Baraza la Mitihani labadili mfumo wa kupanga madaraja ya ufaulu; Matokeo ya 'mock' kujumlishwa katika mtihani wa Kidato cha Nne na Sita

Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA).
Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa. 

Asilimia 30 za Alama Endelevu, zitapatikana kutokana na mitihani mbalimbali. Kwa Kidato cha Nne mwaka huu, alama hizo zitatokana na matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha pili ambao utakuwa na alama 10, matokeo ya kidato cha tatu muhula wa kwanza na wa pili alama tano, matokeo ya mtihani wa majaribio (mock) wa Kidato cha Nne ni alama 10 na majaribio ya kazi alama tano.

Utaratibu huu umetokana na viwango vipya vya ufaulu, vilivyoainishwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kwenye kitabu cha Mwongozo wa Matumizi ya Viwango vya Ufaulu na utaratibu wa kutunuku matokeo ya kidato cha nne na sita.

Kwa Kidato cha Sita, zitatokana na matokeo ya mtihani wa Kidato cha Tano muhula wa kwanza na pili alama 15, matokeo ya 'mock' alama 10 na kazi mradi itakuwa ni alama tano.

“Katika somo ambalo mtahiniwa hakufanyia Kazi za majaribio, alama za matokeo ya Mitihani ya 'Mock' ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita, itachangia alama 15 badala ya 10 zilizoainishwa,” imefafanua sehemu ya mwongozo huo.

Hata hivyo, katika Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana na Kidato cha Sita mwaka huu, mchanganuo wa alama 30 za Alama Endelevu ni alama 15 zinazotokana na matokeo ya mtihani wa Taifa wa Kidato cha Pili, asilimia 10 ilitokana na maendeleo ya mitihani ya kidato cha Tatu muhula wa Kwanza na Pili na matokeo ya muhula wa Kwanza Kidato cha Nne na kazi za majaribio asilimia tano.

Kwa Kidato cha Sita, alama endelevu ni matokeo ya Kidato cha Tano kwa mihula yote miwili ni alama 15, muhula wa kwanza wa Kidato cha Sita ni asilimia 10 na kazi za majaribio ni asilimia tano.

Aidha, Baraza limebadili utaratibu wa kupanga madaraja ya kufaulu, kutoka

Kutoka Escrow na IPTL hadi 'tumbili' na 'mwizi' Bungeni

Tafrani iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.

Jana asubuhi baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu', aliwakuta Werema na Kafulila wakiendeleza mzozo nje ya ukumbi wa Bunge.

Kutokana na hali hiyo, Zungu alijitolea kuwapatanisha huku akijaribu

More than 100 gamblers cash on Suarez bite as FIFA bites him matches, and a cash fine

Italy’s Giorgio Chiellini complains after Uruguay’s Luis Suarez ran into his shoulder with his teeth during the group D World Cup soccer match between Italy and Uruguay at the Arena das Dunas in Natal, Brazil, Tuesday, June 24, 2014. (AP Photo/Ricardo Mazalan)
Italy’s Giorgio Chiellini complains after Uruguay’s Luis Suarez ran into his shoulder with his teeth during the group D World Cup soccer match between Italy and Uruguay at the Arena das Dunas in Natal, Brazil, Tuesday, June 24, 2014. (AP Photo/Ricardo Mazalan)

FIFA, the sport's governing body announced that it's suspending Uruguayan star Luis Suarez for nine matches and fining him 100,000 Swiss francs (about $112,000) immediately, FIFA says.

He is also banned from any soccer activity for four months.

The punishment stems from Tuesday's controversy.

FIFA opened disciplinary proceedings Wednesday, promising a quick resolution to the matter, said Claudio Sulser, chairman of the FIFA Disciplinary Committee in the following official statement:

Opinion: Stop US hunters from killing the elephants

CNN's Editor's note: Wayne Pacelle is president and CEO of the Humane Society of United States, an organization that advocates for animal protection. The opinions expressed in this commentary are solely those of the author.

Wayne Pacelle -- Poachers threaten to drive the majestic African elephant to the brink of extinction, just as they have the long-persecuted northern white rhino.

But poachers aren't the only culprits. Very wealthy hunters, mainly from the United States, are picking off elephants in their zeal to bag the biggest tusks and trophies and rise within the ranks of the global trophy hunting fraternity.

There's reason to believe that,as a result of meaningful actions taken by African

Tanzanian among 33 Carnegie African Diaspora Fellows Selected to work with African host Institutions

The Carnegie African Diaspora Fellowship Program selected 33 African Diaspora scholars to collaborate with higher education institutions in Africa on curriculum co-development, research, graduate teaching, training and mentoring activities.

The winning projects were submitted by 24 institutions in Ghana, Kenya, Nigeria, South Africa, Tanzania and Uganda. The scholars will receive Fellowships to travel to the African host institutions beginning this month to undertake the projects.

