"Sasa wamefikia hatua ya kunitishia maisha yangu" - Mnyika

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amewaomba wapiga kura wake kumuombea kila siku kutokana na madai kuwa amekuwa akiwindwa na watu wanaotishia uhai wake.

Mnyika alitoa kauli hiyo juzi jioni katika eneo la Mbezi mjini Dar es Salaam wakati akihutubia mkutano wa hadhara:
“Nimekuwa nikizungumza mambo mengi ninapokuwa bungeni Dodoma, hasa ninapowatetea wananchi na wapiga kura wangu, lakini kuna watu hawafurahishwi kabisa…sasa wamefikia hatua ya kunitishia maisha yangu.
“Wengi mnakumbuka kwamba, Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Steven Ulimboka, alitekwa na kupigwa na watu wasiojulikana na kisha kung’olewa meno, baada ya tukio lile aliyekuwa akifuatia nilikuwa mimi, sasa sijui na mimi wanataka kunifanyia hivyo au la,” 
alisema Mnyika na kuongeza kuwa taarifa za yeye kutishiwa maisha zilianza kuvuja baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge la Bajeti.

Imeandikwa na Na Veronica Romwald, imechapishwa gazetini MTANZANIA

Tanzania, Zambia to invest $80m in cash-strapped TAZARA

Tanzania and Zambia plan to inject $80m to bail out a jointly owned railway firm suffering from decades of underinvestment, the company said on Tuesday.
"The governments of Tanzania and Zambia … have agreed to inject $80m into the operations of Tazara in the next 12 months, of which $9.2m is to be disbursed immediately to cater for two months of outstanding employees’ salary arrears and some working capital," 
company spokesman Conrad Simuchile said, adding that the capital injections were also needed to buy fuels and lubricants for the trains.

The company said in September that revenue had averaged $1.53m per month over the past eight months against an estimated average expenditure exceeding $2.5m, of which salaries alone constituted an average of $1.3m a month.

Brazil vs Germany: Devastation the game sowed among fans

*I've just been informed of a 1974 record - Yugolavia 9:0 Zaire (DR Congo) 

Emotional Brazil fans react after being defeated by Germany 7-1 during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil. (phptp: Laurence Griffiths/Getty Images South America)The Seleção went out of the game with its reputation as soccer’s most creative force in tatters. A team that hadn’t lost at home since 1975 suffered a defeat that was almost unthinkable.

A fast and tactical German team shredded Brazil’s largely absent defense five times in 18 amazing first-half minutes to walk into the finals.

NPR's Lourdes Garcia-Navarro watched the game in a bar in Sao Paulo. She speaks to Robert Siegel about the game and the devastation it sowed among Brazilian fans.

Call for applications: Certificate and Diploma programmes at SUA

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE

APPLICATION FOR ADMISSION INTO CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES

Applications are invited from suitably qualified candidates to pursue the following programs for the academic year 2014/2015.

MODE OF APPLICATION FOR NON-DEGREE PROGRAMMES 

i. Application forms can be requested from the undersigned or downloaded from the University website at

[video] Kumbukumu za Bruno Mazali alipowausia viongozi 2012

Video ya Kumbukumbu ya Bruno Mazali alipokuwa akitoa USIA kwa Viongozi wa Jumuiya ya wa waTanzania DMV, baada ya uchaguzi uliofanyika siku ya Jumapili April 15, 2012.

The launch of the British Chamber of Commerce in Tanzania

Launch of the British Chamber of Commerce in Tanzania
Tuesday, 8th July 2014


Visiting UK Minister for Africa Mark Simmonds and British High Commissioner Dianna Melrose launched the new British Chamber of Commerce in Tanzania (BCC) on 8th July.
The British Chamber of Commerce will help achieve the objectives of the Tanzania/UK High Level Prosperity Partnership in increasing bilateral trade and investment to the benefit of both countries.
Launching the British Chamber of Commerce at a reception during Minister Simmonds’ visit, the High Commissioner said: “The role of the new British Chamber of

Dismas Lyassa arejesha fomu ya kugombea Urais TUCTA

Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu. (picha: Khamis Tembo)
Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwa

HLPP event joint statement

Tuesday 08th July, 2014

HLPP event joint statement
Hon. Samuel J Sitta, Minister for East African Cooperation, and Mark Simmonds, UK Minister for Africa today co-chaired the first UK-Tanzania High Level Prosperity Partnership dialogue.  The Prosperity Partnership was agreed between Minister Simmonds and President Kikwete in June 2013 and formally launched by Prime Minister Pinda and Justine Greening, Secretary of State for International Development on 5 November 2013 in Dar es Salaam, and by Mark Simmonds and Justine Greening, with the Tanzanian High Commissioner in London on 19 November.  
Minister Sitta and Minister Simmonds welcomed the strength of bilateral relations and

UK Minister for Africa, Mark Simmonds HLPP Speech

Mark Simmonds
Mark Simmonds

  • Honourable Minister Sitta, Honourable Ministers, distinguished guests, Ladies and Gentlemen.


  • I am delighted to be here today, my third visit to Tanzania in just over a year.  Indeed, during my last visit in June, I discussed the UK Tanzania Prosperity Partnership with President Kikwete. I was quite clear of our ambition – to work in partnership with Tanzania to increase bilateral trade and investment, support development and generate prosperity and employment for both our countries.  I was delighted when he gave it his enthusiastic support.


  • We have agreed an ambitious set of objectives in three key economic sectors: Oil and

British Minister for Africa, Mark Simmonds visits Tanzania
     


Tuesday   08th July, 2014

British Minister for Africa Visits Tanzania
British Foreign Office Minister for Africa, Mark Simmonds, arrived in Dar es Salaam today on a two day visit to the country.  This is Mr Simmonds’ third visit to Tanzania in just over a year, showing the importance the UK attaches to relations with Tanzania.   
One the key objectives of Mr Simmonds’ visit is to review progress on the UK-Tanzania High Level Prosperity Partnership agreed between Mr Simmonds and President Kikwete last June.  Mr Simmonds kicked off his visit by co-chairing together with Hon Samuel Sitta, Minister for East African Cooperation, a high level review of progress in

Kisomo cha arobaini ya Iraki Huddu

Iraki Huddu

TAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA NDUGU YETU MAREHEMU (Bondia) IRAKI HUDU (RIP)


Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana,

Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni, Rozana, Dar-es-salaam.

Shughuli hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa

Semina ya utengenezaji wa vyakula-lishe

Taasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia "Mradi wa Wanawake Salama Tanzania" inapenda kuwaalika wanawake wote waishio jijini Dar es salaam kushiriki katika Semina ya Utengenezaji wa Vyakula - Lishe.

Mafunzo yatakayo tolewa katika semina hii, ni pamoja na uaandaaji, utengenezaji na utayarishai wa vyakula-lishe maalumu kwa wagonjwa na watu wanaosumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya.

Washiriki wa semina hii watasaidiwa kuanzisha na kuendesha biashara ya

Ojays Kiddies Zone wafurahia kuhitimu chekechea


Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5 (T-shrits za kijani) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Regency Park jijini Dar mwishoni mwa juma.


We are happy to Graduate....! Wanafunzi wa Laura Class...