Faida za matumizi ya ganda la yai "egg shell"

Chanzo cha madini ya kalshamu (calcium)

Maganda ya mayai hasa yatokanayo na kuku wa kienyeji, ni chanzo muhimu cha madini ya kalshamu (calcium) yenye faida katika miili ya wanadamu na wanyama wengine kwa kuimarisha mifupa, meno na viungo vingine muhimu mwilini. Kwa matumizi ya mwanadamu, yaloweke maganda ya mayai kwenye juisi ya limao ama kwenye siki (vinegar) kisha chuja na kutumia juisi hiyo hasa kwenye kachumbari na mapishi mengine yanayotumia limao ama siki (vimiminika hivyo vya limao na siki husaidia kurahisisha ufyonzwaji wa madini tajwa mwilini).

Kipodozi/Bidhaa ya kujipodoa

Kwa kutumia njia iliyotajwa hapo juu, unaweza pia kutumia mabaki ya mchujo wa juisi kupaka kwenye ngozi 'scrub' kwa ajili ya kuifanya iwe laini, nyororo na ya kuvutia.

Dawa ya kuondoa mwasho na maumivu

Maganda ya mayai yanaweza kusaidia kuondoa mwasho na maumivu kwenye ngozi kwa kuyaponda na kisha kuyaloweka kwenye siki ya matofaa 'apple cider vinegar'. Zipo taarifa kuwa Wataalamu wanatafiti uwezekano wa kutumia ngozi laini iliyopo kwenye maganda ya mayai, kupunguza maumivu ya baridi yabisi (arthritis), yabisi kavu (rheumatism) na kuoza mifupa (osteoporosis).

Hurutubisha udongo

Maganda ya mayai yakipondwa na kiasi kuchanganywa na udongo huongeza virutubisho muhimu vinavyohitajika katika kukuza mimea. Vile vile husaidia udongo kushikamana na kupitisha maji taaratibu hivyo kuuacha na unyevu wa kutosha kukuza mimea.

Dawa dhidi ya wadudu

Maganda ya mayai yaliyovunjwa katika vipande vya wastani hutumika kama silaha ya kuzuia paka wasilale bustanini na kuharibu mazao.

Kusafishia sufuria

Maganda ya mayai yakipondwa vyema yanaweza kutumika kung'arisha sufuria na vyombo vya kupikia.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Upelelezi ya kukamatwa kwa washukiwa 25

Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.

Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo.
Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26 Kabila, Msambaa. Mlinzi aliyekuwa zamu siku hiyo kwenye mgahawa huo. 

Wengine ni ATHUMAN HUSSEIN MMASA, Umri miaka 38 kabila Msambaa, Mlinzi katika

Mtumishi wa NMB mahakamani kwa tuhuma za kuiibia Benki bilioni 1


WATU watatu, akiwemo mtumishi wa Benki ya NMB, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka 13, yakiwemo ya kuiibia benki hiyo zaidi ya sh. bilioni moja na kutakatisha fedha haramu.

Mtumishi wa benki hiyo, Mtoro Suleiman, Daudi Kindamba na John Kikopa, walisomewa mashitaka hayo jana na Wakili wa Serikali Pius Hilla, mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.

Hilla aliwasomea washitakiwa hao mashitaka ya kula njama, kuiibia benki hiyo sh. 1,029,454,383, kufanya udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia benki hiyo hasara ya kiasi hicho.

Washitakiwa hao wanadaiwa kutenda makosa hayo, tarehe tofauti kati ya Januari Mosi, 2007 na

Notice: Change of address of The Ministry of Natural Resources and Tourism

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM


ANNOUNCEMENT 

CHANGE OF ADDRESS OF THE MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM


Ministry of Natural Resources and Tourism wishes to inform the general public that its address has changed. As from now on official communication should be addressed using the following address: -

MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM
MPINGO HOUSE
40 JULIUS NYERERE ROAD
15472 - DAR ES SALAAM

This address replaces P.O Box 9372, Dar es Salaam.

Issued by: -

Permanent Secretary
Ministry of Natural Resources and Tourism
E-mail; [email protected]
23th July, 2014

Zanzibar: Wizara yachukulia hatua madai ya wanafunzi kufundishwa Biblia

SAKATA la Skuli ya Eden International School iliyopo Shakani imechukua sura mpya baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Elimu Zanzibar kulifatilia kwa kina na kujua elimu inayotolewa skulini hapo.

Hatua hiyo imekuja baada ya Mrajis wa Elimu kupata taarifa kupitia vyombo vya habari ikiwemo kuchapishwa habari hiyo katika gazeti la Zanzibar leo juu ya malalamiko hayo kutoka kwa wazazi wanaosoma skuli hiyo.

Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari Mrajis wa Elimu Siajabu Suleiman Pandu, huko Ofisi kwake Majestik alisema ni kweli mmiliki wa skuli hiyo amekuwa akitoa elimu ya Bibilia kwa

Amazon introduces "Amazon Wallet" Android app


Now you can scan or type your gift cards, loyalty cards and membership cards to your Amazon Wallet and use the Amazon Wallet app to simplify your shopping trips.

