Canada Announces New Support to Enhance Sustainable Economic Growth and Development in Tanzania

During his third trade mission to Africa, Minister Fast announces new Canadian contributions that will help reduce poverty, improve electoral processes, increase access to financial services for citizens and improve the quality of education in Tanzania

June 26, 2014 - Dar es Salaam, Tanzania - Foreign Affairs, Trade and Development Canada The Honourable Ed Fast, Minister of International Trade, on behalf of the Honourable Christian Paradis, Minister of International Development and La Francophonie, today announced new Canadian contributions that will accelerate economic growth and development in Tanzania.

Canada will work with the Tanzanian government to reach several objectives, including providing Tanzanians with better access to quality social services in

Ufafanuzi wa Serikali kuhusu Hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Katika baadhi ya magazeti ya leo tarehe 27 Juni, 2014 kuna Taarifa zisizo sahihi likiwemo gazeti laUhuru lenye kichwa cha habari “BILA KUPITIA JKT HAKUNA AJIRA SERIKALINI na gazeti la Tanzania Daima lenye kichwa cha habari “IKULU: RUSHWA YA NGONO IMEKITHIRI SERIKALINI”.

Magazeti yote haya yameandika habari za kupotosha Umma kuhusu hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue aliyoitoa tarehe 26/6/2014 katika mkutano wa Mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Makatibu Tawala uliofanyika mjini Dodoma. Magazeti hayo yamejenga taswira kwamba Katibu Mkuu Kiongozi alitoa taarifa kwamba “Hakuna ajira bila kupitia Jeshi la Kujenga Taifa” na “Rushwa ya ngono imekithiri Serikalini”.

Serikali inapenda kutoa ufafanuzi kwamba taarifa hizo siyo za kweli wala hazielezi

Taarifa ya TanTrade kwa umma kuhusu viingilio vya watu na magari kwenye maonesho ya "Saba Saba" DITF

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

  • Ni kupitia huduma ya M pesa 
  • Watu wazima kulipa 2500/- kwa siku na watoto 500/-
  • Tiketi za kupaki magari madogo kwa siku ni 4000/- maroli ni 40000/-
Dar es salaam 27 juni 2014, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imetangaza viingilio vipya vya watu na magari katika maonesho ya kimataifa ya Dar es salaam, (DITF) yatakayo anza tarehe 28 ya mwezi juni hadi tarehe 8 mwezi julai.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade Bi. Anna Florence Bulondo amesema viingilio vya mwaka huu havina tofauti na

Taarifa ya CHADEMA Singida kuhusu taarifa potofu

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

OFISI YA MKOA
S.L.P 345
SINGIDA
25/ 06 /2014.

Ndugu, waandishi wa habari kama ilivyotangazwa tarehe 23/06/2014 katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa kuna viongozi toka mkoa wa Singida kwa kujitangaza kuwa wao ni wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu Chadema Taifa , Taarifa hizo sio za kweli na ofisi ya chadema Mkoa wa Singida tunazikanusha taarifa hizo kwa nguvu zote na kuzitolea ufafanuzi kama ifuatavyo.

1. HAMIDA SUDI, JOSHUA MOYO.
Waliojitambusha kuwa wao ni viongozi wa mabaraza na wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu Taifa toka Singida, ukweli ni kwamba chadema haina viongozi hao katika ngazi zote za kata, jimbo, wilaya au Mkoa. Hao waliojitambulisha kwa majina hayo na nafasi hizo. Hivyo watu hao ni matapeli wa kisiasa na tunawaomba wananchi wa Singida na watanzania wawapuze na wasiwaamini maneno yao na utambulisho wao.

2. DOTO BARUANI :

Rais Kikwete aongoza Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika kuhusu Tabia-Nchi


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Kuhusu Tabia Nchi ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014. (picha, maelezo: IKULU)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon kwenye mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014

Ratiba ya Mtihani wa Taifa kuhitimu Elimu ya Sekondari, CSEE, 2014

Tafadhali bofya linki ifuatayo kufungua faili lenye tangazo la ratiba ya kama lilivyopachikwa katika tovuti ya NECTA: necta.go.tz/matangazo/timetable_csee2014.pdf

Nilitaka kuwauliza, leo saa mbovu imepata majira? - FidQ

FidQ
FidQ

Na Elizabeth John --MKALI wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema tuzo za mwaka huu zilikuwa za mwisho kushiriki endapo waandaaji wa tuzo hizo wasingetambua mchango wake tangu mwaka 2004.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Fid Q alisema miaka mingi amekuwa akishiriki tuzo hizo bila mafanikio yeyote tangu alivyopata mwaka 2004 hajawahi

Rais Kikwete na Rais wa Misri, Abdel Fattah Al-Sisi wateta


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo, Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika Juni 26, 2014

Egyptian President Abdel Fattah el-Sisi met on Thursday with United Nations Secretary General Ban Ki-moon on the sidelines of the 23rd ordinary session of the African Union summit in Equatorial Guinea.
The meeting took up Egyptian political developments and preparations for the parliamentary polls.
Sisi also had a meeting with Tanzanian President Mrisho Kikwete. --- Egypt State Information Service.
Ukeketaji Wanawake ni udhalilishaji

Washiriki Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.

SERIKALI imesema kitendo cha baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakeketa wanawake na watoto ni ukatili mkubwa ambao umekuwa na madhara kiafya kwa anayetendewa. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba alipokuwa akifungua Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji nchini Tanzania unaofanyika kwa siku mbili katika Mkumbi wa Mikutano wa Kunduchi Hoteli.

Waziri Simba alisema ukeketaji ni udhalilishaji wa wanawake na watoto wa kike na umekuwa ukihatarisha maisha ya wahusika kwa matokeo ya vifo, vilema na