Mrejesho wa Dk Ndugulile (MB) kuhusu umeme Kigamboni

Siku ya Jumatatu tarehe 23.06.2014 nilifanya mkutano na uongozi wa TANESCO ngazi ya Mkoa wa Temeke na Wilaya ya Kigamboni. Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na:

  1. Kukatika kwa mara kwa mara kwa umeme 
  2. Umeme mdogo kwa baadhi ya maeneo 
  3. Uunganishaji wa umeme kwa wateja wapya
  4. Miradi mipya ya umeme kwa Jimbo la Kigamboni

1. KUKATIKA KWA MARA KWA UMEME JIMBO LA KIGAMBONI

Umeme unaopatikana kwa wateja wa Jimbo la Kigamboni unatoka sub-station ya Ilala. Umeme huu pia husambazwa kwa maeneo ya Temeke, Mbagala na Mkuranga. Kutokana na ongezeko kubwa la mahitaji pamoja na uchakavu wa miundombinu, kumekuwa na ukatikaji wa umeme mara kwa mara.

TANESCO walinieleza kuwa hatua ambazo wanachukua kuondoa tatizo hili ni

Taarifa ya Ridhiwani Kikwete kuhusu taarifa za 'kifo' cha Dk Kawambwa

Ndg Watanzania,

WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na usumbufu ambao umesababishwa na habari zinazoenezwa mitandaoni kwamba Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na umauti akiwa njiani anaelekea Mwanza.

UKWELI

Mheshimiwa Shukuru Jumanne Kawambwa yupo nchini Canada akitimiza majukumu yake. Hivyo Watanzania na wana Bagamoyo mnaombwa radhi kwa usumbufu uliotokea na kwamba Mheshimiwa Mbunge yuko na afya njema na utekelezaji wa Majukumu unaendelea kama kawaida.

Ndg. Ridhiwani Kikwete (MNEC)
Mbunge -Chalinze

Pope Francis launches campaign to help African albinos (#HelpAfricanAlbinos)


VATICAN, Holy See, June 25, 2014/— Pope Francis recorded his voice last 30 November, reading several passages from the book “Ombra Bianco” (“White Shadow”) by the Italian author Cristiano Gentile, which seeks to raise public awareness of the situation experienced by albinos in Africa: a population often rejected and repudiated.

The Holy Father was invited by the writer to close an international symposium on Africa organised by the Pontifical Academy of Sciences.

The reading and the Pope’s testimony form part of a universal message of

CHADEMA waitupia lawama ACTCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mbeya mjini kimedai kuhujumiwa na chama kipya cha ACT kwa kutumia jina la chama hicho kujitangaza kwa wananchi na kupora wanachama wake.

Akizungumza katika kikao na waandishi wa Habari jana katika Ukumbi wa Hotel ya Mbeya Peak Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Mjini John Mwambigija alisema kuwa ACT kimekuwa kikifanya mikutano ya ndani huku kikijitambulisha kwa majina ya

Taarifa ya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu SUMATRA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UCHUKUZI


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Serikali No. 30 ya mwaka 1997, Kifungu Na. 9 ikisomwa pamoja na Marekebisho yake ya Mwaka 2009, Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe(MB) amemteua Bw. Gilliad Wilson Ngewe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kuanzia tarehe1/6/2014.

Kabla ya Uteuzi huo Bw. G. W. Ngewe, alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA kuanzia tarehe 12/3/2014 ambapo awali alikuwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Usafiri wa barabara, SUMATRA.

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 9 ya mwaka 2009 ili kusimamia usafiri wa Nchi kavu na Majini Tanzania.

Imetolewa na:

Katibu Mkuu
Wizara ya Uchukuzi.

Maelekezo kwa Walimu Ajira Mpya kuchukua nafasi za ambao hawakuwa na sifa au hawakuripoti alikopangiwa

TANGAZO 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Utangulizi:

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa ajira ya Machi 2014.

Baadhi ya waombaji hawakupangiwa vituo vya kazi kutokana na kutokuwa na sifa zinazostahili kuajiriwa katika utumishi wa umma kwa mfano:- umri na maombi kutoambatanishwa na

Barua kwenda kwa Msajili wa Vyama na CAG ya taarifa kuhusu wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu CHADEMA

TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU WAJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU WA CHADEMA KWENDA KWA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA NA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI.


