Tangazo la Strabag kwa Umma kuhusu Barabara ya Kawawa/Morocco

TANGAZO KWA UMMA

Strabag International GmbH pamoja na wadau wengine wanapenda kutangazia umma na awtumiaji wa barabara ya Kawawa/Morocco kuwa, kipande cha makutano ya Kawawa na barabara ya Kinondoni kitafungwa tarehe 5 hadi 6 Juali 2014, kupisha ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka. 

Watumiaj wa barabara ya Kinondoni kuelekea Morocco na Magomeni wanashauriwa kutumia barabara ya Togo kupitia Karago kama njia mbadala na wale wanaotokea Morocco au Kawawa kuelekea Kinondoni Makaburini, wanashauriwa kutumia barabara ya Mtama kama inavyooneshwa kwenye ramani.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

TUNAJENGA KWA AJILI YENU.

9511fca93778835b9597a107b8378423.jpg (518×683)
ramani

Tanzania: Only EAC member to ratify EAMU integration before deadline

  • Tanzania is the only member state to ratify the East African Monetary Union Protocol within deadline after it completed the process in June.
  • In Rwanda, the ratification is being debated in the Senate, having been approved by the lower House, after the country missed the July 1 deadline alongside Uganda, Kenya and Burundi. 
  • Uganda’s EAC Affairs Minister Shem Bagaine would not specifically say when they would ratify the protocol, only saying: “Bank of Uganda is a creation of the Constitution and, if we are to ratify a protocol that takes away its powers, we have to go through parliament,” he said.
  • Kenya hopes to ratify the Monetary Union Protocol this month, although there are fears of further delays. Peter Njoroge, Director of Economics at Kenya’s Ministry of East African Affairs, Commerce and Tourism, said the matter is before the Cabinet: “How fast it will be ratified depends on the attention it is given,” he said. “It is not a simple process because after the Cabinet, it will be taken to parliament for approval. “We are however optimistic we will meet the July deadline.”
  • Burundi’s Minister for EAC Affairs LĂ©ontine Nzeyimana was also not specific on the date, despite an earlier commitment to the July deadline: “Burundi is in the process of ratifying the Monetary Union Protocol,” Ms Nzeyimana had told The EastAfrican in an earlier interview. “We will beat the July deadline; that’s what I can tell you.” 
Read more.

Taarifa ya Wizara kuhusu ziara ya Waziri Magufuli mikoani Mwanza, Mara

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA


Wizara ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradi mbaimbali ya Maendeleo katika mkoa wa Mwanza na Mara.

Mheshimiwa Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami. Siku inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua mradi wa barabara ya

[video] Know how fireworks works

A little chemical know-how -- John A. Conkling, Ph.D., shows how the familiar rockets and other neat products that light up the night sky all represent chemistry in action in this video which brings you all of the exciting sights and sounds of fireworks. Enjoy!

Kenya, Tanzania off list of countries tracked for money laundering

Kenya and Tanzania have been removed from a global watch list of countries not doing enough to tackle money laundering, a downgrade expected to increase the region’s appeal among global investors.

The exit of the two countries from the list leaves Uganda as the only country from the region viewed by the international community as not doing enough to shield its financial sector from acting as a conduit for cleaning and transferring illegally acquired cash.

The Financial Action Task Force (FATF), a global anti-money laundering agency that sets standards for countries, says while Kenya and Tanzania had taken steps to step up local legal and regulatory frameworks, Uganda has made little progress in sealing these loopholes, citing the country’s failure to establish a legal and regulatory framework to curb the practice. Read more

Deepest pain empowers you to grow to your full potential

These hard times are making you stronger and smarter. It’s usually the deepest pain that empowers you to grow to your full potential. It’s the scary, stressful choices that end up being the most worthwhile. Without pain, there would be no change. But remember, pain, just like everything in life, is meant to be learned from and then released.
Marc & Angel

Mjerumani mbaroni kwa kuifanyia ujasusi Marekani

Vyombo vya habari vinapasha kuwa, Maafisa nchini Ujerumani wanawashikilia Wajerumani wawili wanaoshukiwa kuifanyia ujasusi na kufanikisha kupenyeza taarifa za siri kwa maafisa wa Marekani, kwa hiyari yao wenyewe.

Steffen Seibert, Msemaji wa Chancellor Angela Merkel, amekiri kutaarifiwa kuhusu suala hilo lililotokea Jumatano ya wiki hii na kusema kuwa Chancellor Merkel alizungumza na Rais wa Marekani, Barack Obama siku ya Alhamisi (ijapokuwa

Unafiki na usaliti wa Mwigamba dhidi ya ukomo wa madaraka CHADEMA

UNAFIKI na USALITI wa Mwigamba dhidi ya tuhuma za ukomo madaraka katiba ya CHADEMA


Nimeamua kuandika kidogo kikombe kisinipite ili kuanika unafiki wa Mwigamba na marafiki zake (Kitila na Zitto), Mwigamba na maswahiba zake (viruka njia wa usaliti) ambao walisaliti ndani ya CHADEMA na baadae kuibuka na uzushi kuwa kipengele cha 6.3.2 (c) kinacho zungumzia muda wa uongozi kwenye katiba ya chama kuwa kimewekwa kinyemela. Kipengele hicho (6.3.2 (c), kinasema "kiongozi aliye maliza muda wa uongozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya kuchaguliwa kuwa kiongozi" 

Mwigamba anasema kipengele hicho kimeongezwa kinyemela huku akijua

[audio] Diamond Platnumz katika mahojiano na Kwanza Production baada ya tuzo za BET

Diamond Platnumz na DMK kwenye utoaji tuzo za BET Los Angeles
(picha kutoka ukurasa wa Facebook wa  DMK Global Promotions)

Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Damond Platnumz. Msanii mwenye mafanikio makubwa kutoka nchini Tanzania.

Amejiunga nasi kwa njia ya simu punde baada ya kuhudhuria utoaji tuzo za BET ambako yeye alikuwa mmoja wa waliokuwa wakiwania tuzo hizo.

Kazungumza mengi kuhusu TUZO HIZO.

Alipopokea na alivyopokea uteuzi wake, aliloliona kwenye tuzo hizo, ulinganishaji