Kuna athari Tz ikienda bila Rais?


Watatu wasimamishwa kazi TEKU kwa upoevu wa milioni 300/=

Na Solomon Wansele, Mbeya

WAFANYAKAZI watatu wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), kilichopo jijini Mbeya, wakiwemo wahasibu, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za upotevu wa zaidi ya sh. milioni 300, mali ya chuo hicho.

Upotevu huo umebainika kutokana na ukaguzi wa hesabu za chuo hicho kwa kipindi cha mwaka 2012/2013.

Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa upotevu wa fedha unaweza kuwa zaidi ya sh. Milioni 300 kwa kuwa hesabu za kuanzia Januari hadi Juni, mwaka huu, bado hazijafanyika.

Uchunguzi uliofanywa na UHURU umebaini wizi huo wa mamilioni hayo ya shilingi, umeibua

SUMATRA yazungumzia suala la abiria kukata tiketi kwa internet na simu

Na Rose Masaka - Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imetoa ufafanuzi kuwa hajafikia muafaka wa kuwalazimisha abiria wa mikoani kutumia mchakato wa mbinu mpya ya ukatishaji wa tiketi za mabasi ya kwenda mikoani kwa njia ya mtandao ikiwemo wa simu za mkononi kwa kuwa baadhi ya wamiliki wa mabasi wamegawanyika, na bado haukidhi mahitaji ya sasa.

Kauli hiyo imetolewa leo na Meneja wa Mawasiliano wa SUMATRA, David Mziray wakati akizungumza na mwandishi wa habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) baada ya Chama Cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kuilalamikia, SUMATRA ndio inayochelewesha mchakato huo na wameairisha kufanyika kikao cha wadau kilichotakiwa kufanyika Mei 30, mwaka huu.

Malalamiko hayo yalitolewa na Mwenyekiti wa CHAKUA, Hassan Mchanjama, alipokuwa

Polisi: Watuhumiwa 10 wa ujambazi na silaha zilizokamatwaMAJAMBAZI 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini, wametiwa mbaroni wakati wa msako mkali uliofanikisha pia kukamatwa kwa silaha mbalimbali.

Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, aliyasema hayo ofisini kwake kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Majambazi hao wamekamatwa katika msako mkali unaoendelea jijini Dar es Salaam katika harakati za kuhakikisha kwamba maisha na mali za wakazi wa Dar es Salaam vinalindwa kikamilifu.

Katika msako huo watuhumiwa walisachiwa katika miili, makazi, na maficho yao na wakakamatwa na jumla ya silaha 9 kama ifuatavyo:-
  1. SMG NO. 13975 ikiwa na risasi 11 na magazine 2
  2. SMG 1 haikuwa na magazine na namba hazisomeki.
  3. BASTOLA 1 aina ya LUGER yenye namba 5533K
  4. BASTOLA 1 aina ya BROWNING yenye namba TZACR83494 S/No.7670 Na risasi 6 ndani

Story of Tanzania's Hashim Pondeza inspires US Secretary of State John Kerry

Remarks at the Presidential Summit of the Washington Fellowship for Young African LeadersJohn Kerry
Secretary of State
Omni Shoreham Hotel

Washington, DC

July 28, 2014


SECRETARY KERRY: Wow. What a great group. Thank you. Please, sit down. Sit down, sit down. Thank you. It is so good to see you all. Welcome. You having fun?

AUDIENCE: Yes.

SECRETARY KERRY: I’m glad to hear it. It’s just beginning. And the President’s going to get a chance to speak with everybody before long. That’ll be great. We look forward to it. I can’t tell you – I’m really excited to see you all here, and I hope you’re excited to be here. That’s important. (Cheers and applause.)

I cannot thank all the leaders all across the State Department and across the Administration – people

BoT says Habib African Bank (Tanzania) has no direct links with Habib Bank AG Zurich of Switzerland

Habib African Bank in Tanzania
Habib African Bank in Tanzania logo

LOCALLY registered Habib African Bank (HAB) Limited has no direct links with Habib Bank AG Zurich of Switzerland, which was fined 525,000 pounds sterling by Financial Service Authority of UK for engaging in money laundering.

Bank of Tanzania (BoT) spokesperson Zalia Mbeo told the 'Daily News' over the weekend that HAB is Tanzanian and has local registration with full compliance to the law.
"Habib Bank AG Zurich (HBZ) is not related to the Habib African Bank Ltd Tanzania in terms of shareholding and directorship.

Therefore, Habib Bank AG Zurich is not a parent bank of Habib African Bank in Tanzania,"
said Ms Mbeo in written response to the 'Daily News.'

