Tanzania, Burundi not part of deal for single tariff on phone calls

In a statement released last week, Communication Ministers John Nasasira of Uganda, Jean Philibert Nsengimana of Rwanda, Dr Fred Matiang’i of Kenya and Juma Stephan Lugga of South Sudan said the regional framework for the One NetworkArea would apply to telephone calls originating and terminating within the region.

The statement further mandates member states to exempt regional calls from surcharges applied by local operators on international incoming calls as well as additional charges on subscribers on account of roaming within the region.
“There will be no charges for receiving calls while roaming within the region and subscribers travelling within the member states will be charged as local subscribers in the visited country,” 
the statement says.

This will require telecom operators within the region to re-negotiate bilateral agreements to ensure full implementation of the OneNetwork Area by September 1 for Uganda, Kenya and Rwanda and December 31 for South Sudan, the ministers said. --- Click here for more

Call for applications: Course on health entrepreneurship by Muhimbili University and Cambridge Development Initiative

Interested in being more entrepreneurial? Considering starting your own venture to support healthcare in your community, region, or even nation? This course is designed to help you do just that!

Since September 2013, staff and students at Muhimbili University have cooperated with the wholly student-run Cambridge Development Initiative to develop a course in the foundations of health entrepreneurship. We look forward to welcoming you in the first intake of this new course in August!

Quick facts:
  • 2 week short course: August 11 to August 22, 2014
  • Deadline to apply: 12pm Noon August 8, 2014
  • Certified by Muhimbili University of Health and Allied Sciences
  • Delivered by Cambridge Development Initiative (University of Cambridge) and School of

Concerning the 'circulating news' about Mwai Kibaki

Yesterday was awash with rumours that Mwai Kibaki, former president of Kenya had died at his Othaya home. Web traffic flowed to Kenya formums which had said thus: 
Incoming news have confirmed the demise of former President Mwai Kibaki. Kibaki died at his Othaya home around 2 hours ago and his body has been airlifted to Lee Funeral home . Mwai Kibaki was born on 15 November 1931 . He was the third President of Kenya, serving from December 2002 to

Mkasa wa ndege kutua barabarani kwa dharura

On Jul. 18, a Construcciones Aeronauticas SA Casa 212-200, N604AR flying from Entebbe International to Juba, in South Sudan, performed a successful emergency landing on a road in Kiwawu, in the Mityana district.

The aircraft experienced technical problems while enroute but ran out of fuel while returning back to Entebbe.

Fortunately, the pilots managed to perform a successful landing: the C212 was not damaged and the 9 people on board were not injured.

U.S. special forces are quite active in South Sudan and, generally speaking, in Africa. In such region, in order to keep a “low profile” and appear similar to general aviation aircraft during their clandestine missions, most of these special planes (civil registered aircraft used for military purposes) are painted in light gray or in white, as genral aviation/civilian planes.

 

Kenya Airways 'kuchekelea' baada Air Uganda 'kuwekwa juu ya mawe'

Shirika la Ndege la Kenya linatarajiwa kufaidika baada ya mpinzani wake mkubwa, Shirika la Ndege la Uganda kusitisha safari zake kwa muda usiofahamika, kutokana na kunyang'anywa leseni na Mamlaka ya Usafiri wa anga ya nchini humo, Uganda Civil Aviation Authority (CAA).

