Wazimu gani huu? Mtoto wa miezi 6 abakwa Butiama

Na Ghati Msamba, UHURU, Butiama -- MTOTO mwenye umri wa miezi sita (jina linahifadhiwa) amebakwa katika kitongoji cha Nyarufu, kijiji cha Murangi, wilayani Butiama, mkoani Mara.

Habari zinasema kuwa kichanga hicho kilibakwa na mtu asiyejulikana.

Tukio hilo lilitokea siku chache baada ya mtoto wa mwaka 1 na mwingine wa miezi 6 kubakwa wilayani hapo.

Akizungumza katika zahanati ya Murangi, mama wa mtoto huyo, Robby Mwita (18), alisema juzi saa 2 asubuhi, alimwacha mtoto wake nyumbani akiwa na

Tanzania leads in use of Mobile Banking Services, M-Pesa

  • December 2013 alone, Tanzanians conducted 99.9 million transactions worth a combined total of Tshs 3.1 trillion ($1.8 billion), not a simple feat considering that only 14% of Tanzanian adults use banks, less than half the rate in Kenya, and on a par with Zambia towards the bottom of the table.

By News from Africa Staff Writer

New study by GSMA Association indicates Tanzania is ahead of Kenya when it comes to mobile money use, despite the fact that Kenyans have been using mobile money solutions for 7 years.

GSMA, a trade association of mobile carriers ranked Tanzania ahead of Kenya in terms of mobile money systems as 44% of adults in Tanzania used some form of mobile money in 2013--ahead of Kenya's 38%. M-Pesa is now just one of 242 mobile-enabled e-money providers operating in 89 countries, boasting

Dutch "Iceman" Confounding Medical Science: A human being capable of consciously influencing ANS and immune response

Wim Hof climbed Everest bare-chested and ran a half-marathon in Lapland without any shoes. So just how does he do it? This bizarre report reveals the science behind 'The Iceman'.

The wind-chill temperature is -15 degrees Celcius, and Wim Hof is playing football. Topless. Though this is doubtless one of his favourite pastimes, on this occasion 'The Iceman' is participating in a medical study by Radboud University in the Netherlands, training a group of spritely young volunteers to acquire his superhuman hardiness.

"You're learning to train your mind so that you're in control," explains one apprentice as he dries off after an ice-bath in a car park. 

"It's a powerful feeling." But the benefits of Wim's meditation techniques turn out to be much more significant than simply not needing a coat.For downloads and more information visit: journeyman.tv

[video] Pres. Obama calls and congratulates Clint Dempsey and Tim Howard

US President, Barack Obama calls USA Men's National Team captain Clint Dempsey and goalkeeper Tim Howard on July 2, 2014 in São Paulo to congratulate them on their showing at the 2014 FIFA World Cup in Brazil.

Jaji Werema hakutakiwa kupandisha hasira - Jaji Bomani

Aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Jaji Mstaafu Mark Bomani na kusema kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema aliteleza katika suala la kuchukizwa na kauli ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
“Ukiwa kiongozi hutakiwi kuwa na jazba na uwe tayari kutukanwa, hivyo Jaji Werema hakutakiwa kupandisha hasira, alitakiwa kujizuia na nadhani katika hilo aliteleza,” 
amenukuliwa akisema Jaji Bomani.

Jaji Bomani alisema kwa wadhifa na majukumu mazito ya Jaji Werema ndani ya Bunge, hakupaswa kutoa maneno makali wala kujibizana na Kafulila ndani ya bunge.

Alitumia fursa hiyo kuwaonya viongozi wa ngazi mbalimbali wa serikali, kuhakikisha wanakuwa makini na ndimi zao ili kuepuka kujitumbukiza kwenye dimbwi la uhuni.

Hata hivyo, alisema anaamini kupitia kwa Jaji Werema, viongozi wengine watakuwa wamejifunza na watakuwa makini.

Jaji Werema alionekana kupandwa na hasira baada ya kuitwa 'mwizi' na Kafulila, ambapo yeye alijibu kwa akitumia fasihi akisema:
“Wanyankore wanasema tumbili hawezi kuamua kesi ya msitu, hivyo naomba nisikilize hata kama nina makosa, we nisikilize kwanza,” 
kauli ambayo ilitafsiriwa kwamba alimuita Kafulila ni ‘tumbili’.

Jaji Bomani alikuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mjini Dar es Salaam, jana, kuhusiana na masuala mbalimbali, ikiwemo mchakato wa Katiba Mpya.

---
wavuti.com imenukuu sehemu ya taarifa hii ya RABIA BAKARI via gazeti la UHURU

SADC/ICGLR Ministerial Meeting Press Release


SADC/ICGLR MINISTERIAL MEETING PRESS RELEASE


The second joint ministerial meeting of the Southern Africa Development Cooperation (SADC) and the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) countries was concluded in Luanda July 2, 2014 with concrete steps to finding sustainable peace in the region.

The well attended meeting by all country members represented by foreign and defence ministers deliberated heavily on a single agenda of voluntarily disarmament of the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR).

Hon. Bernard Membe, Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, led the Tanzania delegation whereby the Tanzania Defence Minister was

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho za Mabalozi wa Poland, Romania na Sri Lanka

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014

Harvard Club of Washington yazuru Ubalozi wa Tanzania nchini MarekaniMhe. Balozi Liberata Mulamula akipokea zawadi toka kwa Rais wa Umoja huo Bi. Yi- Fun Hsueh.Balozi wa Tanzania nchini Marekani  na Mexico,Mhe. Liberata Mulamula akiwakaribisha Umoja wa Wanafunzi waliosoma katika Chuo Kikuu Cha Harvard waishio Washington Metro Area, kikundi kinachobeba jina la Harvard Club of Washington kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na kuwaelezea kuhusu Tanzania na vivutio vyake.

Maelezo aliyokuwa akitoa Mhe. Balozi yanasikika katika audio kwenye pleya iliyopachikwa hapo chini...

Rais Kikwete na Mwana Mfalme wa Japan Akishino na Princess Akishino

Rais Jakaya Mrisho Kikwete kartika picha ya pamoja na Mwana Mfalme wa Japan, Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea jijini Dar es salaam leo July 3, 2014. Wengine ni WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Naibu WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi, balozi wa Tanzania nchini japan Mhe Salome Sijaona na balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe Masaki Okada

Tahadhari ya Bodi ya Mikopo kuhusu utapeli kwa waomba mikopo ya Elimu

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD

Plot No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O. Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania

Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: [email protected] Website:www.heslb.go.tz

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo na umma kwa ujumla, juu ya kuibuka kwa genge la matapeli wanaowalaghai wananchi ambapo hujitambulisha kuwa wao ni wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo.

Mbinu zinazotumiwa na genge hilo la matapeli ni kuwatumia ujumbe mfupi wa

Tume ya Mipago yakagua mradi wa makaa ya mawe wa Ngaka

Majiko maalum yanayotumia mkaa uliotokana na makaa ya mawe kwa ajili ya kupikia majumbani.

Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (ORTM), Dkt. Philip I. Mpango, (wa tano kutoka kushoto) akikagua Mradi wa Makaa ya Mawe Ngaka. Wengine ni viongozi na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na Shirika la Maendeleo la Taifa – NDC pamoja na wataalam wa kampuni ya TANCOAL inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe.