Tume ya Mipango yakagua maendeleo ya mradi wa makaa ya mawe Mchuchuma

Shimo hili lilichimbwa mwaka 1956 kwa ajili ya utafiti kuangalia tabaka za makaa ya mawe katika eneo hilo la Mchuchuma.
Shimo hili lilichimbwa mwaka 1956 kwa ajili ya utafiti kuangalia tabaka za makaa ya mawe katika eneo hilo la Mchuchuma.
Viongozi pamoja na Maofisa kutoka Tume ya Mipango wakiangalia sehemu ambayo makaa ya mawe yanaonekana juu ya ardhi. Kulia ni mhandisi wa madini kutoka kampuni ya TCIMRL. Kampuni hii ni ya ubia kati ya Serikali ya Tanzania, na kampuni ya Sichuang Hongda Group Limited ya China.

Sehemu ambayo makaa ya mawe yanaoneka kwa juu katika uhalisia wake.

Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa pili kulia), akipata maelezo juu ya Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma kutoka kwa Meneja Utawala Msaidizi wa kampuni ya Tanzania – China International Mineral Resources Limited (TCIMRL) Bw. Israel Mkojera. Pamoja nae ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Bw. Mlingi E. Mkucha (wa kwanza kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda Mama wa NDC Bw. Ramson Mwilangali (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango Bi. Florence Mwanri (wa pili kushoto), Erasmus Masumbuko, Tume ya Mipango (wa tatu Kushoto).
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa pili kulia), akipata maelezo juu ya Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma kutoka kwa Meneja Utawala Msaidizi wa kampuni ya Tanzania – China International Mineral Resources Limited (TCIMRL) Bw. Israel Mkojera. Pamoja nae ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Bw. Mlingi E. Mkucha (wa kwanza kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Viwanda Mama wa NDC Bw. Ramson Mwilangali (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango Bi. Florence Mwanri (wa pili kushoto), Erasmus Masumbuko, Tume ya Mipango (wa tatu Kushoto).

Picha zote na maelezo: Thomas Nyindo.

Show ya Diamond jijini CaliforniaDiamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asiyeshikika sasa hivi akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi Juni 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET Awards 14 inayofanyika leo jijini humo.

Wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido wa Nigeria umechaguliwa kwenye category ya international collaboration. 

Mgeni wa heshima alikuwa Mhe. Ahmed Issa ambaye ni Balozi wa Heshima wa Tanzania-California.Mashabiki wa Diamond kwenye showa ya Diamond Platnumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekani.Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi akifanya vitu vyake California.

Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California.

Picha na: Abdul Majid, mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles California. Kuona picha zaidi bofya hapa.

wavuti.com imeshirikishwa na Luke Joe/Vijimambo blog

Zitto Kabwe: Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL, (Tegeta Escrow account) ni mali ya umma

Kwa mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow Account’ si mali ya serikali na hivyo si mali ya umma. Akaunti hiyo ilifunguliwa na serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na kampuni ya Independent Power Limited (IPTL).

Kwa bahati mbaya sana viongozi wa serikali wamekuwa wakiendelea kurudia kuueneza huo uongo kwamba fedha hizo si mali ya umma. Inasikitisha pia kwamba vyombo vya habari vimekuwa navyo vikibeba na kusambaza huo uongo bila kuhoji na kuchunguza. Inashangaza sana pia asasi za

Bodi ya Mikopo ya Elimu yaanza kuwachukulia hatua waajiri walioshindwa kuwasilisha taarifa za Wahitimu wanaodaiwa

Mkurugenzi Msaidizi Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Bw. Robert Kibona akitoa mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mjini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Bw. Robert Kibona akitoa mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mjini Dodoma.

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini imepanga kuwachukulia hatua waajiri wote nchini kwa kushindwa kuwasilisha taarifa za wahitimu wa elimu ya juu wanaodaiwa na Bodi hiyo.

Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Msaidizi Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Bw. Robert Kibona alipokuwa akitoa mada kuhusu urejeshwaji wa mikopo ya elimu ya juu kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Serikali ni mjini Dodoma jana.
“Mpaka sasa tumewachukulia hatua jumla ya waajiri watano ambao wameshindwa kuwasilisha taarifa za watumishi wao wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu” 
alisema Bw. Robert.

Alisema, mwajiria atakayeshindwa kutoa taarifa za wahitimu wa elimu ya juu katika Bodi kwa

Salam za pongezi za Naibu Katibu Mkuu Mstaafu CUF-Bara, Julius Mtatiro kwa aliyempokea Kiti, Magdalena Sakaya

L-R: Julius Mtatiro; MagdalenaSakaya
L-R: Julius Mtatiro; MagdalenaSakaya

HONGERA MHE. MAGDALENA SAKAYA (MB).


Iam proud of you dada MagdalenaSakaya‬ (MB), NAIBU KATIBU MKUU MPYA, Chama Cha Wananchi CUF - Tanzania Bara.

Wewe pamoja na sekretariati mpya ya chama, nawatakia kila la heri katika majukumu ya kujenga chama chetu.

Nakuahidi wewe binafsi, viongozi na wanachama wetu wote ushirikiano mkubwa sana wakati wote ambapo mtakuwa mkipambana kukijenga chama.

Jambo moja ambalo ni muhimu, mimi naamini sana katika uwezo wa kina mama. Wewe umekuwa

Tanzanian graduates with unpaid HESLB loans to be denied 'visas'

Graduates from higher learning education institutions who have not repaid their higher education loans will no longer get permits to travel outside Tanzania until they clear their debts.

