How to tweet links to be viewed only by people you mentionHere is a service which lets you post links in tweets that can only be opened by people mentioned in that tweet

Privatize can be useful for example in sharing your portfolio or resume, asking for feedback, sending your friends tickets to an events, showing photos to limited number of people, inviting people... check it out at Privatize.io

Graça Machel Scholarships for WomenWe are currently open for applications. Please apply here.

In partnership with the Graça Machel Trust, we award this scholarship on an annual basis.

Are you eligible?

To apply for a scholarship under this programme you must be:
 • Female
 • A national of and normally resident in one of the SADC countries: Angola, Botswana, DRC, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, South Africa, Swaziland, Tanzania, Zambia, Zimbabwe
 • In possession of a good first degree (minimum second class, upper division or equivalent) or

UKAWA haitambui Kamati Maalum ya Mashauriano

Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Waziri, Samuel Sitta na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu kutoa taarifa ya kuteuliwa kwa Wajumbe Maalum 30 wa Kamati ya Mashauriano ya Bunge hilo, jana (Julai 15, 2014) viongozi wa wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) walisema hawatashiriki katika mashauriano hayo.

Dk Wilibrod Slaa ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ni miongoni mwa vyama vinavyounda UKAWA, amesema kuwa hawapo tayari kushiriki kutokana na kukosekana uhalali wa Mwenyekiti kuunda Kamati hiyo:
"Kama watu wetu wapo nje ya Bunge, wewe unaundaje tena Kamati ya watu ambao hawako Bungeni, hawapo chini ya mamlaka yako?... Samuel Sitta ana mandate gani kuunda kamati ya maridhiano wakati anajua watu hawa wote walitoka nje? Anajuaje kwamba watahudhuria kikao cha Kamati wakati hawahudhurii Bunge? Kama wamesusia Bunge na wanasema hawatarudi, uafikiri watahudhuria leo kikao cha Kamati? Kamati iko kama Bunge halina mamlaka..." 
alisema Dk Slaa.

Apple and IBM forge Global partnership on business apps

(image source: webgreeter.com)

Apple® and IBM today announced an exclusive partnership that teams the market-leading strengths of each company to transform enterprise mobility through a new class of business apps—bringing IBM’s big data and analytics capabilities to iPhone® and iPad®.

The landmark partnership aims to redefine the way work will get done, address key industry mobility challenges and spark true mobile-led business change—grounded in four core capabilities:
 • a new class of more than 100 industry-specific enterprise solutions including native apps, developed exclusively from the ground up, for iPhone and iPad;
 • unique IBM cloud services optimized for iOS, including device management, security, analytics and mobile integration;
 • new AppleCare® service and support offering tailored to the needs of the enterprise; and 
 • new packaged offerings from IBM for device activation, supply and management.

ICSS embarks on Africa with first match-fixing prevention workshops in Tanzania

The International Centre for Sport Security (ICSS) this week delivered the first in a series of match-fixing education and prevention workshops to young players in Africa.

As part of the ICSS’s commitment to educate young players about the dangers of match-fixing, Stuart Page, ICSS Director, Strategy and Policy Development (Anti-Corruption/Transparency) and Jake Marsh, Investigator at the ICSS, led a three-day programme that included delivering match-fixing and integrity workshops to young players and officials at leading Tanzanian organisations, including the Tanzanian Football Federation (TFF), Symbion /Sunderland AFC Project – Africa’s first privately-owned football academy - and the Tanzania Street Children’s Sports Academy.

Aimed at educating 12-18 year old players playing at an academy level as well as children in more

Taarifa ya Hifadhi ya Taifa kuhusu ajali ya maporomoko Kilimanjaro


Jumuiya ya Kikristo Tanzania: Tamko la Mapatano ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 48

JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA

TAMKO LA MAPATANO YA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA 48 YA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA WA JULY 2-3, 2014

UTANGULIZI:

Sisi, wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania, tuliokutana tarehe 2 hadi 3 Julai 2014, katika Kituo cha Mikutano na Mafunzo cha Askofu Stefano R. Moshi mjini Dodoma, tumepata fursa ya kutafakari majukumu yetu ya Kitume na Kinabii. Baada ya mjadala wa kina tunatoa tamko letu kama ifuatavyo:

