FIFA World Cup History: Facts & Figures - Oldest player, Most goals...

I think this infographic needs an update for a new record in history, after today's Germany 7:1 Brazil with Miroslav Klose scoring his 16th goal of the tournament.

BTW, I've just been reminded that in 1974, there was a score line of Yugoslavia 9:0 Zaire (DR Congo).

World Cup History

Source: lucid-events.co.uk

Bahrain yamtaka afisa wa Marekani atimue haraka

Wizara ya Mambo ya Nje ya Bahrain imesema mwanadiplomasia wa Kimarakeni hatakiwi nchini humo na inampasa aondoke mara moja.

Msaidizi huyo wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Tom Malinowski anayeshughulikia demokrasia, haki za binadamu na masuala ya kazi, alikutana na kundi la Washia, Al Wifaq, ambao ni wapinzani wa Serikali ya Bahrain, jambo ambalo limeiudhi Serikali hiyo iliyoliita ni 'ishara ya kubagua watu wa taifa moja'.

Msemaji wa Serikali ya Marekani, Jen Psaki amesema timu ya maafisa ipo katika

Mabomu tena Arusha usiku wa kuamkia leo


via Arusha 255 blog -- Hali ya usalama imezidi kuwa tete katika Jiji la Arusha kufuatia mfululizo wa matukio ya raia kujeruhiwa kwa kinachoaminiwa kuwa mabomu ya kurusha kwa mkono baada ya jana usiku kutokea mlipuka katika mgahawa wa Kihindi ujulikanao kama Vama Restautant uliopo maeneo ya Gymkhana.

Taarifa zinaeleza kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa huku wawili wakielezwa kuwa

Extramarital affair rampant in Dar; More shocking, by elite and well-to-do class

More shocking, such immoral behaviour is committed by the elite and the well-to-do class that use their riches to lure sexual partners at all costs. The investigation found that many married men frequent the numerous locations in the city where the world’s oldest profession is alive.

One such location is Mapambano and Bamaga areas along Shekilango Road in the city where girls of all sizes and shapes swarm the place as soon as darkness sets in to peddle flesh.

The area has over 100 girls every day who sell their bodies at varying prices. Our

US Med students headed to Tanzania to provide free care

Thirteen U of L medical students are headed to Tanzania to help families in need.

The group will offer free medical and dental care to residents in HIV/AIDS-inflicted villages.

Ambassadors from Waterstep will also be with the students - to install water treatment facilities. They'll be using a new design dubbed "water balls." The design

46% Believe Obama administration encouraged young illegal immigrants

Results from a survey of 1,000 Likely Voters conducted on July 6, 2014 by Rasmussen Reports shows that nearly half of U.S. voters believe the Obama administration has prompted the flood of illegal immigrant children at the border, and most want them sent back home right away.

Politicians have been playing the blame game for months after thousands of juvenile illegal immigrants began pouring over the border into the United States.

Through national telephone survey, Rasmussen Reports found that 46% of Likely U.S. Voters think that the administration, through its statements and policies, has encouraged this wave of illegal immigration while thirty-one percent (31%) disagree, and 23% more were not sure.

See survey question wording, by clicking here.

Ilala yazindua tovuti ya kutoa leseni za biashara


Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, jana katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam "Saba Saba" yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere alizindua tovuti ya http:ilala.kpk.fi/ebusiness kwa ajili ya utoaji wa leseni za biashara katika Halmashauri hiyo.
“Manispaa yetu inakuwa ya kwanza katika kila jambo la kujiongezea kipato hivyo ninawaalika Manispaa nyingine kuja kujifunza kutoka kwetu kwa nia ya kuongeza kipato,” 

Slaa alisema utoaji huo wa leseni umeunganishwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wenye kuonesha taarifa zote za namba ya mlipa kodi (TIN) inayowatambulisha wafanyabiashara wote na kuonesha taarifa zao sahihi.

Alisema kutokana na kuungana huko, iwapo mfanyabiashara ataandika taarifa ambazo si sahihi, mtandao utamkatalia hivyo kusaidia kuondokana na udanganyifu.

Silaa alisema leseni inayotolewa kwa mtandao wa kompyuta inaweza kuhakikiwa kwa kutumia simu za mkononi kwa kutumia sehemu iliyoandikwa GR Code.

Alisema njia hii itasaidia kuongeza kipato na pia kuweka ukaguzi kwa wafanyabiashara huku wakiwa na mipango ya kutumia mitandao katika kutoa leseni za viwanja na majengo hivyo kuondoa misongamano ya watu.

Pia itasaidia kukabiliana na utoaji wa leseni bandia na kuwadhibiti vishoka.

Tanzania seeks technical help from Switzerland on stolen Govt assets

By Kizito Makoye via trust.orgDAR ES SALAAM, Tanzania (Thomson Reuters Foundation) - Tanzania is seeking help from Switzerland in investigating stolen government assets and illicit money stashed in offshore bank accounts, two years after a parliamentary inquiry first called for action.

Frederick Werema, Tanzania’s attorney general, said that the government is working with the International Centre for Asset Recovery (ICAR), a technical advisory group based in Basel, Switzerland, to investigate several cases of fraud, bribery and corruption where money may have been secretly funneled overseas. He declined to provide further details.

“We cannot disclose names of anybody because by doing so we will be

Kumekucha! Urais 2015


Libe aungana na iftar ya Tanzanian Muslim Community, Washington DC

Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe". (wapili kulia) akipata picha ya pamoja na waumini wa Tanzanian Muslim Community in (TAMCO) Siku ya Jumapili July 6, 2014 ndani ya ukumbi wa Indian Spring ulipo Silver Spring Maryland

Na Abou Sharty Washington DC -- Mgombea wa Urais wa Jumuiya ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe", siku ya Jumapili July 6, 2014 alipata fursa ya kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Tanzanian Muslim Community (TAMTCO), iliopo Washngton DC Metro, kwa ajili ya kuonyesha umoja na mshikamano dhidi ya Jumuiya ya mbali mbali ziliopo hapa DMV.

Bwana Liberatus Mwang’omb, alisema kua alifurahishwa sana na kitendo cha

Wanawake 63 waliotekwa na Boko Haram wamewatoroka

Jumla ya wanawake na wasichana sitini na watatu waliokuwa mateka wa kundi la Boko Haram huko Nigeria, inaripotiwa kuwa wametoroka na wapo huru baada ya watu waliokuwa wakiwashikilia kuwaacha kwa muda na kwenda kushambulia eneo jingine huko jirani na Damboa katika jimbo la Bono.

Bado wanafunzi wa shule zaidi ya 200 wanashikiliwa na kundi hilo.

Waliotoroka ni miongoni mwa wanawake 69 waliotekwa wiki mbili zilizopita huko Kaskazini Mashariki mwa Nigeria mwezi Aprili.

Mwanachama mmoja wa kundi linalopigania usalama wa raia na wanahabari alipokea ujumbe unaoeleza kuwa wanawake hao wamefanikiwa kutoroka na kufika majumbani mwao salama, taarifa ambazo pia zilithibitishwa na ndugu na jamaa wa wanawake hao.

Travelling to USA? Tight rules on phone, tablets, laptops at airports

4-27-13-TSA_full_600.jpg (600×400)
A TSA officer signals an airline passenger forward at a security check-point at Seattle-Tacoma International Airport in SeaTac, Wash. (photo: csmonitor.com)

In order to preempt terrorist group's attempts to make explosives harder to detect, people flying to the U.S. on international flights are advised to keep their phones, tablets, laptops and other gadgets charged or else the devices might not be allowed on the plane if they can't power up.

The Transportation Security Administration (TSA) says its new policy guideline is aimed at certain airports that have direct flights to the U.S.

Officials at those overseas facilities should require passengers to turn on cellphones and other devices before they're allowed to board. The agency didn't specify which airports it's concerned about, but a "homeland security official said last week that the changes would primarily focus on airports in Europe and the Middle East," reports CNN. "An official told the BBC that London's Heathrow was among the airports," the British news service says. It adds that airports in France and Germany have agreed to the procedures.

Vunja mbavu na Anne Kansiime LIVE in Dar! ! Cheka upasuke!

Vunja mbavu na Anne Kansiime LIVE in Dar! ! Cheka upasuke!
Vunja mbavu na Anne Kansiime LIVE in Dar! ! Cheka upasuke!


Nostalgia! Who else has a chance to win the FIFA World Cup this year?

Pele. Archive Photos, Inc
Pele (photo: Archive Photos, Inc.)
Pele : Edson Arantes Do Nascimento is the only soccer player in the history of the FIFA World Cup competitions to have played in four world cups (1958, 1962, 1966 and 1970) during which time his country, Brazil, won the world cup three times, two in row (1958 and 1962). We know him by the name of Pelé. He was 17 when he played in the 1958 FIFA world cup and Brazil won the FIFA trophy for the first time.

Brazil (Brasil): In recent history, Brazil would be the only country to appear in three consecutive world cup finals (1994, 1998, and 2002) and manage to win the trophy twice during the 8-year period, in 1994 against a gifted Italy and in 2002 against a powerful Germany. By the end of the 2014 contest, FIFA will have had 20 world cup championships. I believe a team from Europe (possibly Germany or Netherlands) will win this time. Regardless, Brazil will still own the record of being the winningest country – five wins or a quarter of the 20 contests!

Italy and Germany: Italy won back to back world cup championships in the early history of FIFA (1934 and 1938) and has won the cup four times overall. Well, Italy is

Nakala ya tamko la Maaskofu kwa Bunge Maalumu la KatibaSekondari ya Kidini hupumzika Alhamisi, Ijumaa; Husoma Jumamosi, Jumapili


Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya Mivumoni jijini Dar es Salaam husoma kwa siku tano kama kawaida, lakini `wikiendi’ yao huwa siku za Alhamisi na Ijumaa. Hii ina maana kuwa siku za masomo huanza Jumamosi na kuendelea Jumapili, Jumatatu hadi Jumatano.

Kwa kawaida, siku za masomo wakati ambapo shule zinakuwa hazijafungwa huwa Jumatatu hadi Ijumaa, isipokuwa kwa siku za sikukuu za kitaifa.

Shule hiyo ya kutwa iliyopo katika Manispaa ya Kinondoni eneo la Kinondoni B, iko chini ya msikiti wa Mtambani, ina wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne.

Hata hivyo, shule hiyo imetakiwa kubadili utaratibu wake wa siku za masomo, kwa

Taarifa ya Vijana wa NCCR-Mageuzi kwa umma

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA KITENGO CHA VIJANA NCCR-MAGEUZI, 6 JULAI 2014, MAKAO MAKUU YA CHAMA. 


1.0 UONGOZI WA KITENGO CHA VIJANA

Tunapenda kuvitaarifu vyombo vya habari na umma kwa ujumla kuwa, tulikuwa na mchakato wa kuwapata viongozi wa kitengo cha vijana ambao ulianza kwa vijana kuchagua na kupendekeza viongozi waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya kitengo na baadae kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Chama kwa mujibu wa Katiba ya NCCR-Mageuzi na kanuni za vitengo vya chama, hivyo kutokana na mchakato huo, kitengo cha vijana kimepata viongozi wafuatao:

  1. Ndugu Deo Meck – Mwenyekiti Kitengo cha Vijana Taifa
  2. Ndugu Hassan Ruhwanya – Makamu Mwenyekiti Kitengo cha Vijana Tanzania Bara
  3. Ndugu Mawazo M. Athanas – Katibu Mkuu Kitengo cha vijana Taifa.
  4. Ndugu Simon Noel – Naibu Katibu Mkuu Kitengo cha Vijana Tanzania Bara

Hivyo tunaomba ushirikiano katika ukuzaji na uendelezaji wa demokrasia na uwajibikaji nchini kwa faida na maendeleo ya vizazi vilivyopo na vijavyo.

2.0 KUHUSU SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW

Tunaunga mkono harakati za chama na Mh. David Kafulila (Mbunge wa Kigoma kusini) za kutaka kuwepo na uchunguzi huru na wa haki kuhusu sakata la fedha za

Mchanga wa dhahabu: Mamia wajitokeza kushuhudia na kupata ukweli

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la TMAA wakishuhudia mchanga wa dhahabu uliokuwa ukioneshwa banda hapo.

Na Saidi Mkabakuli -- Mamia ya wakazi ya jiji la Dar es Salaam na vitongoji vya wamejitokeza kujionea mchanga wa dhahabu unaoneshwa kwenye Banda la Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) lililopo katika viwanja vya Maonesho ya Kimataifa vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wakazi hao Bw. Shabaan Charahani, amesema ameshawishika kuja kujionea mchanga huo na kupata ukweli juu ya kutoroshwa kwa mchanga huo kama inavyovumishwa na watu wengi nchini.

“Nimekuja kujifunza masuala ya ukaguzi wa madini na kujua ukweli juu ya

Costliest mistakes: Extra comma in contract costs a company. $888,000

Punctuation, people, punctuation. An extra comma in a contract between two Canadian companies was used as a way to make it null-and-void.

The agreement between telecom giant Aliant to string cable lines for Rogers Communications at $9.60 a pole stated this: “shall continue in force for a period of five years from the date it is made, and thereafter for successive five year terms, unless and until terminated by one year prior notice in writing by either party.”

Aliant said the second comma in the sentence meant they could cancel with one years' notice, while Rogers insisted the contract was meant to last five. Lawyers for Aliant called it “a basic rule of punctuation” and won in court. Rogers was on the hook for an additional $1 million Canadian ($888,000 US).

  • Ronald Wayne Gives Up Stake in Apple, Losing Out On $22 Billion

Wozniak, Jobs... and Wayne? That's right, there was a THIRD founder of Apple computers that you've never heard of. That's because Ronald Wayne gave back his stake in the multi-billion dollar company back in its earliest days in 1976. 

Woz and Jobs each had 45 percent shares and Wayne, who was their elder, had 10 percent. He was supposed to be the “adult-in-chief” and settle any disputes between the other two, but Wayne felt the pair were too young and inexperienced and feared that the company would go under and he'd be liable. 

Less than two weeks after signing the agreement, he cashed out for $2,300. Oops!
 
See more ODDEE: 9 Costliest Mistakes