Taarifa ya kuitwa kwenye usaili - TBS

Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wote wa nafasi za Senior Marketing Officer II, Quality Assurance Officer II, Standards Officer II, Metrologist II, Laboratory Technician II, Laboratory Assistant II, Maintenance Engineer II, Human Resource Officer II, Driver II, Personal Secretary II, Assistant Accountant II, Accounts Technician II, Records Management Assistant I, Records Management Assistant II, Librarian II, Assistant Internal Auditor II, Computer System Technician I, Legal Officer II, Editor II, Corporate and Public Affairs Officer II, Maintenance Technician II, kuwa kutakuwa na mtihani wa kuandika kuanzia tarehe 31.07.2014 mpaka tarehe 01.08.2014 katika ukumbi wa Yombo (University of Dar Es Salaam).

Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:

1. Kuja na vyeti halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne na vyeti vya Taaluma ambayo mtahiniwa aliomba.

2. Mtahiniwa atakaye shindwa kuja na vyeti Halisi atakuwa amejiondoa katika usaili.

3. “Transcript”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo ya kidato cha nne na

UDASA: Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba Mpya

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imeandaa kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kongamano hilo litafanyika tarehe 27 Julai 2014 siku ya Jumapili kuanzia saa 8 mchana ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star TV.

Mada kuu ya kongamano hilo ni, “Tujadili na Kutafakari Mchakato wa Katiba Mpya kwa

Dk Othman, Mkurugenzi Mtendaji mpya MOI

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo ya MOI, Dk Othman Wanin Kiloloma, akizungumza na wafanyakazi wa taasisi hiyo jijini Dar es Salaam, Julai 24, 2014 mara baada ya kuteuliwa mwishoni mwa wiki.(picha: KHAMISI MUSSA/ www.ujijirahaa.blogspot.com)


Barabara hizi zitafungwa kwa ajili ya Mashujaa

Baadhi ya barabara za Jiji laDar es Salaam zitakazofungwa kwa muda kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa watu watakaohudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ni Lumumba, Uhuru na Bibi Titi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki aliyasema hayo jana alipotembelea mazoezi yanayofanywa na wanajeshi katika viwanja hivyo. 

Alisema itawekwa runinga katika maeneo muhimu ya Mnazi Mmoja kuwezesha kila mshiriki kupata fursa ya kuona vizuri matukio yanayoendelea na kusisitiza;
"Napenda pia kuhimiza suala la usafi katika majumba yote yanayozunguka viwanja hivi vya Mnazi Mmoja kuleta taswira nzuri," 
Alisema maadhimisho hayo yataanza saa 2:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana,

Mgeni rasmi katika kumbukumbu hiyo muhimu katika historia ya nchi ya kuwaenzi mashujaa walijitoa katika jitihada za kuikomboa nchi na kuilinda na kudumisha amani anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.

Martin Mandalu - SIKU YA MASHUJAA NA UZALENDO TANZANIA

Tarehe ya leo imeteuliwa kuwa siku ya mashujaa Tanzania. Ni tarehe waliyopokelewa wanajeshi wetu- mashujaa waliokuwa vitani nchini Uganda. Wanajeshi wetu walikwenda kazini kumnyoosha nduli Iddi Amini. Rais huyo wa zamani wa Uganda aliyejigamba kuwa na nguvu za kuchukua sehemu ya

Mpango wa hati punguzo wasitishwa sababu ya udanganyifu

Mpango wa hati punguzo ambao wajawazito na watoto wachanga, walikuwa wakigawiwa vyandarua bure, umesitishwa kutokana na kile kilichoelezwa ni udanganyifu, unaodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi.

Mpango huo ulioanza mwaka 2004 , umesitishwa mwezi uliopita baada ya serikali kwa kushirikiana na wadau wake, ikiwemo shirika lililokuwa likiusimamia, kugundua kuwepo udanganyifu mkubwa.

