Chuo bandia cha uuguzi chafungwa

Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha wakiwa ndani ya darasa lao kwa majonzi baada ya kutapeliwa. (picha na Daniel Makaka Sengerema).

MKUU wa wilaya ya Sengerema, Bi. Kalen Yunus amekifunga chuo cha uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha baada ya kukiukwa kwa taratibu za usajili.

Mkuu huyo aliamua kukifunga chuo baada ya kupata taarifa za chuo hicho kuendeshwa bila usajili.

Pamoja na kufungwa kwa chuo hicho, wanafunzi wake wanaiomba serikali iwasaidie kurejeshewa fedha walizotoa katika chuo hicho kutokana na mwenye chuo kuwadanganya kuwa kimesajiliwa wakati akijua si kweli.

Wamesema walijiunga hapo baada ya kuona matangazo mbalimbali kuhusu

Rekodi zilizowekwa na kuvunjwa baada ya Ujerumani vs Brazil

Na Shaffid Dauda, Brazil ILIWACHUKUA nusu saa tu Ujerumani kufunga mabao 5-0 dhidi ya Brazil na hii imeweka historia katika njia nyingi. Hapa tunatazama ukweli kutoka nusu fainali ya jana usiku ambayo wenyeji walifungwa mabao 7-1.
UJERUMANI IMEPAA JUU ZAIDI


• Kwa kufunga bao la pili, Miroslav Klose amekuwa mfalme wa kufunga mabao katika fainali za kombe la dunia. Klose kwasasa amefikisha mabao 16 katika maisha yake ya soka na kuvunja rekodi ya Gwiji wa Brazil, Ronaldo.

• Ujerumani walifunga mabao 5 katika dakika 29 za kwanza, nchi hii imekuwa ya

Ujumbe muhimu kwa Mwajiri, Serikali, Familia na mnaonihusu...Mpendwa mwajiri, serikali, familia na wengine wote mnaonihusu;

Kwa kutambua kuwa fainali ya World Cup ni ya dunia nzima basi tusaidiane kama ifuatavyo:

1. Boss ukiniona nasinzia ofisini Jumatatu tuamshane tu kwa upole

2. Nikichelewa kufika kazini Jumatatu boss tusameheane tu kwa upole

3. Muhongo umeme Jumatatu tafadhali tusikomoane

Waziri huyu jangili

WAZIRI aliyeukwaa wadhifa huo katika mabadiliko ya mwisho ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika mapema mwaka huu, akiongoza wizara nyeti, amebainika kuratibu mtandao wa ujangili wenye mizizi yake wilayani Manyoni na maeneo mengine mkoani Singida, vyanzo vya uhakika vya habari vya Raia Mwema vimeeleza.

Waziri huyo (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekuwa na mawakala maalumu katika maeneo ya karibu na mapori kunakoendeshwa ujangili na mara kwa mara, hufika wilayani Manyoni kuhakiki ufanisi wa mtandao wake huo wa ujangili, huku gazeti hili likielezwa kwamba, taarifa zake ziko ‘mikononi’ mwa vyombo muhimu vya dola nchini.

Kutoka wilayani Manyoni, mkoani Singida, taarifa za ‘kiintelijensia’ zinafichua

Watandikwa viboko Pemba kwa kwenda sivyo katika Mwezi Mtukufu

Vijana wakipata joto ya jiwe baada ya kukutwa mchana wa Ramadhaan Machomanne, Chake Pemba wakifanya mambo kinyume na maadili ya mwezi mtukufu. (Picha kwa hisani ya Abdi Suleiman, Pemba via ZanziNews blog)

SUA sponsored MSc studies -Soil Science and Land Management

Opportunities for sponsored MSc studies -Soil Science and Land Management- at SUA (2014/2015 -Academic year)
The Department of Soil Science at SUA has secured funding from AGRA to support postgraduate (MSc ) training in Soil Science and Land Management. 

Applications for admission are invited from female Malawians and Rwandans with good Upper Second degree-in BSc Agronomy/ Soil Science/ Agric General. 

Application forms are available from: www.suanet.ac.tz 

More details can be obtained from: Professor Filbert Rwehumbiza (Dept of Soil Science, SUA). 

