Kijana wa Kipalestina achomwa moto angali hai hadi kufa

Taarifa zilizoripotiwa na vyombo kadhaa vya habari zinasema kuwa uchunguzi wa awali unaonesha kuwa kijana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 16  aliyekuwa ametekwa na kundi la Wayahudi wa mrengo mkali, alichomwa moto angali hai mpaka akaaga dunia.

Wataalamu waliouchunguza mwili wa kijana huyo wametaarifu kuwa mapafu ya mwili wa marehemu Mohammad Abu Khdair yalikutwa na ukungu wa majivu, ishara kuwa alipumua na kuvuta hewa hiyo akiwa hai, abla ya asilimia 90 ya mwili wake kuungua.
"'It was obvious through autopsy that there was black smoke on the breathing airways, windpipes and in the two lungs,' the prosecutor's site said. 'This is proof of inhalation of this material during the torch, while he was alive.'
"The autopsy was conducted by Israeli doctors and attended by the Palestinian coroner..." (imenukuliwa kutoka NPR)

Mamia ya waombolezaji walifurika Mashariki mwa mji wa Yerusalemu kwa ajili ya maziko ya kijana huyo na kuandamana kupinga mauaji hayo. 

Tangu tarehe 12 Juni mwaka huu walipokamatwa na kuuawa vijana watatu wa Kiisraeli, Naftali Frenkel, 16, Gilad Shaar, 16 na Eyal Yifrach, 19, huko West Bank, kumekuwepo na ongezeko la hali ya wasiwasi baina ya Israeli na Palestina.

Ziara ya Rais Kikwete DITF 'Saba Saba' Julai 6, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Ardhi University ndiyo washindi wa jumla wa mwaka huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Ardhi university ndio washindi wa jumla wa mwaka huu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.

Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza trilioni 1.6/= kwa mwaka - Norway kujirudishia misaada yote kupitia mkataba huu

Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf).

Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii, habari zake zimekuwa zinazimwa na hivyo kukosa kabisa mjadala mpana kitaifa na hasa kwa wananchi wenye rasilimali zao. Mwanzoni wengi wetu tulidhani (kwa makosa) kuwa tatizo la mkataba huu ni eneo la umiliki wa kampuni tu (shareholding) kulingana na namna ulivyowasilishwa, kumbe mgawanyo mzima wa mapato unakwenda kinyume na maelezo ya Serikali na TPDC kwa umma.

Mkataba uliovuja unaonyesha kwamba makubaliano ambayo Serikali imeingia na

Savings if all Dar residents were connected with natural gas energy

A Research Officer from Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) Denis Byarushengo told the Guardian on Sunday at the ongoing 38th Dar Salaam International Trade Fair (DITF) that Tanzania was likely to record considerable growth with the savings accrued from fuel imports.

  • As of April this year the total consumption of gas in the country stood at 247.9million (ft3) with a total value of $594.1million (Sh988.3million).
  • “If all Dar es Salaam residents were to be connected with natural gas energy

AMREF rebrandsThe Africa Medical and Research Foundation Tanzania (AMREF) yesterday launched a new brand identity known as Amref Health Africa in Dar es Salaam.

Amref Country Director Festus Ilako said: "We are rebranding to ensure our name more accurately reflects the nature and scope of our work which has grown beyond research and the provision of basic medial service."

Dr Ilako said Amref health Africa introduced stronger brand identity to communicate its integrated focus and vision for lasting health change in Africa.

"We believe the new brand identity and logo reflects Amref health Africa global presence and further strengthens the organisation on its mission to improve the health of people in Africa by partnering with and empowering communities and strengthening health systems," he said.

Tanzania liberalises Capital Account for EAC residents

Tanzania has liberalized its Capital Account for all East African Community (EAC) residents, which allows them to participate in the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) securities, and to a limited extent in government securities.

The move allows Tanzanians to invest in the region without requiring prior permission from the country’s Central Bank, Bank of Tanzania (BoT).

This is significant stride to fulfill the requirements of the EAC Common Market as annexed in its Schedule on the Removal of Restrictions on the Free Movement of Capital by 2015. -- Read more