Gazeti la Business Daily Africa linapasha zaidi ifuatavyo:
The airline used to fly from Uganda’s Entebbe airport to Nairobi, Dar es Salaam, Bujumbura, Kigali, Mogadishu, Kilimanjaro, Mombasa and Juba; connecting the regional cities.
Air Uganda says its potential re-certification is weeks away and that lessors have recalled their aircraft, opening a window for carriers like KQ to grow passenger volumes in the regional destinations.
KQ flies from Nairobi to Tanzania, Uganda, Burundi, Djibouti, Sudan and Rwanda, making it a major player in the eastern Africa aviation market. The national carrier draws 58 per cent of its revenues from African destinations, with the regional cities forming an important part of its Pan-African network.
Its margins are set to come under pressure in the medium term as its plans to take up to Sh87 billion debt to buy new aircraft, underlining the importance of revenue growth for the loss-making airline.
It remains unclear when Air Uganda may resume operations but the airline said its grounding has seen it record major losses. “Air Uganda, which is the only scheduled passenger airline affected, has inevitably suffered the greatest damage,” the airline’s CEO Cornwell Muleya said in a Friday statement.
“Each carrier was requested to submit a fresh application for an AOC (Air Operator’s Certificates), and in the meantime was required to cease operations, thus forced to incur massive financial losses on a daily basis and suffer reputational damage.”

Balozi wa Palestina awaomba wanahabari Tanzania wapaze sauti

 
Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari.

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish amevitaka vyombo vya habari nchini Tanzania kusaidia kupaza sauti dhidi ya vitendo vya uonevu na mauaji yanayofanywa kwa raia wa Palestina na taifa la Israel ili vitendo hivyo vikomeshwe mara moja.

Balozi Abu Jaish ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari waliokutana na ubalozi huo kuzungumzia hali halisi ya mgogoro wa Palestina na taifa la Israel unaoendelea hadi sasa.

"...Mi naomba waandishi wa habari Tanzania andikeni ukweli juu ya uonevu huu wanaofanyiwa raia wasio na

Mawio yaburuzwa kortini na AP Media and Consultant Limited

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir Idrissa, akidai malipo ya billioni mbili kama fidia kwa kumkashifu yeye pamoja na kampuni yake.

Kupitia kwa wakili Mhe. Alloyce Komba wa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza, Keasi amefungua shauri hilo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Anadai kukashifiwa kutokana na habari iliyochapishwa na gazeti hilo namba 0098 la kati ya juni 5-11, mwaka huu.

Taarifa hiyo ilikuwa na kichwa cha habari kinachoeleza kuwa, “CCM kutumia billion 3.4 kujitangaza,” ambayo iliandikwa na Idrissa, ikionyesha kuwa kazi hiyo ya kujitangaza kwa CCM amepewa Keasi kupitia kampuni yake ya AP Media and Consultant Limited.

Katika kesi hiyo, Keasi amenukuu kipande kimoja cha habari kilichochapishwa na gazeti hilo

Did T.B. Joshua foresee Malaysian Airlines MH17 tragedy 5 months ago? Watch this...Nigerian prophet T.B. Joshua has released video (watch below) showing him foreseeing the Malaysian Airlines MH17 disaster five months ago.

The footage from February 16, 2014 shows him speaking to his large congregation at The Synagogue, Church of All Nations in Lagos, Nigeria telling them to pray for Russia and it’s leader, Vladimir Putin, that ‘he should take note of his airspace.’ He described what seemed to be a spiritual attack ‘in the form

"Watoto wa Kikwete" Taifa Stars watoshana nguvu na Msumbiji


Golikipa wa Stars, Deogratius Munishi akishangilia balo la pili la Taifa Stars kwa kuonyesha fulana yake iliyokuwa ikisomeka 'Sisi ni Watoto wa Rais Kikwete'.
Golikipa wa Stars, Deogratius Munishi akishangilia balo la pili la Taifa Stars kwa kuonyesha fulana yake iliyokuwa ikisomeka 'Sisi ni Watoto wa Rais Kikwete'.

Timu ya Taifa ya Tanzania leo imetoka sare baada ya kufungana bao 2-2 na timu ya Taifa ya Msumbiji katika mechi iliyokuwa na ushindani mkali mwanzo hadi mwisho katika kuwania nafasi ya kucheza katika kombe la Mataifa Africa 2015. 

Mabao ya Tanzania yamefungwa na mchezaji machachari Khamis Mcha yote katika dakika ya 65 na

Ikulu yakanusha habari ya gazeti la Mawio

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898

Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mawio la leo,Alhamisi, Julai 17, 2014, limeandika kwenye ukurasa wake wa kwanza habari yenye kichwa cha habari: “JK, Ukawa wateta”.