The plan is to implement in joint efforts between the Ministry of Education and Vocational Training and the Immigration Department.

Deputy Minister for Education and Vocational Training, Jenister Mhagama, told the House:
“We will not issue visas to graduates who have acquired loans from the Higher Education Students Loans Board (HESLB) and not settled the debts.
“We are ready to bring to parliament a list of our plans to recover the loans…and we are determined to get the money back so that it may be used to educate other students.”
She also said that ongoing issuance of national IDs will help HESLB track the

Raia 2 wa kigeni na mzawa wapandishwa kizimbani kwa jaribio la kuiibia SMZ mabilioni

ZAIDI ya shilingi bilioni nne zimenusurika kuibwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali baada ya mtandao wa watuhumiwa wa wizi wa Kimataifa kutiwa mbaroni walipowasilisha madai ya kughushi ya kulipwa euro milioni 200 za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Watuhumiwa hao ambao ni raia wa Marekani, Oman na Tanzania, waliwasilisha nyaraka hizo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar, Khamis Mussa, ili walipwe kiwango hicho ambacho wanadai kuikopesha serikali ya wamu ya sita.

Watuhumiwa hao walifanikiwa kughushi saini za aliekuwa Rais wa Zanzibar wa

Dar es Salaam port, Tanzanian police slammed by Minerals Supply African of failure to explain over its minerals stolen from the port

Dar es Salaam port
Dar port (image: www.tech360magazine.com)

Minerals Supply African Ltd (MSA) has slammed Dar es Salaam port and Tanzanian police over failure to explain how the company’s minerals were stolen from the port three months ago.

A container with 24 tonnes of Coltan destined to a customer in China was stolen at the port in March this year.

Coltan is a precious mineral used in various electronic devices including smart phones.

Fabrice Kayihura, the deputy Chief Executive Officer MSA, said they had

Two Tanzanians raped in India, Two arrested in Delhi

Two men were arrested by the South Delhi police for allegedly raping two women from Africa at a flat in Sarojini Nagar on Friday afternoon. The victims are from Tanzania in East Africa, police said.

The arrested accused have been identified as Satish Singh, 27, a resident of RK Puram and Kunal, 26, who lives in north Delhi's Shastri Nagar with his family. One of them is a disco jockey while the other accused works as a manger with an event management company.

A senior police officer said the crime came to their notice at around 4.30 pm on

Lawyers in Tanzania can now advertise services

Tanzanian lawyers can now advertise their services, after a review of their rules — a move likely to increase competition in the country’s legal sector.

The bar association of Tanzania Mainland has allowed lawyers to advertise while at the same time regulating the manner and media through which they do it.

The Tanganyika Law Society Advocates (Professional Conduct and Etiquette) Rules, made under the Advocates Act, will also be used to regulate the conduct of advocates who have been operating largely unregulated.

“An advocate may advertise legal services to the general public, subject to the regulations and rules of the Society on such matters,” says rule 128. read more

Sababu hizi zinatosha kuiangusha UKAWA 2015?

Siasa inabadilika kadri siku zinavyokwenda, hivyo kitendo cha kuungana kwa vyama vikubwa vya siasa katika taifa lolote Afrika siyo jambo la kushangaza.

Ipo mifano ya vyama katika nchi kadhaa za Afrika vilivyojaribu hatua hiyo na kufanikiwa.

Kwa mara ya kwanza hapa nchini, vyama vya CHADEMA, NCCR Mageuzi na CUF vimeamua kuunda kambi moja ya kuelekea Ikulu ili kuongeza nguvu na ushawishi, umoja uliochochewa na mwenendo wa CCM wakati wa mchakato wa Katiba.

Baada ya kukerwa na mwenendo wa mchakato ndani ya Bunge la Katiba, vyama vya upinzani viliunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa lengo la kutetea Rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya

Loh! Nyani "waliowaokoa" Samaki...

Msimu wa masika mwaka ule ulikuwa wa mvua nyingi kupita kiasi, mito karibu yote ilifurika huku ikiacha kingo zake zikivunjika.

Hali hii ilisababisha mafuriko yasiyotarajiwa na kuwalazimu wanyama wote wakimbilie vilimani ili kunusuru maisha yao. Hali hii iliwakumba wanyama wengi, waliyokuwa na bahati waliweza kuyanusuru maisha yao ila wengi wao waliangamia.

Kwa upande wao, Nyani wenyewe walitumia uhodari wao wa kuparamia miti hili kujinusuru, hali ilikuwa tofauti sana kwa samaki ambao muda wote walionekana (kuchupa nje ya maji) kwa kuruka ruka kwa furaha wakifurahia hali hii.

Nyani mmoja aliwaona wale samaki akapaza sauti na kumwambia mwenzake, “Loo! Angalia
chini, rafiki yangu! Waone viumbe maskini wale. Huenda watazama. Unawaona jinsi wanavyohangaika majini?”

“Ndiyo,” baada ya kuangalia kwa muda nyuni mwingine alijibu, na kuongeza kwa sauti ilioonyesha huruma na upendo mkubwa. “Nawahurumia sana! Labda walichelewa kukimbia vilimani kwa sababu hawana miguu. Tunawezaje kuwaokoa?”

Baada ya mabishano ya muda fulani, walikubaliana waende kwenye ukingo wa mto ambako