Soko la Kariakoo lazindua tovuti yake

screen-shot ya tovuti ya Sokoni Kariakoo

SOKO la Kariakoo limezindua tovuti yake maalumu kwa ajili ya kutoa taarifa mbalimbali za soko hilo, ikiwa ni pamoja na bei za mazao za kila siku kwa wadau wake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Meneja wa Soko hilo, Anderson Shaka alisema tovuti hiyo ni http:www.kariakoo.or.tz

Alisema tovuti hiyo ni kwa ajili ya kutoa taarifa za mazao, yanayopatikana katika soko hilo ili mtu anapotaka kwenda sokoni anakuwa anajua bei yake.

“Soko la Kariakoo limeanzisha mtandao huu kwa ajili ya

Tanzania reassures EAC investors it will open its capital markets restrictions

Tanzania has reassured the EAC it will open up its capital markets for investors in the bloc to trade freely from next year. The region's second largest economy has committed to lift all restrictions in its capital markets ahead of the East African Community's 2015 deadline for the five member States to eliminate barriers on movement and capital raising.

This is in line with the Common Market Protocol, implemented in July 2010, to facilitate free movement of goods, labour and capital in the 130-million-people trading bloc.

Paul Muthaura, acting CEO of Kenya's Capital Markets Authority, yesterday said the commitment would treat investors from the rest of East Africa just as Tanzanians once enforced.

Kenyan investors, for example, would freely trade on the Dar es Salaam Stock Exchange, buy government bonds, and lend and borrow from Tanzanian financial institutions without restrictions. 

Investors from other East African States are presently classified as foreigners who are allowed up to 60 per cent participation in primary and secondary trading on the Dar bourse. click here to read more.

15 amazing things about the FIFA World Cup

15 Amazing Things You Didn
Source: bestvpnservice.com via Visually.

Kitale aka Mkude Simba akana uhusiano wa kimapenzi na Penny

Na Elizabeth John -- MSANII wa filamu na vichekesho, Mussa Kitale ‘Kitale’ au ‘Mkude Simba’ amekanusha uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanadada, Penny kama inavyodaiwa.

Kitale alikanusha kauli hiyo baada ya vyombo mbalimbali vya habari kuonesha picha na kuzungumzia mahusiano hayo.
“Sina mahusiano ya kimapenzi na Penny huyo ni kama dada yangu, mimi nimeoa na naheshimu ndoa yangu, siwezi kufanya uchafu huo na hizo picha wanazosema nipo nae ni kama rafiki tu.” 
Kitale kwasasa anatamba na vichekesho mbalimbali vya Mkude Simba ambavyo vinarushwa katika kituo cha E Redio iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa fainali ya TMT watembelea Ofisi za GPL

Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).

Na Josephat Lukaza - Proin Promotions Limited - Dar es Salaam

Washindi wa Kanda zote Sita za Tanzania wa Shindano la Tanzania Movie Talents ambao ni washiriki wa Fainali ya Shindano hilo kubwa kabisa nchini na Afrika Mashariki na Kati watembelea ofisi za Kampuni ya Uchapishaji wa magazeti ya Risasi, Ijumaa, Uwazi nk ya Global Publishers limited kwaajili ya kujionea jinsi

Burudani ya aina yake @ Dar LIVE Jumamosi hii


Waziri Simba azindua mkutano unaojadili kutokomeza ukeketaji Tanzania


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.

Wakili kortini kwa kumjeruhi binti msaidizi wa ndani

Wakili wa kujitegemea, Yasinter Rwechungura (44) amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa mashitaka ya kujeruhi mfanyakazi wake wa ndani.
Rwechungura ambaye amenyimwa dhamana kwa kile kilichoelezwa ni kwa ajili ya usalama wake kutokana na wananchi wa eneo analoishi kuwa na hasira kwa kitendo anachodaiwa kufanya, alifikishwa mahakamani juzi.

Alisomewa mashitaka na Wakili wa Serikali, Mohamed Salum mbele ya Hakimu Mkazi Suleiman Mzava.

Salum alidai Juni 11, mwaka huu, eneo la Boko Njia Panda,

Farida Foundation yawapa vifaa walemavu Ubungo Darajani na hospitali ya PalestinaBi Farida Abdul akimuonyesha kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle Vifaa ambavyo vimeletwa kama msaada kwenye Hospitali hiyo.Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Viti vya magurudumu vitatu ambavyo vitasaidia kubebea wagonjwa,Bandeji za kufungia vidonda,Ndoo za kuwekea taka,na vinginevyo.Hivi ni viti Vitatu vya kubebea wagonjwa ambavyo vilitolewa kama msaada kwenye Hospitali ya Palestina(sinza) na Farida Foundation.Mkurugenzi wa Farida Foundation akikabidhi moja ya msaada kwa kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle, huku wafanyakazi wengine wa Hospitali hiyo wakishuhudia.