Habib Bank AG Zurich of Switzerland
Habib Bank AG Zurich of Switzerland logo

The Swiss-based bank fined by British authorities for money laundering control failings involving

Haya! Kisa 'mapenzi': Wabunge wa Tanzania watuhumiwa kudundana Malaysia

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanadaiwa kupigana huko Malaysia baada ya kukutana hotelini, wakati wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), walipokuwa katika ziara ya kikazi nchini humo.

Tukio hilo lilitokea siku nne zilizopita baada ya mbunge wa kamati hiyo kutoka CCM kuvamiwa alipokuwa akipata kifungua kinywa kwenye hoteli aliyofikia na wenzake wawili mmoja wa CCM na mwingine wa CHADEMA. Majina ya wabunge hao watatu tunayahifadhi kwa sasa kwa sababu hatukuwapata kujibu tuhuma hizo.

Hata hivyo, mbunge wa CHADEMA ambaye siyo mjumbe wa PAC haikufahamika ilikuwaje akawamo katika ziara hiyo.

Habari zilizolifikia gazeti hili (Mwananchi) jana zinadai kuwa chanzo cha ugomvi huo masuala ya

Wishes of #EidMubarak from @MSTCDC


Maofisa 4 wa IMTU wafikishwa kortini na kusomewa mashitaka

Maofisa wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam leo, baada ya kusomewa mashitaka ya kushindwa kuizika kwa heshima miili ya binadamu na kuonesha cheti kinachothibitisha uzikaji wa miili hiyo. Baada ya kusomewa mashitaka yao waliachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena.

Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na baadaye kuwaondolea mashitaka kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashtaka ya kushindwa kufukia viungo vya binadamu na kupeleka hati ya kufukia viungo vilivyotumika kufundishia kwa Kampuni Coroner.

Vigogo hao ni, Venkat Subbaian (57), Appm Shankar (64), Prabhakar Rao (59) na Dinesh Kumar (27)

Mkutano wa Majadiliano kuhusu Ufadhili wa Miradi ya Maendeleo kati ya Tanzania na Japan 2014/2015

Wajumbe wa mkutano wakimsiliza Mwenyekiti wa mjadala Dkt. Philip Mpango. Upande wa kulia ni wajumbe kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na upande wa kushoto ni wajumbe kutoka serikali ya Japan. (picha zote, maelezo: Picha na: Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.)

Taarifa ya kusitishwa kwa ajira katika Idara ya Uhamiaji


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE

Ndugu Watanzania

Asubuhi ya leo tarehe 28 Julai 2014 nilitoa taarifa maalumu kwa vyombo vya habari nikiitaka Serikali kutolea ufafanuzi malalamiko yaliyojaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari. Asante Mungu kwamba Serikali imetolea majibu jambo hili kwa kusitiza ajira zote.

Rejea taarifa yangu kwa vyombo vya habari niliyoitaka Serikali kutoa majibu katika

SkyLight Band yakukaribisha kwenye mkesha wa Idd na Idd mosi @ Escape One


Rais Obama leo kukutana na Viongozi Wadogo walioonesha dira toka nchi zote za Afrika

Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA)

Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani atakapozungumza nao jijini Washington DC.

Hii ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders). Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe.

Miongoni mwa watanzania wachache waliopata fursa ya kuhudhuria ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Steven Masele na Mhe. Joshua Nassari. Watakutana pia na Waziri wa mambo ya nje wa marekani John Kerry na Mke wa Rais Obama Bi Michelle Obama Pamoja na maseneta, Magavana, wafanyabiashara wakubwa an watu wengine mashuhuri.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, walemavu wa ngozi na yatima wafuturu Ikulu na Rais Kikwete


Rais Kikwete akipakua futari Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni


Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni.

Serikali itoe matamko kuhusu: Mafao; Waajiriwa wapya uhamiaji

Mgombea Urais wa TUCTA, Dismas Lyassa akijadiliana jambo na wakili wake Jebra Kambole jana ofisini kwake
Mgombea Urais wa TUCTA, Dismas Lyassa akijadiliana jambo na wakili wake Jebra Kambole jana ofisini kwake

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE

Ndugu Wanahabari
Hivi karibuni viongozi wa vyama mbalimbali vya wafanyakazi pamoja na mamlaka ya kusimamia mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA), Wametoa matamko yanayokinzana juu ya mifuko ya jamii kwa wafanyakazi.
Ndugu wanahabari
Taarifa hiyo yenye kukinzania iliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari, likiwamo gazeti la Nipashe la Julai 24, 2014 ukurasa wa kwanza na watano, ambapo Nicholas Mgaya, Katibu Mkuu wa TUCTA;Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania alikaririwa akisema wamepeleka mapendekezo serikalini juu ya kutaka mifuko mingine iwe karibia au sawa na LAPF au PSPF. Wakati

Watozwa 6,000/= kwa kujifungulia majumbani

WAUGUZI wa Zahanati ya Izava, iliyopo Kata ya Segala, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, wamelalamikiwa kwa kitendo cha kuwatoza sh 6,000 kwa kila mzazi anayejifungulia nyumbani.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima Jumapili, wajawazito hao walisema kuwa wauguzi wa zahanati hiyo wamekuwa na tabia ya kuwatoza fedha hizo wanapojifungua nyumbani na kuwapeleka watoto hospitalini.