Imedaiwa katika habari hiyo kuwa mkutano huo kati ya Rais na ujumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ulifanyika Ikulu, Dar es Salaam, wiki iliyopita usiku, kutokana na ombi la Rais.

Habari hizi siyo za kweli. Rais Kikwete hajapata kukutana na kufanya majadiliano na ujumbe wa UKAWA kuhusu mchakato wa Katiba Mpya iwe ndani ama nje ya Ikulu, iwe usiku ama

Tangazo la kujiunga JKT kwa Walimu na Wahitimu Kidato cha SIta 2014


TANGAZO MUHIMU KWA WALIMU NA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 KUHUSU KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI SEPTEMBA 2014


1. Awamu ya pili kwa vijana watakaojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mujibu wa Sheria itaanza rasmi tarehe 11 septemba, 2014 na itahusisha makundi yafuatayo:-
  • Walimu wote ngazi ya cheti (GATCE) 2014 ( Waliomaliza mwaka 2014).
  • Walimu elfu tatu (3,000) ngazi ya Diploma (DSEE) (Waliomaliza mwaka 2014).
  • Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014 waliopangwa awamu ya pili ambao hawana sifa za kujiunga na vyuo vya elimu ya juu (Vyuo Vikuu).

2 . Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014 ambao walipangwa kujiunga na JKT awamu ya pili na wana sifa za kujiunga na elimu ya vyuo vya juu (Vyuo Vikuu) wanatakiwa kuandika barua ya

Ilani kuhusu taarifa kuwa FBME itafungwa kesho

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha habari zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa kesho Jumatatu Benki ya FBME itafungwa na shughuli zote za benki hiyo zitakuwa chini ya Benki Kuu.

Habari hizi si za kweli na kwamba benki hiyo haipo chini ya usimamizi wa Benki Kuu na itaendelea kutoa huduma kama kawaida.

IMETOLEWA NA IDARA YA UHUSIANO NA ITIFAKI, BENKI KUU YA TANZANIA.

---
Bofya hapa kusoma chapisho kuhusu FBME na Benki Kuu ya Cyprus.

Anasa mtegoni kwa kukata umeme na kudai malipo akijifanya mwajiriwa wa TANESCO


Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.

Tapeli lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.

Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa tapeli huyo alifika asubuhi akiwa na wenzake sita, nyumbani kwake wakasema wanatoka Tanesco wamekuja kucheki mita ya Luku. Hata hivyo

Fastest growing cities are in Africa, Asia: World Urbanisation Trends 2014 report
"Mimi ninaona ufanyike uchunguzi. Mwanafunzi aliyepata B, mwaka jana angepata C na nina shaka waliopata A” - Olouch

Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiel Olouch akizungumza na gazei la Mwananchi Jumamosi ameshangazwa na ufaulu wa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu na kusema hakuna haja ya kufurahia matokeo haya bali kunahitajika uchunguzi.
“Tunahitaji kuchunguza zaidi kwa matokeo haya kwa nini ufaulu uongezeke hivi, hatuhitaji kuwa na majibu rahisi tu, kule kubadilika kwa mgawanyo wa alama kumechangia kwa kiasi kikubwa matokeo kuwa hivi.”: “Mfano mwanafunzi aliyepata alama B mwaka huu, kwa mfumo wa mwaka jana angepata alama C na nina shaka kwa waliopata A. Mimi ninaona ufanyike uchunguzi.”

Naye Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Loyola jijini Dar es Salaam, Porntian Kashangashi alisema ufaulu huo unaweza kuwa umetokana na mabadiliko ya upangaji wa madaraja:
“Unaweza kuwa labda mtihani ulitungwa kwa kupanua wigo kwa wengi wafanye vizuri au vibaya, lakini mimi ninavyojua unapotunga mtihani unaweka swali gumu moja na rahisi moja sasa kwa mtihani huo sijui ulikuwaje.”