[video] Drunk guy shows his driving skills

Elimu isiyo sahihi kuhusu kondomu yachangia maambukizi mapya ya VVU

Mkufunzi wa warsha hiyo Meneja Mawasiliano kutoka Pangani FM, Bw. Abdullah Mfuruki akitoa mwongozo wa kazi za vikundi kwa staili ya aina yake kwa washiriki wa warsha ya siku mbili katika utekelezaji wa Mradi mpya wa SHUGA Redio.
Mmoja wa washiriki akitolea maelezo ya picha aliyoichora ikimaanisha nini wakati wa warsha hiyo ya siku mbili inayoendelea mjini Iringa.

Na Mwandishi wetu

Tafiti zimebaini kwamba Vijana hawatumii Kondomu na hutoa sababu nyingi ikiwa ni pamoja na kutopata ladha wakati wa tendo la ndoa na kwamba inapunguza nguvu na visingizio vingine vingi vinavyopelekea kuashiria hatari ya maambukizi.

Hayo yameelezwa na Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias wakati akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na Afya ya Uzazi kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 katika warsha ya kuwajengea uwezo washiriki hao katika matumizi ya mwongozo wa

Gunmen rob 17 foreign tourists in Hai, Tanzania

DAR ES SALAAM, July 25 (Xinhua) -- A group of gunmen on Thursday dawn stormed into a tourist lodge in Tanzania's northern town of Hai and robbed 17 foreign tourists, police said on Friday.

The tourists were from the United States, the Netherlands and the United Kingdom, the Kilimanjaro regional police commander Robert Boaz told a news conference. The robbery happened in a tented lodge at the foot of Mount Kilimanjaro.

He said four of the tourists were slightly injured by the gunmen when they tried to resist but they were

Peaceful demonstration in Tanzania to commemorate International Quds Day


MUSLIMS along Kawawa Road in Dar es Salaam on Friday take part in a peaceful demonstration to commemorate International Quds Day while opposing the injustices allegedly committed against Palestinians by Israelis. Quds Day is commemorated every last Friday of the holy month of Ramadhan.

Serikali yaifunga Hospitali ya IMTU kwa muda usiojulikana


Taarifa ya TBC1 inapasha kuwa Serikali imeifungia kutoa huduma ya matibabu hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Utabibu na Teknolojia ya Tiba (IMTU) ya jiijni Dar es Salaam kwa muda usiojulikana.

Hatua hiyo inafuatia ripoti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii baada ya kufanya ukaguzi wa kushitukiza katika hospitali hiyo, na kubaini kuwa huduma zinazotolewa na hospitali hiyo zipo chini ya viwango na maadili ya utoaji matibabu hapa nchini.

Akitoa ripoti ya ukaguzi kwa uongozi wa hospitali hiyo, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni

Uchaguzi wa awamu ya pili kwa watakaoingia Kidato cha Tano 2014

Taarifa kutoka Wizara ya Elimu

Serikali inatarajia kufanya uchaguzi wa awamu ya pili kwa wanafunzi waliobaki kutokana na ufinyu wa nafasi za shule za kidato cha tano, baada ya kubaini uwepo wa nafasi hizo; na baadhi ya wanafunzi wenye sifa watachaguliwa kwenda kusomea ualimu.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bwana Jumanne Sagini alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari tarehe 22/07/2014 jijini Dar es salaam juu ya wanafunzi waliofaulu masomo ya sayansi.

Serikali kwa kutambua umuhimu wa masomo ya sayansi na mwitikio chanya uliopo sasa kwa wanafunzi kusoma masomo hayo, imeendelea kuimarisha miundombinu ya shule kwa kutoa fedha za

Bunge Maalum la Katiba litaendelea ilivyopangwa - Sitta

* Akidi itatimia bila UKAWA

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani ) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dares Salaam. (picha: Magreth Kinabo/MAELEZO)

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, amesema kuwa Mkutano wa Bunge hilo, utaendelea kama ulivyopangwa Agosti 5, mwaka huu mjini Dodoma.