Office landline: +255 23 2603999; +255 23 2604881
Mobile +255 784 931818

Candidates selected to join SUA Postgraduate Studies 2014/15

Click here to open a document containing names of candidates selected to join Postgraduate Studies for the Academic year 2014/15 at the Sokoine University of Agriculture.

Kila Halmashauri tutaipatia milioni 500/= ya kuanza kujenga nyumba za Walimu - Rais Kikwete

Akiwa kijijini Kimbe huko Kilindi mkoani Tanga katika ziara yake, Rais Jakaya Kikwete ameuambia umma ya kuwa Serikali imetenga kwa kila halmashauri ya wilaya nchini kupatiwa shilingi milioni 500/= kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za Walimu ili kuwapunguzia adha na usumbufu walimu wanapopangiwa kwenda katika vituo vya kazi na kukosa mahali pa kuishi.

Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina taarifa zaidi...

FIFA Emergency Committee suspends Nigeria

Statement issued by FIFA on its official website reads as follows:

The FIFA Emergency Committee has decided today, 9 July 2014, to suspend the Nigeria Football Federation (NFF) with immediate effect, on account of government interference. Article 13, par. 1 and article 17, par. 1 of the FIFA Statutes oblige member associations to manage their affairs independently and with no influence from third parties.

The decision follows a letter sent by FIFA to the NFF on 4 July 2014, in which it expressed its great concern after the NFF was served with court proceedings and

Buriani Komredi Nkwabi Ng'wanakilala - Hazina ya Fikira


Nimezipokea habari za kifo cha rafiki yangu na mwalimu wangu Komredi Nkwabi Simon Kasumuni Ng’wanakilala kwa majonzi makubwa. Masikito, majonzi, huzuni na simanzi zimetawala kwa mmoja wetu aliyemfahamu marehemu.

Kifo hiki kimeleta uyatima kwa watoto wake pamoja na sisi sote tuliomfahamu na kufanya naye kazi kwa ukaribu. Natoa mkono wa pole kwa mjane na watoto wa marehemu, ndugu, jamaa, marafiki, uongozi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino, wanafunzi wake wote, wanahabari wote na taifa kwa ujumla. Kifo hiki ni msiba mkubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Pengo analoliacha ni kubwa na si rahisi kuzibika kwa haraka. 

Ni vigumu kumpata mtu wa kaliba yake.

Tabia
Watenda mema ni wengi, lakini mashujaa wa kusimamia ukweli ni wachache. Mashujaa wenye kusimamia ukweli, haki na uadilifu ni wachache zaidi na ni

Meya wa New Orleans asundwa jela miaka 10 kwa kula rushwa

Ray Nagin
Ray Nagin

Meya Mstaafu wa mji wa New Orleans jimboni Louisiana nchini Marekani, Ray Nagin amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya mahakama kumtia hatiani kwa makosa ya kupokea rushwa, kujihusisha na fedha chafu na makosa mengine ya kiuongozi katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake kama Meya ikiwa ni pamoja na kipindi cha mafuriko ya Katrina mwaka 2005.

Jaji Helen Berrigan alitoa hukumu hiyo asubuhi ya siku ya Jumatano.

Baada ya hukumu hiyo, Nagin, 58, mwanachama wa chama cha siasa cha

Maswali ya 'wanawake' kwenye mechi ya Brazil vs Ujerumani

And that was just the first half.

Kuangalia mpira na Wanawake.... Wanamaswali...

>mbona hawa Brazil hawamchezeshi Neymar??
:aliumia mechi iliyopita, hawezi kucheza.

>mbona hawajamkodi Messi sasa??
:hairuhusiwi kukodi.

>kwa nini asihamie Brazili?...
:hizo siyo nyumba za kupanga kwamba anahamia tu, mpaka uwe una

Kusudio la kufuta usajili wa NGOs zisizowasilisha taarifa

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO 

Msajili wa NGOs anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yaliyosajiliwa katika kipindi cha 2005 hadi 2007 ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kama inavyoelekezwa na Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2005 iliyorekebishwa mwaka 2005 kuwa yanatakiwa kuwasilisha kwa maandishi maelezo ya kwa nini yasifutiwe usajili wao. Maelezo hayo yamfikie Msajili kabla ya tarehe 30 Agosti, 2014 saa 9.30 Alasiri.