The information you need is easily available as a barcode, QR code, text or image. 

And for supported merchants, you can check the balance of your stored gift cards. 

Information saved in your Amazon Wallet is stored securely in the Amazon cloud. In addition, your Amazon Wallet cards can be viewed and edited at Amazon.com/wallet, where you will also find the credit cards, bank accounts, and other payment methods saved in your Amazon account.

See the app at: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.amazon.wallet


Eh! Koleo laingia kichwani kwa tuhuma za ugoni

Hiki kifaa kinachofana na koleo kimechomolewa kutoka ndani ya kichwa cha mtu anayetuhumiwa kuwa amefumaniwa ugoni huko Mwanza. Tembelea blogu ya blogu ya Malunde1 kwa picha zaidi.

Job opportunities at TTCLThis TTCL job advert is  available for download by clinking here

MAVUNO Job advertisement

Title: Needy Children Program Worker

Contract period: Two years (renewable)

Duty station: Karagwe

Deadline for applications: Friday the 1st of August 2014

Introduction

MAVUNO Improvement for Community Relief and Services is a Non-Governmental Organization (NGO) established for the purpose of improving rural livelihood through using modern techniques of

Statement by Ministry of Water refuting The Citizen article

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF WATER

PRESS RELEASE

The Citizen Newspaper ISSN 0856-9754 ISSUE number 322 dated 21st July 2014 carried an article by The Citizen reporter that “ Tanzania’s pace of Providing Water Sluggish ’’ and that has caused lack of trust and public Awareness slowing the Pace. This is a totally confusing and misleading story.

The Ministry through Water Sector Development Programme (WSDP) has implemented a number of projects aiming at reducing water blues in Urban and Rural areas. The Water Sector Development Programme started since 2007 and has been divided into four subcomponents namely Water Resource Management, Urban Water Supply and Sanitation, Rural Water Supply and Sanitation and Capacity Development. The first phase of the Programme has increased water supply services to 86% to date in

Polisi yawahoji Madaktari wa IMTU kuhusu mabaki ya miili ya watu


CP Suleiman Kova akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viungo vya binadamu liliyotokea jana jioni jijini humo.

Madaktari wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha kufunza Teknolojia ya Tiba na Utabibu (International Medical and Technological University  - IMTU) ni miongoni mwa watu wanaposhikiliwa na polisi kutokana na utupaji wa mabaki ya binadamu bila utaratibu.

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema baada ya uchunguzi

Moto waunguza nyumba ya Rais wa TFF, Malinzi

Na CLEZENCIA TRYPHONE -- RAIS wa Shirikishola Soka Tanzania (TFF), Jamali Malinzi, ameunguliwa na nyumba yake, mjini Bukoba jioni ya leo.

Akizungumza na Habari Mseto Blog leo, Malinzi amesema, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, ambapo kila kitu kilichokuwemo ndani ya nyumba hiyo kimeteketea.

Amesema, licha ya mali zote kuteketea hakuna mtu yoyote aliyejeruhiwa katika ajali hiyo ya moto, ambapo kesho anatarajia kwenda kuangalia athari zilizotokana na moto huo.
"Nimeunguliwa na nyumba yangu, iko Bukoba, lakini namshukuru mungu hakuna aliyejeruhiwa, kesho naondoka kwenda Bukoba," 
amesema Malinzi na kuongeza kuwa, hakuna kitu chochote kilichookolewa katika ajali hiyo.

---
Imenukuliwa na wavuti.com kutoka Habari Mseto blog

Kishindo cha Balozi na Mfalme wa Reggae Jhikoman katika 5th International African Festival Tubingen, UjerumaniNa mdau "Msema Kweli", Tubingen, Ujerumani -- Mfalme wa muziki wa reggae barani Afrika Jhikoman alifanikiwa kufunika kwa kishindo kikubwa katika maonesho ya 5th International African festival Tubingen, siku ya Jumapili, 20 Julai 2014 mjini Tubingen, Ujerumani.

Katika maonesho hayo mwanamuziki Jhikoman kwa sasa ndiye nyota inayong'aa kutoka Afrika katika

Wahandisi TANESCO wafundwa ukaguzi wa Ubora wa NguzoNa Henry Kilasila, Iringa -- Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wameanza kunolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme majumbani katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.

Mafunzo hayo ya wiki mbili yanayofanyika mkoani Iringa kujumuisha wahandisi wakuu wa umeme, maafisa mipango na maafisa usalama wa TANESCO yana lengo la kuwawezesha wataalamu hawa

Pamoja na taabu ya usafiri, wazazi wa watoto hawa wana moyo!

Mwendesha 'bodaboda' akiwa amewapakia watoto wanne katika pikipiki yake kama alivyokutwa na kamera ya Frank Kimaro huko barabarani Jet Rumo jijini Dar es Salaam. (picha via DailyNews)