  WANAWAKE  SALAMA  TANZANIA.

Masomo  yatakayo  tolewa  ni pamoja na  UANDAAJI  WA VYAKULA-LISHE  MBALIMBALI  pamoja na   AFYA  YA UZAZI  KWA  WANAWAKE.

SIFA  ZA  MWOMBAJI  NAFASI:

Sherehe za miaka 10 ya Bang Magazine @ Escape OneNi furaha isiyo na kifani kwa kufikisha miaka 10, tumetoka mbali sana...

TMA's Climate outlook for June – August, 2014 Rainfall season

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF TRANSPORT
TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY

Telephone: 255 (0) 22 2460 706-8
Telefax:      255 (0) 22 2460735/700          P.O. BOX   3056
E-mail: [email protected]                     DAR ES SALAAM.
Web-site: http//www.meteo.go.tz

In replay please quote:
Ref. No.: TMA/1622                 20 June, 2014

PRESS RELEASE

CLIMATE OUTLOOK FOR JUNE – AUGUST, 2014 RAINFALL SEASON
This statement summarizes the current and future state of climate systems and associated weather during June-August 2014 period over the country.
1. WEATHER AND CLIMATE SYSTEMS
Climate system and model forecast indicates a likelihood of warm Sea Surfaces Temperature (SSTs) over the Central Equatorial Pacific during June to August 2014 period. Slight warm SSTs are expected over the western Indian Ocean while cool SSTS are expected over the eastern Atlantic Ocean. This condition is expected to