Mpango huo ulianzishwa kuhakikisha wajawazito na watoto wachanga, wanaendelea kupata vyandarua vyenye viuatilifu kwa gharama nafuu, kuwakinga na maambukizi ya malaria.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven Kebwe waligundua udanganyifu mkubwa wa utekelezaji mpango hasa wa

Serikali yaunda kamati kuhusu kutupwa kwa 'cadaver' jalalani

Tukio la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha kufunza Teknolojia ya Tiba na Utabibu (IMTU) cha Dar es Salaam, linadaiwa kuandika historia mbaya nchini.
Wakati serikali ikiendelea kuchunguza tukio hilo, ikiwemo kuunda tume nyingine chini ya Wizara ya Afya na Ustawi, kujiridhisha kabla ya hatua kuchukuliwa, Baraza la Madaktari limetwishwa mzigo wa kuhakikisha linachukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na kitendo hicho.

Imeelezwa kwamba katika miaka yote, tangu mafunzo ya udaktari yaanze kutolewa nchini, halijawahi kutokea tukio kama hilo.

Serikali imetumia nafasi hiyo kuonya vyuo vingine, kwa kusema jambo hili ni la kusikitisha, la aina

Raia Mwema: FBME inamilikiwa na kaka wawili wa familia moja kinyume cha taratibu za kibenki hapa nchini

BENKI ya FBME inamilikiwa na kaka wawili wa familia moja kinyume cha taratibu za kibenki hapa nchini, Raia Mwema limebaini.

Benki hiyo ambayo wiki hii imetawala katika vyombo vya habari baada ya kutuhumiwa na serikali ya Marekani kufadhili ugaidi, ndiyo benki inayotajwa kuwa na ukwasi mkubwa kuliko zote hapa nchini.

Ndugu wawili wanaomiliki benki hiyo ni Ayoub-Farid Michel Saab na Fadi Michel Saab, wanaomiliki asilimia 50 ya hisa kila mmoja katika benki hiyo ambayo mwaka jana ilikadiriwa kuwa na ukwasi unaofikia kiasi cha dola milioni 2.76 za Marekani (shilingi trilioni nne).

Kwa mujibu wa sheria za kibenki zinazotumika hapa nchini, benki hairuhusiwi kuwa na wamiliki wanaotoka katika familia moja kwa sababu ya kupunguza hatari ya familia kukubaliana kuanya tukio lenye hasara kwa sababu za kifamilia tu.

Gazeti hili limeelezwa na vyanzo vya kuaminika kutoka ndani ya BoT kwamba FBME haijakidhi

FBME customers panic as Central Bank of Cyprus issue an announcement


Customers and corporate depositors started to panic after the Central Bank of Cyprus issued an announcement late Monday saying it had issued a decree by which it has placed the Cyprus branch of FBME Bank Ltd. under a state of resolution.

The Financial Mirror received several calls from concerned customers who were not reassured by the central bank’s statements, as some sought to withdraw their deposits, for fear of a repetition of last year’s “bail in” imposed on savers by the Eurogroup to rescue Bank of Cyprus.

“The purpose of the decree is the sale of the operations of the [FBME] branch with the aim of the

Central Bank of Cyprus suspend FBME operations for 2 days

By "Cyprus-Mail" Staff Reporter

IN A short statement yesterday, the Central Bank of Cyprus announced the two-day suspension of operations by the Federal Bank of the Middle East (FBME), which had been placed under administration last week after being deemed a “primary money laundering concern” by the US Treasury.

But a late-night statement from the bank suggested that it was the victim of a hostile takeover and that the authorities seemed to have forgotten that it took part in a quarter million euro bond issue last year as

Marekani yasitisha shughuli zote za US Peace Corps nchini Kenya

BBC inaarifu kuwa Shirika la Marekani la kutoa misaada ya matibabu US Peace Corps limetangaza kuwa linasitisha shughuli zake zote nchini Kenya na taryari limeamuru kuondolewa kwa wafanyikazi wake wote zaidi ya hamsini kutoka nchini humo.

Marekani majuzi ilikuwa imetangaza kupunguzwa kwa idadi ya wafanyikazi katika balozi yake iliyoko mjini Nairobi.

Aidha ripoti hiyo inawadia siku mbili baada ya Shirika linalosimamia usafiri wa Anga ya Marekani kupiga marufuku safari zote za ndege katika anga ya Kenya.

