Waziri Mkuu Mhe. Pinda aandaa futari

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es Salaam kwa ajili ya futari leo Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

Ilani ya Polisi katika kusherehekea Eid-El-Fitr

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

WIZARA YA MAMBO YA NDANI

JESHI LA POLISI TANZANIA

Unapojibu tafadhali taja:
Anuani ya simu “mkuupolisi”
Simu : (022) 2110734 
Fax na. (022) 2135556                                                                                                                                            
Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S.l.P. 9141,
Dar es Salaam.

26/07/2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.

Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

Ikumbukwe kuwa, wananchi wenye imani ya kiislam na hata madhehebu mengine hutumia muda huo kwenda kuabudu pamoja na muendelezo wa sherehe hizo kwenye maeneo mbalimbali ya starehe. Uzoefu umeonyesha kuwa baadhi ya watu hutumia kipindi hicho cha sikukuu kama mwanya wa

Lawama kuhusu Matokeo ya Usaili wa Nafasi za kazi Uhamiaji

Nukuu ifuatayo ni ya ujumbe uliotumwa via WhatsApp

Angalia haya majina na mahusiano yao na wafanyakazi na baadhi ya vigogo wa Uhamiaji na serikalini
1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu ila zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.
Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.
Alamsiki.

Rais Kikwete, Waziri Mkuu Pinda, Jaji Mkuu Othman wafuturu kwa Makamu wa Rais, Dk Bilal

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman wakiwasili kushiriki katika
futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014

Rais Kikwete awatunuku Shahada Wahitimu wa Chuo cha Tifa cha Ulinzi

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia baada ya kutunuku shahada katika mahafali ya Kozi ya Pili ya Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (NDC) chuoni hapo Kunduchi jijini Dar es salaam leo Julai 26, 2014.Jumla ya wahitimu 30 wamehudhuria kozi hiyo wakiwemo maafisa wandamizi katika utumishi wa umma, ambapo 11 wametoka JWTZ na 10 kutoka vyombo vingine vya usalama na idara mbalimbali. Washiriki wengine tisa wametoka nchi za nje ambazo ni Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Rwanda Uganda, Zambia na Zimbabwe.

Audio song: Nimempata by Pam D Mic Queen ft Mesen Selector

Taarifa ya kufukuzwa kwa Watumishi 9 na karipio kali - Manispaa Kinondoni


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baraza la Madiwani la Manispaa yaa Kinondoni katika Kikao chake cha tarehe 22/07/2014 siku ya Jumanne, chini ya Mstahiki Meya Mh. Yusuph Mwenda pamoja na mambo mengine lilijadili na kutolea maamuzi ya mashauri ya mashtaka ya nidhamu yaliyofunguliwa kwa Watumishi 11 wa Idara mbalimbali za Manispaa waliofanya makosa mbalimbali kama Utoro kazini, Matumizi mabaya ya madaraka na ofisi.

Kati ya Watumishi 11 waliofunguliwa Mashtaka, watumishi 6 ni wa Idara ya Afya, 2 ni wa Idara ya

TTCL yatoa zawadi ya Eid el Fitr kwa yatima Dar

Vikundi vya Watoto Yatima vya Mama Theresa kilichopo Mburahati, Kituo cha Mwandaliwa cha Mbweni na Kituo cha Chakuwama cha Sinza katika picha ya pamoja mara baada ya kupokea zawadi zao jijini Dar es Salaam.
 KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaa wa vyakula kwa vituo vitatu vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu vya jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuvisaidia viweze kusherehekea vizuri siku kuu ya Eid El Fitr.

Msaada huo wenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 3 umekabidhiwa na Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, ambaye alisema utaratibu huo ni wakawaida kwa kampuni yao kusaidia makundi na taasisi na idara anuai kwa masuala ya kijamii.

Bi. Mwakalebela alivitaja vituo ambavyo vimekabidhiwa msaada huo ni pamoja na Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, Kituo cha Mwandaliwa cha Mbweni na Kituo cha Chakuwama cha Sinza vyote vya jijini Dar es Salaam.

“…Msaada huu ni maalum kwa ajili ya kusherehekea siku kuu ya Eid El Fitr, jambo hili la leo ni utaratibu wa kampuni ya TTCL kusaidia makundi, taasisi na idara mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu maendeleo na ustawi wa jamii,” alisema Bi. Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura.

Msaada uliotolewa kwa vituo hivyo ni pamoja na mchele, mafuta ya kupikia, sukari, unga, unga wa sembe, maharage pamoja na katoni za juisi za maboksi.

Kwa upande wao wawakilishi wa vituo hivyo waliishukuru Kampuni ya TTCL kwa uamuzi wake wa kuwakumbuka watoto yatima ili nao waweze kusherehekea vizuri siku kuu ya Eid El Fitr kama ilivyo kwa familia nyingine majumbani.

Wawakilishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Mwandaliwa cha Mbweni wakipokea msaada wao toka kwa Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.

Wawakilishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, wakipokea msaada wao toka kwa Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.

*Imeandaliwa na www.thehabari.com

Yemi, Shilole kufanya maajabu katika Usiku wa Matumaini


WAKATI hamu ya mashabiki kila kona kwa sasa ni Agosti 8, mwaka huu katika tamasha kubwa la kihistoria la Usiku wa Matumaini litakalofanyia Uwanja wa Taifa jijini Dar, mashabiki wengi wanatamani kuwaona wakali kibao wakipanda jukwaani na kupiga nyimbo zao kali.

Kipindi cha “Mimi na Tanzania” safarini jijini Washingon, DC


Hoyce Temu

Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha 'Mimi na Tanzania' Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili ambapo alimua kufunga safari kwa ajili ya kufanya mazungumzo maalum na Balozi wetu wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula.
Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula katika mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Mimi Na Tanzania, Hoyce Temu ofisini kwake jijini Washington DC, Marekani.

Mahojiano hayo ya moja kwa moja katika Balozi ya Tanzania nchini Marekani na Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula ambapo wameangazia masuala mbalimbali yakiwemo Utalii, kujitangaza katika miradi ya kimaendeleo na uwekezaji ,malalamiko ya watanzania waishio Marekani kuhusu uraia, kwa

A note of appreciation from The Ngoma Africa Band

The Ngoma Africa Band crew

We are taking this opportunity to thank our entire fans around the globe for your support to this band.
It is your support that makes the Ngoma Africa band prosper, without you there will be no success!

Please, we ask you again to keep on supporting and let the band be on the top most position in every event, festival, media etc.

Let others around you join the band at www.ngoma-africa.com, here they will have the opportunity to enjoy music.

Booking at [email protected]

Yours,
Sincerely,
The Ngoma Africa Band

Jumuiya ya Waislam Michenzani Zanzibar wakamilisha kuftarisha Ramadhani

Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar
Na Abou Shatry/SwahiliVilla blog - Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar waliweza kuftari waislamu wa maeneo mbali mbali wa karibu na wakiwemo wakaazi wa Mwembetanga, vikokotoni, pamoja na waMichezani.

Maalim Abuu, sheikh Ali wakipata futari ya pamoja Siku ya Ijumaa July 25, 2014
Maalim Abuu, sheikh Ali wakipata futari ya pamoja Siku ya Ijumaa Julai 25, 2014

Crazy Carjacking Caught on Camera

It was a crazy scene caught on camera when a gunman and a blonde companion took off on foot after allegedly going on a carjacking spree outside Denver.

IMF: Promising outlook for Tanzania's Natural Gas Sector

Tanzania has a good chance of becoming a major producer and exporter of natural gas over the next decade, said the International Monetary Fund.

Significant offshore discoveries have been made over the last two to three years and further exploration is underway, the fund said in its recent country report for Tanzania.

"Although gas resources haven't yet been declared commercially viable, estimates of discoveries indicate recoverable offshore gas resources of at least 24 trillion-26 trillion cubic feet, potentially sufficient for a four-train Liquid Natural Gas plant (possibly as a common facility for several upstream gas fields)," it said. "A final investment decision is expected at the earliest in 2016 or 2017."

Total investment during the development phase could amount to $20 billion-$40 billion, depending on

Ndimara: UKAWA, CCM na siasa za vidole


Hamisi Kigwangalla: Why was there no ‘Africa Spring’?

This article was originally published by AlJazeera.com

The self-immolation of Mohamed Bouazizi, a Tunisian street vendor in December 2010 triggered a wave of protests across Tunisia that brought down President Zine El Abidine Ben Ali and spread across North Africa and the Middle East. What western media dubbed the "Arab Spring", toppled dictatorial regimes in Egypt, Libya and Yemen and sparked conflict in Syria and Bahrain. The aftershock was felt as far as Morocco, Mauritania, Saudi Arabia and Oman.

Although reasons for the mass uprisings differ from one country to another, the Arab Spring occurred mostly because of rampant corruption in governments, rising unemployment and the many challenges of everyday survival: putting bread on the table, being able to afford fuel, clothing and even shelter. Politically, decades-long one-man rule had become unbearable and the prospect of familial succession provoked increasing public anger.

Many people had hoped that sub-Saharan Africa would follow suit, and that there would be an

Ohoo! Msanii wa Tanzania apigwa Kenya kwa kufumaniwaTanzania bongo artiste Hussein Machozi was caught pants down with the wife of a prominent Mombasa businessmen and beaten thoroughly. Hussein who is nursing injuries was at the coast to shoot a music video when he hooked up with the said wife.

According to multiple sources who requested anonymity, the singer has been in an alleged long standing secret affair with the married woman and they were planning on buying a house together.

To keep the affair alive, the two love birds shuffled between Dar es Salaam and Mombasa.

Our source told Word Is, "The married woman's husband is a very busy man. His time is occupied by