Ever-calm Tanzania hits turbulence - Peter Wanyonyi

(image source: b-townblog.com)

Tanzania has always been the calmest of the East African triplets, with Kenya and Uganda the more chaotic, and more politically tumultous, respectively. Every few years, usually tying in with the electoral cycle, Kenya dissolves into ethnic violence to one extent or the other. 

People are killed by their fellow citizens, some flee into exile in Tanzania, and eventually the Tanzanians get tired of all the noise next door and send their president to help negotiate peace in Nairobi. 

Uganda is not much better. Blessed or cursed, depending on your perspective, with

Wamarekani watakula tacos zenye nzige? New York's grasshopper tacos

It is an ingredient not usually found on the menu, but one New York restaurant is serving up tacos with a twist - they'll filled with grasshoppers.

Authentic Mexican restaurant Toloache, on Manhattan's Upper East Side, has been preparing the crunchy dish for loyal customers for a number of years. The insects are shipped dry from Mexico City, before being marinated, sautéed and then served in a tortilla with salsa verde.

And while munching on the long-legged bugs might seem strange to western tastes, the Food and Agriculture Organisation of the United Nations (FAO) have promoted consumption of insects as a low-fat, high-protein weapon in the fight against hunger, global warming and pollution.

Mgombea Jumuiya ya Watanzania DMV, Harriet Shangarai aelezea sera zake

Hariet Shangarai, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipikuwa katika kampeni.
Hariet Shangarai, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV alipikuwa katika kampeni.

Na Hariet Shangarai Washington DC

Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV.

Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia, nimekuwa muhamasishaji wa misaada ya elimu, chakula mavazi na malazi kwa watoto yatima. Kwa ufupi nimeona mafanikio ya kina, japo bado wahitaji ni wengi.

Vile vile, nilikuwa mstari wa mbele katika uanzishwaji wa Kikundi cha

Tangazo la Wizara ya Afya: Nafasi za ajira

NAFASI ZA AJIRA ZA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2013/2014


Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwatangazia wataalamu wa kada za afya kuwa bado kuna nafasi za kazi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Wataalamu wa kada zilizoorodheshwa hapa chini wanatakiwa kuwasilisha maombi yao ili waweze kupangiwa vituo vya kazi:

Madaktari Bingwa/ Madaktari Bingwa wa Meno, Madaktari/Madaktari wa Meno, Mdaktari Wasaidizi/Madaktari Wasaidizi wa Meno, Matabibu/Matabibu wa Meno, Matabibu Wasaidizi, Mteknolojia wa Meno, Wafamasia, Watenolojia wa Dawa, Wateknolojia Wasaidizi wa Dawa, Maafisa Wateknolojia wa Maabara za Afya,

Call for scholarships application for Tanzanians to pursue Undergraduate degree programs in Algeria 2014/2015

SCHOLARSHIPS FROM THE GOVERNMENT OF THE DEMOCRATIC PEOPLE’S REPUBLIC OF ALGERIA TENABLE IN ACADEMIC YEAR 2014/2015, 
[RE - ADVERTISED]


Applications are invited from qualified Tanzanians to pursue Undergraduate degree programs in Algeria for the year 2014/2015. The medium of instruction is French.

FIELDS OF STUDY
  • Medicine 
  • Economic, Management and Commercial Sciences. 
  • Mathematics and Computer science
  • State Engineer in Telecommunications 
  • Science and Technology (Environmental Engineering)
  • Science and Technology (Architecture)

Tanzania cuts 50% of annual elephant hunting permits

Information emerged from Dar es Salaam over the weekend, that the Tanzanian government, through the Ministry of Natural Resources and Tourism, has cut their annual hunting quota for elephant by 50 percent in order to help restore numbers of the largely-decimated herds. read more - eturbonews.com

The Power of Color: What they say about brand and business

Color matters when defining a brand. This infographic created by dezinegirl creative studio is a helpful guide to making the right choice.
.

Sherehe ya Green Waste Pro Ltd ya kutimiza miaka miwili

Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo na mgeni rasmi Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy.
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo na mgeni rasmi Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy. 

Analysts faults Bank of Tanzania for licensing ‘too many’ banks

Tanzania has 53 banks. These are too many in a country where many households live on less than $2 (about Sh3,200) a day and the majority people are financially illiterate.

To many bankers, it even makes extremely little economic sense when these banks are operating in an economy plagued by high levels of unemployment and policy uncertainties.

Many banks operating in the country are not only small but poorly capitalised to effectively compete for survival.

Analysts say they should be merged to save them from collapsing which would lead to a financial crisis like it happened in Nigeria 10 years ago when it had 89 banks. The central bank there had to timely intervene by consolidating them, which reduced the number to 40. read more

Mradi mpya wa Shuga kupunguza maambukizi ya VVU


Afisa Mipango VVU/UKIMWI kutoka UNICEF, Bi. Alice Ijumbe akitoa mada kuhusu kiwango cha Maambukizi ya VVU kwa Vijana na hali ya Afya ya Uzazi Salama wakati wa mafunzo hayo, (Picha zote na Zainul Mzige/MOblog).

SENGEREMA - MWANZA

Redio za jamii nchini zimeaswa kutumika vizuri katika kuelimisha kamii juu ya kupambana na maambukizi ya virusi vya UKIMWI kupitia vipindi vya redio.

Hamasa hiyo imetolewa na Ndg Geofrey Mabu ambaye ni mratibu wa UKIMWI halmashauri ya Sengerema mkoa wa Mwanza kupitia mradi wa TACAIDS wakati akifungua warsha ya siku tatu ya mradi mpya ujulikanao kama SHUGA, unaotekelezwa na shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa