Mtandao wa Wanawake na Katiba wazungumzia mchakato wa Katiba Mpya

Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
 
MTANDAO wa Wanawake na Katiba umevitaka vyombo vya habari kuacha kuyumbushwa na upepo wa kisiasa katika suala zima la kupigania mambo ya msingi kwa jamii ambayo yanaitaji kuingizwa kwenye Katiba mpya kwenye mchakato unaoendelea hivi sasa wa kuandika katiba mpya.

Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wajumbe wanaounda mtandao huo jijini Dar es Salaam walipokuwa wakizungumza na wahariri wa vyombo vya habari kuelezea msimamo wa wajumbe hao kwenye mchakato wa uandikaji katiba mpya.

Mwakilishi kutoka Asasi ya Wanawake ya Ulingo, Dk. Avemaria Semakafu aliviomba vyombo vya

Siku ya QUDS Duniani, Ijumaa, Julai 25


Uganda joins Kenya, Rwanda in waiving work permit fees for EAC citizens

Uganda has joined Rwanda and Kenya in waiving work permit fees for East African Community citizens seeking employment in the country, thereby encouraging the free movement of labour in the bloc.

Uganda told the Sectoral Council of Ministers responsible for EAC Affairs and Planning on Wednesday that it had also waived the residence permit fees for EAC citizens on a reciprocal basis.

Burundi also indicated that it would waive the work permit fee for EAC citizens, leaving Tanzania as the only partner that is yet to announce such plans.

In a previous interview with The EastAfrican, Tanzania’s EAC Affairs Deputy Minister Abdulla Juma said:
“The decision to harmonise the work permits can only be made by the EAC Council of Ministers and that is ongoing. We are a sovereign state and, therefore, not in a rush,”
“It’s not about reciprocating since there is no EAC rule on reciprocation. Some states are overwhelmed with degree holders and are looking for a window to address the matter. Some are after foreign direct investment.”
Source: The East African

Kenya Airways to rescue Precision Air with $10m

Precision Air employs close to 700 people and is negotiating with the government to swap $9.6 million in unpaid landing fees and other taxes for equity.
  • Kenya Airways (KQ) has agreed to inject $10 million into Tanzania’s Precision Air in a bailout plan.
  • The private carrier hopes proposed bailout will boost its turnaround.
  • KQ agreed to the injection on condition that the airline would sell or lease back five of its remaining nine aircraft, retrench more than a fifth of its staff, outsource some functions and draw up a plan to reduce debts while improving cash flow.
Full story at The East African

Ndondi za mwaka katika Tamasha la 'Usiku wa Matumaini 2014'International AIDS Society confirms six colleagues died aboard Flight MH17

(Melbourne) - The International AIDS Society (IAS) has today confirmed the devastating news that at least six delegates traveling to the 20th International AIDS Conference (AIDS 2014) in Melbourne, Australia, including former IAS President Joep Lange, were on board the Malaysian Airlines flight MH 17 that crashed over Ukraine, killing all 298 people on board.

"The extent of our loss is hard to comprehend or express," said President of the IAS, Françoise Barré-Sinoussi. "We grieve alongside all of those throughout the world who have lost friends and family in this senseless tragedy."

The IAS has paid tribute to former IAS President Joep Lange who was travelling with his partner Jacqueline van Tongeren, of the Amsterdam Institute for Global Health and Development. Please visit: www.iasociety.org/Joep_Lange.aspx

"Our colleagues were traveling because of their dedication to bringing an end to AIDS," said Owen Ryan, Executive Director of the International AIDS Society. "We will honour their commitment and keep them in our hearts as we begin our program on Sunday."

The names of those confirmed at this time by friends and colleagues on board flight MH 17 are:

  1. Pim de Kuijer, lobbyist Aids Fonds/STOP AIDS NOW! 
  2. Joep Lange, Professor of Medicine, University of Amsterdam and Scientific Director, Amsterdam Institute for Global Health and Development 
  3. Lucie van Mens, Director of Support at The Female Health Company 
  4. Martine de Schutter, Program Manager Aids Fonds/STOP AIDS NOW! 
  5. Glenn Thomas, World Health Organisation 
  6. Jacqueline van Tongeren, Amsterdam Institute for Global Health and Development 

END

Tamko la CHADEMA kuhusu kuondoka kwa waliokuwa viongozi

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO; JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI

TAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZI


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani Kigoma.

Tangu jana na leo kumeenea taarifa zinazowahusu watu watatu, Jaffari Kasisiko, Msafiri Wamarwa na Mama Malunga Masoud, ambao vyombo mbalimbali vya habari vimeandika kuwa wamehama chama chetu cha CHADEMA na kukimbilia wanakojua wao (maana CCM inafanya kazi zake katika sura mbalimbali).

Katika hatua ya awali, sisi CHADEMA Jimbo la Kigoma Kaskazini tungependa kusema machache juu suala hilo la watu hao kuhama;

  1. Kwanza watu hao mbali ya kwamba walikuwa ni viongozi wa chama ngazi ya mkoa, kwa

Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea yapata uongozi mpya

Rais Mpya wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea (KAAT), Bw. Stephen Katemba (Kulia) akizungumza mara baada ya kuchaguliwa. Anayemsikiliza ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw. Seung-Beom Kim (Kushoto).
Rais Mpya wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea (KAAT), Bw. Stephen Katemba (Kulia) akizungumza mara baada ya kuchaguliwa. Anayemsikiliza ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw. Seung-Beom Kim (Kushoto).

*Wadhamiria kuitangaza Tanzania kibiashara kimataifa

Na Saidi Mkabakuli

Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea imefanikiwa kupata uongozi mpya, utaongoza umoja wa Watanzania hao kwa muda wa miaka miwili.

Waliochaguliwa kuongoza KAAT ni pamoja na Bw. Stephen Katemba ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Jumuiya. Bw. Katemba atasaidiwa na Bw. Bukheti Juma (Makamu wa Rais, Zanzibar) na Bw. Emmanuel Burton (Makamu wa Rais, Tanzania Bara). Katika nafasi ya Uweka Muweka Hazina, aliyechaguliwa ni Bw. Stephen Matee, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) ulio chini wa Mama Anna Mkapa.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa rasmi jukumu la kuiongoza Jumuiya hiyo, Bw. Katemba ambaye ni Mtaalamu wa Masuala ya Uchumi na Biashara za Kimataifa, amesema kuwa Tanzania ina

Central Bank of Cyprus assumes administration of FBME bank after USA naming it primary money laundering concern

The Central Bank (CBC) announced on Friday it has taken over the administration of FBME Bank’s operations in Cyprus after the US government named the lender as a financial institution of primary money laundering concern.

“The Central Bank of Cyprus (CBC) announces that, based on the powers afforded to it by the relevant legislation, starting today, it has taken over the administration of the FBME Bank branch’s operations in Cyprus,” the CBC said in a three-line statement.

FBME, formerly known as the Federal Bank of the Middle East, is based in Tanzania, but, according to the US Treasury Department’s Financial Crimes Enforcement Network (FinCEN), it transacts 90 per cent of its global banking business through branches in Cyprus.

The lender changed its country of incorporation numerous times, partly due to its inability to adhere to regulatory requirements.

“It has established itself with a nominal headquarters in Tanzania. However, FBME transacts over 90 per cent of its global banking business through branches in Cyprus,” FinCEN said. ...read more

Wafanyakazi wa TanzaniteOne na STAMICO walio mikononi mwa polisi kuhusiana na wizi wa Tanzanite ya kg 40 watajwa

Wafanyakazi saba wa kampuni ya Tanzanite One, wakiwemo viongozi wakuu wa idara ya ulinzi ya kampuni hiyo wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za wizi wa madini aina ya tanzanite yenye uzito wa kilo 40 yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10.

Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki alisema wizi huo ulitokea majira ya saa 8 usiku juzi, ikielezwa wafanyakazi hao walishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kupanga wizi huo.

Nsimeki alisema uchunguzi wa awali umebaini mpango mzima wa viashiria vya upangaji wizi huo umefanywa na wafanyakazi hao na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ambao bado

New Lucky Restaurant: Dining with the deadSome restaurant atmospheres can really be dead, but one Indian owner claims business has flourished since opening his eatery at the site of an old cemetery.

Rather than ripping out the graves to make way for his restaurant, owner Krishnan Kutti chose to preserve the coffins and place tables around them at the ironically-named New Lucky Restaurant in Ahmedabad.

The coffins are the remnants of a Muslim cemetery and the cafe has become a popular hang-out for young and old.

Approximately a dozen graves lie inside the restaurant and have been sealed off by iron grilles. Every morning, when the shutters of the restaurant are pulled up, waiters spend some time wiping the gravestones and decorating them with fresh flowers. 

See more ODDEE: 10 Bizarre Dining Experiences