The 33rd Bagamoyo International Festival of Arts and Culture


Ambassador to Tanzania says Chinese traders' and companies' behavior in Africa tarnish China's reputation

The "bad habits" of Chinese traders and companies were among the main challenges to the nation's image in Africa, according to ambassador to Tanzania, Lu Youqing.

In an interview published in yesterday's (July 13th, 2014) Southern Metropolis News, Lu also flagged his concerns about the quality of some infrastructure projects in nearby African countries that were built by Chinese contractors at questionably low prices.
"Tanzania hosts ambassadors from about 70 countries, but none of them needs to constantly worry like us about consular protection issues," 
Lu said in response to a question about alleged police harassment and robberies targeting Chinese in Africa.
"Our people just cannot shake their bad habits. When they come to Africa, they are not united and engage in infighting like usual," 
Lu said, referring to competition among Chinese companies over contracts and bribes offered to Tanzanian officials to lobby on their behalf. He said the embassy became tense every

Kamati ya taasisi inayotuhumiwa kuua elimu nchini yavunjwa

KILIO cha muda mrefu kuhusu kuporomoka kwa elimu nchini kimesikika kwa Serikali kuamua kuivunja Kamati ya Udhibiti Ubora wa Vitabu vya kiada na ziada nchini (EMAC).

EMAC imekuwa ikilalamikiwa kuwa moja kati ya vyanzo vya kuingiza vitabu duni vya kiada na ziada katika mfumo wa elimu nchini, vikiwa chini ya viwango na makosa mengi.

Raia Tanzania linataarifa kuwa majukumu ya kamati hiyo iliyokuwa chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (WEMU), yamehamishiwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) tangu Januari mwaka huu.

EMAC, iliyoanza kazi takriban miaka 20 iliyopita, ilikuwa ikishutumiwa na wadau wa elimu kwa kupokea rushwa na kupitisha vitabu vya wachapishaji mbalimbali vyenye makosa na kuvisambaza katika shule za msingi, sekondari na vyuo vya ualimu nchini.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIE, Dk. Leonard Akwilapo, alikiri taasisi yake kupokea majukumu ya EMAC na kwamba kwa sasa upitishaji wa vitabu umesitishwa kupisha uandaaji wa mwongozo mpya.
“Hakuna vitabu vilivyopitishwa tangu EMAC ilipovunjwa na TIE kupewa kazi hiyo. Wachapishaji wakileta vitabu, tunavipokea na kuwapa fomu maalumu yenye maelekezo kuwaeleza kuwa utaratibu wa awali hautakuwepo, na kwamba watapewa utaratibu mpya. Hatupokea fedha za gharama za upitishwaji wa vitabu hivyo,” 
alisema Dk. Akwilapo.

Ofisa Masoko wa Dar es Salaam University Press, wachapishaji wa vitabu, Leticia Kaijage, alikiri

[audio] Serikali ya Tanzania yalaani mauaji huko Gaza

Serikali ya Tanzania kuitia Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania, Bernard Membe imelaani mauaji yanayofanywa na watawala wa Israel dhidi ya wakazi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Gaza, huko Palestina. 

Membe amesema Serikali ameitaka jamii ya Kimataifa hususan Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka kuzuia mauaji hayo huku ikikosoa pia kimya cha walimwengu. 

Hiyo ni kauli ya kwanza kutolewa na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, tangu kulipoanza mashambulizi hayo siku nane zilizopita.

Kwa maelezo zaidi kuhusu tamko la Tanzania kuhusu kadhia hiyo, sikiliza ripoti ya mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio Tehran, Hamis Dambaya, kutoka Dar es Salaam.


Your browser does not support html audio tag?

Pakua audio: hapa (Radio Tehran Swahili)

Fagio lawafuata Wamachinga wauza bidhaa wakati wa foleni

Kutokana na operesheni safisha jiji inayoendelea katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, Mkurugenzi wa jiji hilo, Wilson Kabwe amewataka wafanyabiashara wadogo (wamachinga) wanaouza bidhaa kwenye magari wakati wa foleni watafute maeneo rasmi.