Amesema kuwa licha ya baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo, kuendelea na msimamo wao wa kutaka kususia vikao vitakavyoanza mapema mwezi ujao, lakini bado kuna mambo muhimu ya kujadiliwa.

Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dar es Salaam, katika taarifa yake iliyosomwa kwa niaba

Inatangazwa tena: TCRA ICT SCHOLARSHIP 2014-2015

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY
RE-ADVERTISEMENT
TCRA ICT SCHOLARSHIP 2014-2015
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is currently inviting highly qualified graduate and undergraduate students to apply for its 2014/15 ICT scholarships. The scholarship offers Tanzania students the opportunity to obtain degrees in the Information and Communication Technologies (ICT) and related areas. The Scholarship will be awarded on the basis of academic meritand interview to be conducted by the Scholarship Panel.
The Scholarship covers all university direct cost (tuition fees etc) and all student direct cost (meal, accommodation, book and stationary allowance, field practical training, special faculty requirement etc) for duration of the course, provided that they obtain good academic performance. The scholarship

Rais Kikwete mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye
kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe omar Othman makungu leo Julai 25, 2014.

Bilioni 4 zaipatia Tanzania mabehewa mapya 25 kutoka India

Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kulia), akiangalia moja ya mabehewa kati ya mabehewa 25 mapya ya kubebea kokoto yenye thamani ya sh.bilioni 4.3 aliyoyapokea kutoka Kampuni ya M/S Hindusthan Engineering and Industriles Limited ya India Dar es Salaam Leo, kwa ajili ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL). Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Mhandisi Kipalo Kisamfu.

Na Dotto Mwaibale

SERIKALI imepokea mabehewa 25 mapya ya kubebea kokoto yenye thamani ya sh.bilioni 4.316 kwa ajili ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka Kampuni ya M/S Hindusthan Engineering and Industriles Limited ya India.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea mabehewa hayo Dar es Salaam leo, Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe alisema mabehewa hayo ni sehemu ya mpango kabambe wa Serikali wa kufufua Kampuni ya Reli Tanzania chini ya mapngo wa Tekeleza kwa

Tabia na tamaduni hatarishi katika maambukizi ya VVU


Afisa Mipango VVU/UKIMWI kutoka UNICEF, Bi. Alice Ijumbe akitoa mada ya Afya ya Uzazi kwa Vijana na mahusiano yake na maambukizi ya VVU wakati wa warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.

Na Mwandishi wetu

Idadi kubwa ya Vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza kufanya mapenzi katika umri mdogo jambo ambalo linaashiria hatari ya maambukizi ya VVU ikilinganishwa na idadi ya Vijana wa Kiume.

Akitoa mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ua VVU kwa Vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa, Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman

Wanawake na Katiba wawanoa Wajumbe Bunge Maalum

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo.

MTANDAO wa Wanawake na Katiba nchini Tanzania umewakutanisha baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba kujadili namna ya kushinikiza masuala ya haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya.

Semina hiyo iliyoshirikisha wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wanahabari imeanza leo katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam na itafanyika kwa siku mbili yaani Julai 24 na 25, 2014.

Akizungumza kukaribisha washiriki wa mkutano huo, Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka alisema wajumbe katika mkutano huo watajadili umuhimu wa kuimarisha masuala ya haki za wanawake katika Katiba.

Alisema kuwa wajumbe pia watajadili namna ya kutetea na kulinda masuala muhimu ya haki za wanawake yaliyojitokeza katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya ikiwa ni pamoja na kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusiana na masuala ya katiba yenye maslahi ya wanawake na taifa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi ambao ni moja ya taasisi zilizoratibu mkutano huo, alisema pamoja na mambo mengine madhumuni ya mkutano huo ni kuwawezesha wabunge wanawake kwa wanaume katika Bunge Maalum la Katiba na wanaharakati wa jinsia na haki za wanawake kuimarisha hoja zao.

