They treated him as a disease to be cured, not a person to be cared for

A 56-year-old man is having lunch with his wife at a seafood restaurant just outside Boston when he develops crushing chest pain. He refuses an ambulance, so the man's wife drives him to the ER.

What happens next says a lot about the difference that being a doctor or a patient can make in how one feels about the health care system.

First, how did the patient and his wife see the trip to the hospital?

When the man arrives in the ER, he is told to take off his shirt. He lies in the hallway, in pain, naked from the waist up. Strangers

Waiba sanduku wakidhani ni la fedha kumbe ndani mna chatu

Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam wamepigwa na butwaa baada ya kuona nyoka aina ya chatu anayedaiwa kutupwa katika daraja, baada ya kusemekana kuwa kuna watu walioiba sanduku wakidhani lina fedha ndani yake na walipofungua wakakutana na joka aina ya chatu ndani yake na kutelekeza sanduku hilo na kukimbia kusikojulikana.

TAMWA kutoa elimu kupambana na ulevi uliopindukia

Mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na TAMWA ukiendelea.
 
KITUO cha Usuluhishi (CRC) kinachofanya kazi chini ya Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) kimejipanga kutoa elimu kwa jamii kuhakikisha kinapambana na matumizi ya pombe kupindukia kwa jamii suala ambalo limezidisha vitendo vya ukatili wa jinsia unaofanywa na watumiaji pombe kupindukia.

Akizungumza na wahariri wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka alisema utafiti uliofanywa na Shirika la IOGT

Michael Jackson: The Ultimate Fashion Trademarks

Michael Jackson: Ultimate Fashion Trademarks
Image by STYLIGHT.co.uk

Rais Kikwete akutana na Wataalamu watatu wa utafiti wa chanjo ya malaria kutoka Ifakara Health Institute mjini Malabo, Equatorial Guinea

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dr Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IH) I Malabo, Equatorial Guinea) walipomtembelea kwenye makazi yake mjini Malabo ambako Rais alikuwa anahudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. Wengine ni Dr. Mwajuma Chemba ambaye ni Mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria, na Elizabeth Nyakarungu, Mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa malaria).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dk Ally Olotu, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IH) I Malabo, Equatorial Guinea, walipomtembelea kwenye makazi yake mjini Malabo ambako Rais alikuwa anahudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. Wengine ni Dk. Mwajuma Chemba ambaye ni Mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria, na Elizabeth Nyakarungu, Mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa malaria.

Rais Kikwete aliwapongeza sana watafiti hao pamoja na taasisi ya IHI kwa kuiletea sifa Tanzania katika fani ya utafiti nje ya nchi.

Watafiti hao wako Equatorial Guinea (EG) kwa mwaliko wa serikali ya nchi hiyo kwa ajili ya kutoa msaada wa kitaalamu katika utekelezaji wa mradi wa utafiti wa chanjo ya malaria iitwayo PfSPZ na kuwafunza wenzetu kuhusu maarifa ya fani hii ya utafiti wa chanjo ya malaria. IHI ni shirika la utafiti lenye kufanya tafiti za afya

Katuni ya Kipanya kuhusu Bajeti: Maendeleo vs Posho

2014 Trafficking in Persons Report - Tanzania

TANZANIA (Tier 2 Watch List)

Tanzania is a source, transit, and destination country for men, women, and children subjected to forced labor and sex trafficking. 

The incidence of internal trafficking is higher than that of transnational trafficking and is usually facilitated by family members, friends, or intermediaries of victims who offer assistance with education or finding lucrative employment in urban areas. Some unscrupulous individuals manipulate the traditional practice of child fostering – in which poor children are entrusted into the care of wealthier relatives or respected members of the community – to subject children to forced labor. 

The exploitation of young girls in domestic servitude continues to be Tanzania's largest human trafficking problem, though child sex trafficking, particularly along the Kenya-Tanzania border, occurs as well. 

Girls are exploited in sex trafficking in tourist areas within the country. Boys are