Hatua ya shirika la US Peace Corps kuwaondoa wafanyikazi wake kutoka Kenya imechukuliwa muda mfupi baada ya wanawake watatu kutiwa nguvuni nchini Marekani (katika jimbo la Virginia na mwingine Washington) na Uholanzi kwa madai ya kutoa ufadhili kwa kundi la wanamgambo wa kiislam wa al-Shabab nchini Somalia.

Washukiwa hao wanadaiwa kutuma pesa katika mtandao wa malipo madogo madogo kila mwezi.

Wizara ya sheria ya Marekani imesema kuwa washukiwa wengine wawili akiwemo Jama Mohammed Fardowsa wamejificha nchini Kenya na Somalia.

Tanzania, unlike Kenya, totally opposed to US spying on leaders

Kenya leads in a listing of African countries whose citizens accept American government spying on their leaders and on private citizens.

The survey by the US-based Pew Research Centre, also found that Kenyans, among the six African countries surveyed, gave the most favourable rating to the US government, at 80 per cent. This compares to 77 per cent for Ghana, 75 per cent for Tanzania and 74 per cent for Senegal. Others rated were Nigeria (69 per cent) and Uganda (62 per cent).

The survey on spying placed a single question: “Is it acceptable or unacceptable for the American government to monitor communications?”

Respondents in Tanzania gave an emphatic no to the question, saying no form of surveillance would be acceptable to them.

Seventy one per cent of the respondents in Tanzania rejected the American government’s action on phone and e-mail intrusion while only 25 per cent supported monitoring of private citizens’ communications.

“Sixty four per cent say it is totally unacceptable to monitor leaders’ mail and phone conversations while 49 per cent said it is prudent for the American government to monitor its own citizens’ activities online and on phone,” the survey published online reveals.

  • In Uganda...
  • Drone strikes...

MV. Kigamboni kupelekwa matengenezoni

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UJENZI

WAKALA WA UFUNDI NA UMEME(TEMESA)Telegrams TEMESA DSM                                                            S.L.P  70704
Simu: +255-22-2862796/97                                                           DAR ES SALAAM
Fax:   +255-22-2865835                                                                TANZANIATAARIFA KWA UMMA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.

Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.

Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu

TEMESA
23/7/2014

Wahandisi TANESCO katika mafunzo kwa vitendo Sao Hill

Wahandisi wa TANESCO wakifuatilia maelekezo ya namna mtambo wa kuwekea nguzo dawa inavyofanya kazi katika kiwanda cha Sao Hill.

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO


Na Henry Kilasila, Iringa

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa.

Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.

Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao Hill kilichopo Mafinga mjini Iringa ikiwa ni mafunzo kwa vitendo juu ya utambuzi wa nguzo bora.

Washiriki waliweza kuona namna uzalishaji na utayarishaji wa nguzo unavyofanyka ikiwa ni pamoja

Sikiliza kibao kipya "Pasua Twende" cha Sky Light BandBendi Mahiri na Machachari Jijini Dar Skylight Band wametoa wimbo wao wa Tano ikiwa ni muendelezo wa kutoa nyimbo tofauti tofauti kupitia Studio yao ya kisasa ya Skylight Production.

Akiongea na Mtandao huu Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba AK47 amesema wimbo huo unaitwa

Nipashe, The Guardian yashirikiana na Vodacom kutoa taarifa "Breaking News" kwa njia ya simu ya mkononi

Meneja Masoko wa kampuni ya The Guardian na Nipashe, Simon Marwa akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa huduma mpya itakayokuwa inatumiwa na wateja wanaotumia mtandao wa simu za mkononi wa vodacom kupata habari za punde (Breaking News)za kitaifa na kimataifa kupitia magazeti ya Nipashe na The Guardian, mahali popote na muda wowote. Ili kujiunga mteja anatakiawa kuandika neno Nipashe au The Guardian kwenda namba 15501. Kushoto ni Meneja Uendeshaji Premier Mobile Solution Lulu Ramole na katikati ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa.

Dar es Salaam, 24th July 2014 - Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na The Guardian Limited wachapishaji wa magazeti ya The Guardian na Nipashe imezindua huduma mpya ya kufikisha habari za punde (Breaking News) kwa jamii, kuanzia leo.

Ujio wa huduma hiyo ni utekelezaji wa azima ya makampuni yote mawili ya kutaka kuona wananchi wakiwa na njia bora na ya uhakika ya kupata taarifa mbalimbali mara tu zinapotokea.