Mmoja wa wajawazito hao, Mwanaidi Bakari, alisema miongoni mwa sababu zinazowafanya

Raia Mwema lazungumza na Balozi wa Norway kuhusu gesi ya Tanzania

SERIKALI ya Norway imevunja ukimya wake kuhusu suala la kampuni yake ya StatOil kuingia mkataba wa gesi na mafuta na Shirika la Taifa la Maendeleo ya Petroli (TPDC) ambao ni kinyume cha mkataba wa mfano (Model PSA).

Balozi wa Norway nchini, Ingunn Klepsvik, aliliambia Raia Mwema jijini Dar es Salaam wiki hii kwamba serikali yake imesikia kuhusu malalamiko ya mkataba huo lakini akasema “suala hilo ni la kibiashara na litamalizwa kibiashara.”
“Tumesikia kuhusu hayo malalamiko lakini StatOil, japo inamilikiwa na serikali kwa kiwango kikubwa, inajiendesha kibiashara na ndiyo sababu ya kuwa miongoni mwa kampuni zenye faida zaidi ulimwenguni katika sekta hiyo.
“Makubaliano yoyote ambayo yamefanyika baina yaTPDC na StatOil yalikuwa ni ya kibiashara na serikali ya Norway haikuhusika kwa lolote. Kama upande wa Tanzania unaona kuna mapungufu, basi iwasiliane na mwenzake ili hatimaye mwafaka ufikiwe.” 
Kauli ya Balozi huyo ni ya kwanza kutolewa na serikali ya Norway au StatOil wenyewe tangu

[infographic] Types of handbags, purses

Any fashionista knows that an outfit is not complete without the perfect purse to match.

Whether you’re a fan of chasing the current trend or are looking for a classic bag worth investing in, this guide will help make your next purse purchase an educated one.  -- scarves.com

The Handbag
via - Visually.

Job opportunities at SAUT

The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning Institution Owned by Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of holistic development of a person and respect of human dignity.

SAUT is an equal opportunity employer and it intends to recruit competent academicians capable of imparting professional skills and inculcate civic and social values to students that will make them better citizens.

The applicants are required to fill the following vacant positions:-

Call for application: Research Scientist on a collaborative research project

Community Health Worker - Learning Agenda Project (CHW-LAP)

MUHAS and Johns Hopkins University Collaborative Project

An application, comprised of a CV and cover letter, is required from individuals who have completed masters training (i.e., MPH, MSc, MA, etc.) for the position of Research Scientist on a collaborative research project, called the CHW-LAP.

We are particularly looking for someone with extensive experience in qualitative research methods (i.e., conducting interviews, and thematic data analysis). The candidate must be willing and able to

Shule yatangaza kufukuza wanafunzi wanaotumia simu, vipodozi na kuvaa sketi fupi, milegezo shuleni!

Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni.

Mwalimu Mkuu wa shule hiyo inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Mchungaji Yohana Nzelu, alisema hayo jana katika kikao cha Bodi ya Shule na Wazazi.

Mwalimu Nzelu alisema moja ya chachu ya mafanikio ya wanafunzi shuleni, ni nidhamu ya kutosha na

Job opportunity at StatOil: Senior Analyst Treasury and Payment

Senior Analyst Treasury and Payment (38905)

Statoil is an international energy company with operations in 35 countries. Building on more than 40 years of experience from oil and gas activity on the Norwegian continental shelf, we are committed to accommodating the world's energy needs in a responsible manner, applying technology and creating innovative business solutions. We are headquartered in Norway with approx. 21,000 employees worldwide, and are listed on the New York and Oslo stock exchanges.

Development Production International (DPI) is responsible for Statoil’s existing international comprehensive portfolio of producing assets and planned field developments. DPI focuses on building business clusters and maximizing the value of our producing fields internationally.

In 2007 Statoil signed a production sharing agreement (PSA) for Block 2 with Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and the Government of Tanzania. Statoil Tanzania AS is the

Architect’s impressions flyover at Nyerere Rd/Mandela expressway

Architect’s impressions (main picture and inset) of the proposed flyover at the intersection of Nyerere Road and Nelson Mandela Expressway in Dar es Salaam, the construction of which is scheduled for October/November. (photos by DAILY NEWS' Staff Photographer)