Ameliambia gazeti la Tanzania Daima mwishoni mwa wiki kuwa wamefikia hatua hiyo kwa sababu hivi sasa operesheni hiyo inalenga la kuwaondoa wafanyabiashara wote katika maeneo yasiyo rasmi.
“Hayo mazoezi yanakwenda sambamba lakini ukiangalia hawana chochote wanachofanya zaidi ya kutaka kukwapua mali za watu, tunawahakikishia hakuna kitu kinachobaki,” 
Alisema licha ya vikwazo wananavyopambana navyo kutoka kwa wanasiasa katika utekelezaji wa operesheni hiyo, wataendelea kulisafisha jiji kwa sababu hivi sasa wakurugenzi wa halmashauri zote wanashirikiana katika kusimamia operesheni hiyo.

Idara ya Rasilimali Watu Vodacom Tanzania yaandalia wafanyakazi futari

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali ya kampuni hiyo kwa ajiri ya wafanyakazi wake ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Nyerere akadbidhi computer kwa shule za Sekondari Musoma

Computer zikikabidhiwa kwa ajili ya Shule za Sekondari za Jimbo la Musoma Mjini

Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Makoko mjini Musoma, Mara.

Kwa taarifa zaidi, fuatilia kwenye blog ya Sommi Binda

Taarifa ya TANESCO ya katizo la umeme Temeke

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE: 16/07/2014, 17/07/2014 NA 19/07/2014

MUDA: 03:00Asubuhi – 12 Jioni

SABABU: Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Feri Kigamboni.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA: Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli na maeneo jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo 2138352; 0222138352; 0788 499014,0736 501661 au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja 2194400 au 0786985100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na: 
OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

China's Foreign Aid - China's Information Office of the State Council

BEIJING, July 10 (Xinhua) -- China's Information Office of the State Council issued a white paper on China's foreign aid on Thursday. Following is the full text:

China's Foreign Aid (2014)

Information Office of the State Council

The People's Republic of China

July 2014, Beijing

Preface

I. Developing Foreign Assistance Cause Steadily

II. Helping Improve People's Livelihood

III. Promoting Economic and Social Development

IV. Foreign Assistance under Regional Cooperation Mechanism

V. Participation in International Exchanges and Cooperation

Conclusion


Preface

China is the world's largest developing country. In its development, it has endeavored to integrate the interests of the Chinese people with people of other countries, providing assistance to the best of its ability to other developing countries within the framework of South-South cooperation to support and help other developing countries, especially the least developed countries (LDCs), to reduce poverty and improve livelihood. China has proactively promoted international development and cooperation and played a constructive role in this aspect.

When providing foreign assistance, China adheres to the principles of not imposing any political conditions, not interfering in the internal affairs of the recipient countries and fully respecting their

Taarifa kuhusu Kamati Maalum ya Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalum

Monday, July 14, 2014
Kamati maalum ya kamati ya mashauriano ya Bunge la Katiba Tanzania liatarajia kukutana kutathmini kazi zilizofikiwa za utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania.

Kamati hiyo inatarajiwa kukutana kwa siku mbili kuanzia tarehe 24 mwezi huu katika Ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Bunge hilo Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad

Sera ya 'diaspora' yakaribia kukamilika

Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza,  Caroline Chipeta (Mkuu wa Utawala), akiongea machache kumkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipozuru Uingereza hivi karibuni. (picha: OWM)

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema rasimu ya Sera ya Diaspora iko kwenye hatua za mwisho za maandalizi na muda si mrefu itaingizwa kwenye utaratibu wa Kiserikali ili hatimaye iweze kuwasilishwa kwenye Baraza la Mawaziri.

Akizungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London, mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu alisema mchakato wa kuandaa rasimu hiyo ulihusisha wadau wengi kwa kadri ilivyowezekana ili kupata wigo mpana wa suala zima la diaspora.
“Katika hatua za awali, mbali ya ofisi yangu na Wizara ya Mambo ya Nje na

Unaumia?...UDSM & AFREN 5 Undergraduate and 2 Postgraduate Scholarships

AFREN Tanzania Limited in collaboration with the University of Dar es Salaam is pleased to announce its inaugural scholarships scheme to sponsor 5 Undergraduate students and 2 Postgraduate students for the academic year 2014/2015.

AFREN is an oil and gas company specialising in oil and gas exploration and production. It is a dynamic, entrepreneurial organisation with a portfolio of world-class assets located in several of the world’s most prolific and fast-emerging hydrocarbon basins in Africa. As part of its corporate social responsibility, AFREN has decided to partner with the University of Dar es Salaam in offering