Huduma hii mpya itakayojulikana Kama‘GUARDIAN SMS na NIPASHE SMS ni huduma

Serikali yasaini mikataba 2 ya ujejnzi wa barabara za juu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu katika makutano ya TAZARA na usambazaji umeme jijini Dar es salaam leo zenye thamani ya zaidi ya bilioni 128.

At age 7, Gideon Gidori is determined to become Tanzania's first astronaut

wavuti.com is crosposting this atory from the NPR

It took 101 takes to get the right shot for Gideon Gidori's Kickstarter video. He hopes supporters will fund his flight school tuition in exchange for a secret potato salad recipe. (via Kickstarter)

At age 7, Gideon Gidori knew exactly what he wanted to be: a rocket ship pilot.

The only thing was, he was living in a tiny Tanzanian village where schools only went through grade six and books about space (or, for that matter, any books) were scarce.

But that didn't stop him. Now 15, Gidori is determined to become Tanzania's very first astronaut.

Gidori has always been fascinated with stars and spent his boyhood nights staring at the clear skies above his hometown. "I think there is much more up there than there is down here, and I want to know what that is," he says. When he becomes an astronaut, he hopes his first stop will be the moon — one of Jupiter's moons, that is.

"They say that on Europa, there's life," he says. "I want to be part of the crew that investigates it."

With the help of Epic Change, his dream isn't just wishful thinking. The nonprofit, which raises money for education and

Mnada wa vifaa vya balozi za Switzerland, Finland na Sweden

UBALOZI WA SWITZERLAND, FINLAND
& SWEDEN

MNADA WA HADHARA:


UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Switzerland, Finland & Sweden  watauza kwa mnada wa hadhara  Magari, Generators & Fanicha za Ofisi na nyumbani tarehe 26 July, 2014 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,  Lion Street.

MALI ZITAKAZOUZWA:

Sofa sets, Dining Table & chairs, Coffee table, Book Shelves, Meza za ofisi/viti, File

You can turn off promoted tweets via Twitter Settings

Promoted Tweets and Promoted Content are tweets which pop up from time to time to Twitter users based on a combination of their web browsing and Twitter’s ad partners, not necessarily any account you are following.

If you prefer to not see them, you can opt to turn it off through your settings.


This is how:
  1. Login to your Twitter account
  2. Go to Settings
  3. Click on  'Security and Privacy' and scroll down
  4. Uncheck the Personalization and Promoted Content buttons
  5. Click on 'Save' to keep the changes you made

That's all there is to it.

The Essence of Fatherhood: 5 Simple Lessons By Leo Babauta

I’ve been a father for more than 21 years, and have 6 kids altogether, and have loved every messy minute of it.

And now I have a young brother who’s becoming a father this month, and is deeply scared by the prospect of fatherhood. He’s not sure if he’ll do a good job, worried he’ll fail.

I can tell him this: being a father is the scariest thing I’ve known in my life. All of a sudden, I was 19 and in charge of a fragile human life, so precious and dear but so flickering and easily put out. And I

Tunasubiri maelekezo ya Mwalimu...

Wanafunzi wakisubiri maelekezo kutoka kwa walimu wao huko shuleni Vigwaza, Bagamoyo kama walivyokutwa na kamera ya Frank Kimaro (picha via Daily News)

Whitney Houston's daughter unhappy with movie about her Mom

(photo: jwcey.com)

Whitney Houston's daughter says she should have been cast to play her mother in the upcoming TV movie about her life.

Bobbi Kristina went on a nasty Twitter rant, blasting the movie's director, actress Angela Bassett, for not considering her for the starring role.

"Ha MsAng "bassketcase" has such a damn nerve" Bobbi Kristina tweeted.

"When I win my first Grammy or Oscar... Whichever comes1st, I'll be sure 2shout urname out bitch!"

The tweets were later deleted.

Bassett told Entertainment Weekly, "I did not think about casting her, and probably for a number of reasons. One being that she's not an actress."

Whitney is being played in the movie by newcomer Yaya DaCosta, who got her start as a contestant on America's Next Top Model. She bears a striking resemblance, as she recreates the iconic cover from Whitney's 1987 album. Inside Edition has more here...