Katika mkutano huo wahariri wa vyombo anuai vya habari kwa nyakati tofauti waliwataka wajumbe hao kuvitumia ipasavyo vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na kutoa ushirikiano ili hoja zao ziingie katika vyombo hivyo na kuifikia jamii.

Kwa upande wao baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la Katiba wakizungumza kujibu baadhi ya maswali ya wahariri wa habari walisema wamejipanga kupaza sauti kuhakikisha hoja zao wanazozipigania zinaingizwa katika Katiba Mpya.

Naye Mjumbe wa Bunge Maalum, Dk. Avemaria Semakafu alivitaka vyombo vya habari kuendelea kuwaunga mkono wanamtandao hao ili kupigania kero za akinamama na wananchi kwa ujumla na kuhakikisha zinapata majibu katika mchakato wa uundaji katiba mpya.

*Imeandaliwa na www.thehabari.com

Pres. Obama faces embarrassment of dealing with a pregnant womanDid President Obama's motorcade block a pregnant woman who was apparently in labor, from getting to the hospital?

INSIDE EDITION says, a bus bench where the woman was forced to ride out her labor sits right next to the massive Cedars Sinai Medical Center. Eyewitnesses say that even though the woman was in labor, she was prevented from walking the few hundred feet to the hospital for more than 30 minutes.

Bystander Carrie Clifford, who is a standup comic, took video and still shots of the woman and

Airline disasters! and 2014 is still barely half over

The misfortunes began July 18 when Malaysia flight 17 was shot down over eastern Ukraine with 298 people on board. It's still uncertain who fired the missile that destroyed the plane, but Ukrainian officials have blamed ethnic Russian rebels and U.S. officials have pointed to circumstantial evidence that suggests that may be the case.

The shootdown doubled Malaysia Airlines' misfortunes this year. The mysterious disappearance of Malaysia Flight 370 with 239 people on board in March combined with the destruction of Flight 17 added up to more than twice the total global airline fatalities in all of last year, which was the industry's safest year on record. Ascend, a global aviation industry consulting firm headquartered in London, counted 163 fatalities in 2013 involving airliners with 14 seats or more.

On Wednesday, a mere seven days after the shootdown over Ukraine, a TransAsia Airways plane crashed in Taiwan in stormy weather trailing a typhoon, killing 48 passengers, injuring 10 others and crew, and injuring five more people on the ground. The next day an Air Algerie flight with 116 passengers and crew disappeared in a rainstorm over Mali while en route from Burkina Faso to Algeria's capital. The plane was operated for the airline by Swiftair, a Spanish carrier.

Together, the disasters have the potential to push airline fatalities this year to over 700 - the most since 2010. And 2014 is still barely half over.

Notice: BoT takes over FBME Tanzania Management; BoT yachukua jukumu la Menejimenti ya FBME Tanzania
Makosa 7 katika kutoa Zakaatul Fitr

Abu Ammaar

  • Kuitoa wakati wa Sala ya Idd, siku ya Idd yenyewe
Zakaatul Firtr hupaswa kutolewa mapema ili iwafikie walengwa waliokusudiwa. Ikitolewa wakati wa Sala hukosa ile dhamira iliyokusudiwa ya kuwalisha maskini na wenye kuhitaji na kuwafika kwa wakati. Ni Sunna ikatolewa siku moja au mbili kabla ya siku ya Idd. Baadhi ya Maulamaa wamejuzisha kutolewa hata kabla ya hapo ikiwa itakuwa na manufaa zaidi na kuweza kuwafika wahusika kwa wakati.

  • Kuisafirisha kuipeleka sehemu nyengine bila ya dharura
Hasa ndugu zetu hupenda kupeleka Zakaatul fitr nchi walizotoka au huenda Misikitini na kuweka katika masanduku yaliyoandikwa Zakaatul Fitr wakidhani tayari wameshatekeleza wajibu. Asli ya