Kushindwa kufanya hivyo kwa muda uliopangwa kutapelekea kuamini kuwa Shirika husika ni mfu na hivyo kulifutia usajili kwa mujibu wa kifungu cha 24(2) cha Sheria ya NGOs, Na.24,2002.

Kupata orodha ya Mashirika hayo BOFYA HAPA

M.S. Katemba

MSAJILI WA MASHIRIKA
YASIYO YA KISERIKALI

Ubalozi unawaalika Watanzania kuzungumza na Waziri Mkuu

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania London unawakaribisha Watanzania wote watakaoweza kupata fursa kuja kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda hapo Ubalozini siku ya Jumamosi (tarehe 12 Julai 2014) kuanzia saa nane mchana hadi kumi na moja jioni (14:00 – 17:00 Hours).

Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kuzungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu. Aidha atajibu maswali kutoka kwa washiriki wa Mkutano huo.

Taarifa hii imetolewa na:

UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, LONDON, JUMANNE (8 JULAI 2014)

Wanafunzi waliomwua Mwalimu huko Singida wahukumiwa kifungo

Vijana wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwalimu wao.

Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inayoendesha vikao vyake mjini Singida, ilitoa hukumu hiyo jana.

Waliohukumiwa ni Shani Mtua na Mohammed Salimu ambao wakati walipotenda kosa hilo, mwaka 2008, walikuwa Kidato cha Tatu na walikuwa na umri wa miaka 18 kila mmoja.

Ilielezwa mahakamani kwamba kulikuwa na washitakiwa wengine wawili katika

Mbunge wa Ludewa (CCM) na Diwani wa Lupingu (TLP) washirikiana na wananchi kuharakisha zoezi la kuweka nguzo kwa ajili ya umeme

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akishiriki kubeba nguzo za umeme wakati wa uhimizaji wa wananchi wa kata ya Lupingu kushiriki maendeleo ya kupeleka umeme kata ya Lupingu

DIWANI wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kata ya Lupingu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, John Kiowi amempongeza mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe kwa jitihada zake anazozifanya katika kuwapelekea maendeleo wananchi wa Ludewa huku akiwashangaa wapinzani wanaopinga jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kudai kuwa yeye si mpinzani wa uchwara wa kupinga maendeleo.

Akizungumza na wanahabari jana wakati wa zoezi la mbunge Filikunjombe na

IPTL yatoa milioni 14.5 kusaidia ujenzi wa Kanisa

Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imetoa msaada wa Sh milioni 14.5 kwa Jumuiya ya Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kusaidia ujenzi wa kanisa hilo.

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi kwa jumuiya hiyo, Mwenyekiti Mtendaji wa IPTL, Harbinder Singh Sethi, alisema IPTL imetoa msaada huo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wao wa kuwezesha miradi mbalimbali za kijamii ambayo inagusa maisha ya watu wengi.
“Jitihada hizi ni moja kati ya mkakati wetu wa utekelezaji wa mpango wetu wa kutumia sehemu ya faida tunayopata kutokana na shughuli zetu, kwa kuiwezesha jamii katika nyanja za kimaendeleo ikiwemo kiuchumi. Misaada kama hii hailengi tu kusaidia vijana wa kitanzania kuendelea kiuchumi, pia misaada kwa taasisi za kidini itasaidia katika kujenga jamii inayo mcha Mungu, hivyo taifa kuwa katika mazingira mazuri ya kupiga hatua kubwa kimaendeleo,” 
alisema Sethi.

Sethi aliongeza kuwa kampuni yake ina mpango madhubuti unaolenga kusaidia shule, makanisa, misikiti na mashirika mengine yasiyo ya kibiashara na

Bendi za Tanzania zatingisha muziki wa dansi Ujerumani"MUZIKI WA DANSI " NI RASILIMALI INAYOPENDWA KIMATAIFA


Na Mdau Msema Kweli -- TFF Rudolstadt 2014 kwawashwa Moto na muziki wa dansi kutoka Tanzania tarehe 4 Julai 2014.

Muziki wa dansi wa Tanzania umezidi kufungua ukurusa mpya katka tufe la dunia,
baada ya wasananii na wanamuziki wa Tanzania kutumbuiza katika onesho la
TFF Rudolstadt 2014, yaliofanyika kuanzia tarehe 3 adi 6 Julai 2014 mjini Rudolstadt, Ujerumani, ambako vikundi mbali mbali vya sanaa na bendi za muziki kutoka