 1. KUIBUKA KWA IMANI NA ITIKADI KALI ZA KIDINI
Tangu mwaka 1994 tulianza kushuhudia vurugu na uvunjifu wa amani kutokana imani na itakadi kali za kidini katika Jiji la Dar es Salaam. Chimbuko la mambo haya lilikuwa kukosekana uvumilivu wa waumini wa dini mbalimbali ambao

Pongezi za Rais Kikwete kwa Wajerumani kwa kutwaa Kombe la Dunia

Die deutscheFußballnationalmannschaft (Timu ya Taifa ya Ujerumani) pengine ndilo alilosema Rais Jakaya Kikwete alipomkaribisha Balozi Mpya wa Ujerumani nchini Tanzania, Bw. Egon Kochanke, alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam kukabidhi vyeti siku chache baada ya nchi hiyo kutwaa Kombe la Dunia la soka mwaka huu. (picha: Mohamed Mambo)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Ujerumani kwa kutwaa Kombe la Dunia mwaka huu.

Rais Kikwete ametoa pongezi hizo kwa Balozi mpya wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mheshimiwa Egon Kochanke ambaye amewasilisha Hati zake za Utambulisho leo asubuhi Ikulu .

“Naipongeza Ujerumani kwa kuibuka washindi natumaini tutashirikiana vyema katika masuala ya

How Tanzania Plans To Achieve "Big Results Now" in Education

HIGHLIGHTS
 1. Tanzania has made huge progress over the past decade in getting children into school, but learning outcomes have been declining as schools cope with larger numbers of children.
 2. To urgently address this, Tanzania, with support from the World Bank and other donors, is adopting a new approach to solving development challenges in education under the “Big Results Now in Education” program.
 3. The program is expected to fast track quality improvements in primary and secondary education to ensure that students are not just going to school but actually learning.

Picha na taarifa ya Rais Kikwete alipokutana na Wasanii kutoka Marekani - Terrence J. (Jenkins), Revi Shelton, Chaka Zulu, Davis Banner

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa muziki na filamu kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa muziki na filamu kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz               

Fax: 255-22-2113425


Coat of Arms
PRESIDENT’S OFFICE,
     STATE HOUSE,
             1 BARACK OBAMA ROAD,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMB O VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumatatu Julai 14, 2014 amekutana na kundi la wasanii kutoka Marekani lililowasili nchini usiku wa Alhamisi, Julai 10, 2014, kwa ajili ya kuendesha mafunzo kwa wasanii wa Tanzania kwenye Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) mjini Dar es Salaam.
Wasanii hao ni pamoja na  Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group.
Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya

Rais Kikwete aikabidhi bendera Timu ya Taifa ya Riadha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.

Mradi wa matumizi ya Rasilimali Endelevu Usambara waanza

Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert Ishengoma mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kata hiyo wilayani Korogwe. Katikati ni Afisa Usafi na Mazingira wa Wilaya ya Korogwe, Bw. Frederick Linga.

Korogwe, Tanga - Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limezindua mradi wa mamilioni katika eneo la hifadhi Usambara Mashariki, kwa mafunzo kwa wakazi waliomo na wanaozunguka hifadhi ya Usambara Mashariki.

Mradi huo ambao umelenga kuwainua wanavijiji kiuchumi huku wakitunza mazingira umepata fedha kutoka Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la Kimataifa la Korea ( KOICA).

Mradi huo unaotekelezwa katika vijiji 19 vinavyozunguka Hifadhi Hai ya usambara mashariki ikiwa ni

Long-awaited S&P rating for Tanzania not likely any time soon

London - Standard & Poor's expects to rate a number of Nigerian banks this year and is talking to some Kenyan banks and companies about future credit ratings, its managing director for sub-Saharan Africa said on Monday.

Borrowers across the continent are looking to tap international capital markets following successful bond sales by African countries.

A long-awaited rating for Tanzania is not likely to be assigned any time soon, however, S&P's Konrad Reuss told a news briefing in London.

“More Nigerian bank ratings will be coming out later this year ... we are working on a number of