A.UTANGULIZI

Ndugu wanaHabari,

Mtakumbuka kwamba Juzi, katibu wa CHADEMA mkoa wa Tabora kwa niaba yetu wajumbe 78 wa baraza kuu na viongozi wengine wa mabaraza ya vijana na wanawake 4 kufanya kuwa jumla ya wajumbe 82 kwa pamoja tulizungumza na waandishi wa habari kuzungumzia maswala mbali mbali yanayotishia ustawi wa chama chetu.

Na mtakumbuka kwamba tuliazimia kwamba tutakwenda kumuona msajiri wa vyama vya siasa ili tumpatiemalalamiko yetu haya.

B. KWENDA KWA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA.

Ndugu wanaHabari, Mapema leo Tumekwenda ofisini kwa msajiri wa vyama vya siasa na

Pres. Kikwete swears in Amb. Joseph Edward Sokoine

PRESIDENT Jakaya Kikwete swears in the new Director of Europe and Americas in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Ambassador Joseph Edward Sokoine, at the State House in Dar es Salaam recently. (photo: Freddy Maro/DAILY NEWS)

National Consultation for localization of the Post 2015 Development Agenda in Tanzania

The guest of honour, Deputy Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Regional Administration and Local Governments, Mr. Jumanne Sagini arrives at the ESRF conference hall accompanied by the UN Acting Resident Coordinator and UNICEF Representative, Dr. Jama Gulaid in front of them is the Director of Programmes of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr. Tausi Kida.
The guest of honour, Deputy Permanent Secretary in the Prime Minister's Office, Regional Administration and Local Governments, Mr. Jumanne Sagini arrives at the ESRF conference hall accompanied by the UN Acting Resident Coordinator and UNICEF Representative, Dr. Jama Gulaid in front of them is the Director of Programmes of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr. Tausi Kida.

By Damas Makangale, MOblog Tanzania

TANZANIA has recorded an impressive improvement in performance of primary school enrolment. They have achieved remarkable enrolment of 93% after abolishing school fees in public schools with the aim of meeting the Millennium Development Goals (MDGs).

Speaking at the National Consultations Workshop on Localization of the Post-2015 Development Agenda in Dar es Salaam recently, Permanent Secretary in the

Akabidhiwa zawadi alizojishindia katika ‘Chemsha bongo ya Brazil’

Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande Jamila.
Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande Jamila.

Na Richard Bukos/GPL -- MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king'amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.

---
wavuti.com imeshirikishwa taarifa hii na GPL

Nuru The Light katika mahojiano na Kwanza Production wiki hii...

(picha: Bongo Celebrity)

Katika NJE NDANI wiki hii, mbali na habari kutoka Afrika, utasikia mahojiano yangu na NURU THE LIGHT.

Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nami kutoka Stockholm Sweden

Kazungumza mengi mema

Jiunge nami, MUBELWA BANDIO Jumamosi (Juni 28) katika NJE NDANI ya Kwanza Production na Border Radio kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kwa saa za Marekani ya Mashariki kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.bordermediagroup.com

ESPINHO DA ROSA “The Thorn of the Rose” yatwaa tuzo tatu ZIFF 2014

Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwshuka jukwaani baada ya kupokea tuzo, huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika mwishoni mwa juma visiwani Zanzibar kwenye viunga vya Ngome Kongwe.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwshuka jukwaani baada ya kupokea tuzo, huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika mwishoni mwa juma visiwani Zanzibar kwenye viunga vya Ngome Kongwe.

(Picha zote kutoka kwa Zainul Mzige wa MOblog).

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

FILAMU ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau imeondoka na tuzo tatu katika tamasha la 17 la filamu la kimataifa la Zanzibar (ZIFF).

Tuzo hizo ni pamoja na ya Signis , tuzo ya majaji na tuzo ya fedha ya ZIFF.

Katika tamasha hilo filamu iliyotwaa tuzo ya dhahabu ni ile ambayo